Newmastory

Celebrity News/Gossip/Entertainment /Sports/Trendingtopic&Lifestyles

Kidogo nagawana na wenzangu (Dm 4 promo) �

19/08/2023

MZEE SHABANI BIN NASSORO Amelejea kutoka ziara yake ya nchi za kialabu
ANAWAKALIBISHA WOTE WENYE MATATIZO MBALI MBALI YA KIDUNIA
(1)Maradhi sugu
(2)Migogoro ya ndoa au kazini
(3)Mvuto wa mapenzi na biashara
(4)Nguvu za kiume na kukuza uume
(5)Kusafisha nyota(michezo ya kubahatisha)
(6)Kuongeza hipsi na makalio au kupunguza tumbo na matiti
(7)Kupata mali(utajili bila kafara)
KWA NINI UTESEKE? KWA NINI UKATE TAMAA?
BIBI NDIUNI NI KIMBILIO LA WENGI HAUJACHELEWA PIGA SIM au WHATSAPP
+255 746 923 291 POPOTE ULIPO DUNIANI HUDUMA INAKUFIKIA

11/08/2023

Kutana na Mtaalamu wa tiba asili SHEIKH ABEID SHABANI anatatua matatizo mbalimbali kusafisha nyota, mvuto wa biashara, kumiliki mali isiokua na masharti yoyote yale, kushinda kesi mahak**ani na kurudisha mahusiano ya mke au mme nguvu za kiume kukuza uum* pia
Tanzania🇹🇿
Marekani🇺🇸
Kenya🇰🇪
Mnakaribishwa woote hachagui dini wala kabila
Whatsap +255768145212

Devotha na sidilia zake50 30/12/2022

JIUNGE NA GROUP WHATSAP

Devotha na sidilia zake50 WhatsApp Group Invite

27/12/2022
11/11/2022

Tunga sentensi kwa kutumia picha hizi za shujaa majaliwa ✍️✍️✍️











11/11/2022

Majaliwa ndo ashatoboa ivo tunavowaaambia kuna mchongo tunasikilizia muwe mnaelewa 🤪
mfollow










10/11/2022

Tumbo la kajala linajulikana jaman linanyota kweny kitovu sas hii sijui yanan au ya mfanyakazi wa harmonize ?????? ila huyu sio kajala
mfollow










10/11/2022

Mbona nachanganyikiwa kwa iyo apo bibi harusi ni yupi ?????











10/11/2022

Huu utani mbona k**a unaukweli sana ndani yake sijapenda 🤣🤣🤣🤣🤣
mfollow










10/11/2022

RIZIKI YA FAMILIA NI YA FAMILIA 🤣🤣🤣🤣🤣 kwani alikuwaga wapi siku zote izo ????
mfollow










10/11/2022

🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wanaume walivomvaa angel nyigu 🤔🤔
mfollow










09/11/2022

Harmonize awatia moyo yanga kweny mchezo wao wa sasa japo ukweli anaujua 🤣🤣🤣🤣🤣
mfollow










09/11/2022

Bado napokea mahali jamani kwa anayetaka kua shemeji yangu kwan bado tu hujapata au ???










09/11/2022

MCHONGO WA PESA

TABIRI NA DEWINNER VIPODOZI




●MATCH DAY: YOUNG AFRICAN vs CLUB AFRICAIN:

MASWALI: 👇

1.Mchezaji gani atafunga goli la kwanza?

2.Matokeo ya mwisho yatakuaje?

●Mshindi wa Kwanza kutabiri atapata elf 50,000 au atapewa bidhaa moja,yoyote ile anayoitaka.

●Na Washindi 5 wanaofuata kila mmoja atapewa elf 15,000 au bidhaa ambayo sisi tutamchagulia.

●Utabiri wa 0-0 hauna Mshindi.

●Tuma Utabiri wako WhatSApp +255 759 900 549

●Au follow account zetu za kisha acha comment yako ya utabiri.

● POWERED BY:





09/11/2022

Mnadhani marehemu alikua shabiki wa timu gan ??????
mfollow










09/11/2022

nimecheka kwa sauti kubwa kwahy kuwafukiza wote wale kumbe alitaka kumsaini majaliwa dah! mwamba anamaono ya mbali😂😂😂











08/11/2022

" Kiongozi gani aliyetoa taarifa kuhusu mimi? Siwezi kuzungumzia chochote kuhusu timu. Wanitafute wajue niko katika hali gani. Sina shida na kiongozi na mimi ni mchezaji halali wa Geita Gold. Hakuna kiongozi aliyenipigia simu. Nina majeraha na najiuguza mwenyewe. Ambao wanajali na kupenda uwezo wangu wananipigia simu za kunipa pole. Nimepata maumivu tulipocheza dhidi ya Coastal Union pale Tanga. Timu zetu zina changamoto katika matibabu. Lakini hizi ni changamoto za mpira wa Tanzania. Nashukuru naendelea vizuri. Viongozi hao wanaosema siko katika timu, ndiyo viongozi wanaosema nisiwekewe mshahara wangu, lakini kuna baadhi ya wachezaji walikaa nyumbani zaidi ya miezi miwili na walipata mishahara yao kwa wakati, sijui kwanini kwangu imekuwa hivi. Nimefanya kazi nzuri Geita Gold, lakini sijafurahishwa nao katika hili. Sitamani tena kurudi kule. Najigharamia matibabu yangu na hakuna ambacho timu imekifanya katika haya matibabu. Niko nyumbani kwetu Mbeya" George Mpole ( Mshambuliaji wa Geita Gold)

Source - Clouds fm / Sports Xtra










08/11/2022

Nchi yangu 🤣🤣🤣🤣🤣










08/11/2022

mpaka sasa hawa ndio mastaa tz waliozawadia range na wapenzi wao husika 😊 kwako unaosoma post, ushawahi kupewa nn na bwanako zaidi ya ugonjwa wa moyo na presha za hapa na pale? omba namba za waganga wao acha kuwa slow 🤭











08/11/2022

Nyie mjue mwijaku sio mzima 🙆🙆🙆🙆 ye amejuaje ?
mfollow










08/11/2022

Kutoka katika ukurasa wa instagram wa ameandika haya kuhusiana na shoo yake ya QATAR

Kwanza kabisa asanteni shabiki zangu na watu wote mliochangia mimi kufika hapa nilipo sasa walahy si haba 🙏❤️❤️……Sisi ni vijana na niwatafutaji tulipotoka tunapajua wenyewe lakini pia ni tegemezi kubwa kwa wazazi,ndugu na familia kwa ujumla linapokuja swala la mtu kukudhurumu au kufanya anachokitaka kwenye kazi yako inauma saana kuna hii kampuni inaitwa Hawa watu ni matapeli wa kubwa saana na ni moja ya watu wanaozidi kuifanya industry yetu ya Mziki iyonekane si lolote lakini pia chakushangaza wanashirikiana na dada yetu kabisa kutoka Tanzania 🇹🇿 anaitwa Raya nitapost wote picha Zao Si K**a sina uwezo wakutatua yote kwa urahisi Noo ila yapo nje ya plan zangu mimi K**a kijana mpambanaji hii naomba iwe somo kwa wasanii wenzangu wote wa Tanzania na hata nje sio kwa mara ya kwanza kutokea nimekuja huku nimesikia Story nyingii Mno ikiwepo ya kaka yangu 🤴 Huku anachafuliwa na kuambiwa ana dharau which is sio kweliii kabisa hawa watu wanaita watu huku na wakishafika wanawageuka na kukataa kuwalipa na wanakua washakula pesa za mashabiki zetu kwaajili ya Tickets za kiingilio Nimefika huku nakuambiwa walishaandaa show ya kwanza kwaajili yangu na kuchukua pesa kwa watuu tenaa wengi ambao hao mimi ndio maboss zangu na walipofika kwenye show dj alipiga nyimbo zangu na kuwaambia watu KUSAH anadharura KITU AMBACHO kwa upande wangu kinaweza kuharibu kazi yangu 😢 Hii nimeombwa na UBALOZI WANGU WA TANZANIA 🇹🇿 kuwajuza wote kuhusu hili msanii yoyote ukiitwa na hawa watu usikubali 🙏❤️ ASANTENI UBALOZI WANGU TANZANIA 🇹🇿 NCHINI QATAR 🇶🇦 MMENIFANYA NIJIONE NIKO NYUMBANI

Cc .tanzania

08/11/2022

Nyie mnatafqnya hivi vipip vipande bei wangapi wanatamn kujaribu k**a mwamba anavosema apo ???










08/11/2022

Neno moja kwa huyu mchoraji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣











08/11/2022

Mbebe na mimba sasa iyo ndo zawadi tosha sio kuishia kuchorana tu sijapenda 🤣🤣🤣
mfollow










08/11/2022

Kwa wale waliosoma CUBA ? huyu anamaanisha nn akifanya ivo
mfolow










08/11/2022

Watu hawataki kabisa kusikia habari za ndege soma comment ila iyo ya mwsho jamaa ndo kafunga kazi ,😅😅😅😅 naijua iyo










08/11/2022

C H A M A A Z I Z KI W A P I G W A S T O P

K**ati ya Utendaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania ( TPLB) imewafungia michezo mitatu kila mmoja viungo washambuliaji Cletous Chama wa Simba na Stephane Aziz KI Yanga kwa kosa la kutosalimiana na wachezaji wenzao katika pambano lililozikutanisha timu hizo Oktoba 23.

Adhabu hii ni kwa Uzingativu wa Kanuni 41:5(5.4) ya Ligi Kuu kuhusu udhibiti wa wachezaji na wamepigwa faini ya kiasi cha Sh. Laki Tano kila mmoja.
Je nani kapata pigo kubwa ??? simba au yanga ?

07/11/2022

Wabongo hawataki kupitwa na fursa 🤣🤣😅😅😅 huyu dogo kajua kutrend nyie 🤔🤔🤔
mfollow









07/11/2022

Fahvanny sasa itakuaje ??? ko wameachana au 👀👀👀👀
mfollow










07/11/2022

Tanzania tuna nani ?? nasoma comment 🤣🤣🤣🤣
mfollow










Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

MZEE SHABANI BIN NASSORO Amelejea kutoka ziara yake ya nchi za kialabuANAWAKALIBISHA WOTE WENYE MATATIZO MBALI MBALI YA ...
Kutana na Mtaalamu wa tiba asili SHEIKH ABEID SHABANI anatatua matatizo mbalimbali kusafisha nyota, mvuto wa biashara, k...
🪸🪺SHEKHE MZEE YAHAYA NI MTAALAMU WA TIBA ASILIA  ANASAIDIA MAMBO MENGI IKIWEMO uzazi,kisukari,presha,maswala ya ndoa ,mk...
UNAHANGAIKA KUJUA WAP UTAPATA SHEPU NA MATOKEO MAZURUNAHANGAIKA SABABU YA WEMBAMBA NA SIZE YA SHEPU 🤷‍♀️ULIOKUA NAYO BAS...
YANGA YA KIPINDI CHA PILI NI 👍48' FARID MUSSA ⚽YANGA 1 - 0 ZALANMkapa stadium #cafconfederationcup
Simtaki Diamond Namtaka Jeshi-------Wemasepetu.!😂😂😂

Category

Telephone

Website

Address

Congo
Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh