Munga MB
Napenda sana watu ambayo wananishukia
Aaaaaaah π€ͺπ
Kweli
Kuishi single nishinda sanaπ€π€
Km uko mwenyewe tafuta
Mwenza akusaidie π π β€οΈ
Aaaaah mtu ambaye akuongezeyi tlkitu wachana naye natana namambo yako
Aaaah tunajifuza leo gisi yakuka na mtu ambaye amujuwane naye je wewe unanijuwa kweliπ€ͺπ€ͺ
$πππππ
πΉπΉπΉπΉπΉ
Wandugu swali kwanini wasichana wanakuwaka na taka kubembelezwa
Swali kwenuπππ€π€
Amjambo wadungu ninaswali naomba kujibiwa
nilikuwa na lupango nikauza ayo kisha uyo mtu niliuziya akaiyasha kisha bahanda yakuiasha pakatokeya mtu mwenye anasikia uchungu waiyo lupango yeye akawaza akaona aweke aoteshe emo miti ya maembe bahanda yakuotesha aka iyasha , naye bahada yakuasha iyo miti bila kumwangilizia maji yeye akashukuwa iyo jukumu yakuikomalisha, alafu Mimi naulidha swali
Ndani ya Hawa watu tatu apa nani myenye iyo miti?ππππ¦
Hello, my friend kinashinda pahali
Click here to claim your Sponsored Listing.
Contact the business
Telephone
Website
Address
Nyeri