Afya yako jukumu letu

karibu ujipatie mayai jumla mazuri.Fresh from farm

01/11/2021
01/11/2021

Stay healthy

07/10/2021

Kwa mawasiliano 0623386902

27/09/2021

MVURUGIKO WA HOMONI,(HORMONE IMBALANCE)

🔘Mvurugiko wa homoni za mwanamke ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapo pata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%

VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI
⏺️Uwepo wa sumu mwilini
⏺️Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha).
⏺️Umri ukienda sana Kukoma kwa hedhi
⏺️Uzito mkubwa.
⏺️Mabadiliko ya mazingira
⏺️Msongo wa mawazo
⏺️Upungufu wa lishe mwilini.
⏺️Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
⏺️Utoaji wa mimba
⏺️Ongezeko la homoni ya Androgen (Kuota ndevu, sauti k**a mwanaume)

DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI
▶️Uke kuwa mkavu
▶️Maumivu wakati wa tendo la ndoa
▶️Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi.
▶️Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa.
▶️Mabadiliko ya siku za hedhi na kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7. (heavy bleeding, au kujaza pedi moja kwa saa moja).
▶️Kukosa hedhi kwa muda mrefu, na kutoa damu yenye mabonge mabonge wakati wa hedhi.
▶️Uchovu wa mara kwa mara.
▶️Homa za usiku na Kizunguzungu cha mara kwa mara.
▶️Mzio wa vyakula (Allergie), kuchagua chagua vyakula.
▶️Ongezeko la tumbo na nyama uzembe.
▶️Kuharibika kwa ngozi (chunusi, vipele… n.k).
▶️Kupata hedhi wakati wa ujauzito
▶️Mwili kutokukua, kuonekana k**a binti mdogo, na kutokukua kwa via vya uzazi.
▶️Maumivu ya kichwa mara kwa mara.

MADHARA YA MVURUGIKO W HOMONI
➡️Kupatwa na maambukizi ukeni mara kwa mara
➡️Kutoshika ujauzito kwa muda mrefu
➡️Mimba kuharibika mara kwa mara
➡️Kukosa mtoto au Ugumba.
➡️Maumivu wakati wa tendo la ndoa.
➡️Kuwa na tabia na maumbile ya kiume
➡️UTI (Urinary Tract Infection) ya mara kwa mara.
➡️Kuziba kwa mirija ya uzazi.
➡️kupatwa na saratani ya kizazi
➡️Uvimbe kwenye kizazi mwanamke (Fibroids and ovariancysts).

SULUHISHO

➡️Namna nzuri ya kutibu tatizo la homoni ni kutumia virutubisho lishe. Wasiliana nami 0623386902

27/09/2021

*ZIJUE ATHARI, DALILI, TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME, KUKOSA HAMU YA TENDO*

*Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume husababishwa na mambo mengi k**a KISUKARI, UNENE ULIOPITILIZA, KUJICHUA (MA********ON), UNYWAJI WA POMBE, HOMONI kushindwa kufanya kazi ipasavyo n.k. Upungufu wa nguvu husababisha tendo la ndoa kutokufanyika kwa kujiamini na kwa usahihi na hivyo kusababisha ndoa na mahusiano kuvunjika.*

*BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI K**A:-*

⚜️ *Kukosa hamu ya tendo la ndoa*
⚜️ *Uume kusimama kwa ulegevu*
⚜️ *Kuwahi kufika kileleni*
⚜️ *Kushindwa kurudia tendo kwa wakati*
⚜️ *Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.*
⚜️ *Uume kusinyaa katikati ya tendo.*

*SULUHISHO LIMEPATIKANA* Kwa kutumia mimea na matunda. Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye *"KISUKARI NA PRESSURE"*
Wasiliana nasi👇👇👇
#0623386902

22/09/2021

Weekend offer get prepared. Kuanzia ijumaa saa sita usiku hadi jumapili saa sita usiku. Kwa mawasiliano 0623386902

21/09/2021

*UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE*
*(pelvic Inflammatory Disease)*
*Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu*
*🟢Zifuatazo-:*

*✳️Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivyo wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua*

✳️ *Pia sababu nyingine ni matumizi ya Condoms na kufanya ngono zembe* .

