Pauloh Wa Updates

Pauloh Wa Updates

God First πŸ₯‡
Arsenal Fan

24/04/2024

Watu wangu, maze k**a umemaliza high school na unataka kujoin campo kufanya technical courses, au ukona sibling anataka kujoin, Nafasi ndio hii hapa.

Kenya Coast National Polytechnic ikona Program moja noma sana inaitwa Dual Training ambapo msee anapata cert na experience kwa wakati mmoja. Yaani unakua class 50% of the time na 50% ingine kwa industry.

Hata wale wasee mkona jobs na experience but hamna certificates, mkijoin hii program mnapata certificate mara moja.

Hamskii hata mm nataka kujoin nifanye, Journalism muanze kuniona Citizen TV alafu nawaletea updates live hapo na kina Lulu Hassan.

Kuna programs kadhaa k**a:
1. Automotive Engineering level 6
2. Marine Welding and fabrication level 5
3. Marine Welding level 4
4. Culinary arts level 6
5. Food and beverage sales level 6
6. Front office level 5
7. Fashion and design level 4
8. Beauty therapy level 4
9. Hair level 4

Na zingine nyingi.

Jaza details zako kwa hio link iko pinned kwa comment hili kuapply. 😁😁

24/04/2024

Waah, kwa basi Frida alipanda yasemekana hakuna mtu ali survive πŸ€¦πŸ’”
Tutamiss Frida k**a kweli amededi

24/04/2024

Pesa ya Facebook by June isikupite
Leta page yako tukufollow sasa.

Meanwhile, let's follow Ruz.Hoff afike 13k πŸ’ͺπŸ’ͺπŸ’ͺ

24/04/2024

Tonight on ZARI
Nini kimemtokea Fridah kwenye safari yake..?

Tupatane pale Maisha Magic Plus leo jioni wadau.

24/04/2024

K**a uko hapo tao Odeon, kuna jamaa anauza smokie mayai anaitwa Tyson, fika hapo mwambie tu Nandwa Isaac. Utapewa smocha na yai. Nandwa Amelipia. Hata mimi nafika hapo sahi sahi tu πŸ™‚πŸ˜…πŸ˜…

Contact information 24/04/2024

Wadau ebu tueke stori za Becky kando kidogo.

Maze uwa unapata most of the times vijanaa wamesoma but hakuna jobs. Unaenda kwa employer anasema anataka msee akona experience. Unafaa kudo nini sasa?

Kuna chuo pale Mombasa inaitwa Kenya Coast national Polytechnic imekuja na mbinu ya kuhakikisha unasoma but pia unapata experience. Hii program inajulikana k**a Dual training.

Yaani utakua shule na Kwa Industry hili upate hii experience (50% chuo na 50% kwa industry) .

For example, ukichukua course ya 6 months, 3 months utakua chuo, na 3 months kwa Industry.

K**a ni course ya 1 year, utasoma 6 months chuo na 6 months utakua industry. ( in this case, utakua unaalternate. Ukisoma term moja chuo, hio ingine unaenda kwa industrt.

The good thing na hii ni eti, hautahitaji kutafta attacho, chuo itaprovide.

Kuna course kadhaa under hii program waeza cheki mapicha hapa down.

kuapply au kaa ukona swali ingine, jaza hii form na utapigiwa simu
πŸ‘‰ https://forms.gle/n6RF4MoVjCCwonWy9

Contact information Fill in Your details and we will get in touch with you

23/04/2024

Suzzy, sister to Fridah ndiye anapata habari kuwa kuna ajali imetokea, na kwenye hilo basi alikuwemo Fridah. Guysss πŸ™‚πŸ₯² Fridah is no more πŸ’”πŸ’”πŸ’”

23/04/2024

ZARI live on Maisha Magic Plus
Unatazama ukiwa maeneo gani? Lola atarudishwa mansion kweli?
Tazama maisha magic plus sasa hivi Dstv channel 163 and GOtv Kenya channel 3

23/04/2024

Afternoon page promotion, angusha page tukufollow
Follow Ruz.Hoff

22/04/2024

Wuuuweh, pale kwa shiks anafanya juu chini Wanja atoe ile mimba hivi sasa ametoka kwa duka kununua tembe za kutoa boll.

