Videos by Maisha Mapya Learning Center in Nakuru. We live out the Love of Jesus by encouraging, educating and empowering the communities that we serve
Our Art & Crafts Club showcasing their talents
Leo tumeanza wiki mbili za Nurturing Program. Itakuwa wiki mbili za kupenda watoto wetu kutoka Jamii ya Hilton na London, kufurahiya pamoja, kushiriki neno la Mungu na kueneza furaha ya kristo.
Tunajiandaa kwa ajili ya graduation yetu ya kesho. Tunatazamia kusherehekea siku hii kuu na watoto wetu
Piki piki ponki! Stella Wangu ilifanywa wa wanafunzi wa darasa la nne wenye vipaji ! Je ingekua wewe ungefanya nini???
Kujiandaa kwa siku ya MAISHA MAPYA FAMILY DAY! na wazazi, wanafunzi na wafanyakazi wetu. Tutakuwa na siku nzuri ya ushirika, kufurahiya na kushiriki mlo na wazazi wetu.
Leo tuliwapeleka wanafunzi wa darasa la 4, 5 na 6 kwenye duka kubwa la vitabu mjini Nakuru ili kuchukua vitabu vyao vya hadithi ambavyo walienda nazo nyumbani kuvisoma na hata kushiriki na ndugu zao. Hawakuweza kushikilia furaha yao kubwa! Hawajawahi kufika mahali penye vitabu vingi sana hivi kwamba ilikuwa vigumu kwao kuchagua kimoja peke yake.