Dawa ya vidonda vya tumbo 1.

Dawa ya vidonda vya tumbo 1.

You may also like

Kaoushick bagh
Kaoushick bagh

Karibu tukuhudumie.unachangamoto gani?

07/05/2023

Komesha tatizo la ujauzito kuharibika: kwa Sh 40000/: kwa watu 10 pekee. mwisho wa ofa hii tarehe 25/5/2023.haina madhara yeyote kwa mtumiaji

Utaipata popote Tanzania.
tupigie 0692495991

17/01/2023

MAUA YA ROSEMARY
ni moja kati ya maua yanayo pendeza sana lakini pia yanavutia kwa harufu yake nzuri:wengi wanautumia tu k**a mapambo kwa kutokutambua umuhimu wake:tafiti zina thibitisha kwamba mmea wa Rosemary una uwezo mkubwa wa kutibu magonjwa mengi K**a ukitumika kwa usahihi.uuonapo mahari usiuchukulie poa

FAIDA ZA ROSEMARY
1.huondoa mafuta kwenye ini
2.huondoa mioto na ganzi
3.inasaidia afya ya ubongo na kuongeza kumbukumbu
4.husaidia mmeng'enyo wa chakula
5.huondoa acid tumboni
6.husaidia mzunguko wa umeme mwilini
7.husaidia kusafisha kibofu cha mkojo
8.husaidia mzunguko wa damu
9.hutibu presha ya juu
10.huondoa msongo wa mawazo
11.huondoa sumu mwilini
12.husaidia afya ya nywele
13.hutibu stroko.
14.Ina vitamin A,B6,C na madni lukuki.

Imeandaliwa na
Dr B.NDAGIJE (HD)
USHINDI HERBAL PRODUCTS
0692495991
DARESALAM,TANZANIA

Photos from Dawa ya vidonda vya tumbo 1.'s post 24/12/2022

Vidonda vya tumbo vinakera sana:ushindi herbal products tumekutengenezea dawa ya asili ya vidonda vya tumbo ili kukuondolea kelo hiyo kabisa.

Dozi ni kopo 2 unatumia siku 35 .kwa sh 120000/:kwa tiba na ushauli tupigie 0692495991
Vingunuti Daresalam

PROGRAM KUTIBU KISUKARI 04/12/2022

Tanzania bila kisukari inawezekana kabisa!!tua kisukari na madhara yake milele.tukutane darasani kwa maelekezo zaidi.👇👇👇👇👇👇👇👇👇

PROGRAM KUTIBU KISUKARI WhatsApp Group Invite

21/10/2022

Ugonjwa wa Kisukari ni ugonjwa ambao ukiwasumbua watu wengi nchini na nje ya nchi .

Kumekua na imani zisizo sahihi kuhusiana na ugonjwa huu,kutokana na watu wengi kutokua na elimu sahihi kuhusu ugonjwa .wengi wametishwa na kujikuta wakiingizwa kwenye matumizi ya vidonge au sindano za insulin.hali ambazo zinapelekea kupata shida ya ganzi,shida ya macho,shambulio la moyo,presha ya juu na hata matatizo ya figo.

Njia sahihi ya kutibu kisukari ni kulisaidia kongosho kujihuisha upya(kujikarabati) ili liweze kuzalisha insulini ya kutosha pia kuondoa mafuta yalio zunguka kwenye seli za misuli na seli za ini ili kuruhusu insulin kufungua kuta za misuli na glucose (sukari)iweze kuingia ndani ya seli na kutumika.

Mwenyezi mungu ameumba miti na minea viwe kwetu chakula na dawa:kwa hiyo hakuna ugonjwa ambao hauna dawa:ukiambiwa na daktari wako kwamba ugonjwa huu hauna tiba basi haraka achana nae na utafute daktari mwingine.

Tunayo dawa yenye uwezo wa kufanya mambo yote hayo na kukufanya upone kabubisa kisukari .kopo ni sh 50000/:dozi kopo 4 Unatumia miezi 4.tupigie au WhatsApp 0692495991/0699524081vingunguti Daresalam

14/05/2022

VIDONDA VYA TUMBO NA TIBA YAKE
Ni ugonjwa unao tokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuchubuka.
AINA YA VIDONDA VYA TUMBO

1.DUODENAL ULCERS
hivi ni vidonda vinavyo tokea kwenye utumbo mdogo hasa juu.

2.GASTRIC ULCERS
Hivi ni vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani kwenye utumbo mkubwa.

SABABU ZA MTU KUPATA VIDONDA VYA TUMBO
1.Matumizi ya sukari rahisi
2.upungufu wa kinga za mwili
3.Bakteria kushambulia kuta za tumbo(Helicobacteria Pylori)
4.msogongo wa mawazo
5.matumizi ya antibiotics
6.kutokula kwa wakati
7.kula vyakula vinavyo zalisha acid kwa wingi

DALILI ZA VIDONDA VYA TUMBO
-kuchoka bila sababu
-mgongo kuuma
-kizunguzungu
-kukosa usingizi
-kichefu chefu
-kiungulia
-tumbo kujaa gesi
-tumbo kuwaka moto
-kupata choo kwa shida
-kutapika damu
-kutapika nyongo
-kupata ganzi
-kukosa hamu ya kula
Kusahau sahau
-kupata hasira bila sabau.
Hizi ni baadhi tuu ya dalili lakini zipo nyingi.

Vidonda vya tumbo vinakera sana,ndio maana ushindi herbal products tumekutengenezea dawa ya asili ya vidonda vya tumbo ili kukuondolea kelo hiyo kabisa.

Dozi ni kopo moja unatumia siku 35 .kwa sh 50000/: tuu kwa tiba na ushauli tupigie 0692495991
Vingunuti Daresalam

13/05/2022

tiba bora kwa vidonda vya tumbo

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Vingunguti
Dar Es Salaam
Other Health/Beauty in Dar es Salaam (show all)
Jenga afya na lameck Jenga afya na lameck
Dar Es Salaam

Faah_whitening_creams Faah_whitening_creams
Mabibo
Dar Es Salaam

faahbeautycreams

AFYA BORA 1019 AFYA BORA 1019
Ubungo
Dar Es Salaam

Hii inajihusisha zaidi na afya kwa ujumla

Afya natiba Afya natiba
Dar Es Salaam

nikuhusu afya natiba tu.

Slim n Slender Slim n Slender
1st Floor, Shop No 9, IT Plaza, Ohio Street
Dar Es Salaam

Ultrasound Lipolysis - the latest, nonsurgical, noninvasive technique for perfect shaping, helping you get rid of obesity & all associated health problems

Miriam tutorial Miriam tutorial
Dar Es Salaam

Welcome to the official page of Miriam Tutorial. Makeup artist & makeup and skincare content creat

K Hemorrhoids Solution K Hemorrhoids Solution
Mlimani City
Dar Es Salaam, 3465

Tunawasaidia Wanawake Kutibu Bawasiri bila upasuaji, na Uzazi kwa kutumia Tiba Asilia Zilizoboreshwa.

Noise maker Noise maker
Dar Es Salaam

Tunabadili muonekano wa kila aina ya simu, Laptop au dashboard ya gari yako kwa kubandika skin covers (stickers) kalii

Afya ya uzazi1 Afya ya uzazi1
Dar Es Salaam

Huu ni ukurasa unaotoa elimu juu ya afya na kutoa msaada kwa watu mbalimbali hasa wanaume wenye matatizo kwenye mifumo yao ya uzazi

Bantu Tanzania Bantu Tanzania
Dar Es Salaam

Tunauza Bidhaa bora za AFYA ya Mwili na Ngozi kwa Bei nafuu.

Eternal Favor" Eternal Favor"
Kisukulu
Dar Es Salaam, WELCOME

NUTRITION-HEALTH-QUALITY OF LIFE

Afya Bora Kwa Mwanaume. Afya Bora Kwa Mwanaume.
Makumbusho
Dar Es Salaam

Tunakupa muongozo wa vyakula,Mazoezi,Saikolojia na Suluhisho la changamoto za Kiafya. KARIBU SANA ❗