Upande mwingine Wanja alikuwa anataka kutumia DCI CCTV footage ili ng'ash ashikwe, Lakini kumbuka shiks ali delete.

Shiks hataki ng'ash ajue wanja yuko alive, na hata hivyo wanapanga harusi chini ya maji.

Watch KASIRI live on Maisha Magic Plus

22/04/2024

KASIRI O'CLOCK.
Unatazama Maisha Magic Plus ukiwa maeneo gani...? Tuanze wiki namna hii

Jiffy Pictures

22/04/2024

Masaa ya kugain followers. Shusheni pages zenyu hapa k**a vile zakayo alishuka kutoka juu ya mti 😁😁
Follow Ruz.Hoff

22/04/2024

DUBAIβœˆοΈπŸ›«
Finally Finally Finally.... It's now official..Bye Bye KenyaπŸ˜­πŸ˜­πŸ’”πŸ’” I finally got the call I've been waiting for the last two months now. I'm happy to announce that I've accepted the career opportunity in Dubai..😊 I've made the decision that it would be a better place for me. I will be heading out in the first week of May to start my new life and a new beginning ,I would have texted everyone individually ,but I thought it would be easier to post here , I promise never to forget any of you and I'll cherish ,the amazing memories . I'm definitely gonna miss every single one of you, I know goodbyes are hard😭😭😭....I didn't expect for this to be so hard,I'm gonna miss my family😭😭, friends but I'll stay in touch ❀️❀️❀️

20/04/2024

"Ama kazi ya kuuza pombe inaitwa beer-shara"

20/04/2024

Watu 11 let's follow Jamal Jay afike 5k

20/04/2024

When i grow up I want to STEPHEN LETOOOO

20/04/2024

Unapostia watu poster ya auditions na kwenye auditions zitakuwa hadi tarehe Lakini mtu anataka um connect 🀣🀣 aje sasa na poster iko na details zote wanjiru 🀣

19/04/2024

Hehehe, kimeumana hapa kwa Zari. Zannele ameamua ku divorce Dylan.
Upande mwingine after Lola kujua ati Nina anafanya kazi kwa kampuni yao alikuwa anataka kumfuta kazi Lakini Lwanda na Dylan wakakam through. Dylan amechoka na wivu wa Lola, and guess what next.......

Continue watching Zari on Maisha Magic Plus

19/04/2024

Lola alikuwa ameenda kuvuruga Nina tena pale kwa Ishmael. Ishmael amefika na wakaletana juu na Lola Sana. Ishmael kuongelea kuhusu mapenzi yake na Lola, Lola anamwambia itabidi achague kati yake na Nina k**a kweli Ishmael anampenda Lola.

Hata hivyo Nina ameamua kukubali kazi ya Dylan ili aanze life yake mwenyewe.

Maisha Magic Plus

19/04/2024

Msiseme hamkupata habari

Wapenzi wa sanaa...Iko kazi ...Jaribu bahati yako !

19/04/2024

Pesa ya Facebook by June isikupite
Leta page yako tukufollow sasa.

Meanwhile, let's follow Ruz.Hoff

18/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸππƒ π€ππ‘πˆπ‹
Follow Ruz.Hoff

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏-How will Maureen find closure and peace within herself as she lays her regrets to rest at her late mother's gravesite?
Becky amejaribu kumcall Moh but zii mrembo hashiki simu. Junior alikuja akamwambia venye anafeel poa but on other side, Becky anafikiria tu sister yake Moh.

Moh na yeye akiwa kwa kaburi ya mamake,anajitakasa kweli kweli akiomba msamaha kwa vile mamake alikufa k**a hawajasolve differences zao. The dead can also hear and from this Moh atafeel at peace sana. Moh hadi alianza kulia sasa. It hurts manze hadi akamwambia mum nishow to signs maybe maisha yangu itakua sawa ju nafeel tu maisha yangu haina meaning kabisa. Nakupenda sana mum na how I wish ungekua alive nukushow venye nakupenda,you mean much to me madhe. Ukiona hadi Moh anaongea kiingereza ujue she is hurting and she means it.

Becky yeye hana habari Moh ako kwa kaburi ya mama yao,amejaribu kumcall but hashiki,but punde si punde, Amelia akacall Becky,akamwambia weka Junior kwa loudspeaker haraka sana mbona hashiki simu zangu. Becky akanotice madhe amejam kujaribu kumuuliza Amelia mbona amejam,Amelia akamwambia acha maswali za clinic weka Junior kwa loudspeaker alah.

Junor kuchukua simu akaulizwa,jana mbona ulinidanganya ukiniomba loan ukisema uko na emergency,kwani emergency ni kuengage Becky? Junior akamwambia Iam sorry mum ni venye nilitaka kukuambia....Amelia akamwambia sikiza, mimi si rika yako sawa kijana,kisha Amelia akakata simu,akiwa amejam sana. Lakini cheki, Amelia kukata simu,alicall tena na akaanza kucheka,akaambia Junior relax,it was a prank and Iam happy for you guysπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Junior akamuuliza na umejuaje kuhusu engagement? Amelia akamwambia ni Moh aliniambia so msiwe na wasiwasi. Junior alikua amefreak,yake yote.

Lexy aliuliza Pupa na leo Moh yuko? Pupa akamwambia yeye aliamka k**a Moh ameenda hata hajui ako wapi na akaambia Lexy kaa ukijua mimi na Moh haiezi so usiwe na wasiwasi. Lexy akamuuliza na kukaa na Moh ulikua unajaribu nisimes na Moh ama? Pupa akamwambia zii,hata sikua huko na plus wewe yafaa umake peace na Moh. Lexy akamuuliza talking of peace,umemake peace na babako uchukue mali? Pupa kamwambia bado,akaambiwa basi usijaribu kuniambia story za peace hapa.

Kumbe Moh na yeye akiwa ametoka makaburini na nguo zake,mbele yake kulikua na vijana wawili,magondi alafu nyuma yake Sanchez alikua tu shughuli zake. Kumbe wakati Sanchez alimuona Moh,hao magondi wawili pia na wao walikua washamulika Moh. Kufumba na kufumbua macho, vijanaa wakamshika Moh kumnyang'anya lakini Sanchez kujaribu kuingilia kati kuokoa Moh,mwanaume alitandikwo,mbaya mbovu. wah!

Becky wakiwa wanakunywa chai,simu ilipigwa na Moh,akaambia Becky sikiza, kuja hosi sai sai nakutumia address,Sanchez amevamiwa haezi kula miwa tuko huko hosi karibu na miwa,kuja mbio.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Becky walikuja teke hadi hosi na Moh akamwambia Sanchez aliumizwa akijaribu kunisaidia,ako huko ndani anahudumiwa. Moh yeye hajaumia sana ni Sanchez kilimpata hadi akaambia Becky hii ni bad sign hajanisamehe. Becky akamuuliza nani kukusamehe? Moh akamwambia ni mum,nimeenda huko kuomba msamaha then from hapo haya yananipata hapa,meaning sijasamehewa.

Amelia huku kwa mansion alikuja akaambia Lexy niko na good news,Junior ameproposia Becky. Lexy alicheka tu akauliza madhe si juzi tu umesema Junior anataka kumove out?Amelia akamwambia hiyo ni past tense. Lexy alipigiwa simu kutoka kazini akaambiwa Sanchez hayuko kazi. Lexy akajam akakaamua kumcall Sanchez but kupiga simu Sanchola hashiki simu.

Amelia alicall Sanchez na Moh ndio alishika,akamwambia madhe, Sanchez yuko hosi,hali mbaya. Amelia walitoka teke mbaya mbovu but akamwambia tunatoka tunaelekea nyumbani kwa sasa.

Amelia walikuja kumuona Sanchez na at least ako sawa. Moh alijitolea kumhudumia Sanchez for now kisha Lexy akaomba kuongea na Junior,na Moh akaomba kuongea Becky,mimi na mimi nikaambia Amelia wee mzee kuja kibande hii tuongee mambo ya wahenga.

Lexy alikuja akaambia Junior congratulations kwa hii move umemake ni kitu fiti sana na for me,nimeamua kukusamehe and you are welcome kwa mansion. Junor akamuuliza why now? ni agenda gani uko nayo this time? Lexy akamwambia hamna agenda,mimi niko sawa and Iam just making the peace. Wakasameheana na hata wakahugiana.

Becky na Moh pia waliongea na wakaelewana na Moh akamwambia usijali na mimi,najua chenye nafanya. Becky alipigiwa simu na Hakimu akamuuliza uko wapi? Becky akamwambia nachill tu mtaani,akamuuliza unaonaje ukuje kwangu sai? Becky akamuuliza like kwako? Hakimu akamwambia yeah. Becky akaona haina shida,teketeke aeleke hadi kwa Hakimu. Huh! Acha tuone.

17/04/2024
17/04/2024

Arsenal waki qualify mniamshe. Call me i celebrate
0705534383

17/04/2024

𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒:~ππ„π‚πŠπ˜ πŸπŸ–π“π‡ π€ππ‘πˆπ‹
Follow Nandwa Isaac

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Moh amejam,anaambia Becky wewe ipo siku utanikumbuka lakini Junior alimwambai Moh,hakuna cha siku, wewe ju vitu haziaenda venye ulitaka unafeel vibaya sindio? Moh akamwambia kwanza hata wewe naregret sana kukutetea but endeleeni kufanya hizi maufala zenu mimi narudi kuendelea maisha yangu in peace. Moh akaenda akiwa amejam sana.

Pupa ndio kuondoka anaondoka but kufika kwa mlango,akakutana na Pupa akamwambia amekuja kuona Moh. Pupa akamwambia aii,Moh alitoka kiasi but vitu zake ziko huku atakujia tu. Amelia akashtuka haya "Moh anakaa huku" Pupa akamwambia yeah ju waliletana juu na Becky so ikabidi amekuja kwa siku kadhaa. Kisha Amelia akauliza Pupa,mbona unaona Sanchez ako serious na Moh? Pupa akamwambia ni venye mzee alisimp,alisimp ile ya kweli. Amelia akakumbuka kuna siku alimpata SAcnez akiwa kwa mawazo sana na kumuita Sanchez badala ya kusema mum akasema Moh.

Huku kwa Hakimu amejam sana hadi aliambia Becky please,I have had enough,your drama explanation na everything please na hakuna kitu ama mtu ashawai nikosea heshimu kwangu. Becky akaomba msamaha hapo na Hakimu si msee mbaya,akamsamehe na wakawa sawa hadi Hakimu akaambia Becky,I hope hutasurprise Junior tena ju kupata mwanaume anaeza kusamehe after ile kitu ni hard sana. Becky alimwambia for Junior nampenda sana.

Amelia walikuja kukaa an Pupa kuongea an akamuuliza tena,mbona ulikataa Lexy? Pupa akamwambia si madhe hiyo tulimaliza ama? Amelia akamwambia yeah najua tulimaliza but sijai elewa mbona hukumwambia tu nyinyi ni macuzo ukaenda to an extend story za bunduki. Pupa akamwambia unajua madhe ni venye tu sai nataka kujijenga kimaisha so sitaki mastory mob.

Wakiwa tu hapo,Moh akaingia,akaangalia Pupa na macho mbaya na akaenda hadi Ameia akauliza Pupa,mbona huyu anakuangalia hivi? Pupa akamwambia ni venye alikua anadhani maybe niko na feelings na yeye but nilimwambia hakuna kitu k**a hiyo so anasikia vibayaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani Anelia ndio anajionea.

Kumbe Hakimu na yeye kuona hawa wawili wanafendana aliamua kuwapea zawadi ya pesa akawaambia sasa nawapea holiday muende mjienjoy k**a couple mkimaliza ndio mrudi kazini. Junior na Becky furaha si furaha.

Moh na yeye amekuja kwa room anafikiria yani Sanchez aniset tena aseme ananipenda,haiezi wezekana. Amelia alikuja kuongea na yeye but Moh akamfukuza akamwambia sitaki kukuona hapa. Amelia akamwambia ni awa but ukitaka mtu wa kuongelesha Iam here anytime. Amelia akiondoka Moh alimuita,akamwambia ngoja basi,kisha akamuuliza unajua story ya Junior na Moh kuengage? Hii ni breaking news kwa Amelia hakua anajua kitu k**a hiyo. Akaambia Moh zii,hakua anajua anything like that.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amelia aliambia Moh si kwa ubaya but I really wanted them warudi pamoja but story ya ring sikua najua hata kidogo. Kisha Amelia akauliza Moh,umesema Junior alipeana ring? Ilikua inakaa aje? Moh akamwambia ni venye iko expe kiasi. Hapo ndio Amelia akakumbuka oh kuna loan Junior alimuomba akasema anataka kufanyia kitu kumbe alienda kubuy ring ya kusurprise nayo Becky. Amelia furaha nayo...

Junior walikua na best day ya kuenda out,wakakunywa na wakaambiana maneno ya kupendana huku Junior anamwambia Becky venye she is beeatiful wakismile na kuangaliana a sexy eyes wakilishaa chakula. It was a day worthy called full of love.

Moh on other side aliona akuje kwa kaburi ya mamake at least aongee na yeye na akamwambia mu, natamani anga mara moja uamke nikuone,Sikuwahi kukuambia nakuoenda kabla uondoke,Na ina ichoma moyo wangu,Ina ikwaza nafsi yangu,Mana sikupada mda mama yangu,Ya kuomba msamaha wa kosa langu,Sometimes najifungia chumbani mwenyewe,Najiliza k**a mtoto

Lexy pia aliona akuje kuongea na Pupa akamwambia manze, najua kuna tofauti kati yetu but nataka tumake up things k**a ni kazi tuchape pamoja. Pupa akamwambia hapo sasa umeongea k**a wazee kumi na ju ya hiyo acha hata nikutoe blockπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wakaelewana na hadi wakahugiana. Pupa na Lexy wakibaki kuhigiana hivyo,mimi na mimi sina budi ila kumalizia kipindi cha Becky hapo,it has been true,it has been real till next time,turus.

17/04/2024

The gods have spoken..... Bayern Munich will ask for water.

17/04/2024

Sasa hii ni bwana ya mtu nimekula πŸ₯²πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wooiye Nandwa Isaac

Photos from Maisha Magic Plus's post 16/04/2024
16/04/2024

Nimewai jifanya chuck norris nikajaribu kudondoka mat jogoo road nilikua nashikiliwa na wamama wa soko buaaana nikienda kuenda

16/04/2024

Becky on citizen TV.
Ati Sanchola ana rhyme na Moh ama..? πŸ™‚πŸ€£πŸ€£
K**a unasema relationship iingiane weka like hapo

Videos (show all)

Tonight on ZARI Nini kimemtokea Fridah kwenye safari yake..? Tupatane pale Maisha Magic Plus leo jioni wadau.
Yaani Fred Arocho lost his phone in Kisumu while celebrating with fans
Tonight on ZARI Kwa KAMBARAGEs kunani..? Hali si hali huko. Yani ndio wanaporomoka tu. Sasa mansion iko on sale. Shida n...
Eric Omondi visited Ras Stephen Bingi whose house was flooded with water. Eric Omondi through his Sisi kwa Sisi Initiati...
Next on ZARI.Salaale, shemeji yetu Lwanda kimeanza kumramba sasa. Lola amesema Maisha yake Lwanda yanaenda kuwa like a h...
Sasa huyu ni wa nani shuwali 🀣
Tonight on ZARI on Maisha Magic Plus Dylan na Lwanda wameenda kumtafuta Harriet, lakini Isaac ako rada yao na njama mbay...
Kula samaki
Live ndani ya Radio Maisha, Expressway Lounge. Manchester city Vs Arsenal
Live from EXPRESS WAY LOUNGE
If you don't Gerrit, forget about it 🀣🀣🀣🀚
πŸ”₯πŸ”₯The gang is in Mombasa lakini kuna wengine ni kama hawana raha... What will happen to the Pink Ladies at the coast?πŸ˜…Ca...

Telephone

Website