Himax
Himax is a place that provide graphic design services. Categories graphic design, infographics, broc
Post

bankoftanzania_
•
Follow

botacademy2022

134 likes
bankoftanzania_
Wahitimu wa Chuo cha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) waliotunukiwa Stashahada ya Uendeshaji na Usimamizi wa Benki na Stashahada ya Uzamili katika Uongozi wa Benki wameaswa kulitumikia taifa kwa uadilifu na uzalendo mkubwa.
Rai hiyo imetolewa na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba, ambaye alikua mgeni rasmi katika sherehe za mahafali ya pili ya Chuo cha BoT yaliyofanyika Novemba 17, 2023 jijini Mwanza. Gavana Tutuba alisema kuwa kwa sasa kuna tatizo la uadilifu na kukosa uzalendo kuliko tatizo la kukosa elimu.
“Wapo baadhi ya watu katika sekta ya fedha ambao wamekuwa wakifanya vitendo visivyo na weledi wala uadilifu na kusababisha hasara na kupungua kwa ufanisi wa sekta ya fedha, ikiwemo uwepo wa mikopo chechefu. Nawasihi sana msiwe miongoni mwa hao na badala yake muwe mfano wa kuigwa,” alisema.
Gavana Tutuba alisisitiza kuwa Benki Kuu inaendelea kuwafuatilia kwa karibu wafanyakazi wote wa sekta ya fedha na haitasita kuchukua hatua stahiki kwa wale watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo visivyokubalika.
Aidha, alisema wahitimu hao wanajukumu la kuwa wabunifu, wachapakazi na kutumia ipasavyo ujuzi na elimu waliyoipata ili kuleta maendeleo kwao binafsi, jamii inayowazunguka na taifa kwa ujumla. “Dunia ya sasa ni ya ushindani na inahitaji watu wenye ubunifu. Msipobuni namna za kutatua changamoto za watu wetu kwenye sekta ya fedha na kwingineko, elimu yenu inaweza isiwasaidie sana,”alisema.
Pia, aliwakumbusha wahitimu kuwa suala la kujiendeleza kitaaluma na kitaalam ni muhimu sana katika dunia ya sasa, kwani teknolojia na maarifa vinabadilika kila kukicha. Hii husababishwa na mambo mbalimbali ikiwemo mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi, ongezeko la watu na mabadiliko ya hali ya hewa.
“Nawahimiza kuwa kuhitimu kwenu siku ya leo kuwe ni chachu na mwanzo wa safari mpya ya kujifunza na kupata maarifa mapya katika maeneo na viwango mbalimbali,” alisema Gavana Tutuba.
Gavana Tutuba amekitaka Chuo hicho kutoa mafunzo na kufanya kazi zake katika viwango vya kimataifa ili kukifanya kuwa moja ya vyuo mahiri duniani na programu zake ziendane na mahitaji na mazingira
Nakupenda sana lakini sijui moyoni mwako mpaka nile mweleka.
Ewe mwenyezi Mungu naomba ulinzi niwapo na huyu jamaa.
Unapopata nafasi haijalishi ni kwa nafasi gani jitahidi kuitendea haki ipasavyo.
Hii ni mockup ya branding ya gari kwa ajili ya kampeni za uchaguzi 2025.
Nimejitahidi kutofanya mambo mengi ya hovyo bali simple na yenye kueleweka.
Credit to: .....
Kazi ya kupendezesha gari yako inaendelea.
Haya yote yanafanyika juu ya ubunifu makini sana.
Hatua zinaendelea kuhesabika. Jumatatu njema waungwana
Be creative every single step and every day.
Enjoy to be a smart men by dressing unique identity.
Baada ya dili ku dan tufurahi pamoja
Hii picha unaiongeleaje?
Ili upate picha nzuri kwa ajili ya bidhaa zako huwa unatumia njia ipi kupata picha nzuri?
Wengi wataniambia huwa wanapiga picha kwa siku zao zenye viwango katika kamera.
Ila mimi hii njia ya kuandaa picha kwa kutumia Computer yaani ndo njia naiamini sana katika ubora wa picha kuanzia material, mwanga na kila kitu.
