Sam Gax

Sam Gax

Artist

01/01/2023

Nimeokoka

18/12/2022

I have came to realize that i didn't came to this world intentionally. I was pushed ๐Ÿ˜ฌ ๐Ÿ˜ฌ ๐Ÿ˜ฌ

27/11/2022

K**a umepewa goodnight mbili unisaidie na Moja๐Ÿ˜’๐Ÿคค

21/10/2022

It was very sad for a family to loose such a huge giant. Let me pass my heartfelt condolences to the family of Goliath who was killed by David

17/10/2022

Ni msemo gani uliosoma nyuma ya lorry๐Ÿš› ukabaki ukicheka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

16/10/2022

Davido is 32
Wizkid is 35
TU face is 40
32+35+40=107
Now look at this!
Ronaldo is 38
Messi is 37
Okocha is 40
40+38+37=115
NIGERIA is 7 letters
USA 3 letters
7+3=10
The truth is I don't even know the meaning of this post....
I just want to waste your time, but if e pain you too much, come beat me I'm in my house.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

16/10/2022

Nimedanganya bae๐Ÿง• wangu naeda kutembelea beshte yngu nikaeda kwa bibi๐Ÿ‘ฐ ya neighbor coz ameniambia bwanake๐Ÿง hayuko. Kidogo kidogo mlango ikabishwa akaniambia niingie chini y kitanda coz bwanake amerudy. Mm teke teke dio hyo had chini y kitanda. Huyo jamaa akatuma bibi yake soko kununua supper๐Ÿฒ. After bibi kweda ak**ake call akaabia hyo mtu akuje coz bibi yke ameeda. Huyo dem akakuja alfu wakakulana. Mlango ikabishwa akaabia hyo dem aingie chini y kitanda coz bibi yake amerudy๐Ÿ‘ฐ. Huyo dem akaingia chini ya bed kumbe ni bibi๐Ÿง• yangu had sai tuko chini ya bed tumevuriana hakuna mwenye anaongea na mwengine

12/10/2022

My prayers goes to anyone who is looking for a Job & Bussiness Capital.
May your phone ring for good news

12/10/2022

What law did u break in school
No dating๐Ÿ’‘๐Ÿ˜™
No fighting๐Ÿฅท
No late comingโฐ
No phones๐Ÿ˜‚

11/10/2022

Naweza wapea ๐Ÿ’ฆ๐Ÿ‘๐Ÿฅ’lakini nyinyi mtanitangaza๐Ÿ˜ฉ

11/10/2022

Umetulia tu na pombe yako kwa
club Kidogo landlord anakutext
"Kula bibi yako polepole
Aki kenya

11/10/2022

Kuna day fulani hapo tukiwa primary tulichinja
kuku na tukapika chapo jioni.
Sa next day lazima ningebeba lunch nikienda
chuo,,, alafu lunch-box ilikua kasuku ya kimbo,,,
simnajua tu hizo siku,,, kupata chapo ama nyama๐Ÿ˜‹๐Ÿ—๐Ÿ—
ya kuku ilikua balaa.
Nakumbuka hadi chopi wa daro Opiyo
alinifanyiaga assignment ndo nimsort ikifika
lunch.
Naye prefect Maina akanitoa kwa list ya noise
makers.
Madem wote daro walikua wangu hio siku.
Mpaka Ann akadai nikue chali yake๐Ÿ˜๐Ÿ˜.
Sa vile ilifika lunch kila mtu nilikuwa nime
promise alikuja.. Kufunua kasuku nikafaint....
Kumbe nilibeba Mafuta ya
kupika๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

11/10/2022

Poverty has convinced some women that if a man doesn't give her money, he doesn't love her.

11/10/2022

Unapigwa heartbreak Hadi unaclick katikati ya maombi ๐Ÿ’”๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
saitani

11/10/2022

Dem ka unajua unavaa kiatu number 40,,๐Ÿคจ,then ujue wwe c baby girl,,,wwe n dangamanya๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„

11/10/2022

Mapenzi ya ploti huanzia wapi๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…

11/10/2022

mimi naeza kupea umwage adi laana๐Ÿ’ฆ

10/10/2022

Moi Day was renamed Huduma day, Huduma day was renamed Utamaduni Day. Let's celebrate the countrie's rich cultural diversity and Heritage and promote National unity, Remember to pray for one another, God Bless Kenya ๐Ÿฅฐ๐Ÿ™

07/10/2022

Ushawai nyimwa mwezi mzima๐Ÿค”๐Ÿค”๐Ÿค”kisa na maana hujalipia๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„aki okoa jahazi wewe๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

07/10/2022

๐‘…๐ผ๐‘๐บ๐ด ๐‘๐ด ๐ฝ๐ผ๐‘๐ด ๐ฟ๐ด ๐พ๐ด๐‘๐ผ๐‘†๐ด ๐‘Œ๐ด๐พ๐‘‚

๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

07/10/2022

Wanaume wengine wakuanga faster kutoa ๐Ÿ‘™bra na panty lakini kutoa pesa ni k**a mkono imeshikwa na kifafa

07/10/2022

Juzu nimeona Atwoli kwa Beach house akiponda raha uko Kilifi, Murathe naye ndio huyu๐Ÿ‘‡ anakula soft life uko Dubai. Mahasla nao wameambiwa wangoje next harvest waone k**a bei ya Unga itashuka chini. Bei ya fuel wameachia Mungu. This earth is hard! ๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š

07/10/2022

๐”๐๐ƒ๐€๐“๐„: ๐’๐”๐‹๐“๐€๐๐€ ๐Ÿ•๐“๐‡ ๐Ž๐‚๐“
๐๐€๐‘๐“ ๐Ÿ
Iam sorry leo nimechelewa sana but please usininyime LIKE weka hapo chini tukisonga.
Twende kazi...
Kumbe Buya baada ya kuibiwa simu na wallet haina pesa,alikuja akalala kwa mti huku chini..Now listen,sai ni asubuhi Buya ameamshwa tu na kelele za nyuni ama ndege lakini ajabu ni kuwa,mwanaume amelia usiku kucha. Akiimagine yale amepitia for the couple of days,anadondokwa na machozi na ukiona mwanaume anafika place analia kimya kimya,manze ujue amefika mwisho. Maskini Buya!

Dida na yeye hata usiku hakulala,aliamkia kwao kumuona babake,lakini kufika kwa gate akakutana na nini? HOUSE FOR SALE,nyumba yao ishawekwa kwenye mnada na gate imefungwa. Dida alionekana na mwenye analinda huku,akamuuliza unatakaje msichana? Dida akamwambia nimekuja kumuona babangu anaitwa Buya. Mlinzi akamwambia huyo mzee sidhani k**a atarudi huku tena,alikua hapa siku kadhaa zimepita na sioni k**a atarudi. Dida sasa ataanzia wapi? All in all tuzidi kutembea.

Kwa Kokan,Sultana ndio anaamka akafungua...aa sorry haezi fungua macho,wakati anaamka kumbe Kokan pia na yeye hakulala alikaa tu hapo akimuangalia. Sultana akashuku anaangaliwa na Kokan,akamuuliza mbon unaniangalia? Kokan akamwambia usijali ni venye napenda tu nikikuangalia. Kokan ashatengeneza chai iko tayari hata ashapika vitumbua na Sultana anapenda sana vitumbua. Kokan alianza kujitetea,akaambia Sultana,mimi nataka nikupe kila kitu hii dunia yoooote hata sitataka kujua watu k**a akina sam Gax wataishi wapi lakini kila kitu hii dunia nataka iwe yako hadi ujue nakupenda k**a kipenzi changu bali si kakangu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃyani kuna uongo ingine hii dunia lakini ya Sultana imezidi.

Kumbe Buya na yeye wakati aliamka alikuja kwake akaona wueh nyumba imeekwa FOR SALE na hii ina maana wamepitana tu na Dida kwa ukaribu tena. Mlinzi alikuja akamuuliza mzee kuna nini tena? Mlinzi akamkumbuka huyu ni Buya,akamwambia mzee kuna msichana ametoka tu hapa sai akisema anakutafuta. Buya akamwambia mwana

06/10/2022

Secondary school best friend u will never forget ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿฅบ

06/10/2022

Jina gani ya Dem ukisikia unajua uyo Dem Ni Mali xafi.๐Ÿ˜ข๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

05/10/2022

Free page promotions

Follow for follow

05/10/2022

Unapenda kusikia mahubiri ya pastor mgani Kwa tvโœŒ

04/10/2022

W***y Paul Msafi
Congratulations for hitting
1m subscribers

04/10/2022

A man was paid to paint outside chemist.... Before lunch he painted DAWA YA KUMA and went for his lunch....


When he came back he found over 50 ladies standing outside the chemist..he never said a word bt continued to paint and wrote DAWA YA KUMALIZA WADUDU

04/10/2022

Lakini watu hutoa wapi nguvu ya kuenda vct,, mi kuna siku nilienda kupimwa, nikawa sasa nangoja results, nikajiambia nizurure inje kidogo,juu ya uoga๐Ÿ˜๐Ÿ˜ nilijikuta nimezurura mpaka nyumbani,๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,, hadi leo sijai rudi huko kuchukua matokeo๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

03/10/2022

Sema jina ya pombe unatumianga wagenge wakuambie bei yake ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Whiskey ni ngapi wakuu

03/10/2022

That's bee๐Ÿ how bee๐Ÿ to keep bee๐Ÿ a fool bee๐Ÿ busy bee๐Ÿ
READ without bee's ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

02/10/2022

Uko na namba ya mother in law ama bado unadanganywa mom amekusalimia๐Ÿ™„๐Ÿ˜‚

01/10/2022

Safaricom wamefanya Ile kitu๐Ÿ™†, unaeza pima weight yako ukiitumia smu yko, simama ju ya simu yako urukie mara tatu..

01/10/2022

What do you say about it

Telephone

Website