Renewable Energy Technology in Tanzania "East Africa."
We are dealing with renewable energy system instalation,management and system maintanance.
Water pumping system
Producing 11KW which are converted into 3Phase Ac power supply to Pump water to the Hill top 650M long with the Head of 85m, hence pumping 85,000Ltr/day
Site location
Tanzania,Njombe region, Ludewa
Contacts:
+255 623 312 003
☝️
For service, Guidance and Advice
* most precious thing you can give than LOVE is LIFE.....!!*
A year to remember FARE WELL to year 2022 .....!!
LIVE,LEAVE &DIE....✍️✍️
MSHUKURU SANA MWENYEZI MUNGU KWA SHIBE NA AMA I ALIYO KUJALIA KUNA PAHALA KULIONA TABASAMU, KULIONA KESHO NI MAJALIWA.......!!
New project.... **Go green for best cost benefit results.*
🌞🌞Solar kubwa kabisa kwa matumizi makubwa ya kati 345 Watts made in Germany zipo pia🌞🌞
🌞🌞* NA GIZA,Kwa Kufunga mfumo imara na wakudumu Kwa BEI NAFUU.*🌞🌞
Usisite wasiliana nasi👇👇👇
*Nakushukuru Mwenyezi Mungu kwa kunikabidhi mkataba mpya ndani ya mwaka huu Mwingine+1🎉*
womb escape day to me
Nishati muhimu katika maisha ya sasa, karne ya 21. Kwa:-
~kutunza,na kuhifadhi mazingira,pamoja na kutunza Anga hewa (ozone layer).
~kupunguza gharama za manunuzi ya umeme kwa sababu jua ni chanzo bure cha nishati.(free source of energy).
~matengenezo(mantainance)baada ya kufunga mufumo waa uzalishaji umeme wa jua ni nafuu.
~uhakika wa vifaa vya solar vyenye kuongeza thamani katika uzalishaji wa umeme.
https://wa.me/p/4652760468148380/255623312003
Wind energy system *Renewable energy* from Fm Honey Enterprises. on WhatsApp.
~Mfumo wa kuzalisha umeme kwa kutumia nishati ya upepo, wenye uwezo wa kufua hadi 1.5kw kwa siku.
~hivyo kuwa suluhisho la gharama kubwa za manunuzi ya umeme majumbani na viwandani.
~mfumo huu unaweza kutumika k**a backup system katika matumizi yoyote. Na kupunguza ama kuondoa athari ambazo zingepelekewa kwa ukosefu wa umeme.
~umeme unaozalishwa kwa mfumo huu unaweza tumika kuendesha mitambo midogo na mikubwa ya kiwandani na majumbani,kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa mtambo uliokuwa Installed.
Kheri nyingi na baraka tele kwako kwa kuvuka mwaka 2021 na kuuona mwaka 2022
Solar panel testing before installing them in new street LED light system.
Small Wind energy system producing 1.5Kw per day and help to save huge amount of Annual energy bill and protect environment
Videos (show all)
Contact the business
Telephone
Website
Opening Hours
Monday | 09:00 - 17:00 |
Tuesday | 09:00 - 17:00 |
Wednesday | 09:00 - 17:00 |
Thursday | 09:00 - 17:00 |
Friday | 09:00 - 16:00 |
Saturday | 09:00 - 17:30 |