*🟢DALILI ZA UGONJWA WA PID*
1️⃣ *Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa* ni *mweupe, njano, au maziwa*
2️⃣ *Kuwashwa sehemu za siri*
3️⃣ *Uke kutoa harufu mbaya*
4️⃣ *Maumivu ya tumbo chini ya kitovu*
5️⃣ *Uke kuwa wa ulaini sana*
6️⃣ *Maumivu wakati wa tendo la ndoa*
7️⃣ *Kuvurugika Kwa hedhi*
8️⃣ *Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi*
9️⃣ *Maumivu wakati wa kukojoa na* *wakati wa choo kubwa*
🔟 *Homa, uchovu,kizunguzungu na* *kukosa hamu ya kula*

*🟢MADHARA YA PID*
1️⃣ *Ugumba*
2️⃣ *Kansa ya shingo ya kizazi*
3️⃣ *Mirija ya uzazi kuziba*

⚠️ *USIENDELEE KUTESEKA....TUNALO SULUHISHO*
wasiliana na mimi sasa;+255623386902

21/09/2021

Kwa mawasiliano +255623386902.
Afya yako jukumu letu

20/09/2021

Nashukuru Ndugu Kwa mrejesho

18/09/2021

Karibu sasa upate tiba

17/09/2021

*UTANGULIZI – YAJUE MAGONJWA YA MOYO*

_Magonjwa ya Moyo_ ni
magonjwa yanayoambatana na kuathiri moyo. Mara nyingi magonjwa ya moyo yanaambatana na mishipa ya damu kuwa na tatizo ambapo moyo hushindwa kufanya kazi, moyo hutegemea damu ambayo hubeba oxygen, madini, vitamins, kinga ya mwili, joto, homoni na vingine vingi.

Kwa mwaka 2015 pekee zaidi ya watu milioni 17.7 walifariki kutokana na magonjwa ya moyo na mfumo wa damu. Hii ni sawa na theluthi ya vifo vyote duniani. Zaidi ya theluthi ya vifo vyote vinavyotokana na ugonjwa wa moyo na mishipa ya damu hutokea ndani ya nchi zenye uchumi wa chini na uchumi wa kati. Karibu sasa upate tiba. Kwa mawasiliano +255623386902

15/09/2021

Kwa mawasiliano +255623386902

14/09/2021

Kwa mawasiliano zaidi piga +255623386902

13/09/2021

Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na kutoweza kushika mimba au kupata ujauzito.

Mawasiliano
+255623386902

17/03/2021

UGONJWA WA U.T.I SUGU UNATIBIKA,ACHA KUHANGAIKA,


UTI (Urinary tract infection) ni ugonjwa wa maabukizi katika mfumo wa mkojo na maambukizi haya yanasababishwa na viumbe k**a bakteria,fangasi na virus. Maranyingi bakteria wanaoingia kwenye mfumo wa mkojo hutolewa na mwili,Wakati mwingine bakteria wanaweza zidi kinga ya mwili na kusababisha maambukizi hayo.
UTIs inaweza athiri urethra,kibofu cha mkojo na figo

MFUMO WA MKOJO

Mfumo wa mkojo ni mfumo wa mwili unaotumika kuondoa uchafu na maJi ya ziada
Mfumo huu unaundwa na ureta,kibofu cha mokojo,figo na urethra sitachambaua kwa undani hizi sehemu

KISABABISHI CHA UTI

Mara nyingi UTI zinasababishwa na bakteria aitwaye Escherichia coli (E. coli) na UTI nyingine zinaweza sababishwa na Chlamydia na Mycoplasma na UTI hizi zina athiri hadi mfumo wa uzazi na wanandoa wanapaswa kupata tiba pamoja,

Maambukizi ya UTI ni makubwa sana dunian Zaidi ya watu milioni 8 pointi 1 wanaathiriwa na ugonjwa huu

KWANINI WANAWAKE NDO WAHANGA WAKUBWA?

Wanawake ni wahanga wakubwa sana wa ugonjwa huu kulingana na maumbile yao ya nje

1.Urethra(mrija wa mkojo kutoka kwenye kibofu) kwa wanawake ni mfupi sana hivyo kuruhusu bakteria kufika kwa haraka kwenye kibofu

2.Pia mrija huo unafungukia sehemu ambazo zinaweza kuwa ni vyanzo bakteria ambayo ni sehemu ya uke na pili ni puru
Kwa wanaume ni vigumu sana ila wakipata tatizo linaweza kuwa zito kutibu tofauti na kwa wanawake

WATU WALIO KATIKA HATARI YA KUPATA UTI

‪ #‎Watu wenye vidonda kwenye uti wa mgongo
‪ #‎Mtu yeyote mwenye tatizo katika mfumo wa mkojo
‪ #‎Tendo la ndoa linaweza likahamisha bakteria kutoka kwenye uke kwenda kwenye urethra
‪ #‎Baadhi ya njia za uzazi k**a kutumia diaphragm,spermicides,kondomu nk

Timeline photos 30/01/2021

Karibu tukuhudumie 0623386902

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh