Becky on citizen tv

Becky on citizen tv

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Becky on citizen tv, Comedian, bikeke, Nakuru.

13/12/2023

Hello my fans

10/12/2023

laleni poa

07/12/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸ•π“π‡ 𝐃𝐄𝐂


Na mkumbuke kuweka LIKE
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Lexy ndio anatoka kwa Moses lakini akauliza Moses, k**a babake alidivorce mamake, mbona mamake hakuenda na yeye si nana ndio huenda na mtoto wazazi wakidivorce? Moses akamwambia yeah but hajui ni nini Martha alimueka babake hadi akawa hivyo. Just imagine Moses aliongea akizimulia venye ndugu yake alikufa hadi akaanza kulia, just imagine kuchomwa ndani ya gari?

All in all Moses alimuomba Lexy sana amuone tu mamake huenda ikamsaidia. Moses akaacha Lexy nje akaenda kuleta Imelia mamake Lexy mwenyewe sasa.

Moses alimuita Imelia akuje kuona Lexy na akamwambia hataamini mwenye amekuja kumuona. Imelia akaamka pole pole wakatoka nje kuona Lexy lakini kufika upande wa nje, maskini wa Mungu, Lexy ashaenda aaah makosa. Moses hakuamini, why Lexy, why mbona, mamako angekuona huenda angekua sawa but Lexy didn't care.

Lexy alirudi nyumbani Junior akamuuliza umetoka wapi? Akamwambia ni morning walk tu nilikua nimeenda,Lexy hakumwambia kwenye ametoka. Punde si punde Trisha akakuja na bag akaambia Junior,this is the time, acha mimi niende zangu,wewe baki na Becky wako. Sikiza, Trisha anaenda ju anadhani Junior na Becky wanajua kuwa alimuua Martha🀣🀣🀣Lexy alishangaa ju hii drama ikufanyika hakua. Baadaye Lexy akamcall Tito akamwambia anadai wachapiane sasa.

Becky amesimama huku nje, Moh akakuja penye ako akaanza kumuita madam boss ana akamuuliza unafeel aje after kufanya Trisha atoke huku ju wewe ndio kusema sasa? Becky akamuuliza,umemaliza kazi yako ya jikoni Moh akamuuliza ooh umeanza hizi sindio? Huoni nilikutetea kwa Trisha: Becky akamuuliza, uliona nikikuita ama ulisikia nikipiga nduru kuomba usaidizi? Usiniletee🀣🀣🀣

Trisha na yeye.alikatiwa simu na Vicky but anajua kwenye anaishi,alikuja na bag yake. Kufika kwa gate, akaambiwa soldier anaenda kwa Vicky,soldie akamuuliza "bakhulanganga nanu?" Trisha kumbe hajui kibusu akaulizwa unaitwa nani? Trisha akamwambia jina lake soldier akamwambia zii alisema wee ukija usiingie🀣🀣🀣Trisha hakuamini. Akamwambia aingie yeye mwenyewe amwambie lakini zii soldier alikataa hadi akamwambia si wewe ndio huyu picha yako hapa,amesema usiingie hata kidogo na ukijaribu kusumbua nitakutandika vibaya sana.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Moh kumbe alijam Becky kumuongelesha hivyo akakuja akauliza Junior,kwani huyu Becky ni nani ananiongelesha venye anataka? Junior alimwambia relax,,acha niende niongee na yeye.

Junior alikuja huku nje kuongea na Becky akamwambia babe, Moh anafeel you are disrespecting her,usifanye hivyo she can quite the job. Becky akamwambia aii si aache,kwani huko nje kuna madem wangapi? Junior akashangaa venye Becky amechange.

Lexy na yeye ashajua ukweli,Martha na Junior walimcheza kujifanya wanampenda,na sasa lazima ako sure Junior anajua kitu chenye hataki kumwambia and now she has to find out by herself. Baaasi,Lexy ameamua hatanyamaza sasa.

Junior alimuuliza Becky shida ni nini umechange? Becky akamwambia najua ulitaka nifeel poa Trisha kuenda but sijafeel fiti,mimi ni dem na siezi taka dem mwenzangu kuteseka juu yangu,mimi kurudiana na wewe haikumaanisha Trisha atoke huku.

Huh! Moh na yeye alisikia kuna mtu anabisha kwa mlango kufungua,ni Tito. Moh bado amejamia Tito alianza kumfukuza,na akamuuliza,si Becky amekuita huku umekuja kuona nani huku? Tito akamwambia naona wewe huu mdomo wako haunanga kazi,mimi nimekuja hapa kuona Lexy. Moh alimfukuza,akamwambia usiwai kuja hapa tena ama unadhani kuona Lexy itamfilisha Becky,uende na uende kabisa. Tito akamcall Lexy akamwambia rada ni gani,Moh hataki niingie. Lexy akakuja kufungulia Tito wakacheka sana hadi Moh akaona aibu akajifanya mzuri kwa Tito na wakati ameulizwa mbona hakufungulia Tito akasema zii yeye hakuona.

Lexy wakiwa tu hapo, Becky na Junior wakakuja. Junior akakaribisha Tito na hata Lexy akamwambia ni yeye amemuita anataka wachapiane kiasi. Becky anaumwa chini ya maji,mbaya mbovu🀣🀣🀣

Moh alinotice Becky amemfeel Tito akamuuliza,si pia uhug Junior Tito asikie vibaya? Becky alimwambia wee achana na mimi. Lexy alikuja akaambia Tito kila kitu venye Martha si mamake,yani kila kitu chenye aliambiwa na Moses aliambia Tito na sasa yafaa ajue huyu Junior na Martha walikua wanamficha nini. Tito alimuuliza Lexy k**a alionana na mamake? Lexy akamwambia manze sikua na nguvu na za kumkiche. Waliongea kwa mapana na baadaye huko wakaenda.

Becky na yeye aligeukia Moh,akamwambia nimesikia ukiambia Junior aniongeleshe nikue mzuri kwako,,sasa sikiza,mimi nakuongelesha venye nataka,so usidhani nitakupombeleza si unakumbuka hapo nyuma ulikua unanipimia, utajua hujui,infact enda jikoni unichemshie vijiko mbili za sahani na uniwekee kikombe moja ya kasuku teketeke na uhakikishe zote ni baridi na umake sure umechemsha vizuri hadi zimekua baridi.Ondoka alah!🀣🀣

Baada ya kufukuzwa kwa Vicky,queen of queens,Trisha alikuja kwa Shan na bag🀣Shan akamuuliza unafanya nini kwangu? Trisha akamwambia naona umenizoea,kwanza yafaa uwe lucky hatukumaliza,mbona ulinidanganya kuhusu relationship yako na Junior na ukanipea picha yenye haingesaidia? Shan akamwambia si mimi ulitaka picha,nikakupea makosa yangu? Trisha akamwambia kwanza wewe huoni ile picha nilionyesha Becky badala ya kumjamia akamhurumia na sai wanaishi k**a bibi na bwana. Shan akamuuliza so? Trisha akamwambia naishi hapa hadi usort issue yako na Becky atoke huko,lakini Shantelle na yeye alimfukuza Trisha,akamwambia huku kwangu hukai.na utoke kabla nichemke. Trisha venye alikuja ndo venye alirudi kwanza sai anavaa wig inakaa ya aunty yako,inaanguka akiokota,maskini Trisha🀣🀣🀣woi! Ataenda wapi sasa?

01/12/2023

Kweli πŸ˜“πŸ˜“πŸ˜“
πŸ˜“πŸ˜“

29/11/2023

Leo hakuna becky watu wangu tungoje kesho

24/11/2023

Huyu ndo mtoto wa Moh. Alipata 350+ marks KCPE yenye ilikua released Jana. Congratulations πŸŽ‰

24/11/2023

Next on Becky
"Kitu mi najua tu ni ati narudi kwa streets. Trisha na drama zale hanitaki kwa hii nyumba"

Lexxy kwani hauwezani na huyu Trisha na vile tumeaminia yeye 🀦 kwa hii nyumba Lexxy ndiye amechukua part ya Martha sasa wadau, but hana ujasiri wa kukabiliana na huyu Trisha plus drama zake πŸ™‚

23/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ 𝟐4𝐓𝐇 ππŽπ•
Cc: Samuel mongare
LIKE MUHIMU βœ”οΈ
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Kesho tunaanza na junior akiwa hapo nje kuna mtu anapigia simu hapo wanaongea. Kidogo wakili anakuja anamwambia i have managed to tell your uncles and Aunts wamesema wako njiani wanakuja. Wakili anauliza junior and how about Sally? Junior anamwambia unfortunately something happened and she won't be able to come to my mom's burial. Makosaaaaa!! Junior anaenda alafu wakili anabaki akijiuliza mbona nikakuja hapa hii siku,sasa vile Martha ameaga how will I deal with the divorce papers?? Nitawezana na hawa watoto wake kweli??? Tena anajiambia let me handle it. Anaenda kwa nyumba makosa!!

