Afya leo

Tambua thamani ya Afya yako katika kufikia malengo yako.

20/07/2024

Neema juu ya Neema 🙏🙏🙌❣️

Photos from Afya leo's post 12/05/2024

Jana historia
Leo naishi Bwana
Kesho ni kwa Neema # #@

03/11/2022

Amesema ndio🙏🙏🥰

10/07/2022

Blessings 🍎❤️

05/06/2022

Efeso3:20🍎

02/04/2022

God progress

Photos from Afya leo's post 10/03/2022
31/01/2022

Hiii hapa suruhisho la tatizo lako,, ifahamike kwamba asilimia kubwa ya wanaume wengi wanapata shida hii na kujificha lakn kuna sababu nyingi ambazo zinapelekea tatizo hilo kwa sasa na wengi wanasumbuliwa nalo na kujifichaa,,,. Karibu tukuhudumie na upate ushauri bure kabisa rejesha furaha ya Ndoa yako

0620394092

Photos from Afya leo's post 19/01/2022

Kwa Afya ya Ngozi yakoo ,, ngozi iliyoharibiwa na vipodozi, kutokwa na chnusi, ngozi yenye mafuta, miwasho ,vipele vidogo vidogo ,,, na tatizo lolote la ngozi yako ,,Apogee Afya Leo analo jibu lako ,0620394092 karibu kwa huduma na ushauri

Photos from Afya leo's post 14/01/2022

TEZI DUME SIO BUSHA, ZIJUWE DALILI ZA TEZI DUME

May 30, 2021

 



Watu wengi wamekuwa wakidhania kuwa tezi dume ni busha ama ngiri maji kwa jina jinngine. Hapana hii sio sahihi kabisa. Mpenzi msomaji tambuwa kuwa tezi dume sio busha na haifananni kabisa na busha. Tezi dume isipotibiwa kwa haraka inaweza kuwa hatari sana kwani ina maumivu makali sana. Sasa nini hasa hii tezi dume?. katika makala hii nitakwenda kukupa mwangaza kuhusu tezi dume., dalili za tezi dume na athari za tezi dume kwa afya ako.

Nini maana ya tezi dume
Tezi hii kitaalamu hufahamika k**a prostate gland. Hii ni tezi inayopatikana katika mfumo wa uzazi wa kiume. Tezi hii inapatikana jirani na kibofu cha mkojo na mirija ya mkojo. Tezi hii ina kazi ya kuzalisha majimaji ambayo hubeba mbegu za kiume. Majimaji haya ndio yale anayotoa mwanaume anapofikia kilele. Hivyo tezi hii ni muhimu sana katika mfumo wa kizazi wa mwanaume. Tezi hii si kubwa saana inapata sentimita zisizozidi 5. lakini tezi hii hukuwa kadiri umri unavyoenda.

Kwa ufupi wa maneno ni kuwa tezi dume ipo zini ya kibofu karibu na shingo ya kibofu. Na imezunguka mrija unaotoa mkojo kutoka kwenye kibofu kuja nje (urethra). hivyo mkojo unapotoka kwenye kipofu hipitia katikati kwenye tezi dume ukiwa kwenye mrija wa urethra. Urethra ndio mrija unaotoa mkojo kutoka kwenye kibofu.

Vipi ugonjwa wa tezi dume hutokea?
K**a ulivyojifunza hapo juu mkojo ukiwa kwenye mrija hupita katikati ya tezi tume. Sasa tezi hii ina kawaida ya kukuwa kadiri mtu anavyopata umri zaidi. Hivyo basi kadiri tezi hii inapoongezeka ukubwa ndivyo inavyoanza kuminya mirija ya kupitisha mkojo na hatimaye huanza tatizo la ugonjwa wa tezi dume. Tatizo hili kitaalamu hufahamika k**a Benign Prostatic Hyperplasia (BPH).

