Rombo Tv
#RomboTv🖥️_habari🖥️&matukio_tarakea_usseri_mashati_mamsera_mwika_shear comments likes following,
ndo fahari ya mchaga 🥑🥑🥑🥑
Umetokea mtaa gani naomba utupe jina la mtaani kwako tujuane hapa MIMI NIMETOKEA
napoikanyaga ardhi ya Rombo naisi mwenye Furaha na amani moyoni
Najivunia kuzaliwa mchaga wa Rombo love u romboo❤️❤️
😭😭 kila nikiona post inayoiwakiliasha rombo uwa nawakumbuka wazazi wangu nawakumbuka ndugu zangu na majirani rombo
**a mtoto/watoto wako wapo mbali na wew na unaishia kumuangalia kwenye picha k**a Mimi (nakupend mwanangu)
👨👦👨👦👨👦👨👦👨👦
**a hunywi mbege wala huongei kichaga tafuta kabila lako wewe sio mchaga🤣🤣🤣
mwizi wa ndizi
🤣🤣🤣
Msanii golbzoo Kuja na muziki wa MO Flava afunguka mazito kuhusu sanaa ya muziki wa kisasa.
Msanii ambae anatamba na nyimbo yake ya 🎵MR.GOLBZOO leo akiwa katika moja ya kituo Cha Radio hapa Moshi Kilimanjaro.
amefunguka na kusema yeye anakuja na muziki wake wa MO fleva ambao ambao utaleta mabadiliko kwenye game ya muziki wa amapiano na bongo fleva. Licha ya kuwa bado yupo kwenye changamoto na harakati ya kuipandisha MO-Flava kwenye kiwango chuu
Anasema mziki wa saivi unahitaji nguvu kubwa sana ikiwemo sapoti
Wachaga wengi wao Awana sapoti na wasanii wa NYUMBANI ndo maana tunaishia CHINI
Utakuta mtu anaskia NGOMA za msanii anaetoka NYUMBANI lakini azipi ushirikiano Bali anaishia kusema wachaga awajui kuimba na kuwaponda wasanii wa NYUMBANI
Anawaomba mashabiki wa muziki kuipa saport kazi yake ya sanaa ya muziki ambapo YouTube anapatika kwa jina golbzoo
ni msanii anaezaliwa usser Rombo. ambapo anawaomba wachaga wote wa rombo kuipa mkono kazi yake ya sanaa na kuitangaza Kilimanjaro kwenye game ya muziki.
UNA KIPI CHA KUMSHAURI GOLBZOO???
Protasi maiko rombotv🖊️
.news tz
katiak 1&2
Kwenu mashabiki
NYUMBANI NI NYUMBANI KWENU NI WAPI MIMI NI CHINI
!!!!!
katika 1&2
ya mwisho kula chakula hiki no lini?
Dondosha komenti yako hapa
Big shout out to my newest top fans! Joseph Focus Woisso, Joyce Fredrick, Brigita Kimario
Mwalimu wa viwango vikubwa huyu hapa 🙎♂️
Kocha Mkuu mpya wa Simba SC, Fadlu Davids.
Kwa taarifa zaidi ingia kwenye Simba App.
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin babu amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Ndg Godwin Chacha na menejimenti ya Halmashauri kwa kuvuka lengo katika ukusanyaji wa mapato kwa asilimia 118 kwa mwaka wa fedha 2023/24
Tanzia 😭😭😭😭😭
▪︎ Karibu tushiriki Adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea Marehemu Peter Mrema Silayo, ambaye ni Baba Mzazi wa Sista Editor Peter Silayo wa Shirika la Masista wa Urusula wa Moyo wa Yesu Mteswa.
▪︎ Misa inaadhimishwa na Padre Peter Bahati Wakili Paroko Parokia ya Mtakatifu Yohane Mbatizaji-Usseri, Rombo Jimbo Katoliki Moshi
.i.p Peter Silayo
MMESIKIA HUKO
P-prince Dube(Physics)
C-Clatous Chama(Chemistry(
B-Baleke Jean (Biology)
Kwa kifupi Yanga wameamua kuanzisha shule ya madaktari full operations msimu ujao 🤣🤣
@
VIJANA Damu Changa ⚽️🔴🦁💪 Simba Ya Sasa na ya baadae , yajayo yanafurahisha 🔴Simba SC New players
🏅Joshua Mutale 22yrs
🏅Abdoulazack M Hamza 21yrs
🏅Ahoua Jean Charles 22
🏅Steven Mukwala 24yrs
Simba inajengwa upya na vijana🦁📌
sport
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewaelekeza Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuongeza nguzo 40, sawa na kilometa mbili ili kufikisha umeme kwa wananchi wa vijiji vya Manzwagi na Kidunyashi wilaya ya Kahama Mjini, Shinyanga kabla ya tarehe 27 Julai, 2024.
Kapinga ameongeza kuwa vijiji hivyo vitafikiwa na umeme huo kati ya tarehe 10 na 14 Julai, 2024.
"Nawashukuru REA kwa ahadi ya kufikisha umeme Manzwagi tarehe 14 Julai 2024 na tutawaongozea nguzo nyingine 40 ili umeme ufike vijiji vyote," Amesema Kapinga.
Kwa upande mwingine, Naibu Waziri Kapinga ametoa wito kwa wananchi kuwa walinzi wa kwanza wa miundombini ya umeme zikiwemo nguzo.
“Niwaombe wananchi kuitunza na kuilinda miundombinu hii ili itumike kwa muda mrefu pamoja na kutuletea tija katika shughuli za maendeleo" Amesisitiza Kapinga.
Naye Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Julius Mtatiro ameshukuru kazi ya usambazaji umeme inayofanywa katika maeneo mbalimbali na kumpongeza Mbunge wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba kwa kujali wananchi wake na kutetea maslahi yao bungeni.
Kumekuwa na mjadala kuhusu bei inayopaswa kutozwa kwa ajili ya kuunganishiwa umeme kwa baadhi ya maeneo nchini kati ya Shilingi 320,000 na 27,000 na Naibu Waziri, Kapinga ameahidi kujadiliana na REA kuhusu gharama hizo kwa wananchi wa Manzwagi
"Tunathamini sana mchango wetu katika klabu yetu. Wanachama na mashabiki wa Simba siku zote wamekuwa mbele kuunga mkono jitihada za klabu ili kusonga mbele hivyo nawasihi mkatumie huduma hii mpya ambayo tumewaletea."- Mwenyekiti wa Klabu, Murtaza Mangungu.
wa wilaya ya ROMBO mh, Raymond mwangwala akizungumza na wananchi wa wilaya ROMBO hii Leo
ufupi: wananchi wa rombo wanaoishi dar es salaam wametakiwa kuungana kuanzisha benki yao ambayo itawasaidia kuongeza nguvu ya kukuza uchumi.
ufupi: Wananchi wa Rombo wanaoishi Dar es Salaam wametakiwa kuungana kuanzisha benki yao ambayo itawasaidia kuongeza nguvu ya kukuza uchumi.
ufupi: Wananchi wa Rombo wanaoishi Dar es Salaam wametakiwa kuungana kuanzisha benki yao ambayo itawasaidia kuongeza nguvu ya kukuza uchumi.
ufupi: Wananchi wa Rombo wanaoishi Dar es Salaam wametakiwa kuungana kuanzisha benki yao ambayo itawasaidia kuongeza nguvu ya kukuza uchumi.
KARIBU ROMBO TV
SAUTI YA JAMII
PICHA MATUKIO📸📷
Mkutano wa Baraza Maalumu la Madiwani la kupitia Hoja za Mkaguzi Mkuu wa hesabu za Serikali kwa Mwaka wa fedha 2022/2023
katika MADA ya WIKII
maoni yako hapa kwenye comment ili tujadil karibuni
👇
Comment
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Dkt.Tickson Nzunda na dereva wake, Alphonce James wamefariki dunia mkoani humo baada ya gari walilokuwa wakisafiria kutoka mjini Moshi kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kilimanjaro (KIA) kugongwa katika ajali iliyotokea kwenye Barabara Kuu ya Arusha - Moshi.
Wawili hao walikuwa ni sehemu ya msafara wa ziadi ya magari manane yaliyokuwa yamebeba baadhi ya wajumbe wa K**ati ya Usalama ya Mkoa kwa ajili ya kumpokea Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ambaye alitarajiwa kuwasili kwenye uwanja huo na kuelekea mkoani Arusha.
like comment
Baki na sisi
Mtandaoni usije na wivu.
Mtandaoni kuna mtu haumwi ila ameweka status I'm sick, furaha kwake aambiwe Get well soon.
Jamaa amepost picha ya mjengo mkali, hana pa kulala anapoa kwa masela. Inafikirisha
Dogo kapost kumekucha tukapambane, yy karudi kulala.
Thanks babe for your gift kumbe zawadi kajinunulia mwenyewe. Be careful
Kaweka aya za Bible WhatsApp, usiku kaoga njia panda, asubuhi amewahi kwa mganga na kuku mweusi.
Sitaki mwanaume anayebet alafu mchizi kamlipia kodi baada ya kushinda mkeka.
Mtandaoni anaubiri upendo, moyoni amehifadhi chuki.
Nataka mwanaume mwenye gari, mshua maskani hana ata baiskeli.
Anawakaribisha chakula alicho-screenshot instagram, mchana amepiga pasi ndefu bila kula.
Sio wote wapo online wanamiliki smartphone wengine wana-login na ku-logout.
Mafanii Coutinho Yanwa nataka kusema nn? Nataka kusema unaweza kutamani maisha ya mtu ambae anahitaji kuonewa huruma.
maoni yako hapa 👇 Rombotv
jina lake limeifadhiwa anasadikika amechomwa kisu na rafiki yake usser
KAMILI ZITAKUJIA HIVI PUNDE!
kufuatilia kwa kitu follow ili uwe wa kwanza kupata habari zetu
Msanii Huenda akachia wimbo mpya mwezi huu, ni video yake ambayo ameirusha katika ukurasa wake wa Facebook
una kipi Cha kumshauri??
follow