Rayal Friends of Hon Raila
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rayal Friends of Hon Raila, Musician/Band, Nyeri.
NATIONAL ASSEMBLY ELECTION OF THE SPEAKER , THURSDAY SEP 08, 2022 AFTERNOON SESSION 13TH PARLIAMENT. NATIONAL ASSEMBLY ELECTION OF THE SPEAKER AND DEPUTY SPEAKER, THURSDAY SEP 08, 2022 AFTERNOON SESSION 13TH PARLIAMENT.MorninSESSIONSESSIONSESSIONhttp://www.p...
Nchi isonge mbele.Tuweke amani mbele.
Tungonjee matokeo ya uchaguzi kwa utulivu, Kenya ni ya maana kuliko wanne wanao gombea uraisi.
Good afternoon.Nilikuwa nikitembea kwa njia,nikakuta hivi vidudu(mchwa),vikijaribu kuchora image furani ,nikawa mtulivu k**a manji kwa mtungi mpaka wak**aliza kazi.Image yenye walichora ,ni hiyo unaiona hapo.Nikaanza safari Tena,lakini kabra sijaenda Sana,nikasikia sauti ya malaika.Fikisha ujumbe wangu kwa Kenya na ulimwengu.Hata wanyama wanajua mapenzi.Uchaguzi ni wa siku moja,na ukiisha,jirani yako ,rafiki wazazi wajomba,ndugu,atabaki tu akiwa ndugu yako.Wakenya tafadhali tusipigane,tusiuane.Share still it reach to president ,4 presidential candidates and their running mates.byebye.
Debate secretariat responds to Ruto, Raila demands Debate secretariat responds to Ruto, Raila demandsThestarJuly 24, 2022Read originalIn Summary• The secretariat said it had shared thematic areas with presidential candidates.• The secretariat also confirmed that the debate will go on as scheduled on Tuesday, July 26 at the Catholic University fo...
Surport 4 my sister is = God's surport.God bless you
JACKIE SON MEDICAL APPEAL WhatsApp Group Invite
Mwenye macho haambiwi tazama.Wee jiamlie unataka pande Gani upinzani ama kwa serikali ndani ndaaani!!!
Tuwashikilie Baba na Mama Hadi kileleni.Inshallah!
Hawa na wengineo mafisi ambao wamevalia ngozi ya kondoo.
Tuthikiririe Ngatha ya Kirinyaga Kiririmbi thaa ici.Ena point.
Heko Baba kwa kuweka kinamama mbele,wao ndio walituzaa na tunawaenzi kwa Sana.Nchi k**a Rwanda imeweza kupata maendeleo mengi kwa sababu ya kushirikisha kina mama wengi kwenye serikali na pia bunge.
Tukiwa na Baba na Mama,mambo itakuwa sawa.
Baba mbele wengine nyuma
Hii ndio shetani ambayo Baba alikuwa ametumiwa na Alibaba immalishe.This is the same jinn taking lives of inocent aspirants.God forbid.
Nataka kuoba msamaha kwa Wakenya wote.Mambo yenye inaropokwa na huyu mtu,ni ya mtu binafusi,hawakilishi watu wa mlima Kenya.Tena namtakia hafueni ya haraka,maana labda ugonjwa iliguza akiri.
Wenye wataongoza Kenya hii watakuja kwa njia ya unyenyekevu na kuunganisha Wakenya,Wala sio matusi kujipiga kifua na kudharau wadosi wao.Kalonzo akicheza KADI zake vizuri,atakuja Baada ya Baba.
K**a wee Kalonzo unataka kujiunga na wakora ,harakisha ujipake matope huko k**a nguruwe.
Leo nimeshangaa Sana na Alibaba ,Eti anaenda mpaka America kusema mabaya ya serikali ,na ni serikali ambayo yeye ni makamu wa Raisi.Nimemfananisha na watoto wawili ambayo wameiba sukari ya mama,alafu kamoja kanaanza kupiga vidole kakisema nitakustaki mama akija.Bure ya mtu.
Hiki kifaa kinabemba kila aina ya takataka
Nawaoba watu wa Mt Kenya chennye tutaelezwa na Raisi kumhusu naibu wake,tukumbari maana yeye anamfahamu Sana kuliko sisi.Na kumhusu Baba,naweza nikamtetea Raisi niseme wakati alikuwa anatwambia Baba ni wazimu,hakuwa amemfahamu vyema.Sasa amefanya kazi naye tangu 2018 ,nakujua yeye ni roho safi.Muwe nasiku njema tukingojea ushauri wa Raisi tunaye mpenda.
Katika hii front line ya Baba,Hakuna mtu wa jamii yake,kwa hivyo Baba si mtu wa ukabira.
Heko kinamama kwa kuanzisha kikundi Cha kumsurport Baba.Na madam Wangirichi ,k**a hayuko ajiunge nanyi.Na wengine wengi wajiunge nanyi.Nawatakia kila la heri.
Hii group ya akina Alibaba iachane na siasa duni za kusema Eti wakichaguliwa watafuta hii CBC.Sisi k**a wazazi tunajua uzuri wake Hata watoto wanatwabia masomo Iko sawa .Alibaba n 42 thieves amesahau kwamba amekula pesa ya watoto ya laptop na Sasa anaweka kidoda mzumari moto Tena kwa watoto.shidwe pepo. color less!!!!
Wenye wanamutusi Raisi watajua hawajui.Tetemeko kamlli lakaribia pale mlimani.Katika kikuyuland,ukitusi muthamaki,we umeisha kisiasa.Hapa tunaamini Raisi Uhuru is apolitical genius.Sasa mwenye macho na masikio ayatege vizuri ajionee mbarafu ilioko mlimani ikigeuka moto.