Nini sababu za kutokea kwa tezi duma?
K**a ilivyokwisha kutajwa hapo juu, tezi hii hukuwa kadiri mtu anavyokuwa. Kwa baadhi ya watu inapokuwa huwa kubwa kiasi cha kuanza kuminya mirija ya mkojo na kuleta shida kwenye mfumo wa mkojo. Tafiti mbalimbali zinaonyesha kuwa miongoni mwa mambo yanayohatarisha uwezekano wa kupata ugonjwa huu ni haya yafuatayo:-

1.Umri, kikawaida tezi dume huwapata watu wenye umri kuanzia miaka 40. ni mara chache sana kuwapata w

Photos from Afya leo's post 12/01/2022

Kwako wew mwanamke,, Femicare ndo jibu lakoo ,,press ur order popote ulipoo itakufikia tu 0620394092

Photos from Afya leo's post 18/12/2021

Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
A.NINI KINASABABISHA BAWASIR ?
Miongoni mwa visababishi vya bawasir ni;
-Tatizo sugu la kuharisha
-Kupata haja kubwa(kinyesi)kigumu
-Uzito kupita kiasi(OBERSITY)
-Ngono ya njia ya haja kubwa(ANAL S*X)
-Umri mkubwa na mambo yanayoongeza shinikizo katika tumbo.
B.DALILI ZA BAWASIR
-Kinyesi kuchanganyika na damu wakati wa kujisaidia
-Maumivu au usumbufu katika njia ya haja kubwa
-Kutokwa na kinyesi bila kujitambua(kuvuja kinyesi)
-Kijiuvimbe katika eneo la tundu(mlango)wa kutolea haja kubwa.
-Ngozi katika eneo la tundu la haja kubwa kuwasha.
-Bawasir kutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.
C.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume. Kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia namba 0620394092

09/12/2021

Femicare fahari ya mwanamke karibu ujipatie yako mapema tutafute kwa nambari 0620394092

09/12/2021

Karibu usikilize namna femicare imesaidia watu wengi sana karibu na wew tukusaidie femicare ni fahar yako karibu Leo inbox 0620394092

08/12/2021

Ni Yesu tu

18/09/2021

Zijue Dalili za hormanal imbalance 0747871984

18/09/2021

Karibu ujifunze zaid ili upate ufumbuzi 0747871984

19/08/2021

Uvimbe wa tezi dume unatibika bila upasuaji wowote chukua hatua mapena wasiliana nasi Leo 0620394092

28/07/2021

0620394092 kwa matibabu kamili ya PID katibu tukuhudumie

13/07/2021

Wasiliana nasi leo kwa Tiba na ushauri kupitia namba 0620394092 buree kabisa

Photos from Afya leo's post 28/06/2021

Mwanamke chukua hatua ili kuepukana na madhara yanayotokana na tatizo la hormonal imbalance karibu kwa ushauri bure kabisa kupitia nambari 0620394092/0747871984

18/06/2021

Bawasiri inatibika bila upasuaji wowote ule. 0620394092 karibu uhudumiwe

17/06/2021

Stay safe stay clean stay happy
Mwanamke ,binti,mama,,,,,,, unapata shida ya fangus sehem za Siri kwa mda mrefu , U T I inayojirudiarudia, kutokwa na uchafu unaotoka harufu mbaya, miwasho ya Mara kwa Mara....... Usichukulie powa kwa sababu itakuletea madhara makubwa baadae mfano maambukizi katika kizazi chako na ukashindwa kuitwa mama lakini pia kukosa KUWA huru na kazi zako mda wote kwa kuhofia kutoa harufu mbaya mbele za watu .......... Hii hapaaa suluhisho la tatizo lako Haina kemikali kabisaaa NI salama kwa matumizi yako wew binti mwenzangu dada mwenzangu mwanamke mwenzangu. Amka leooo wanawake wote fahari yetu NI Femicare .....jipatie mapema ya kwako kwa Bei nafuu kabisa. Kwa mawasiliano zaidi 0620394092 mahali popote ulipo utahudumiwa

29/05/2021

PID (Kitaalamu Pelvic inflammatory diseases) NI maambukizi katika njia ya uzazi wa mwanamke ambayo inasababishwa au kuchangiwa na vitu vifuatavyo
U.T.I ya Muda mrefu bila matibabu yake mpka kupekekea kuharibu kizazi Cha mwanamkeKukutana kimwili na zaidi ya mpenzi mmoja kuitumia sabuni ambazo NI medicated kusafisha sehemu ya uke kwa sababu unaua bacteria walinzi katika eneo Hilo

