Simulizi NONO

Simulizi NONO

Simulizi na story za kusisimua, kufundisha na kufurahisha..

01/09/2024

Aleh Gold

23/08/2024

picture by Giggle Tz Dir
Hair by Zena Yaurn
Clothes by Aleh Gold

DigArts StudiΓΆ
Aleh Gold
GUBA ROYAL TV
Simulizi NONO

23/08/2024

Big shout out to my newest top fans! Aleh Gold

16/08/2024

Thanks for being a top engager and making it on to my weekly engagement list! Aleh Gold

14/08/2024

[8/13, 9:49 PM] Aleh Gold Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*AISHA AKACHOKA NA AKAZIRA KABISA..* *SASA KWASABU FUNGUO*
*ILIKUA IMETUPWA NJEE,IKABIDI AINGIE KWENYE DROO KUANGALIA K**A KUNA FUNGUO YA AKIBA*πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/13, 9:50 PM] Aleh Gold.Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*NA HUKO CHUMBANI SARA AKAOMBA WAFUNGULIWE MLANGO.. KWA BAHATI NZIRI FUNGUO YA AKIBA ILIATIKANA, MLANGO UKAFUNGULIWA IMA AKATIMUA MBIO KUELEKEA KWENYE CHUMBA CHAKE,BILA HATA KUANGALIA K**A MAJIRANI WANAMUONA AU LAA...* πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/13, 9:50 PM] Aleh Gold.. : endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*BASI LUSEKELO NAE AKATOKA NA KUELEKEA KWA IMA, SASA SARA AKAWA ANACHEKA MWENYEWE HUKU AKISEMA "leo nimeshibishwa kabla ata sijaingia kazini sasa leo Haina kunogewa kimoja paaa Hela paaa" WAKATI HUO AISHA AKIWA KANUNA K**A POCHI YA SELEMANIπŸ˜‚*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/13, 9:50 PM] Aleh Gold.. : endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”žπŸ”ž
*SARA AKAMUULIZA AISHA"kulikoni mbona mnuno!au Amekuchafua Tu?" AISHA AKAJIBU"Yani bora angenichafua ningenawa yaani umenipa janaume lenye uvulana wake"*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

08/08/2024

[8/6, 10:26 PM] Aleh Gold Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*LUSEKELO ALIMPATIA SARA KILE ALICHOKUA AKIKIHITATI,NDIPO SARA AKAMWAGIA SIFA ZA KUTOSHA KWAMBA HAJAWAI KUTANA NA MWANAUME K**A YEYE MWANAUME ANAYEGONGELEA MSUMALI VIZURI NA MBAO HAICHOMOKI, MWANAUME MWENYE ULIMI MTAMU K**A KAEKA ASALI, MWANAUME MWENYE MIKONO AMBAYO INAAMSHA HISIA INATEKENYA..*
[8/7, 4:47 PM] Aleh Gold.. Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*LUSEKELO ALIPATIWA KILA AINA YA SIFA,NA AKAJIONA NI MWANAUME NAMBA MOJA KATI YA WANAUME WOTE*πŸ€—πŸ˜‹
*HAYA SASA TURUDI KULE SEBLENI...*πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/7, 4:52 PM] Aleh Gold.. Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*HUKU SEBLENI HALI ILIKUA NI TETE KWA IMA, MANA ALIVULIWA NGUO ZOTE NA KUBAKI MTUPU HUKU AKIHEMA NA KUTOA KIJASHO CHEMBAMBA* πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/7, 4:55 PM] Aleh Gold.. Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*MUDA WOTE HUO JAMAA ALIKUA ANABEMBELEZWA LAKINI HATA HABEMBELEZEKI UOGA MWINGII YANI UKISKIA KORO BASI IMA NI ZAIDI YA KORO*πŸ˜‚πŸ‘‰πŸ‘‰

08/08/2024

[8/6, 10:26 PM] Aleh Gold.. Namba Yangu: Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*LUSEKELO ALIMPATIA SARA KILE ALICHOKUA AKIKIHITATI,NDIPO SARA AKAMWAGIA SIFA ZA KUTOSHA KWAMBA HAJAWAI KUTANA NA MWANAUME K**A YEYE MWANAUME ANAYEGONGELEA MSUMALI VIZURI NA MBAO HAICHOMOKI, MWANAUME MWENYE ULIMI MTAMU K**A KAEKA ASALI, MWANAUME MWENYE MIKONO AMBAYO INAAMSHA HISIA INATEKENYA..*
[8/7, 4:47 PM] Aleh Gold.. Namba Yangu: Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*LUSEKELO ALIPATIWA KILA AINA YA SIFA,NA AKAJIONA NI MWANAUME NAMBA MOJA KATI YA WANAUME WOTE*πŸ€—πŸ˜‹
*HAYA SASA TURUDI KULE SEBLENI...*πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/7, 4:52 PM] Aleh Gold.. Namba Yangu: Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*HUKU SEBLENI HALI ILIKUA NI TETE KWA IMA, MANA ALIVULIWA NGUO ZOTE NA KUBAKI MTUPU HUKU AKIHEMA NA KUTOA KIJASHO CHEMBAMBA* πŸ‘‰πŸ‘‰
[8/7, 4:55 PM] Aleh Gold.. Namba Yangu: Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*MUDA WOTE HUO JAMAA ALIKUA ANABEMBELEZWA LAKINI HATA HABEMBELEZEKI UOGA MWINGII YANI UKISKIA KORO BASI IMA NI ZAIDI YA KORO*πŸ˜‚πŸ‘‰πŸ‘‰

05/08/2024

Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*BAADA YA SARA KUVUA KISKETI AKAWA ANAMSOGELEA IMA MWILINI TARATIIBU,KISHA MKONO MMOJA AKAMSHIKA BEGA HUKU MWENGINE AKIMSHIKA KIDEVU HUKU AKIMKALIA.. GHAFLA MLANGO ULIFUNGULIWA .....πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰*ENDELEA πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*MLANGO ULIPOFUNGULIWA SARA AKAPIGWA NA BUTWAA HUKU AKIJISTILI NA SHUKA,WAKATI HUO IMA AKAHEMA MHEMO WA KUONESHA AFADHARI,MANA MLANGO HUO ULIKUA UMEFUNGULIWA NA....*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*WAKATI SARA AMEMKALIA IMA HUKU ANAMPAPASA KIDEVU.... GHAFLA MLANGO ULIFUNGULIWA*
*SARA AKAJIZIBA NA SHUKA HUKU IMA AKITOA MHEMO WA KUONESHA AFADHARI MANA ALIEFUNGUA HAKUA MWENGINE BALI NI*..πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*MLANGO ULIKUA UMEFUNGULIWA NA LUSEKELO YULE RAFIKI WA IMA.. BASI IMA AKAINUKA CHAPU NA KUTOKA KUELEKEA SEBLENI, SASA LUSEKELO AKAWA ANASHANGAA MANA ALICHOAMBIWA NA ALICHOKIKUTA NI TOFAUTII..*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*HUKU SEBLENI MLANGO WA KUTOKEA NJE ULIKUA UMEFUNGWA NA AISHA AFU KAISHIKA FUNGUO AKAMSOGELEA IMA NA KUMNONG'ONEZA KWAMBA "LEO UMEINGIA KIWANJA CHA K**E AFU NI CHA MKAPAπŸ€—*Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*AISHA AKAUFUNGA NA ULE MLANGO WA CHUMBANI AFU AKAENDA KWA DIRISHA NA KUITUPA FUNGUO NJEEE...IMA AKACHANGANYIKIWA NA KUJISEMEA KUWA LIWALO NA LIWE.. HUKO CHUMBANI SASA MAMBO YALIKUA YANAZIDI KUNOGA MANA LUSEKELO ALIKUA KASHIKWA VYEMA NAYE AKAKUBALI KUSHIKWA NA KUITUMIA FURSA*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

01/08/2024

Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*BASI AISHA AKAMSISITIZA SARA KWAMBA AHAKIKISHE ANAIFANYA SHUGHULI K**A HAJI KUIFANYA TENA... SARA AKAINGIA CHUMBANI NA KUMWAMBIA IMA "WE IMA MAMA SANDRA KAGOMA KUTOKA AF MI SIMPENDI SITAKI KUKAA NAE NGOJA TU NIKAE NA WEWEE" HUKU ANAMSOGELEA MWILINI..IMA AKATUMBUA MACHO MITHIRI YA MBWA ALIE KANYAGWA MKIA Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*IMA ALICHANGANYIKIWA UOGA UKAMJAA KUMAANISHA KWAMBA YEYE NI KUKU WA KIENYEJIIIπŸ˜‚ SARA ALILIGUNDUA HILO KO ALICHOKIFANYA NI KUSIMAMA NA KUSOGEA PEMBENI KISHA KUSHUSHA KISKETI ALICHOKUA KAVAA...