Hamjambo wanaroyal..Watu wengi wameniuliza ni kwaniini tunapendelea Baba kuliko Alibaba . 1 Alibaba Hana heshima na Raisi,anamtusi kila mara. 2 Aliachia Raisi kazi sote,na kuanza campaign za mapema 3 Nimfisadi mkuu 4. Anapennda kujipiga kifua Anapennda vita na ukabira. 5. Ako na ubinafusi Sana .
Mtu ambaye opinion poll inaonyesha Ako na umaalufu wa 1%,ndiye anabwekabweka akiongea mambo na earth quake Opinion poll ya juzi inaonyeza kwamba baba Ako na67%dhidi ya Alibaba ambaye Ako na 37%.Sasa ongeza hako kamoja ka mdavadi.Na nikiongea k**a analyst.Alibaba akijaribu tu ajindanganye achague huyo madvd k**a running mate yeye Keisha.Hata hai mafront runners wake kina Waichungwa Kangata ,na Ndindi,atakuwa akiwapigia anasikia mteja .By the way nimetabiri hiyo team yake Karibu yote ,itahamia nyumba ya baba,ifikapo mwezi wa nne.
Hamjambo wanaroyal.Nataka kutoa point ya leo niseme,k**a ningekuwa Alibaba, kuliko kupeana xile pesa sote ninapeana,ningetoa fidia kwanza kwa wale watu wote waliuawa bonde la ufa hashaa familia zawale waliochomwa kwa kabisa,wale walipoteza mashamba na Mali yao niwalipe pia, Kisha nilipe fidia kwa familia za kina Juma,Yembei ,Msando,yule bodyguard wake nk.Kisha niende nikimwaga pesa k**a mchanga nikitoa ahadi za juha kalulu.
Alibaba na group yake wamepungukiwa na numbers,Sasa wameanza mambo ya madoadoa na makwekwe.Shetani ashindwe.
Happy new year. Tumeweza kuongeza picha hisi kwa ajiri ya wale wageni wanajiunga nasi.Ukiingia tafadhari unaalika wenzako.
Merry Xmas wanaroyal.Mnisaidie kuinvite watu wengi kabisa kwa hii group,mpaka baba mwenyewe tumfikie.Sisi tunasema tunataka Baba ,hatutaki Alibaba!!!Utu,Undugu,Umoja.!!!!! ndio wito wetu.
Tunataka Baba si Alibaba
Azimio la umoja Bado inaendelea vizuri na baba.Hata hivyo Kuna jambo moja ambalo ningetaka kukubusha watu wa mlima Kenya.Wakati Marehemu Moi alichukua uongozi kutoka kwa hayati Jomo Kenyatta,alijifanya mtu mwema Sana.Baadaye alianza kutesa wanamlima Pole pole tu akiongea kwa lugha ya mafumbo km Ukikata mti mmoja panda pili ,tukafikiria anaongea kuhusu upanzi wa miti,lube anamaanisha ukifuta mkikuyu mmoja,andika wakalejini wawili.Tena akagandamiza viwanda vyote vilivyokuwa tegemeo kwa wanamlima km KCC,KMC,Kiwanda Cha pamba nk.Wakati wa Moi ndio tulisikia vita vya ukabira vya Riftvalley ambapo havijaisha tangu waleo .Niwakati up huo ufisadi na ukabira uliweza kukidhiri ambapo mpaka waleo hatujawahi kuudhibiti.Udikiteteta nakukatalia kwa kiti silifuata.Alibaba mwenye tunasema tupatie kiti ni mtoto wa Moi kisiasa,nasisi ndio tunasema (gutiri hiti na wamutiri) Kila mtu ajiite kamukutano ajiulishe anaelekea njia gani .Nanikimalizia niseme Raisi Uhuru naamini ni genius na anajua vile anafanya .Asanteni.
Hamjamboni Wana Royal.K**a vile nimekuwa nikiwambia tangu mwanzo,Sasa mngojee mkutano wa Kasarani,umati utakao kuwa pale,ni k**a kumpatia Baba funguo ya Ikulu inshallah.My friend hawezi akawa kazi yake nikutusi tu viongozi wetu alafu afaulu Sasa anatusi kila mtu ,mlinjionea kule laikipia.Huyo ni mtu anayeweza kuongozwa kweri?.Niathii akiumaga.
Marafiki hoiyee Tusidi kumwombea Baba katika safari yake ya kuelekea Ikulu.Hatutaki watu ambao wamejawa na kiburi ,dharau,ufisadi na kujipiga kifua .Kubagua kati ya Tajiri na masikini .Hakuna nchi yoyote ile ambayo Haina masikini na matanjri wegine k**a SK Macharia Mwangi wa Equity,Peter Munga, Wanjigi nk wamefanya watoto wetu wasome na Hata kufanya wengine kupata ajira kupitia makampuni ya o na sekta balibali,kwa hivyo my friend kuwa mpole ,wacha kutusi viongozi wetu tunahesimu nawako nausawishi mkubwa hasaa hapa mlimani.Tuendelee kualika marafiki kila mtu.Byebye.
Baada ya Raisi Kenyatta tutaachwa mikononi ya Baba.Sio watu ambao wanakula pesa ya demu huko kimworor na Arror wanakula pesa ya mahindi,wanamimina kila kitu alafu wanandanganya vijana Eti wao ni masikini.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Nyeri
We only chart like friends don't mind the name of the group just the talk plz no dirty charts some may be under12years any can join and all must be jovial
Opposite Baden Powell
Nyeri
Soul Lounge & Grill is located next to Muhoya Total filling station and directly opposite Baden Powel