OPPO

OPPO is a leading global smart device brand. Enjoy the beauty of technology

01/08/2024

Shuhudia nguvu na uaminifu usio na kifani wa OPPO A58 yenye betri kubwa ya 5000mAh, ikisindikizwa na chaji ya haraka ya 33W SUPERVOOC. Furahia uhuru wa kutumia simu yako kwa muda mrefu zaidi bila wasiwasi. Jipatie yako sasa na ufurahie teknolojia bora!

22/07/2024

Bado zipo dukani! Pata OPPO A77S yenye nguvu ikiwa na 8GB RAM +128GB kwa bei ya 460,000 Tsh.Jipatie yako sasa!!

09/07/2024

Experience the best of both design and functionality!!

01/07/2024

Nguvu na utendaji mfukoni mwako OPPO A18 pata yako sasa kwa Tsh 310,000- 4+64GB. Unatafuta nafasi zaidi? tunazo 4+128GB kwa Tsh 360,000 tu, Jipatie yako sasa!!!

20/06/2024

The perfect blend of elegance and power โ€“ OPPO A18.๐ŸŒŸ๐Ÿ“ฑ

07/06/2024

Utendaji wa haraka,betri imara na yenye nguvu bila kusahau mwonekano mzuri. Hii ndio OPPO A18! ๐ŸŒŸ๐Ÿ“ฑ

17/05/2024

Tupate kwa urahisi kupitia tovuti yetu ili upate kuona maduka yetu rasmi ambayo ni OPPO GEREZANI, OPPO CHINA PLAZA, na OPPO UHURU. Nunua simu yoyote Dar Es Salaam upate nafasi ya kushinda tiketi ya kutazama fainali ya UEFA kwenye screen kubwa!!

16/05/2024

๐Ÿš€ Nguvu na Ufanisi Mkononi Mwako! OPPO A18 inaita โ€” chukua yako ๐Ÿ›๏ธ kwa bei ya 310,000 TSH unajipatia A18 yenye 4GB + 64GB. Na k**a unatafuta nafasi zaidi๐Ÿค” kuna toleo la 4GB + 128GB. โœจNunua simu ya OPPO na ujipatie tiketi ya bure! kutazama fainali ya UEFA pamoja na mashabiki zaidi ya 1000 kwenye screen kubwaa! Jiandae kushuhudia historia ikifanyika!.Promotion hii inafanyika kwenye maduka rasmi ya OPPO Kariakoo na maduka shirikishi Mlimani city.Tembelea website yetu kwa taarifa zaidi

13/05/2024

Hisi msisimko wa Fainali ya UCL MOJA KWA MOJA! ๐ŸŽ‰ Nunua simu ya OPPO na ujipatie tiketi ya bure! kutazama fainali ya UEFA pamoja na mashabiki zaidi ya 1000 kwenye screen kubwaa! Jiandae kushuhudia historia ikifanyika!.Promotion hii inafanyika kwenye maduka rasmi ya OPPO Kariakoo na maduka shirikishi Mlimani city.Tembelea website yetu kuona Brand stores ambazo promotion hii inafanyika!!

06/05/2024

Unveil the warmth of innovation with the OPPO A18!

04/05/2024

Kumbatia mustakabali na muundo wa kisasa na mwangaza wa bluu wa OPPO A18.Karibu ujipatie yako sasa!!

30/04/2024

What drama will unfold? โšฝ

Enter your score predictions below ๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ด๐Ÿ”ต Bayern X - X Real Madrid โšช
๐ŸŸกโšซ Dortmund X - X PSG ๐Ÿ”ต๐Ÿ”ด

17/04/2024

The future is approaching!!

10/04/2024

Eid Mubarak to all our customers,stay joyful and connected!

31/03/2024

May your Easter be as vibrant as the display of your OPPO device!

16/03/2024

Gundua hadithi zisizosimuliwa kupitia lensi za OPPO

08/03/2024

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani! Hongera kwa wanawake wote wa Tanzania kwa kuendelea kuvunja vizuizi na kupaa kwenye mafanikio mapya!

07/03/2024

Kupanga mipango na malengo ni moja ya njia sahihi ya kushinda mchezo.Hapa ndipo ubora unapokutana na ubunifu kisha ushindi unafikiwa kwa urahisi!!, Kaa tayari kwa hatua ya tatu ya mashindano murua ya UEFA!!

29/02/2024

Ununuzi wa simu yako umeleta msisimko zaidi!
Tembelea duka letu la OPPO linalopatikana
๐Ÿ“Gerezani Kariakoo
Nunua simu upate nafasi ya kuzungusha gurudumu la bahati na kujishindia zawadi moja wapo kati ya Fulana,simu ndogo,Jagi la kuchemshia maji,Redio au Earphone๐Ÿ˜œ

19/02/2024

Mashindano ya kiwango cha juu, picha zenye nguvu kubwa. Furahia kurudi kwa UCL kwenye vifaa vya daraja la juu vya OPPO.

10/02/2024

Excitement is building up as ColorOS 14 is set to make its mark ๐Ÿš€
Discover the perfect blend of smart and smooth, unlocking a new era of user experience

16/01/2024

Hongera kwa washindi wa challange yetu ya OPPO Fest,Tunawakaribisha washindi kufata zawadi zao siku ya Jumatatu tarehe 22/01/2024 kwenye duka letu la OPPO pia watapata nafasi ya kushuhudia draw yetu ya itakayofanyika siku hiyo hiyo dukani kwetu GEREZANI-KARIAKOO!!

08/01/2024

Wasiliana nasi kwa urahisi! ๐Ÿ“ฑ Tumeboresha namba yetu ya kituo cha huduma kwa wateja ili kuimarisha uzoefu wako .Usipitwe na njia mpya ya kutufikia kwa urahisi na haraka!

05/01/2024

Fikra zinachanua k**a maua, kila moja ni kielelezo cha ushindi na furaha!! ๐ŸŒธ

01/01/2024

Here's to a year of OPPOrtunities, achievements, and unforgettable moments! Happy New Year from everyone at OPPO. Let's embark on a journey of innovation and success in 2024!
Dont forget you still have a chance to get a new phone in the new year! Simply check on the top of our profile page to participate our new year giveaway.
.

30/12/2023

Wrapping up the year with OPPO in hand. Capture the essence of 2023 and get ready to unfold new possibilities in 2024!
.

29/12/2023

As the year wraps up, we're pressing pause on 2023 memories. Say farewell with OPPO's cutting-edge technology, and get ready for a smartphone revolution in 2024!
.

27/12/2023

Funga mwaka na kufungua kwa mtindo usio wa kawaida na uvumbuzi wetu wa hivi karibuni kwenye simu zetu za OPPO. ๐ŸŽ€
.

25/12/2023

As we reflect on the year, we're grateful for the privilege of serving you. Wishing you a Merry Christmas filled with success, happiness, and prosperity. ๐ŸŽ…

24/12/2023

Jingle bells, tech all the way! Upgrade your holiday with the perfect smartphone companion. ๐Ÿ””
.

Want your business to be the top-listed Computer & Electronics Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Furahia maajabu ya OPPO AI Eraser. Chora tu duara kwenye kitu unachotaka kiwe kimeondolewa, na AI Eraser itafanya mengin...
Tupate kwa urahisi kupitia tovuti yetu ili upate kuona maduka yetu rasmi ambayo ni OPPO GEREZANI, OPPO CHINA PLAZA, na O...
Kampeni yetu ya #ShindaBODAnaOPPO imekuwa ya kusisimua na yenye mafanikio makubwa! Leo, tunachukua muda wa kutangaza na ...
Capture the magic of the season. ๐Ÿ“ท๐ŸŽ„#CloserwithOPPO
Tunapenda kuwakaribisha katika uzinduzi wa duka letu kubwa la OPPO lililopo Gerezani Kariakoo Mtaa wa Lindi siku ya Juma...
Camera Mbili, Furaha Mara Mbili! Sasa unaweza kurekodi video mara mbili kwa wakati mmoja na kamera ya mbele na kamera ku...
Uzinduzi wa bidhaa mpya za OPPO A78, A58, A38 na A18 umefana! Tunaahidi ubora na ubunifu wa hali ya juu.Ungana nasi kwen...
OPPO A78 IS LOADING!!#AperfectChoice#OPPOTanzania
BADO TUPO!!!Bado tupo na tunaendelea na maonyesho hapa sabasaba tembelea mabanda yetu kujua simu zetu na kufanya manunuz...
LEO SI NDO SIKU YENYEWE๐Ÿ”ฅSisi bado tupo sabasaba tukiendelea kumwaga ofa na elimu kuhusu simu zetu karibu sana kwenye mab...
Hii ni Reno8 T 4G ikiwa na muonekano mzuri na muundo bora sana๐Ÿ”ฅina sifa nyingi za kuvutia na kushangaza ikiwa na 100MP m...
Tunapojiandaa kukaribisha wakati huu maalum wa Ramadhan, Tunatumai maisha yatakuletea hatua moja karibu na baraka zako z...

Website

Address

Posta Samora Avenue Street
Dar Es Salaam
11101
Other Dar es Salaam computer & electronics services (show all)
www.kivuko.com www.kivuko.com
Elmalek Elsaleh
Dar Es Salaam, 70018

Official page of www.kivuko.com For Enquiries call +255 757 613124 OR +255 719 928306

Powercomputers Telecommunications Limited - Tanzania Powercomputers Telecommunications Limited - Tanzania
Sabodo Cark Parkade/10th Floor/India Street
Dar Es Salaam, 8758

Total I.T. Solution

Sihebs Technologies Co. Ltd Sihebs Technologies Co. Ltd
Morogoro Road, Ubungo Plaza
Dar Es Salaam, 255

SIHEBS Technologies is a leading provider of Information Technology and Telecommunications systems.

Dalian TECHS Dalian TECHS
Barack Obama Drive
Dar Es Salaam

SERVING TECHNOLOGY BETTER . Welcome to Dalian TECHS official page .TELL YOUR FRIEND TO TELL THEIR FRIENDS.

Vanniglo Investment Limited Vanniglo Investment Limited
Boko Msikitini, Boko
Dar Es Salaam

Web Design, Web Apps Development, Domains, Hosting Services Mobile Apps Development, SEO

TTCL Corporation TTCL Corporation
EXTELCOMS HOUSE, SAMORA Avenue
Dar Es Salaam, 9070

Welcome to the official page of TTCL Corporation! While we keep you updated, we are at your

Beem Beem
Zanaki Street
Dar Es Salaam

We envision an Africa powered by enterprises, empowered through technology. Beem has created the largest mobile network reach in Africa, for companies to leverage SMS, USSD, Airtim...

official_j.puredj official_j.puredj
Dar Es Salaam

https://www.youtube.com/channel/UCIIAo_mA4d5uApeBXI5EelQ

Vintage PhoneCrib Vintage PhoneCrib
Dar Es Salaam

Rammy Hamzah Entrepreneur Dealer in all iPhones Samsung Google Pixel and Oppo Mobilephones All accessories available... more wa.me/message/45TKBTLFAOGZC1 Kariakoo Aggrey stre...

Amplifi Electrics Ltd Amplifi Electrics Ltd
Vijana Towers Ground Floor
Dar Es Salaam, 11103

We're a professional supply-chain company for electrical and lifts products and services in Tanzania. We are exclusive distributors for Johnson lifts and escalators in Tanzania an...

Homebase.tz_ Homebase.tz_
Magila & Likoma
Dar Es Salaam

Oshop Oshop
Stand Makumbusho Street
Dar Es Salaam