Kituta business advertisements

Je Unataka kutangaza biashara yako? Order tupigie:-
+255715116767 na Watsap
+255765116767
+25578511

07/12/2023

Available kwa 23000/= tu

07/12/2023

Ubora wa hali ya juu

Photos from Kituta business advertisements's post 18/09/2023

JBL Air F9 prot SPECIFICATIONS

700 Charging system yake inaweza kutumika k**a power bank kukuwezesha kucharge simu Yako pia

✏ Pure Bass with clear and stereo sound inayokufanya ufurahie mziki mzuri

✏ 700 Inakaa na chaji Kwa mda mrefu ikiwa sikioni unasikiliza mziki masaa 5 +t nonstop

✏ Unique design hivyo kuifanya iwe na muonekano mzuri inapokua sikioni
Inakaa na kushikilia vizuri sikioni hata ukiwa unakimbia haianguki hivyo kufaa Sana Kwa watu watakaohitaji kuitumia
wakati wa mazoezi

✏ Hairuhusu maji Wala jasho kuingia ndani yake hivyo kukuwezesha kuitumia hata wakati wa mvua ukiwa barabarani

✏ Inakuwezesha kupokea kukata na kuongea na simu ukiwa mahali popote
AHaiharibiki haraka hivyo kukufanya uweze kuitumia Kwa mda mrefu na kuepusha gharama za kununua nyingine mara Kwa mara

✏ Ina support iphone na android

Inapatikana kwa sh 23000/= tu

Wasiliana nasi kupitia :-
0785116767 au 0715116767

Photos from Kituta business advertisements's post 21/11/2022

Hellow wapendwa karibuni mjipatie Lishe bora na safi kwa matumizi Nyumbani na kwa watoto.

Lishe yenye mchanganyiko wa Mahindi Lishe, Soya Lishe, Mtama, Mchele, Maboga na Ngano.

Tunapatikana Dar es Salaam na pia tunafanya Delivery maeneo yote Tanzania kwa gharama nafuu.

Pia tunapokea oda za wateja wa Jumla na reja reja.

Kwa mawasiliano piga.
+255 715116767 au +255 785116767

08/01/2022

Safiriri nasi sasa kwa gharama nafuu na uhakika wa safari.

Photos from Kituta business advertisements's post 29/12/2021

K2 PRODUCTS TUNAKULETEA mafuta halisi ya ya NYONYO

Faida za mafuta ya NYONYO ni :-

🌷Hukuza nywele
🌷Huondoa mba
🌷Hufanya nywele kuwa nyeusi
🌷Huotesha nywele kwa wenye vipara
🌷Hufanya nywele kuwa nzito
🌷Yanatumika kwa jinsia zote.
🌷Yanatumika kwenye nywele aina zote zenye dawa na zisizo na dawa
🌷Mafuta haya yanatumika kufanyia Massage nk.

Nahitaji Agents sehemu zote Tanzania

Bei jumla
Mills 100 Tsh 3000/=
Mills 200 Tsh 5000/=
Mills 250 Tsh 7000/=
Lita Tsh 13000/=
Lita 5 Tsh 65000/=

Reja reja
Mills 100 Tsh 4000/=
Mills 200 Tsh 7000/=
Mills 250 Tsh 10000/=
Lita Tsh 15000/=
Lita 5 Tsh 75000/=

Punguzo la bei kwa wateja wa jumla Linazingatiwa zaidi

Karibuni sana.
Tupigie:-
0785 116767
0765 116767
0715 116767

Photos from Kituta business advertisements's post 06/07/2020

Dawa ya meno inayotibu maumivu ya ,jino limetoboka,harufu mbaya mdomoni,meno yamelegea au kutoka damu na kuvimba kwa fizi.

Tunapatikana mbezi ya kimara
Wasiliana nasi kwa namba
0785116767 au 0715116767 @ Dar es Salaam, Tanzania

Photos from Kituta business advertisements's post 06/05/2020

Je unasumbuliwa na JINO?

K2 Products inakuletea Dawa ya meno ya mitishanba,inatibu jino bila kung'oa,inatibu fizi zilizo vimba na kutoa damu,inatoa harufu mbaya kinywani,meno yalio toboka na yalio legea.

Dawa hii inapatikana kwa ujazo wa gram5 kwa Sh 5000/= Popote unaletewa kwa gharama nafuu.

Piga:-
0785116767
0765116767
0715116767 = kwa Wasap pia @ Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa @ Dar es Salaam, Tanzania

Photos from K2 MEDIA TZ's post 15/04/2020
Photos from Kituta business advertisements's post 10/04/2020

Tunauza unga wa Alkasusi 250g kwa bei ya Tsh 5000/=.
Tunafundisha jinsi ya kuiandaa
Pia tunafanya delivery kwa Dar es salaam.
Mikoani tunatuma.
Piga 0715116767 au 0785116767 au 0765116767. @ Dar es Salaam, Tanzania

Timeline photos 05/04/2020

Story.... KIJIJINI KWA BIBI(18+)
Mtunzi...kituta jr
Call...0715 116767
Sehemu....01

"Fabi! we Fabi.."
"Naam Mama nipo chumbani Kuna kazi naifanya, ulikuwa unasemaje?" Nilimjibu Mama Baada ya kusikia with wake.
"Njoo mara moja baba ako anashida na wewe"
"Sawa Mama nakuja "niliitikia na Kisha kuvaa T-shirt langu kwani wakati naitwa nilikuwa kifua wazi ,nilizima TV na Kisha kutoka nje.
"Shikamoo baba"
"Marhaba,umeamkaje ?"
"Salama tu sijui nyie?"
"Si tumeamka salama ,okay! Ushakunywa chai tayari "
"Hapana ndo nilikuwa nataka nitoke"
"Sawa basi twende tukanywe Nina mazungungumzo machache na wewe "

Tulipofika dining room tukaanza kunywa chai huku mazungumzo ya kawaida yakiendelea,
"Unajua Fabi ni miaka mingi haujaenda kumsalimia Bibi ako unaonaje mwezi huu ufanye mpango uende"
"Sawa baba lakini ratiba yangu haijakaa sawa nadhani itapendeza K**a nikienda Baada ya kuhitimu kozi ya diploma au unaonaje ?"Nilimwambia.
"Ni kweli huu ni mwezi wa tisa diploma si mwezi wa kumi ?!"
"Ndio ,lakini wakati huu inatakiwa nijiandae kwa ajili ya chuo" Nilimwambia baba ,akainamisha kichwa na kufikiri kidogo,
"Fabi unaonaje diploma uende mwakani angalau kwa hii miezi michache umtembelee Bibi ako atajisikia vyema,ni kitambo sana hamjaonana"
"Ngoja nijifikilie Kwanza jioni nitakupatia jibu "Nilimwambia
"0kay tutaonana baadae "alinijibu
"Kazi njema"
"Na kwako pia"
Baba alitoka nje na Kisha kuingia ndani ya Gari lake,Baada ya baba kutoka nilichukua simu yangu na kuanza kucheki message ambazo sikuzijibu kwa WhatsApp,
SONGA NAYO......
"Darling umeamkaje" message kutoka kwa mrembo wa kitaa aitwae Rose iliingia,sikuwa na bando kwa hiyo nikatoka nje upande wa garden (bustanini) Kisha nikampigia.
"Mambo mrembo"niliongea Baada ya simu yangu kupokelewa .
"Pia hensam wa nguvu nimekumisi Mzima wewe ?" Aliongea kwa mapozi.
"Mi Mzima leo mchana tukutane kwenye lodge ya siku ile Nina hamu na wewe balaa!"
"Poa darling ,utanikuta ndani tayari nishalipia chumba"
"Sawa basi utaniambia namba ya chumba,usisahau kuagiza msosi na vinywaji"Nilimwambia.

■ Itaendelea au kuipata full nicheki kupitia 0715116767 watsap

Timeline photos 31/03/2020

Photos from Kituta business advertisements's post 30/03/2020

Dawa ya meno ya mitishanba,inatibu jino bila kung'oa,inatibu fizi zilizo vimba na kutoa damu,inatoa harufu mbaya kinywani,meno yalio toboka na yalio legea.

Dawa hii inapatikana kwa ujazo wa gram5 kwa Sh 5000/= Popote unaletewa kwa gharama nafuu.

Piga:-
0785116767
0765116767
0715116767 = kwa Wasap pia @ Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa

Photos from Kituta business advertisements's post 29/03/2020

Dawa ya meno ya mitishanba,inatibu jino bila kung'oa,inatibu fizi zilizo vimba na kutoa damu,inatoa harufu mbaya kinywani,meno yalio toboka na yalio legea.

Dawa hii inapatikana kwa ujazo wa gram5 kwa Sh 5000/=

Popote unaletewa kwa gharama nafuu.

Piga:-
0785116767
0765116767
0715116767 = kwa Wasap pia @ Dar Es Salaam, Tanzania, East Africa

Timeline photos 27/03/2020

Tunapatikana pia kwa:-
0785116767
0715116767
0765116767

26/03/2020
26/03/2020

part 2

Timeline photos 26/03/2020

Bidhaa bora ya unga wa Alkasus Mujarab soon sokoni.endelea kuwa nasi

26/03/2020

Tembelea ukurasa wetu wa instargram kila mara kwa story na hadith za mapenzi na kusisimua.

Photos from Kituta business advertisements's post 24/03/2020

ALKASUS MUJARAB sasa inapatikana kwa bei ya Tsh 5000/= 250g robo kilo.
Pia tunafundisha jinsi ya kuiandaa.
Toa oda yako sasa kwa kupitia :-
0785116767
0765116767
0715116767

Photos from Kituta business advertisements's post 23/03/2020

K2 super brand tunakuletea bidhaa bora ya kujikinga na maambukizi ya virus vya CORONA (COVID19).
Bidhaa yetu inapatikana kwa bei ya Tsh 8000/= derivery Tsh 10000/=.
Tunapatikana kwa 0785116767 au 0715116767 @ Mbezi Louis

Photos from Kituta business advertisements's post 23/03/2020

Kwa mahitaji ya Ubuyu safi toka zanzibar,kahawa safi toka Bukoba na Mbeya na Lishe safi yenye mchanganyiko wa nafaka zenye protein,wanga na fati wasiliana nasi kupitia:-
0785116767
0765116767
0715116767
Hakika tutakufikia popote ulipo. @ Dar es Salaam, Tanzania

Photos from Kituta business advertisements's post 22/03/2020

Kile kitabu cha SYLVIA BROWN mwana dada alietabili kutokea kwa majanga (Ugonjwa utakao tikisa dunia) katika mwaka 2020 kipo katika mifumo ya HARDCOPY na SOFTCOPY kwa bei poa kabisa.
Wasiliana na sisi kupitia +255715116767 au +255785116767 ili ujionee na kujua mengi alio yatabili mwana dasa SYLVIA.
Bei Hardcopy Tsh 17000/=
Bei Softcopy Tsh 8000/= @ Dar es Salaam

Photos from Kituta business advertisements's post 22/03/2020

Kile kitabu cha SYLVIA BROWN mwana dada alietabili kutokea kwa majanga (Ugonjwa utakao tikisa dunia) katika mwaka 2020 kipo katika mifumo ya HARDCOPY na SOFTCOPY kwa bei poa kabisa.
Wasiliana na sisi kupitia +255715116767 au +255785116767 ili ujionee na kujua mengi alio yatabili mwana dasa SYLVIA.
Bei Hardcopy Tsh 17000/=
Bei Softcopy Tsh 8000/= @ Dar es Salaam

29/02/2020

K2 products:-





Toa oda yako sasa 0715116767 au 0785116767

24/02/2020

Bidhaa bora toka K2 products

Photos from Kituta business advertisements's post 11/01/2020

ALKASUSU MUJARAB sasa inapatikana kwa bei ya Tsh 5000/= robo kilo.
Pia tunafundisha jinsi ya kuiandaa.
Toa oda yako sasa kwa kupitia :-
0785116767
0765116767
0715116767

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mabibo
Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh