CayteAkaro Talents Owner

Her OwnπŸŽ‚ 31.12. LL.B Jurist βš–οΈπŸ‘©β€βš–οΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
#HairBraiding #Massage #HennaTattoos #ApplicationForVisa
#InNungwi-Zanzibar #GoodPrice

08/09/2024

Elfu tano ya zamani ndo million kumi ya leo

08/09/2024

Kwahiyo ku like na ku comment kwenye posts zangu mpaka nipost picha zangu?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

05/09/2024

❀❀❀❀❀❀❀

31/08/2024

Kimeumana πŸ˜…πŸ˜…

31/08/2024

Lakini hii watu kupotea inaogopesha Sana. To be honest Amani haipo.

30/08/2024

Dah!! πŸ₯²πŸ₯²hapo kwenye kulipa Kodi paniliza Sana aiseeeee, nimelia mnoooo

30/08/2024

Dah!!!!!🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Photos from CayteAkaro Talents Owner's post 29/08/2024

Wenye mnaletewaga haya maua mnawapaga nini waletaji?? Au huwa mnafanyafanyaje hadi mnaletewa?? πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚

09/08/2024

Simba SC Tanzania wamecheza mpira mzuri sana. Tulieni tu kuna furaha nyingi zaja.πŸ€—πŸ¦

25/07/2024

Jela ndo wapi?

20/07/2024

Je, ulishawahi kutishiwa maisha na mtu??

17/07/2024

Ewe binti uliyechinja mtoto koromeo nakukumbusha tu hii Dunia ni ndogo sana

13/07/2024

Lakini amani ni kitu muhimu sana. Usikubali mtu yeyote alete uvunjifu wa amani yako.

09/07/2024

Dunia haina huruma.

07/07/2024

Bado mnakopa kausha Damu??

06/07/2024

πŸ˜‚πŸ˜‚

27/06/2024

Saivi kila sehemu kuna taharuki tu hamna ata pa kukimbilia

27/06/2024

Hivi mna habari yoyote kuhusu mimi?πŸ˜₯

27/06/2024

Hello fans nimewamiss sana ndugu zanguni.

25/06/2024

Hii siyo ajali ya chombo cha moto ni mtu (mwanamke mwenzangu) kajichukulia sheria mkononi akaona mwili wangu ni ngoma. Tuombe kwa pamoja aende jela tu. No way out.
😭

05/06/2024

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Goodmorning fans!

02/06/2024

Kwani watu wakiishi sogea tukae k**a mume na mke kuna ubaya gani?? πŸ™„πŸ™„

29/05/2024

Kutoweka kidogo tu nimekuta kina mwafulani washachukua Kombe dah!!!πŸ€”

29/05/2024

Zaburi 91
10 Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.

26/05/2024

Mi nipo sana tu. πŸ€—

18/05/2024

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa yote unayonijalia πŸ€²πŸ™β€

16/05/2024

Kuna watu hawastahili kupewa pole wakiwa kwenye mapito magumu acha wakome tu.

15/05/2024

Hello guys!! Miss you

04/05/2024

Nimeamka salama namshukuru sana Mungu πŸ™

01/05/2024
Want your practice to be the top-listed Law Practice in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Daaaah 😭😭
πŸ˜‚
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί be grateful for what you have
Hili ni goli kabisa 😭😭😭😭😭😭 uonevu gani huu jamani? Pole sana mtani
Trouble
Aiseeeee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Dear God please protect my MOM always πŸ™πŸ™β€β€β€β€
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯Ί Be grateful for what you have. ❀❀
Tuko nao studio tayari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£Mwaga makopa kopa ya kutosha kwa misomisondo ❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀❀...
Misomisondo Wazee wa kazi πŸ”₯πŸ“›πŸ‘©β€πŸš’πŸš’
Baba mkwe wake Nani huyo?? 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 #helloguysgoodevening

Address


Ilala
Dar Es Salaam
0000
Other Dar es Salaam law practices (show all)
TRAWU TZ TRAWU TZ
Bibi T**i Mohammed
Dar Es Salaam, 78458DSM

TRAWU-Tanzania railway workers union οΏ½ Chama cha wafanyakazi wa reli Tanzania οΏ½CHAMA CHUMA,MIKAKATI IMARA..KINGA YA WANATELI.

Mashuka ya kudalizi Tu. Mashuka ya kudalizi Tu.
Gongolamboto
Dar Es Salaam

Shuka nzuri

mwalimuadvocates mwalimuadvocates
Room 201, Mkulima House Building, Mabibobo Hostel Mandela Road, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

We provide Corporate Advisory Services to help businesses of all types develop and grow, whether organically or through mergers and acquisitions. We are able to facilitate such tra...

Legal Consultancy  and social advises Legal Consultancy and social advises
Dar Es Salaam

Msaada wa kisheria na mambo ya kijamiii

Best Divorce Lawyers in Dar es Salaam Best Divorce Lawyers in Dar es Salaam
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 255

We The leading Divorce Lawyers and Family Law practices in the country. Providing You With Advice On

Raymax Attorneys Raymax Attorneys
Kiko Avenue
Dar Es Salaam, PLOTNO.270

A modern Law Firm, Specialized in Corporate, Tax, Insurance Law & Consultancy

ArkLife & MG Plan ArkLife & MG Plan
Bunju B, Near Petro Africa , Opposite Bunju B Local Market
Dar Es Salaam

ArkLife & MG Plan deals with plots selling,land selling,land consultancy,land map preparation and all estate business..

travelsolutionstz travelsolutionstz
Nyuki House, Tegeta
Dar Es Salaam

Uwafa family Uwafa family
Dar Es Salaam

huu ni ukurasa maalumu wa kukumbusha matukio mbalimbali ya kifamilia hasa hasa kwa walengwa kutoka k

OKOA OKOA
Dar Es Salaam

Mtaa una uhitaji kuelewa Sheria za nchi vizuri ili kuzitii na kufuata lengo ni kudumisha Amani nchini

Lewis & Co Advocates Lewis & Co Advocates
Nairobi, Muthaiga Square
Dar Es Salaam, 00100

Our Services: Dispute Resolution,Commercial, Land,Tax,IT,Family,Criminal, Labour & General Practice

Madem wakali Madem wakali
Nyemwa
Dar Es Salaam