Trisha ako kwa room ya Martha, anaangalia picha ya Martha,anajiongelesha eti Martha, ona sasa ni wewe umeenda, ulikua unazuia nyota yanguπŸ˜‚ ikabidi nikutume mbinguni. And the funny thing haukuenda na your belongings.Kidogo anaskia mtu akikuja anaanza kulia uongo k**a kawaida. Kumbe ni junior, junior anakuja anamwambia it's okay. Trisha analia uongo eti sasa mbona mom ameenda. Junior anamwambia it was sudden and itabidi ujikaze. Junior anauliza Trisha na Lexy ako wapi Trisha anamwambia ako kwa room yake. Junior anaambia Trisha ebu enda kidogo uningoje huko nje nakam, Trisha kuuliza why junior anamwambia nothing much,kuna kitu nachange Trisha anatoka.junior anamwambia vile anaenda.

Tito na wao na Sanchez wanaongea.sanchez anaambia Tito yaani pombe za hao wasee hazishiki. Lexy naye ni kulia analia Tu.Anafinya simu hapo alafu anapigia Sanchez. Sanchez anashtuka man ni Lexy, Tito anamwambia aai ulipataje number? Sanchez anamwambia ni ile siku ya party. Sanchez kuongea na yeye Lexy anamwambia anataka kuongea na Tito. Sanchez anapea Tito simu alafu Lexy anaambia Tito manze mathe amepassπŸ˜₯. Tito anashtuka anamwambia wacha ufala. Lexy anaambia Tito aende huko. Tito Kuambia Sanchez anashtuka anasema aaai si tumekua na yeye Jana na alikua poa. Tito anaambia Sanchez ebu tuende hvo mengine tutaskia na mbele. J

23/11/2023

π—™π—¨π—Ÿπ—Ÿ π—¨π—£π——π—”π—§π—˜π—¦ 𝗒𝗑 π—•π—˜π—–π—žπ—¬ π—–π—œπ—§π—œπ—­π—˜π—‘ 𝗧𝗩 𝗙π—₯π—œπ——π—”π—¬ 24𝗧𝗛 π—‘π—’π—©π—˜π— π—•π—˜π—₯ 2023

ONE

Leo hii tunaanzia safari yetu kule mansion, Junior yupo nje anaongea kwa simu, anamuambia yule wanayezungumza naye kuwa ni sawa anaelewa na anashukuru kwa taarifa hio. Akiwa pale huku mawazo yamemjaa hadi haamini basi wakili alikuja pale na kumtaarifu kuwa, ashawaambia ndugu na jamaa zake Martha na wengine wanakuja. Wakili akamuuliza vipi Sally, Junior akamuambia haji kwa mazishi maana ameshikika kias kwamba hawezi eleza, wakili alishtuka, akamuuliza kivipi, Junior akamtaarifu, hapa kuna mambo mengi tu ila nashkuru sana kwa support umetupea hadii sasa.
Junior alijiondoa pale, wakili akabaki na kujiuliza maswali balagha na mengi tu, ni vipi hawa watoto mie nitawamudu, na je hii talaka itaendelea vipi k**a Martha hayupo jamani mie nipo njia panda ila sina lingine ni kufanya tu jinsi tulikusudia na martha.
Kule chumbani basi Trisha ana picha ya martha mkononi, anaanza kumkejeli na kumuambia jinsi alitangulia mbele ya haki pasi mali yake na mbaya zaidi, ni Trisha ndio alifanikisha Martha kufa kwani hakua na jingine kwa kua martha alikua amemtishia maishaπŸ˜‚πŸ˜‚, wuee kweli kuna watu na roho za korosho kweli.
Kias hivi Junior akaingia, si Trisha alijifanya analiaπŸ˜‚πŸ˜‚ Junior akamfariji na kumuambia ebu tuwe imara maana tuna wageni wa kushughulikia, usiwe na shaka tutapita kwa hii hali. Je umemuona Lexie,alimaka Junior, Trisha akadai yupo kwa chumba chake.
Kule ghetto basi Tito na Sanchez na wanapiga lap, wanakumbushana jinsi sherehe ilikua tamu kuruka hadi Sanchez anadai waitwe nyingineπŸ˜‚πŸ˜‚, wanasema maskini akipata jamani,matako hulia........πŸ˜‚ yaani hadi Sanchez anadai next atabeba extra kwa chupa.
Kule mansion basi Lexie yupo kwa chumba chake majonzi tu ndo yamemvaa, amejilaza kwa kitanda pale haamini hali kabisa, kias hivi akampigia Sanchez simu, sasa huku ghetto,Sanchez akamshow Tito ni lexie anapiga, Tito akamuuliza ulipataje hii namba yakeπŸ˜‚πŸ˜‚ Tito

Radio47 – Hapa Ndipo 23/11/2023

Nuru Okanga denies scoring 401 marks in KCPE; says he is still awaiting results.
Follow Lexy on Becky Citizen Tv
Wavuti:

Radio47 – Hapa Ndipo

23/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ 𝟐3𝐑𝐃 ππŽπ•
Follow Lexy on Becky CitiLexy on Becky Citizen TvTLexy on Becky Citizen TvTLexy on Becky Citizen Tv Lexy on Becky Citizen TvaLexy on Becky Citizen Tv πŸ™
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Tito ako hapo nje anakunywa chai na Mandazi kidogo Sanchez anakuja. Tito anamuuliza sasa ulienda kuwasha moto huko mbona? Sanchez anamwambia sikuenda kuwasha moto nilienda kufanya kitu we ulikua ufanye. Alafu Sanchez pia anambia Tito eti unajua Shantell ni nyoks inafaa apelekwe mbio ndo asifanye vituko zake.sanchez anaambia Tito ambakishie mandazi alafu anaingia kwa nyumba.

Becky na yeye akiwa njiani kuenda job anakumbuka tu vile junior na shan walikua wanavurugana. Sahi sasa ashajua ukweli wote ndo hapo anaregret sasa mbona sikuacha ajiexplain??? Mbona akaingia mtego wa shan lakini maji yashamwagika. Becky anajiuliza sasa nitaanzaje kuambia tena junior eti pole aki.

Becky kufika kwa mansion anakutana na ambulance anashangaa. Kufungua mlango anapata ndo madactari wanatoka alafu kidogo anaona Lexy amekaa hapo anakuja Lexy anamwambia manze mathe is no more becky anamhug alafu anapanda mbio anapata Trisha wako hapo nje ya ile room na junior, wakili naye kazi ni simu anapiga , Becky kufika room Martha amelala hapo hakuamini. Becky machozi yalianza kumtoka anakaa hapo analia.

Kuna jamaa askari anahoji Trisha about Martha k**a alikua na ugonjwa wowote. TRISHA anamwambia zii alikua sawa.hajawahi complain of anything yeye huenda shughuli zake kawaida. Lexy naye amechoka Becky anamletea maji Alafu Lexy anamwambia manze sielewi ama mom alitaka tu anione ndo aende? Becky anamwambia ziii anamhug alafu Trisha naye anaambia yule polisi eti yaani mom anaenda hata before I fulfill her last wish, analia hapo uongo alafu polisi anamwambia take heart. Askari anauliza Trisha kuna mtu alikua na njama ya kummaliza? TRISHA anamwambia hapana lakini after ameangalia k**a kuna mtu ako karibu atamskiza. Kisha yule askari anawaambia naomba utulivu please, am assuring you that anybody i

