Mafole Baraka
Huu ni Ukurasa Rasmi wa Baraka Mafole ambaye ni Mjasiriamali ,Mbunifu na Muhamasishaji kupitia Mitandao ya kijamii
Naitwa Baraka Mafole , Ni mwanzilishi wa kampuni ya Jukwaa Africa Limited , Kampuni inayowasaidia watengeneza maudhui kuingiza kipato kutokana na Idadi ya Audience wako nayo . Ninatengeneza maudhui kwenye majukwaa mbalimbali ya Digital k**a Youtube , Tiktok , Twitter na Instagram kuwalekeza watu juu ya namna gani wanaweza kuingiza kipato mtandaoni
kwa mashirikiano ya biashara unaweza nitumia ujumbe kwenye email yangu barak**[email protected] ama whatsapp no +255734460217
When you understand God’s time and season,you will envy no one.
Your Favourite Techbro
Always bear in mind that every experience, whether positive or negative, contributes to your personal growth. Even if it may be difficult to perceive in the present moment.
No regrets, just lessons. No worries, just acceptance. No expectations, just gratitude. Life is too short.
Seeing someone come from bottom an strive throughout all their struggles is such a blessing to witness.. I love being able to witness someone’s growth. Even my own . We all write our own stories. We create our own destinies.😢🏆📈
There are two ways to Master a New Skill:
First:
• Choose a Mentor
• Pay him fees
• Learn more in less time
Second:
• Find good resources
• Learn by experiencing things yourself
• Takes Time but makes you a master of your skill
"Ask and it will be given to you; seek and you will find; knock and the door will be opened to you.” Matthew 7:7
Step out of your comfort zone and face your fears ,Growth takes place when you are challenged not when you're comfortable.
You hold the power, the future you want is within reach. Keep hustling and pushing forward no matter the chaos around you.
We got dreams, and we have the right to chase them!
A Town 🖤
Ushawahi pigwa character Development na Matapeli waliopo kwenye freelancing platforms?
Full video kwenye youtube channel yangu
https://www.youtube.com/
Stadi ya kidijitali uliyoisoma mtandaoni inaweza kukuingizia kipato.
WAYS BRANDS CAN COLLABORATE WITH INFLUENCERS The way brands collaborate with Influencers in their businesses is ever-changing as the next-generation technologies come online Now Brands have a wide selection of more tactical activities to integrate Influencers into their business initiatives such as Reputation management and product development
You will never go wrong with that jeans and a white T shirt combo 🤞🏾
My Lovely sister .faraah ❤️
Leo kwenye Twitter Space Tutajadili Fursa zilizopo kwenye Dropshipping .Muda ni saa 2 kamili usiku kupitia kurasa yangu ya Twitter
Cc .mligo
It things aren’t happening for you now, don’t lose hope. Your life can change significantly in a short space of time. You never know what’s around the corner, and you can’t put a deadline on your timeline. Learn from mistakes, invest in yourself, and don’t be too self-critical 🤍
Nikiambiwa nihesabu Idadi ya Majukwaa ambayo nimewahi jisajili na nikakataliwa kutokana na kutokua na huduma ya basi nina uhakika yanafika 20 sasa .
Leo hii hii mifumo ya malipo hususani ikiruhusiwa nchini ,ninauhakika kuna asilimia kadhaa ya vijana wanaenda kukomboka Kiuchumi .
Wakati naandika tweet hii nilihisi Mh hatoiona ila nimefurahi kuona ameipitia na zaidi ameonesha utayari wa serikali kwenye kuwezesha huduma hii
Pia namshukuru brother kwa kukazia na kutuhakikishia kabla mwaka huu haujaisha basi tutakua na Paypal nchini binafsi namtakia kazi njema na kumuomba asichoke kutengeneza mazingira ya kunawirisha uchumi wa kidijitali nchini
🙏
Kuzungumza mbele ya watu ni stadi ambayo si kila mtu anayo . Bahati mbaya mimi ni miongoni mwa watu ambao hatuna stadi hii .kuna namna natamani kuzungumza mbele za watu ila mara zote ninapojaribu kuzungumza kwa namna ninavyotaka ninashindwa
kuna njia nyingi sana za kuzungumza mbele za watu ambazo nimewahi ambiwa nizitumie ikiwezekana kuhakikisha nina uelewa mpana na ninachotaka kukizungumza ,kuhakikisha sina hofu ninapozungumza na mwisho kuhakikisha mkao wangu umenyooka ninapozungumza mbele za watu
Nimejipa utayari kwenye kujifunza kuzungumza mbele za watu japo nafahamu safari bado ni ndefu lakini siku moja nitaweza kuzungumza kwa ufasaha mbele za watu
Unapitia changamoto gani unapozungumza mbele za watu ?
Uliza chochote unachotamani kufahamu kutoka kwangu kuhusu Kazi za Kidijitali
Africa ni bara ambalo lina Idadi kubwa ya kundi la vijana linalokua kwa kasi .Idadi ya watu wenye umri kati ya miaka 15 hadi 24 inatarajiwa kufika hadi milioni 400 ifikapo mwaka 2045 .Hadi ifikapo mwaka 2050 bara letu litakua na kundi rika la nguvu kazi kubwa kuliko India na China
vijana chini ya umri wa miaka 25 wanawakilisha zaidi ya asilimia 62 ya vijana wasio na ajira barani Afrika na zaidi ya robotatu wanaishi chini ya dola 2 kwa siku . licha ya kundi kubwa la vijana wasio na kazi kuendelea kuongezeka Afrika pia takwimu zinaonyesha kutakua na upungufu wa wafanyakazi zaidi ya milioni 45 kwenye mataifa yanayoendelea na upungufu huu unachochewa zaidi na ukuaji wa kasi wa sekta zinazozalisha ajira kwa wingi
Sekta ya Tehama ambayo inatajwa k**a sekta kombozi kwa changamoto ya Ajira Afrika inakua kwa kasi mno huku ikisemekana ina thamani ya zaidi ya Dola bilioni 150 .Teknolojia mpya zinazalisha kazi mpya pamoja na mfumo madhubuti wa kutengeneza nafasi za ajira kwa makundi yote ulimwenguni .
Swali ambalo unatakiwa ujiulize muda huu , ni kwa kiasi gani Unanufaika na ukuaji wa Teknolojia ?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the business
Telephone
Address
15115
Opening Hours
09:00 - 20:00 |
Tegeta Nyuki, Nyuki House Office No 22
Dar Es Salaam
Karibu kwenye page yetu kwa ajili ya kujifunza Jinsi ya kufanya BIASHARA yako MTANDAONI.
Earth
Dar Es Salaam
TechGuru💻|Motivation&Inspiration❤️|Entrepreneurship💰|Lifestyle💃|Gaming🎮|Health 🩺|VideoCreator🎬
Dar Es Salaam
Pan Africanist�| Heritage Manager & Concerned Citizen of the United Republic of Tanzania ��
MBEZI
Dar Es Salaam
This page is subjected to all my digital works.Most of them are portraits and panoramic with different styles.I do wedding, Graduation, modeling and all other photography.