Juwa uhakika ya muislamu sahih
AL-IKHILAAS DA'AWA
Hukumu ya Mwenye yuko na kidondonda hali ya kuwa Akishika udhu kidonda chake kitazidi kuchimbuka au kitamuletea matatizo
حكمه هو المسح على الجبيرة الوجوب، في الوضوء و الغسل بدلا من غسل العضو المريض أو مسحه
Hukumu yake niku tawadha viungo vinatakiwa udhu k**a kawaida
Kisha sehemu ile ina kidonda k**a katika viongo vinawajibika kwa kutawadhwa
Anasema Sheikh al Islaam ibn taimiay
Ikiwa sehemu hiyo unaweza kupaosha bila ku udhurika basi paoshe
- ikiwa utaudhurika basi papishe maji kupitia kitu hakuna maji kwakungusa
Ikiwa utaudhurika kwa hii basi tayamamu…..)
اللهم علمنا بما ينفعنا
Katika tadhila sa mwezi wa shabani
Subhan Allah aaldhim
lailatul qadr kwenye siku kumi za mwisho wa ramadhani #
Allah hata baada y’a Ramdhani #
#حكم قضاء صوم الرمضان #
#وجوب حفظ الجوارح في رمضان و غيره #
#من لا يلزم صوم الرمضان #
7yenye kuharibu swaumu #
#مفسدات الصوم #
#من يجب عليه صوم شهر الرمضان #
#فضل شهر الرمضان #
LAA ILAAHA ILLALLAH HAINUFAISHI K**A ITATAMKWA BILA KUIFAHAMU NA KUIFANYIA KAZI.
فمن قال لا إله إلا الله ولم يعلم معناها ولم يعمل بمقتضاها لم ينفعه ذلك ، فإن المنافقين في الدرك الأسفل من النار ، يقولون لا إله إلا الله ولم ينفعهم ذلك.
Basi atakaesema LAA ILAAHA ILLALLAH naye hajui maana yake wala hatendi kwa makusudio yake halimfai hilo, Hakika wanafiki watakua Katika kina kirefu cha moto, na wao wanasema LAA ILAAHA ILLALLAH na haliwafai hilo
وكذلك بنو حنيفة ، الذين قاتلهم أصحاب رسول الله صلى الله عليه وسلم ، يقولون لا إله إلا الله ويؤذنون ، ويصلون ، وهم كفار بالإجماع ،وقد أراد النبي صلى الله عليه وسلم أن يغزو بني المصطلق لما فيل له إنهم منعوا الزكاة وهم يقولون لا إله إلا الله ، ويؤذنون ويصلون وكذلك الصديق رضي الله عنه ، قاتل مانعي الزكاة وهم يشهدون لا إله إلا الله ويؤذنون ويصلون
Na hivo hivo banuu hanifah ambao maswahaba wa mtume swallallahu alayhi wasalama waliwapiga vita na wao wanasema LAA ILAAHA ILLALLAH na wanaadhini na wanasali na wao ni makafiri kwa ijma'a, na hakika alitaka nabii swallallahu alayhi wasalama kuwapiga banii mustwalaqa pindi palisemwa kwake yakua wao wamekataa kutoa zakah na wao wanasema LAA ILAAHA ILLALLAH , na wanatoa adhana na wanasali , na hivo hivo As swiddiiq Radhwiyallahu anhu aliwapiga vita waliokataa kutoa zakah na wao wanashahidilia LAA ILAAHA ILLALLAH na wanatoa adhana na wanasali
الدرر السنية في الأجوبة النجدية 242-9/241
Click here to claim your Sponsored Listing.