Spear billionaire

Spear billionaire

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Spear billionaire, Health/Beauty, .

18/02/2024

Gari Nizuri k**a halijakuharibikia na maisha ni matamu k**a hayaja kuharibikia Ivyo be care usiruhusu huaribifu kizembe iwe kwa tamaa au shortcut

01/02/2024

Mungu wetu sote

Photos from Spear billionaire's post 06/01/2024

Waliotulisha sumu wanashangaa tunanawili wanashangaa πŸ˜‚ sio uchawi ni nguvu πŸ’ͺ🏿 ya MUNGU juu yetu yuko nasi tokea tungali watoto wazazi walijalibu kututoa wakashindwa Ivyo Sisi niwale tunao saidiwa na my MUNGU.

09/11/2023

Mtoto wa Mwaka Mmoja nanusu akiwa na baba yake,
Huko nchin Nigeria na ana uzito wa kilo 45 je akifikisha miaka kumiπŸ˜‚ ahaha ni BalaaπŸ™„

09/11/2023

Vijana nguvu za kiume ni pesa mzee anatumia nguvu zake Za pesa na anamfikisha bintiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

09/11/2023

Vile waliozaliwa tar 29 February wanavyo tafta tar ya kusherekea siku ya kuzaliwa na hawaoni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana tare 29 katika mwezi wa pili uja Baada ya miaka minneπŸ˜‚ wanatabuπŸ˜‚πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦β€β™‚οΈ

03/11/2023

Simu ya Mzungu na Mama Otaigho πŸ˜‚πŸ˜‚

03/11/2023

Yaani unakataliwa na watu kadhaa
Au mpenzi ambae haijazi Dunia
Unakosa amani kazi uendi huli chakula
Na ukisemeshwa uelewi kisa mtuπŸ™„

Lakini unapo mkosea MUNGU upati hata muda wa kuumia kwa kutenda dhambi😳

Zaidi utatafuta namna ya kufunika dhambi wasione wanadamu pasi kujua MUNGU anaonaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

MAARIFA.

27/07/2023

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MAMA OTAIGHO NA MWANAE NI VISA TUPUπŸ˜‚πŸ˜‚

β€œOTAIGHO WE NI MWANAUME USIPENDE KULA”

β€œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦β€β™‚οΈβ€

27/01/2023

Mama OTAIGHO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nili kupa pesa Zoote zile za ada
Kumbe elimu uliosoma ni β€œPANZI ANA MIGUU MINGAPI!!πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

20/01/2023

Mjini karatasi Zaitwa toilet paper au tishuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

24/12/2022

Tuburudike kidogo na nyimbo

24/12/2022

Mama otaigho akutana na yesuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜³πŸ€¦β€β™‚οΈ

24/12/2022

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚YAANI UPO RADHI
KUMUHONGA MALAYA!!
Kuliko kumsaidia mama yakoπŸ™„

24/12/2022

Kwa waimbaji wa injili
Natoa ofa za Video msimu huu
Nicheki in box.

01/11/2022

Mama otaigho katika mawazo makali ya kupanga chumba kimoja na ana lala na mtoto wake wa kiume kila akitoka chuo.

01/11/2022

Otaigho kamkera mama yake
Toka Atoke chuo yupo nyumbani tu hana kazi

01/11/2022

MAMA OTAIGHO ABUNI BIASHARA YA UJI KUUZA BUNGENI

26/10/2022

HUSIKA VIZURI UKIWA FARAGHA NA MTU WAKO

22/09/2022

Usiyumbishwe na watu zaidi simamia ndoto zako.

22/09/2022

Maisha ni yetu ila bila MUNGU nisawa na bure kabisa.

Videos (show all)

Simu ya Mzungu na Mama Otaigho πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ MAMA OTAIGHO NA MWANAE NI VISA TUPUπŸ˜‚πŸ˜‚      β€œOTAIGHO WE NI MWANAUME USIPENDE KULA”                          β€œπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€¦β€β™‚οΈ...
Mama OTAIGHO πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Nili kupa pesa Zoote zile za ada Kumbe elimu uliosoma ni β€œPANZI ANA MIGUU MINGAPI!!πŸ™„πŸ™„πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Website

Address

Nairobi