01/08/2024

Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*MLANGO ULIKUA UMEFUNGULIWA NA SARA HUKU AKIWA HANA ATA WASIWASI AKAMWAMBIA IMA KWAMBA ALIEKUA ANAGONGA MLANGO NI MAMA SANDRA M,MBEA WA NYUMBA NZIMA... IMA AKASEMA "SI AMESHAONDOKA ME NITOKE?" "HAPANA AMEKUJA KUPIGA PASI UKU K**A KAWAIDA YAKE KUCHUNGUZA MAJIRANI TU,KUOGA AAAAAAH" "SAWA SARA KO TUNAFANYAJE?" SARA HAKUJIBU AKAENDA SEBLENI KUMBE UKO SEBLENI HAKUA MAMA SANDRA,ALIKUEPO AISHA RAFIKI WA DAMU WA SARA... SARA NA AISHA KUMBE WAMEMTEGA TU IMA ILI SARA AJIPAKULIE ASALI KWENYE MZINGA WA IMA MWAMBA KUTOKA MAKETE*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ«£πŸ‘‰

31/07/2024

*Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž*
*MWAMBA AKIWA CHINI YA UVUNGU AKATAKA AMPIGIE SIMU RAFIKI AKE AJE AMTOE UYO MTU ANAEGONGA HODI "ambaye yeye aliamini ni mume WA Sara" BASI AKACHUKUA SIMU YAKE NA KUMCHEKI RAFIKI AKE KWA MESEJI "oyaa lusekelo njoo apaa geto kwangu chumba Cha tatu kutoka mkono WA kulia nimefumwa we njoo upige HODI afu omba msaada kwamba Kuna mtu kapata ajali waende kukusaidia kumbeba Ili wakitoka nichoropoke" GHAFLA MDA HUO HUO MLANGO WA HUKO CHUMBANI UKAFUNGULIWA*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

31/07/2024

*πŸ”žendelea πŸ‘‡πŸ‘‡*
*SIKU MOJA IMA ALIITWA NA SARA AENDE NDANI KULA DINNER, HAKUSITA ALIINGIA NDANI AKALA MSOSI..AKIWA ANATAKA KUONDOKA MLANGO ULIGONGWA,SARA AKAMWAMBIA NENDA CHUMBANI KAJIFICHE,BASI MWAMBA AKAKIMBILIA CHINI YA UVUNGU HUKU AKIJUA KWAMBA HUWENDA MUME WA SARA KAJA*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

30/07/2024

Endelea πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ”ž
*Pia SARA anakula vizuri, anavaa vizuri ukichanganya na uzuri wake aliojaaliwa na mwenyezi mungu ndo kabisa anameremeta mithiri ya dhahabu, basi IMA akajikuta anavutiwa na mermbo huyoo changamoto ikawa ni kwenye kumtongoza akawa mzito hajui aanzaje... Siku moja*πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰

30/07/2024

πŸ”ž
*Story:PLAY BOY... MWANZOOO anaitwa IMA mzaliwa WA makete vijijini.. akiwa chuoni mwaka WA kwanza alifanikiwa kupanga kageto kake maeneo ya kibada_kigamboni.. hapo mageto alikua na jirani ake wakike anaeitwa SARA Binti mrembo ambaye ilikua haieleweki anafanya kazi ganii...*πŸ‘†πŸ‘†

17/07/2024

Super actor, director, writer
From
DigArt Studio, GUBA ROYAL, simulizi nono

08/07/2024

Kisa Cha kusisimua_

Mwanzoo...
Naitwa KIGO mtoto wa motela mjukuu wa mwasile ni yatima ambae nalelewa na bibi yangu bi Sandra ambae ni bibi mjane alieachiwa maali nyingi sana ikiwemo UCHAWI..
Miezi kadhaa iliyopita nilikumbwa na tatizo moja ambalo limepelekea Leo hii niitume hii simulizi kwenu wasomaji
Nikiwa mtoto nililishwa vitu vya kichawi na Babu yangu na kuniandikisha mikataba migumu ambayo imekuja kunitesa ukubwani Tena baada ya Babu yangu kufariki
NDIPO NIMEKUJA KUGUNDUA KWAMBA WATOTO WADOGO NI WA KUWACHUNGA NA KUWALINDA,UKIFANYA HIVO HAKIKA UTAKUJA KUNISHUKURU JAPO UTAPIGWA VITA SANA NA HAO. NDUGU ZAKO AMBAO WATAVAA SURA YA KONDOO MCHANA UKU USIKU WAKIVAA SURA YA CHATUU.

NDUGU msomaji, Babu alipofariki nilikua napata shida sana alikua akinijia k**a mzimu na kuanza kuniamuru nifanye matukio mengi sana ya kikatiri na ya aibu na nilikua sijitambui...
Kuna muda alikua akinituma niende Barbarani usiku wa manane na kusimama nikiwa uchi wa mnyama,gari likipita nalisimamisha dereva asiposimama nalala chini ananigonga anapata ajari,na k**a asipopata ajari muda huo basi natumwa MCHANA nalala Barbarani na kusababisha ajari
Babu alikua ananijia na kuuvaa mwili wangu ko nakua Babu yaani mwili wangu ila sauti na vitendo ndo vinakua vya Babu mfano naenda kwenye kiti alichokua anakaa na kumuita bibi ivii""MKE WANGU NJO UNIINUE NIKAPUMZIKE ALAFU UNIPE NA MAJI NIOGE"" aisee bibi alichanganyikiwa sana alijaribu.... ITAENDELEA

17/03/2024
09/12/2023

MABANO..2..
mtunzi na mwandishi Alex Noah sanga (ALEH GOLD)
Tulipoishiaa..... Hatimae mkutano huo unaisha huku kila kijana akifikilia namna ya kupambana na kuwa SHUJAA WA FALME ZA MABANO

Tereza nayoooo,,

Siku iliyofuata familia ya mfalme didii inakosa matumaini kabisa baada ya Binti WA mfalme didii kuzidi kuwa na haliii mbayaa
Mfalme didii akiwa na huzuni anazungumza ""veira mwanangu pole mamaa unakaribia kuwa sawa jikaze utapona mama yako ameenda msitunii kukuchukulia dawa""

Veira akajibu kwa kugugumia
"Baa ba aa naa u mi aa"

Muda huo huo mke WA mfalme didii akafika akiwa na madawa ya mitishamba huku akiwa analia ndipo kwa pamoja wakasaidiana kuiandaa dawa haraka sana na kuiweka kwenye Bakuri tayari kwa matumizi

Wakaelekea kwenye kitanda Cha ngozi alipokua amelala veira.. walipatwa na mshangao

baada ya macho Yao kuona veira akiwa ameganda walipomgusa walipata ukweli wenye uthibitisho

Mama veira alilia sana huku akizidi kuchanganyikiwa

"MWANETU VEIRA KWANINI UMEAMUA KUTUACHA NA BABA YAKO AMKAAAAA VEIRAA NI MAPEMA SANA"

Familia ya mfalme didii inampoteza mwanao veira
Hatimae mazishi yakafanyika na maisha mengine yakaendelea....

Mfalme didii alikua na jazba sana akaitisha mkutano
Lakini hakua sawa siku hiyo kutokana na mihasira Aliyokua nayoo
Lakini hoja yake kubwa ilikua ni vijana wote wahakikishe joka Hilo linateketezwa na hii siku inakua ni mara yake ya mwisho kuja hapo kuzungumziaa kuhusu joka. Ko wakifeli wajiandae kubuluzwa mijeredi ......

SIKU CHACHE BAADAE ...
vijana walikua wakiendelea na zoezi la kumsaka chatu huyo kila kona ya msitu, walifanikiwa kuliona joka Hilo na kulifukuzia, lakini kwabahati mbaya....

Joka Hilo liliwakimbia na kuelekea kwenye shimo kubwa lililo jawa miti na mawe
Waliona hawana bahati na kujisemea kwamba mijeredi inawahusu,mana kulitoa joka like kwenye shimo ni shughuli ambayo haiwezekani kufanyika,hivyo wajongea haji majumbani mwao wakiwa na mawazo tele....
Mfalme didii alipopata taarifa hiyo a

20/09/2022

Inapatikana what'sapp 0762905940

02/08/2022

Simulizi ya sauti, itapostiwa hapa hapa kwenye ukurasa huu huu
Aleh Gold

Videos (show all)

#mwee_huyuu_kaka Aleh Gold

Telephone

Website