NI nin dalili za P.I.D

Kupata maumivu makali wakati wa hedhi
Kutokwa na uchafu usio wa kawaida sehemu za uke Tena wenye harufu mbaya

Kupata maumivu ya tumbo la chini

Kupata maumivu wakati wa kufanya tendo la Ndoa

Dada ,binti,mama uonapo dalili hizi wasiliana NASI kwa ushauri na matibabu calls)sms 0620394092

21/05/2021

Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na kutoweza kushika mimba au kupata ujauzito.

Aina za Ugumba

Ugumba wa asili (Primary infertility) - Hii ni pale ambapo mwanaume na mwanamke hawajawahi kutunguisha mimba kabisa maishani mwao hata baada ya kujamiana au kukutana kimwili kwa muda wa mwaka mmoja bila kutumia njia yoyote ile ya kuzuia kupata mimba.

Ugumba unaotokea baadaye maishani (Secondary infertility) - Hii ni pale ambapo wote wawili, mwanamke na mwanaume wameshawahi kupata ujauzito au kutungisha mimba angalau mara moja maishani mwao na baada ya hapo hawajafanikiwa kupata au kutungisha mimba tena.

Tatizo la ugumba linaweza likawa ni la nwanaume au mwanamke pekee ingawa wakati mwingine wote wawili wanaweza kuwa na tatizo hili

Ni sababu zipi zinazoleta tatizo la ugumba (infertility) ?

Kwa wanawake ;

Matatizo ya autoimmune disorders k**a antiphospholipid syndrome (APS)

Matatizo katika uterus na shingo ya kizazi (cervix) k**a uvimbe (fibroids or myomas) na birth defects

Matatizo katika mfumo wa kuganda wa damu (clotting disorders).

Mazoezi kupita kiasi (excessive exercise), afya iliyodhoofika (poor nutrition), matatizo ya kula (eating disoder).

Baadhi ya madawa au sumu.

Msongo wa mawazo (emotional stress)

Tatizo la kukosekana kwa usawa wa mfumo wa vichocheo mwilini (hormonal imbalance)

Uzito uliopitiliza (obesity)

Unywaji pombe kupindukia (heavy alcohol intake)

Magonjwa ya muda mrefu k**a kisukari (diabetes)

Magonjwa ya kina mama (Pelvic inflammatory infection, PID)

Ovarian cysts and polycytic ovarian syndrome

Magonjwa ya zinaa (sexually transmitted disease, STD) au endometriosis

Saratani

Uvutaji sigara, madawa ya kulevya k**a kokeni, bangi, hashishi nk.

Matatizo ya hedhi - wanawake wanaopata hedhi bila kutoa mayai (anovulatory menstrual cycle)

Kuwepo kwa cervical antigens ambazo huua shahawa za mwanamume na hivyo kusababisha kwa mwanamke kutopata ujauzito.

Kwa ushauri na tiba wasiliana nasi kupitia 0620394092

19/05/2021

Unapata maumivu makali ya mgongo ,kiuno,magoti na maungio. Suluhisho lipo kwa dawa Safi kabisa zisizo na kemikali mahali popite ulipo wasiliana Nadi leo calls/sms 0620394092

15/05/2021

Sababu Za Mwanamke Kukosa Kizazi

Ili mwanamke apate mimba, sehemu zote za mwili wake zinazohusika na uzazi zinatakiwa zifanye kazi inavyotakiwa na katika hatua zote. Hatua katika utengenezaji wa mimba ni k**a zifuatazo:

1. Moja kati ya ovari mbili za mwanamke kuachai yai lililokomaa
2. Yai hii kusafirishwa na mrija wa uzazi (fallopian tube)
3. Mbegu za mwanamme kusafiri hadi kwenye cervix, kupitia tumbo la uzazi (uterus) hadi kwenye mrija wa uzazi, kulifikia yai na kulipevusha.
4. Yai lililopevushwa kusafiri kupitia mrija wa uzazi hadi kwenye tumbo la uzazi (uterus).
5. Yai kunata kwenye ukuta wa uterus na kukua
Ugumba kwa mwanamke unaweza kutokana na dosari katika hatua yo yote katika hizo tulizozitaja na mara niyingine kutokana na dosari katika hatua zaidi ya moja.
Pamoja na kuwa kuna sababu nyingi za mwanamke kutopata mimba, lakini sababu kuu tatu ndizo zinazohusika zaidi k**a tutakavyozielezea hapa chini.

Kushindwa Kuzalisha Mayai (Anovulation)

Hili ndilo tatizo ambalo linachangia ugumba kwa wanawake kwa asilimia 30 lakini kwa bahati nzuri asilimia 70 ya wanawake wenye tatizo hili hupata tiba na kufanikiwa kupata watoto. Mwanamke mwenye tatizo hili hutoa mayai mara chache au hatoi mayai kabisa. Chanzo cha tatizo huwa ni moja ya yafuatayo:

1. Matatizo Ya Homoni
Matatizo ya homoni ndiyo yenye mchango mkubwa zaidi kwenye kumfanya mwanamke ashindwe kuzalisha mayai. Uzalishwaji wa mayai hutegemea mchanganyiko wa homoni utakaofanya kazi kwa kuhusiana bila kuvurugwa katika utendaji wake wa kazi.

Kuna matatizo ya aina tatu yanayoweza kuvuruga mpangilio huo.TUTAONA KWENYE MADA INAYOFATA

Kuzalisha Mayai Yasiyokomaa:
Matatizo Ya Hypothalamus: Hypothalamus ni sehemu ya ubongo inayohusika na kutoa ishara kwa tezi ya pituitary (pituitary gland) ambayo nayo huamsha homoni za ovari zinazoruhusu yai kukomaa. Hypothalamus isipofanya kazi yake, mayai hushindwa kufika ukomavu. Asilimia 20 ya dosari za ukomavu wa mayai husababishwa na matatizo ya hypothalamus.

Matatizo Ya Pituitary Gland: Tumeona hapo juu kuwa tezi ya pituitary inahuvusika katika kukomaza mayai. Endapo pituitary itatoa homoni kwa kiwango kidogo au kikubwa kupita kiasi, ovari zitashindwa kuzalisha na kutoa mayai ipaswavyo. Hali hii hutokea pale tezi hii inapoharibiwa kwa ajali, kunapotokea uvimbe ndani yake au kunapokosekana ulingano wa kikemikali ndani ya tezi hiyo.

2. Makovu Kwenye Ovari
Uharibifu kwenye ovari unaweza kusababisha ovari hizi kushindwa kuzalisha mayai. Operesheni za mara kwa mara hujenga makovu kwenye ovari hizo na kuzifanya zishindwe kuzalisha mayai. Maambukizi ya magonjwa huweza pia kusababisha ovari kushindwa kuzalisha na kutoa mayai.

3. Kukoma Hedhi Mapema
Kukoma hedhi mapema ni tatizo ambalo halijaeleweka vizuri kisayansi. Baadhi ya wanawake wanaacha kupata siku zao za
kawaida kwenye umri usiotegemewa. Dhana moja ni kuwa hifadhi yao ya mayai imekwisha au nyingine ni kuwa inatokana na wanawake hawa kuwa wenye historia ya kuwa wanariadha waliokuwa na miili yenye uzito mdogo na waliofanya mazoezi
ya nguvu kwa muda mrefu. Kuna uwezekano kuwa kukoma hedhi mapema ni suala la urithi.
4. Matatizo Ya Follicle
Kuna tatizo lisilo na maelezo ya kisayansi “unruptured follicle syndrome” ambapo mwanamke hutengeneza mfuko wa kawaida wa yai wenye yai ndani yake kila mwezi lakini mfuko huo hugoma kupasuka na kuachia yai. Hivyo kwamba, yai hubaki ndai ya ovari na utolewaji wa yai nje ya ovari kutotokea.

Mirija Ya Uzazi (Fallopian Tubes) Kushindwa Kufanya Kazi Vizuri

Magonjwa katika mirija ya uzazi huathiri asilimia 25 ya wanafamilia ambapo tatizo laweza kuwa dogo la kunata kwa yai au kubwa la mirija kuzibwa kabisa. Tiba kwa matatizo ya mirija ya uzazi mara nyingi ni upasuaji. Matatizo yanayopelekea kuziba kwa mirija ya uzazi ni k**a yafuatayo:
1. Maambukizi Ya Wadudu
Maambukizi ya virusi na bacteria yanayoenezwa kwa ngono husababisha makovu na uharibifu, kwa mfano, maambukizi ya
Hydrosalpnix yanayosababisha mirija ya uzazi kuziba pande zote na kujaa maji .
2. Magonjwa ya Tumbo
Magonjwa ya appendicitis na colitis huleta madhara kwenye tumbo ambayo yanayoweza kuiathiri mirija ya uazazi kwa kujenga makovu au kuiziba.
3. Upasuaji
Hii ni sababu kubwa ya magonjwa na uharibifu wa mirija ya uzazi. Upasuaji wa kwenye maeneo ya kinena na tumbo huweza kusababisha uharibifu utakaozuia upitaji wa yai.
4. Mimba Ndani Ya Mirija Ya Uzazi (Ectopic Pregnancy)
Mimba zinazotunga ndani ya mirija ya kizazi huweza kuleta uharibifu kwenye mirija hiyo hata k**a tahadhali ya juu
itachukuliwa kuziondoa.
5. Matatizo Ya Kuzaliwa Nayo
Mara chache huweza kutokea kuwa mwanamke akazaliwa akiwa na dosari katika mirija yake ya uzazi. Bado hujachelewa wasiliana nasi Leo ili uweze kusaidiwatatizo lako 0620394092

14/05/2021

Bawasiri inatibika bila upasuaji wowote chukua Hatua mapema kutibu tatizo lako

13/05/2021
Want your practice to be the top-listed Clinic in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Femicare fahari ya mwanamke karibu ujipatie yako mapema tutafute kwa nambari 0620394092

Category

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Medical & Health in Dar es Salaam (show all)
African Cure Tanzania African Cure Tanzania
Samora Towers, Floor C3, Room No. 217
Dar Es Salaam

Afya kwanza Afya kwanza
Ilala
Dar Es Salaam

JENGA AFYA YAKO SASA JENGA AFYA YAKO SASA
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

EMANUELY MSHAURI WA AFYA NA MTOA HUDUMA WA CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA AFYA;!?MFANO TEZ DUME BILA UPASUAJI BAWASIRI UTI PID 0672518275

Simactz Simactz
Kijitonyama (Near Sinza Maalum School)
Dar Es Salaam

We connect student with internationally accredited university, we deal with medical tourism and High

MGAYA Health solutions MGAYA Health solutions
Dares Salaam
Dar Es Salaam

[email protected]

Mifugocare Mifugocare
Dar_es_salaam
Dar Es Salaam

MATIBABU, CHANJO NA UZALISHAJI WA MIFUGO AINA YEYOTE

Afya kavishe Afya kavishe
Mliman City Dar-es-salaam, Kinondoni, @Afya_kavishe
Dar Es Salaam

Tiba kwa matatizo ya UTI,PID,SUKARI,VIDONDA VYA TUMBO,UZAZI,TEZI DUME,NGUVU ZA KIUME,UVIMBE, n.k

Afya zone Afya zone
Muhimbili
Dar Es Salaam

Tunawasaidia watu kuboresha afya ya uzazi, kupunguza uzito na kitambi, kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na ngozi. Tuma ujumbe neno afya kwenda WhatsApp 0659414711 au piga s...

Ochieng medics Ochieng medics
0716795380
Dar Es Salaam

swashpolyclinic swashpolyclinic
Charambe Magengeni, Mbagala Rangi Tatu
Dar Es Salaam

We're working with Internal Medicine Specialist, Gynecologist, Pediatrician and Medical Directors.

Sm_medicstz Sm_medicstz
Mikocheni A
Dar Es Salaam

Tunauza: Vifaa Tiba, Crocs shoes, Uniform za watumishi wa afya (scrubs uniform)kwa jumla na rejareja

Fursa ya biashara na kipato endelevu. Fursa ya biashara na kipato endelevu.
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam