Afro photographie
MORNING AFRIKA Ltd news
Huyu kijana huwaga nikimwangalia nasikia Huzuni sana imagine kwa kipaji alicho nacho na nafasi alipo yaani haviendani hâta kidogo huyu ni msani mkubwa sana mwenye utunzi mkali Melody Sauti Ndo tusiseme anajua kuji control k**a star ila bado sapoti ni k**a mwamba hajawai kutapata sapoti Toka kwa sponsors managers WA Nyumbani .
Jamani Ku sapoti kipaji sio awe mtu WA Kabila lako ndugu Yako ao vipi ni yule mtu anaye kujua kazi tu basi msapoti afu mengine yaendeleye !
Mais naye Iko n'a tatizo moja Kila mwaka ana badili Channel ya YouTube 🤣 hivi karibuni ataachia new matériel jus qu'à z ni Ngoma Kali
MASTER UVA .
MASTER UVA
A fan reveals 4 strikîng mysterîous things 2pac and Mohbad had in common that made their deâth unique
AFRIKA
News
CLAM CRIS
Afro photographie REPUBLIK
WHOZU x Wema Sepetu
photographie updated
Afro photographie REPUBLIK
LEO TUNAKUJA NA ILI JIPYA
BAADA YA KIJANA WETU KUKAA KIMYA, IYO JANA AMEAMUWA KUVUNJA UKIMYA WAKE.
KWANZA KIJANA ALITANGAZA UJIO WA E.P YAKE YA MY WAY, ATUJAELEWA IYO KUTU KIMEFIKIA WAPI ILA GHAFLA KA POST KUWA TAREHE 22 JULY ATAKUWA NA NEW MATERIEL
ILIPOFIKA SIKU IYO ATUKUONA CHOCHOTE, NDIPO TUKAMUFATA KIUNDANI AKATUJUZA KUWA CHANNEL YAO ILIPATWA NA MA TATIZO LA UFUNDI.
ILA IYO JANA MIDAA YA 18H NDIPO TUMEPOKEA LINK YA WIMBO WAKE MPYA.
KUSEMA KWELI UVIRA KUNA VIPAJI K**A UYU BWANA MDOGO
MASTER UVA
ANA KIPAJI KIKUBWA BUT SAPOTY NDO APATI.
K**A BADO AUJAPATA NAFASI YAKUSIKILIZA KAZI IYI EBU TEMBELEA KWENYE LINK IYI
👇👇👇👇👇👇👇✋✋✋👇👇👇
https://youtu.be/8Fz1YzRlLxo
☝️ ☝️ ☝️ ☝️ ☝️ ☝️ ☝️ ☝️ ☝️
photographie Updated
Return
REPUBLIC
Kikosi la ma jeshi limeongezeka baada ya
Wasani NAVY KENZO kui jiita JESHI.
Msani RADJABU A.K.A naye pia akaja na Jina ilo ilo la Jeshi.
ni iki sasa🤣🤣🤣🤣🤣
Bwana leo Akawa jeshi naye pia.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
REPUBLIC
USANI
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
KUMBE MAJI YA MOTO PIA.
BAADA YA MSANI KULEWA SIFA LEO AMEUNGUWA...
🤰
REPUBLIC
Denis lessie trouve que l'amour est injuste en voyant Rebo être en couple avec Innoss'b
🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
REPUBLIC
REPUBLIC
ametimiza ahadi yake ya kumkabidhi zawadi mlinda mlango wa klabu ya Yanga Diarra
Diamond alitoa ahadi hiyo wakati klabu ya Yanga ikichuana na ASM Alger katika mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho ambapo katika mchezo huo Golikipa huyo aliondoka na Tuzo ya Mchezaji bora wa Mechi
Diamond amemkabidhi kipa Diarra kiasi cha Dola za kimarekani 4200$ sawa na 10080000Fc pesa za kwetu congo.
REPUBLIC
REPUBLIC
Repost by Wasafi TV
Taarifa Mpya Hii Leo Ni Kwamba Taifa La Sweden Limepitisha NGONO K**a Mchezo Lakini Pia Ndio Inakuwa Nchi Ya Kwanza Duniani Kufanya Hivyo. Sweeden Imeripotiwa Itakuwa mwenyeji Wa Kwanza Wa Michuano Ya Kwanza Ya Ngono Ya Ulaya Huko Gothenburg Juni 8 Mwaka Huu 2023
Michuano Imepatiwa Jina 'European S*x Championship' Ambalo Inafanyika Chini Ya Uongozi Wa Shirikisho La Jinsia La Sweden Kwa Muda Wa Wiki Sita (6) washiriki watajihusisha na vitendo vya ngono k**a kutongozana, ngono ya mdomo, kuingiliana kwa muda mrefu zaidi [dakika 45 mpaka 60] na mashabiki na majaji watahusika kwenye kuamua washindi.
