Lady chelaa

Lady chelaa

One Ward is enought

16/12/2023

Kwa sai kitu nalasimisha ni kutafuta pesa niomoke mambo na kulasimisha mapenxi siyuko apo naniiπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

13/12/2023

Ety wedding iliscamiwa aky Nelly we ni shetani kpixa uliona tu utunyime Mchele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­

04/12/2023

Nlikuwa kwa fundi wa radio Masai akakuja kutengenexewa radio kufunguliwa mende sikatoka Masai akashaut ero shika awa watangasaji wasitorokeπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒ

30/11/2023

Alafu Kuna jokes singine sipendi Ety karipia karipia customer na unausa jenesa waja mchezo naniiπŸƒπŸƒπŸƒ

25/11/2023

Nliona bae wangu nik**a anapenda house girl na mi ni nani nikaampia tuko na ukimwi πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ

Photos from Lady chelaa's post 25/11/2023

Ama tuampie ruto atupee hustler fand round two alafu tulipe yote ones si yeye ni wetuπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”

23/11/2023

Uzuri ata k**a siwexani kununua Gari ntaexa nunua chrome🍾juu zote zitanipepa🀸🀸🀸

22/11/2023

Mwenye Ali heart break beshte wangu uparikiwe tumelewa tangu jusiπŸ€ΈπŸ€ΈπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€«πŸ€«

22/11/2023

HiπŸ™‹ wenzangu wenye tulikunywa busaa na kiporo lunch natukarudi shuleπŸƒwenye walisema atufiki mbali wako wpyπŸ€”πŸ€”πŸ€”

22/11/2023

Mtajifunxa kuwaja tapia ya kukula fare y wenyewe naniiπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ

18/11/2023

Ety ntumie hot pic siujamshe iyo ykoπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸƒπŸƒ

18/11/2023

Mwanangu usiwai japa bibi yko ata aki ku disappoint umpe pesa pandia akajabwe sokoniπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ™ŠπŸ™Š

18/11/2023

Na kumbe mungu ni mkalee anaitwa Emmanuel kiptayatπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹

16/11/2023

Mianoo pkoryo bakofixsen emet en menjoπŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ˜œπŸƒπŸƒπŸƒ

16/11/2023

Kana Dem wako akusumbui na kujam any time ajana na uyo ni pretender real bae hase evil spiritπŸ˜œπŸ˜œπŸ˜œπŸ™‹πŸ™‹πŸ™‹

14/11/2023

Akuna mke msuri k**a bibi wako mafasi isikujanganye ulie padaeπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™ŠπŸƒπŸƒ

13/11/2023

Kwani ijafika time ya kuampiwa tushuke juu ya mitiπŸ€”πŸ€” mi nko juu ya miti tangu waseme tupande mituπŸ™ŠπŸ™ŠπŸ™Š

09/11/2023

Be proud of your self for how far you have game from and never stop pushing to be the best as you can

08/11/2023

Watu wa TikTok plz msijaribu kwenda jandoniπŸ₯Ίmokimuje korgegere obore motirenik nywelnywel kwisha nyinyi🀣🀣🀣🀣🀣

07/11/2023

Difai na mapepo inasemwa aje kwa kingeresa Kuna msungu ananisumbua apa plzπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€¦

04/11/2023

Unatext m2 mrng beb anareply mrng too kwani beb imekatwa na fulisaπŸƒπŸƒ

03/11/2023

Unalalamika aty mpoa wako ako na mademz wengi time alikushow you are one in a million kwani ni kizungu ukuelewaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸƒπŸƒ

03/11/2023

Unaningixa kidoleπŸ–•alafu unaomba mungu apariki kazi ya mikono ykoπŸ₯Ίbro uogopi munguπŸ™‹πŸ™‹πŸƒπŸƒπŸƒ

03/11/2023

Leo nmelala nkaota nkiongea Kikuyu nmeaka nkitani mi sio mkalee woi!! Karibu nipige nduru πŸ€·πŸ™†πŸ™†

02/11/2023

Kuna kitu sielewi yesu anakuja ama si ndio tunaenda?

01/11/2023

Her;hi lady chelaa me; mmmmh her; ata k**a umenijukia nisalimie 2 salamu aitii mimba me;πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜ΉπŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ

25/10/2023

Jirani wangu anaskisa nyimbo za heart break apa akilia wah!! Nmelia ata namiss uyo mtu wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒ

22/10/2023

Silibwet pap soda tafatali npewe

21/10/2023

Contactor; venye uko mlefi ifi utaenda binguni kweli? Mlefi; mi siendi binguni k**a nyinyi mnaenda binguni mnishukishe apo mi naenda cheboleπŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸƒ

13/10/2023

Unatani umepata soulmate kumbe mtu ametoka heart break amekuja revenge πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒ

30/09/2023

Nlikuwa napost mpoa wangu ndio X wangu aoneπŸ₯ΊπŸ₯Ίwaja niamke aja view😭😭 nmeenda mpio adi kwaoπŸƒπŸƒnkadanganya mum wake nko na mimba ya kijana wakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

27/09/2023

44k followers thanks πŸ™

15/09/2023

Mukikosana unafaa kufuta namba after how long?πŸ€”πŸ€”πŸ€”

15/09/2023

Ety wamesema mambo ni?

11/09/2023

So far nko na X 35 sijui ni wanaume wapaya ama mimi ndio nko na shidaπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸƒ

10/09/2023

Ulipo malisa kuwambia mengi mabaya kuniusu walikulipa ama Bado?πŸƒπŸƒπŸƒ

06/09/2023

Karibu karibu customer utate screen protector ya moyo ata ukiheartbreckiwa aifunjikiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒπŸƒ

06/09/2023

Umerudi soko lakini sides za ovagado kazi ni kufinywa na kuajwa🀣🀣🀣🀣😭😭

01/09/2023

Mi nlikuwa naomba 2 plz m2 akikuta ruto amshow anisamee si Ety nlikataa kuliba hustler fan ni vile kimearibika nanunua jogoo ya 500 daily mtoto apeleke shuleπŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ™Š

01/09/2023

Imagine Unaolewa Leo kesho umeandika majina zko kwa mitungi zote adi vikombe🀣🀣🀣

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Narok?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Narok