Hii imefanyika hapa hapa je umeipenda?
Wakati unaangaika kutafuta mtaji ili uanzishe biashara ya ndoto yako huku nyuma wapo waliokwisha pia hatua 100.
Msingi ni kwamba mshukuru Mungu kwanza kwa pumzi unayovuta bure na haya mengine yatakuja ilimradi hujachoka na kukata tamaa
Safari ni ndefu sana ndo kufika na hapa ndo kwanza inaanza.
Nakushukuru Mungu kwa hapa nilipo maana kuna wengi hawajafika hapa nilipo.
One step ahead 🤲🏿
Don't give up until you achieve it.
Furahia ukiwa pamoja na
Hatua ninazopitia ili kufanya presentation ya kudesign label kwa mteja
Video ipo katika Reel
Wakati mwingine hatuna haja ya kuchukia changamoto tunazopewa na watu bali upande wa pili inaweza kigeuzwa na kuwa fursa.
ZINGATIA:
Hii chupa siyo halisi bali nimeifanyia modeling
Kuandika namba kunachosha na zaidi kunakushusha hadhi na kuonekana wa kawaida sana.
Kuwa mjanja zaidi kwa kumiliki business card zako.
Faida:
1. Itakufanya uwe wa tofauti mbele za watu
2. Inaokoa muda wa kuanza kuandika namba badala yake ni kumpa chap
3. Inaweka kumbukumbu k**a ikitokea umepoteza simu utarejea katika document zako na kuchukua namba katika business card.
tupo kwa ajili yako.
Tupigie simu: 0623 475974
Chuo cha afya
KUSOMA POST HII NZIMA FUNGUA KATIKA 👆🏿
Sasa hivi watu wenye pesa hawahitaji sana vyeti vyako ili wakuajiri ukae masaa 12 ofisini.
Wanachohitaji ni ujuzi wako tu ambapo unaweza kufanya kazi hata bila kuonana na boss.
tunakuletea tena fursa ya kujifunza teknolojia upande wa graphic design kwa njia rahisi popote pale ulipo.
MAWASILIANO: Piga/WhatsApp: 0623475974
Ijumaa Mubarak
Nadhani kwa uelewa wangu juu ya kazi nzuri haishii pale tu unapo design kazi katika software.
Mimi naenda mbali zaidi na kuona kuwa ili uitendee haki kazi nzuri ni pamoja na kufanya presentation nzuri.
Naomba maoni yako juu ya ujumbe huu unaonaje wewe.
Hiyo kazi hapo ni A6 receipt book kutoka katika library yetu.
Hatuwezi kwenda peke yetu bila wewe.
Umekuwa nguzo kubwa katika huduma zetu kwako na hatuna budi kusema TUFURAHI PAMOJA, EWE MWANA FAMILIA ya
Tunapambana kuona tunafikia ndoto zetu.
Hii haiji kirahisi bali ni process aka mchakato.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Dar Es Salaam
🏅 Creative Graphic Designer ⛳ Certified Content Strategist 🌟 Brand Identity & Logo Designer 📣 6+ Years of Creative Experience
Tabata
Dar Es Salaam, 001
CREATIVE AGENCY Design📍Print 📍Promote Call us ☎️or Visit our website 👨💻for more info. We make life easier 🐣 contact us +255758208120🏅
Dar Es Salaam
Unalipwa kutokana na kutazama video,kuigusa matangazo,kuongeza watu,kutunga insha na memes,kujibu maswali na chemsha bongo�
Mbezi LUIS
Dar Es Salaam
Pala graphics ni kampuni inayotoa huduma za grafiki Tanzania. Huduma hizo ni pamoja na mabaango/banner, flyers, posters, calenders, books cover, logos, t-shirts, product labels, n....
Makongo Street Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 14121
We focus on providing the best graphics designing services and robust solutions to the community.
Kawe
Dar Es Salaam
Shiloh Creative is a platform that promotes Companies, business, Brands, Products and services.
Kariakoo
Dar Es Salaam
Tunatengeneza logo || matangazo(poster) || banners || flyers || business card || letter head || lab