22/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸππƒ ππŽπ•
Follow Nandwa Isaac
k**a ushaona hizi updates,weka LIKE
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
After Party, Shan na Becky walirudi nyumbani na following day,Becky asharaukia kuendea job. Shantelle akamwambia Becky, jana tumetoka bash late na already ushaamka kwani wewe ni caretaker? Becky akamwambia mimi na careteker same whatsapp group. Becky akamuuliza Shan walimalizaje na Trisha? Shan akamwambia waliongea na sasa mambo yatakua sawa ataanza kuishi maisha normal bila worry ya kutafutwa na Trisha hadi ati ataanza kuenda churchπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kazi ya Becky,Lexy aliamkia kufanya,kutoa uchafu baada ya party,hadi Trisha akacheka tu,akasema enyewe you can take someone from streets but not streets from someone. Junior alimsikia akamuuliza unasema nini Trisha? Trisha akamwambia ni huyu sister yako,ataishi kutuembarass hadi lini anafanya kazi ya maid. Junior badala ya kumsupport Trisha,alichukua kifagio akakuja kujoin Lexy waendelee kutoa toa uchafuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Junior alikuja wakapiga story na Lexy huku wanasaidiana but Lexy akauliza Junior,huyu dem beshte ya Becky,Shantelle mbona ulikua rada yake mbaya hivyo? Kabla Junior ajibu,kwa gate kukabishwa so Lexy hakupata chance ya kupewa ,majibuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Junioy kufungua mlango,akapata ni wakili,akashindwa,wakili unafanya nini huku anything I should know? Wakili akamwambia not really,ni madhe aliniambia nifike huku saa tatu and Iam just following orders. Junior akamkaribisha wakili ndani bila kujua,wakili ako hapa kwa sababu yake yeye,divorce yake na Trisha.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Trisha alikuja teke kuongea na wakili na hata pia akajifanya hajui but anajua mbona wakili ako huku. Trisha alirequest kuongea na wakili kiasi kichini ya kapeti. Junior kuenda,Trisha akaona wakili anatoa papers fulani hapo akagiraffe asome but hakusoma fiti.

Tito,on ghetto side ndio anaamka akapata Sanchez hapo nje ana mawazo sana akamuuliza nduguu rada? Sanchez akamwambia sikiza, juzi Junior alikua amekuja kwa Shan na Shan anatry kumblackmail na issue fulani si fit

22/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸππƒ ππŽπ•

Najua ni@followers@followersni weka like ukiendelea kusomaπŸ™πŸ™
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Becky ndo anaamka na hangover za party. Kidogo akibrush meno hapo nje shan anakuja. Wanaanza kuongea juu ya party alafu Becky anauliza Shan mliongea mk**alizaje na Trisha?? Shan anamwambia nilijaribu kumwongelesha nikamwambia am the odd one out lakini hapo tunaona shan amedanganya tu juu alienda na vitisho tu kwa Trisha. Kidogo shan anaambia Becky ampee doh aendee mandazi alafu anaishia.

Trisha naye akipanda stairs anaona Lexy akifanya usafi huko nje. Anamwangalia hapo alafu kidogo Junior anakuja anamuuliza kuna nini? Trisha anamwambia kwani huyu sister yako hajui kuna mtu wa kufanya ile kazi??? Junior ananyamaza alafu Trisha anaboeka anaenda kwa room.

Junior anakuja kwa Lexy anamwambia how do you feel now that you were welcomed na party. Lexy anamwambia anafeel poa alafu Junior anamuuliza and hii kazi unafanya mom akiona ataboeka so please acha kuna mtu atafanya. Lakini Lexy anamwambia ni vile aliona Becky atakuja k**a amechoka akaona amsaidie. Alafu Lexy anamuuliza kuna huyu dem beshte ya Becky mwenye niliona wakipimana na Trisha na wewe jana huyu anaitwa Shantell,rada yake ni gani??? Kidogo kunabishwa kwa gate Junior anaambia Lexy wait a minute nione ni nani huyo. Lexy anabaki hapo akisema yaani kila saa ni kuniacha hanging??? Anyway.

Junior kufika kwa gate anapata ni wakili wa Martha. Anamuuliza wakili vipi mbona umekuja mapema hvo? Wakili akamwambia Martha alimwambia kuna urgent meeting akuje. Junior kumwambia mbona hajaniambia lakini wakili akamwambia I follow orders. Wakaingia na Junior hapo Trisha amewaangalia kutoka kwa nyumba. Kufika kwa nyumba, Trisha anakuja anauliza eh wakili naona umekuja kututembelea? Wakili anamwambia eeh. Alafu pia anaambia trisha kuna urgent meeting Martha alimwambia iko akuje. Je ni meeting gani??? Hii yote tutajua.

Junior anaamua kuenda jikoni kuletea wakili chai lakini Trisha anamwambia wacha I w

21/11/2023

Mafundi wa TV mlioko hapa, hii ni shida gani kwa TV nawasha alafu inabakia hapo kwa logo?

