Depiu dimpoz fans

For all my fans your we'll come to like this page

17/12/2022

Full time

23/04/2022
22/04/2022

: Kombe la shirikisho, Tunaangalia nafasi ya Timu ya Simba katika kusonga mbele kwenye kombe hilo baada ya kushinda mechi ya kwanza, Je wafanye nini ili kuweza kufanya vizuri katika mechi ya marudiano kule Afrika Kusini

07/04/2022
07/04/2022
07/04/2022
27/01/2022

Wanaolala ni wengi sana na wakiwa na matumaini na kesho yao. Lakini kuamka salama ni majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Tumshukuru Mungu kwa kutuamsha salama

27/01/2022

NUKUU YA LEO: “Kila anayekuuliza unafanya kazi gani sio kwamba anataka kujua unachokifanya; wengi wanataka kujua ili wapime heshima gani wakupatie.”

28/12/2021

Mkumbushe msela wako kuwa wivu utamfanya amchukie mtu ambaye alipaswa ajifunze kutoka kwake.

28/12/2021

Kwenye maisha kuteseka hakuepukiki lakini hakuna umuhimu wowote wa kumuonesha kila mtu kua unateseka.

27/12/2021

Ikiwa unataka kufanikiwa katika maisha yako, wape furaha wazazi wako. Dua yao ni jambo la nguvu zaidi kwako.

19/08/2021

Yule rafiki yako anayetia msaada wake wakati wa magumu yako muheshimu sana, maana kuna baadhi ya ndugu zetu hawajawahi kuwa na upendo huo.

28/05/2021

Mahusiano yawe chachu ya kutatua changa moto zinazo wakabili na kufarijiana na sio chanzo cha Changamoto na matatizo mapya.

16/04/2021

K**a utamsaidia mtu kwa kutegemea ipo siku atakulipa kutokana na msaada uliotoa
Basi huo sio msaada ni UWEKEZAJI

16/04/2021

Mwanamke ambaye anaweza kuvumilia wakati mifuko yako ikiwa mitupu hakikisha ndio huyo huyo anastahili sana kwako wakati mifuko yako imejaa

12/04/2021

Mafanikio yako yanatokana na baraka za Mwenyezi Mungu, Sala za wazazi wako pamoja na jitihada zako .....✍️

11/04/2021

Wakati mwingine tunajiingiza matatizoni kwa sababu tunajielezea sana mengi kwa watu ambao hata hawastahili kujua chochote juu yetu .

10/04/2021

kumbuka mwili na akili yako hufanya kazi kwa pamoja. Hivyo epuka mahangaiko yasiyo ya lazima dhibiti wivu hisia na hasira ziwezazo kukuletea madhara.

10/04/2021

Tutafute pesa lakini tukipata tumuombe Mungu atupe hekima ili kipato chetu kisipelekee kuwadharau watakaokuwa hawajapata bado.

09/04/2021

Wanaume hutulia wanapopata amani ya moyo, sio uzuri wako.

09/04/2021

Pesa Haiwezi Kununua Furaha, Kitanda Kizuri Hakileti Usingizi, Madaktari Wazuri Hawaleti Uhai, Bidhaa Nzuri Hazileti Wateja, Mche Mungu Thamini Watu Wote

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Writers in Dar es Salaam (show all)
Habari za leo Habari za leo
Livigharaymond@gmail. Com
Dar Es Salaam

Habari za leo website; it deals with daily news through mass media and news from other sources.

Oscar Tz Oscar Tz
Www, Com Haule
Dar Es Salaam, 096544

nime zaliwa kupambana kuixhi kuiona kexho unaniombea uhai niixhi kwa matexo

Robben Ngonyani Robben Ngonyani
SONGEA
Dar Es Salaam

KWA MAKALA MBALIMBALI ZA KIHISTORIA NA KIJAMII

Moses Vitu bei chee Moses Vitu bei chee
Kimara
Dar Es Salaam

Kashindi Edson Kashindi Edson
Dar Es Salaam

Mwandishi wa vitabu.

ÂMÂDÎ B 69 ÂMÂDÎ B 69
Dar Es Salaam

Fuwwa ministry Fuwwa ministry
Arusha
Dar Es Salaam

Huduma ya neno la MUNGU mataifa yote math 28:19-20

Gift Makyao Gift Makyao
Keko
Dar Es Salaam

Try to see more new knows which will change your mind to change your life ,believe

Paradise World friends Paradise World friends
Paje
Dar Es Salaam

We are always bring you the most unique paradise world friends as a one Family

Paul Mkoma Paul Mkoma
Dar Es Salaam, S.L.P3130

I am sharing the news of salvation and the life of Jesus Christ his death and resurrection.

Maombi ya Mkopo na Chuo Maombi ya Mkopo na Chuo
Dar Es Salaam

ALL ONLINE APPLICATION INTERNET CAFE

wwwhozamswahilitzcom wwwhozamswahilitzcom
Dar Es Salaam

Karibu kwenye ukurasa wetu, hoza shamsi ni mhitimu wa Shahada ya ualimu UDSM ni mwaandishi .