BRAIN TIPS

BRAIN TIPS

Ni Kweli Mungu Katupa Vipaji Na Hatuna Budi Kuvitumia Ungana Nami Kwenye Grupu Na Page Hii Mnakaribi

02/02/2024

16/01/2024

Mungu ni wetu sote.

27/11/2023

04/11/2023

04/11/2023

Sio kila mafanikio yametokana na juhudi zako mengine ni pamoja na maombi kutoka kwa wazazi wako

31/10/2023

Hua tunapoteza ...

17/10/2023

Tunapanga malengo ili tusitoke kwenye njia

12/10/2023

11/10/2023

Still there is hope

11/10/2023

Muombe sana Mungu akusaidie ili ujue muda wa kuongea na Muda wa kukaa kimya.


🇰🇪

06/10/2023
05/10/2023

I will win not immediately but definitely

04/10/2023

Upambanaji mzuri ni ule wa kupambana na umasikini sio kushindana na marafiki.

🇹🇿

24/09/2023

*KESHA LA ASUBUHI 2023.*

*JUMAPILI, SEPTEMBA 24.*

*MFALME WA WAHUBIRI.*

*Wale watumishi wakajibu. Hajanena kamwe mtu ye yote k**a huyu anavyonena!" -Yohana 7:46.*

📚 Baada ya kuwaweka wakfu wanafunzi, Kristo alitoa hubiri juu ya mlima. Hotuba hii ilitolewa kwa wanadamu ili iwe kwao sheria ya wajibu na nuru ya mbinguni, matumaini yao na faraja katika mazingira ya kukatisha tamaa. Ni baraka ya mbingu kwa ulimwengu sauti kutoka mbinguni katika kiti cha enzi cha Mungu. Hapa, Mfalme wa wahubiri, Mwalimu-mkuu, anatamka maneno ambayo Baba alimpa ayaseme. Yeye ni Hekima ya Milele, aliyekuwa na Baba kabla ulimwengu haujaumbwa. Anamjua Baba; kwa kuwa Yeye ni mmoja Naye.

📚 Matamko ya baraka ni salaamu za Kristo, siyo tu kwa wale wanaoamini, bali kwa familia yote ya wanadamu. Anaonekana kana kwamba amesahau kwa muda kuwa Yuko ulimwenguni, anaona kana kwamba yuko mbinguni; na anatumia salaamu ya kawaida ya ulimwengu wa nuru. Mibaraka inabubujika kutoka katika midomo Yake k**a bubujiko la mkondo wa uzima tele uliokuwa umezuiliwa kwa muda mrefu.

📚 Kristo hatuachi katika mashaka yo yote kuhusiana na vipengele vya tabia ambavyo daima anavikubali na kuvibariki. Akiwaacha watu wanaotafuta makuu na kukubaliwa ulimwenguni, anawageukia wale ambao ulimwengu unawakataa na anawatangazia baraka wale wote wanaopokea nuru Yake na uzima Wake. Kwa wale wote walio maskini wa roho, wapole, walio duni, na wenye huzuni, wanaodharauliwa, wanaoudhiwa, anafungua mikono Yake ya hifadhi, akisema, "Njoni Kwangu... Nami nitawapa pumziko" (Mathayo 11:28)

📚 Kristo anaweza kuzitazama tabu za ulimwengu bila kivuli chochote cha huzuni kwa kuwaumba wanadamu. Ndani ya moyo wa mwanadamu anaona kitu kizuri zaidi kuliko dhambi, zaidi kuliko tabu. Katika hekima Yake isiyo na kikomo, anaona mambo makubwa yanayowezekana ndani ya mwanadamu, kilele cha juu ambacho wanaweza kufika. Anajua kuwa pamoja na kuwa wanadamu wamechezea fursa zao, na kuwa wameharibu heshima waliyopewa na Mungu, hata hivyo, Mwumbaji anahitaji kutukuzwa kupitia ukombozi wao

📚 Hotuba ya mlimani ni mfano wa jinsi ambavyo inatupasa kufundisha. Kristo alichukua hatua ya kufanya mambo yaliyokuwa siri yasiwe siri tena, bali yawe ukweli wa wazi na sahili. Hakuna hata kitu kimoja katika mafundisho ya Kristo ambacho kinachanganya, hakuna jambo lo lote ambalo halieleweki.

🔘 *"Alifungua mdomo Wake, akawafundisha" (Mathayo 5:2) Maneno Yake hayakusemwa katika sauti ya kunong'ona, wala hayakusemwa katika matamko makali yanayochukiza. Sauti Yake ilikuwa k**a sauti iliyotoka katika kiti cha enzi cha Mungu. Alisema kwa ya wazi, ya mkazo, na yenye uzito, na nguvu kubwa ya ushawishi. -Letter 96, 1902.*

Tafakari Zaidi: Najifunza nini kutokana na njia ambayo Yesu aliitumia kuhubiri ukweli?

*MWENYEZI MUNGU AKUBARIKI SANA.*
🙏🙏🙏🙏

BRAIN TIPS Ni Kweli Mungu Katupa Vipaji Na Hatuna Budi Kuvitumia Ungana Nami Kwenye Grupu Na Page Hii Mnakaribi

19/07/2023

Kutokuwa wavumilivu na kukata tamaa kwenye maisha imeua ndoto Nyingi Za vijana

17/06/2023

Nilizaliwa Nikalia,
Nikifa mtalia.

Telephone