✍:
REPUBLIC
REPUBLIC
Je unamufahamu kwa jina gani mwana mitindo uyu❤️❤️❤️❤️
Wema Sepetu ndo mimi namuitaga
Mrs kubadili muonekano.
kwa comment
REPUBLIC
TUNARUDI
🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Next week
Tunaanza Habari tena
✔️
MORNING AFRIKA
✍️
REPUBLIC
MORNING AFRIKA
Unamuona uyu k**a msani gani hapa uva?
Mimi namuona k**a AFANDE WA MANENO. 😀😀😀
REPUBLIC
REPUBLIC
Fido drc officiel Pamoja na Innos'b
REPUBLIC
REPUBLIC
MORNING AFRIKA
FROM KENYA NAIROBI
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Monica Bahati Smart
Monica Bahati Smart
Monica Bahati SmartoMonica Bahati Smartgraphieupdates REPUBLIC
REPUBLIC
Les Balume jours ™️👌👌👌👌
🇨🇩 : L'artiste Musicien 'B s'est exprimé à la presse à Goma.Il souhaite livrer un concert Humanitaire riche en couleur à sa population de qu'il qualifie de vrais fans et sa base solide.Le tigre maintient la date du 30 juin dans l'hotel et 1juillet au stade le Volcan
by Lil Prince.
REPUBLIC
REPUBLIC
balume
bakume
toujours la même famille
IAM: INNOSS'B | • Je voudrais sensibiliser mes frères et soeurs ici au Congo. Commençons déjà par là, je n’ai aucun concurrent dans la musique congolaise Soyons du bon côté de l'histoire 💙💛
Je n’ai pas quitté Goma, pris l’avion pour survoler le lac Kivu et traverser la RDC pour aller chercher un concurrent à Kinshasa. Je suis allé là-bas faire ma musique et satisfaire mes fans.
J’étais allé à Kinshasa, j’ai fait de la compétition, j’ai gagné et je suis retourné ici. Donc je n’avais presque pas de contacts avec les gens de Kinshasa
💙 ❤️
S O U T E N O N S N O S A R T I S T E S
REPUBLIC
REPUBLIC
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 To 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
IG(Instagram) mambo ni moto 🔥🔥
Wafatiliaji Wazuri wamsani KONDE BOY
Waendelea ku comparer awa warembo wa wili...
Queen🇷🇼🇷🇼
frida 🇹🇿🇹🇿
Uku waki Uliza swali, nani pisi kali?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
kwamba Masani Harmonize, baada ya kuachana kwa Mara nyingi na baby wake Kajalafrida
Jamaa kaweka kambi sehemu za Kigali uku Mwamba aliatangaza yuko tayari kununuwa nyumba uko Kigali ili awe karibu na mrembo uyu YOLO🇷🇼
JE HAPA KUNA PENZI AMA NDO IZO MAMBOO ZA WASANI TUH, BAADA YAKUPATA CHAKULA AFU JAMAA ANA......
REPUBLIC
REPUBLIC
Just for you
Mufatiliaji wa Habari na page nyingi za hapa home.
Uyu ni msani D
From Kigali rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼.
Taja jina la msani wa hapa mjini kwetu uvira, ambaye wana share picha kwa Pamoja.
REPUBLIC
😀🤣🤣🤣😀
In box Justyla Queen Alisha pata
Mzigo 👌
REPUBLIC
Mwanamuziki wa Bongofleva Harmonize amethibitisha kuwa kwa sasa yupo penzini na mrembo kutoka Rwanda anaefahamika kwa jina la Yolo the Queen.
Harmonize kupitia Instastory ameshare ujumbe unaosema kuwa ukiwa mtu maarufu ni vigumu sana kumjua mtu sahihi huku akisisitiza kuwa amekuwa akizungumza na mrembo huyo kwa kipindi cha miaka minne.
Haikuishia hapo ameenda mbali zaidi na kusema kwamba sasa ni muda sahihi wa kuweka mahusiano yao wazi na ana mpango wa kumiliki nyumba Rwanda kwa ajili ya kuwa karibu na mpenzi wake huyo.
Ivi najiuliza kipindi icho miaka minne Yani Harmonize alikuwa Bado anamususa Yolo mana kipindi jamaa alikuwa busy na
Kajalafrida.
REPUBLIC
REPUBLIC
Ukiskia Mafu na monde ndo iyi sasa 🤣🤣🤣
JusJustyla la Queen Justyla la QueeneJustyla la Queenenye ubora wake
kwa ma stars
Ukiitaji V***n, model, dancer
Tembelea ukurasa wake Mwanadada uyu kwa maongezi zaidi.
🤣😀😀KAZI TUH
UJEREZI HAPANA 👌
REPUBLIC
E.P ndo habari ya mjini kwa kila msani hapa uvira
Ivi najiuliza ni soko gani wamepata?
Taja E.P yenye mauzo Mengi hapa mjini🤣
REPUBLIC YAKO
Ina watakiya Morning Kwenu nyote
♥️
REPUBLIC
Mwana mama Rihanna kwenye ubora wake
REPUBLIC
REPUBLIC
YAKO 🕓
WASANI WA UVIRA BANA
🤣🤣🤣🤣
Utaskia oh! Nataka achia E.p, cha Ajaaabu ukimuuliza kirefu cha EP maskini ya Mungu ajuwi
REPUBLIC
Leo mida za Asubuyi Ankara uyu ka post kitu flani ivi
MASTER UVA
👇👇👇👇👇👇👇👇
Amis 🇨🇩🙏🇨🇩🙏🇨🇩
Juste pour vous souhaite un Jeudi Saint ✔️.
Appelle moi Patriote 🇩🇨 🇩 👑 🙏🇨🇩
Kiliba, je confirme ma présence le Samedi et Dimanche.
de L'INDEPENDANCE 🇨🇩
Organiser par une grande maison
MEC BUSINESS.
REPUBLIC yako Tulipo ona ivo, ikabidi tufanye utafiti na uku tukagundua kweli
Iyo Tahere 06 adi Tahere 07 mwezi uhu wa tano Yani Samedi et Dimanche...
Sehemu za kiliba ondese kutafanyika bonge la Fiesta.
de L'INDEPENDANCE 🇨🇩
Uku vile vile Kutakuwa Mashindano Kati ya wasani wa hapo jijini kiliba.
Master B SHAKO.......
B SHAKO Master B SHAKOoMaster B SHAKOatakuwepo pia.....
Uku vyote vikiandaliwa na Nyumba kubwa ya hapa mjini Kati MEC BUSNESS.
REPUBLIC
REPUBLIC
Fally Ipupa... Aigle kwenye ubora wake.
REPUBLIC
REPUBLIC
Natacha Burundi... KWENYE ubora wake
La boss
REPUBLIC
Mbona mbwe mbwe imesha gafla
🤣🤣🤣🤣🤣
Dels Dels AlfredeDels Alfred
Habari ni kwamba
Soon tuna change Jina Kutoka kwenye afro photographie na kuwa UVA REPUBLIC
🙏🙏🙏🙏
REPUBLIC
🔥🔥🔥🔥
Ya volcano 🌋 Tunaambiwa ivo
yake msani nguli wa uko kilibula
MKM sapo de sapo wakishirikiana na General Yakotomba SapolSapologuano Odenumz uSapologuano Odenumz
Soon tuna enjoy
REPUBLIC
REPUBLIC
Alicho ki post Afande Ready Afra..
👇 👇 👇 👇 👇 👇 👇
Wa nyumbani ni tu... Sapoti kwa kinywa ila hakuna kitu....
Muta tu kumbukaga.... On day ponda tuh.
NENO KUHUSU ILI....
REPUBLIC
Cliquez ici pour réclamer votre Listage Commercial.
Vidéos (voir toutes)
Type
Contacter la personnalité publique
Téléphone
Site Web
Adresse
Bukavu
08
Sud-kivu
Bukavu, HEROBOY��
Je suis HERO BOY DRC🇨🇩Sur tous le plateforme Artiste compositeur né à Bukavu le 9/2/2004 le roi💓🌹
Bukavu
Abonne toi et like TikTok :elish elmatshim Insta:elish elmatshim YouTube, Twitter :elish elmatshim
Kadutu
Bukavu, 2567
Tdc c'est une page pour recevoir des nouvelles informations sur DAVID CIZUNGU�����
Funu
Bukavu
#NM_Nigro_Mafia c'est un page de promotion et marketing des tous les produits musical.
Nyawera
Bukavu
artiste-compositeur-interprete De la République démocratique du Congo chaty bébé