21/11/2023

Mama Trisha anauza chang'aa huko korogoshoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„wacha niende hivi narudi🀣

21/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸππƒ ππŽπ•
Team Becky,apologies for delay,upto now sijapata video but I promise ikiekwa tu hivi pap,nawafanyia ile kitu k**a kawaida. πŸ™πŸ™πŸ™

21/11/2023

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸπ’π“ ππŽπ•
Follow Nandwa Isaac tufike 79K
Kumbuka kuweka LIKE ukiendelea kusoma

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Trisha alikuja kwa room yake akiwa amejam sana ju amechoshwa na tabia za Martha hadi anauliza,idea za huyu mwanamke kutaka kuzaa ametoa wapi. Kumbe Martha alimfuata,Trisha akamwambia mum,wewe huoni tu venye nafeel after kupoteza mtoto tena unataka nizae tena? Martha alimwambia sikiza issue si kupoteza mtoto issue ni wewe kudhani you are soo good at hiding your past but kaa ukijua,I know everything about you. Trisha akashtuka,akauliza Martha, mbona sikuelewi,unaongelea nini? Martha akamwambia naongelelea kuhusu mamako Jesca mwenye uliacha Korokocho alafu kukuja kutuambia hapa ati alikufa. Trisha ameshtuka...Martha akamwambia naongelelea Trisha mwenye anafake miscarriage na unajua tu huwezi pata ball na sasa sikiza,kesho asubuhi uamke mapema pack your panties,your belongings na utoke kwangu na nikiamka nikupate hapa,walai I swear in the name of my best friend Nandwa hakika nitakufanyia kitu,hujawai sikia. Trisha ashapewa sermon na akaambiwa kesho lawyer anakuja na divorce papers. Trisha kishamramba.

Lexy alikuja akamuita Martha akamwambia mum,mabeshte zangu Tito na Sanchez hawana nguo za party unaonaje zile pesa ulinipa niwabuyie tunguo? Martha alimwambia come on,hizo ni pesa zako,us it as you wish. Lexy akapata go ahead aende na kina Sanchez wabuy luku safi. Becky alikuja akapata Lexy na Sanchez hapo,akauliza huku rada? Lexy akamwambia nataka tu kuenda kuspoil hawa maboys kiasi for the sake of the party but Tito alikua ashaondoka already.

Now hapa kuna shida, Trisha inabidi ajifanye ako sawa in Junior's eyes ju anajua what's awaiting her tomorrow. Junior yeye hana habari anadhani mambo iko tu sawa but all in all its party mood na kila mtu ametokelezea. Tito walienda wakabuy nguo safi and they are looking mwaah! Martha pia luku si luku,kisha sasa the couple of the moment,Trisha na Junior pia wakafika na Martha akaambia Trisha,

21/11/2023

Niwawekee update za kesho ya Becky mapema ama aje wakuu

21/11/2023

K**a unamujua weka tick

21/11/2023

Unangoja Becky ukiwa wapi

21/11/2023

Let grow together so tufollow
Levis Wanjala

21/11/2023

Promet you page now
Meanwhile let follow

Levis Wanjala

21/11/2023

back to back

21/11/2023

Ukienda kuona dem alafu kiumane πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ€£πŸ˜‚

21/11/2023

Uyo ako us kweli πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡Ί

21/11/2023

Let go by

Dixot

Photos from Becky on citizen tv's post 20/11/2023

Congratulations to you bbrother. Mulamwah

19/11/2023

Its all about comedy

19/11/2023

Active promoter
Dixot
Kimutai Kemboi
Deno En Sururu
Arts and entertainment
Lil junior

DKD COMEDIANS - YouTube 19/11/2023

Hadi k**a ni katafuta pesa siwezi si basi just sub kwa hi channel ya youtube plz guyzhttps://www.youtube.com/-

DKD COMEDIANS - YouTube It all about comedy🀣

19/11/2023

Si tufollow hi page wakuu

Dixot Xolet

19/11/2023

Promotion time let grow together si tuaze na
Dixot
Mirry ka macha comedy
Jackson official
Karambu
Lil junior

18/11/2023

Promoter you page here
Let follow

Dixot

18/11/2023

It's time to gain followers let follow

Cheptoo

29/10/2023

Hello comedian

29/10/2023

Anasema anataka uyo wakuenda 10 rounds mko wapi
Dixot

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Nakuru?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Ukienda kuona dem alafu kiumane πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ€£πŸ˜‚
Uyo ako us kweli πŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡ΊπŸ‡¦πŸ‡Ί
Follow for follow
Follow for follow
Never ask men stupid question πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
The baddest one

Category

Telephone

Website

Address

Bikeke
Nakuru