MCRevo

''Master of all events''
LOFT Events & WEDDING Planner
🎀 HOSTING
πŸ‘°WEDDINGS & CORPORATE Events

12/07/2024

Sio Kila Mwanaume Anapenda Kumkosea Mke Wake Hapa.

Mwanamke, Ukiwa na Mme anaye Kukumbuka na Kuijali Familia Yake kwa kidogo au kikubwa Anachokipata Mshukuru sana Mungu Kwa Hiyo Neema, Maana Changamoto Wanazopitia Wanaume Ninyingi Sana.

Usiache Kumuombea Mme Wako, Maana Dua/Maombi Yako Yana Nguvu Sana Kwa Mungu Baba, katika Kumlinda Mme Wako na Kuimalisha Familia Yako Na Upendo Wenu.

(Nguvu Ya Ndoa Ni Furaha na Amani Kati ya Mke na Mme)

17/06/2024
Photos from MCRevo's post 17/06/2024

Wahaya kwenye Jambo Lao Hawana Dogo Aisee πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

17/06/2024

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

17/06/2024

Night of Patricia it was πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

13/06/2024

Bado Sijamalizana na Rockcity narudi Tena!

13/06/2024

Ipo hvi kwenye maisha yetu, watu watakujeruhi Sana na hao hao watakuja kwako katika nyakati zako za furaha, Hakika muombe Mungu akupe watu wema katika kila nyakati zako hapa duniani, Kumbuka, Yesu alisemwa na kudhiakiwa lakini pia aliwambwa msalabani kwa ajili yetu, Mungu wa mbinguni huwapa hewa hata wasiomtii, jifunze kutobeba vitu moyoni ili uwahi kufika kanani!

Not MC Revo.

Photos from MCRevo's post 20/01/2024

Kazi Yetu Ni Kukufanya Ufurahie Siku Yako Muhimu Maana Haita Jirudia Kabisa.

Karibu Tukuudumie πŸ€πŸ€πŸ‘πŸ€

17/11/2023

Mr Kazaula, Katika Ubora Wake πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Mwamba wa Kagera FestivalπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Photos from MCRevo's post 14/09/2023

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🍾🍾🍾πŸ₯‚πŸ₯‚πŸ₯‚

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

Ni Usiku Wa Baraka Sana ni Usiku Ambao Mungu Aliubari na Kuupanga Hakika ilikuwa Ni Furaha ya Hatari Sana Waka πŸ’žπŸ’žπŸ’žπŸ’ž likichukua nafasi yake kati ya Mr&Mrs!

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

MCRevo 🎀🎀🎀πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

🎀🎀🎀 Nikisema Ulikuwa ni Usiku waπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ» Elewa πŸ‘‰πŸ‘‰

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

Usiku wa Mr&Mrs Victor Mukiza ulikuwa Wa Baraka Sana Hakika Ilikuwa ni ShagweπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

Hakika Mlikiwasha hatari πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯! πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ€™πŸ€™πŸ€™πŸ€™

Photos from MCRevo's post 13/09/2023

πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯🎀🎀🎀

27/06/2023

I have reached 500 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. πŸ™πŸ€—πŸŽ‰

22/04/2023

2023 Bookings available
0717-078701

12/04/2023

2023 BOOKINGS AVAILABLE.

Contact; 0717-078701.

12/04/2023

2023 BOOKINGS AVAILABLE.

Contact ; 0717-078701.

04/03/2023

πŸ‘πŸ‘πŸ‘ Bado Tupo Pamoja

25/02/2023

Hapo Iringa tulikuwa na jambo letu na Tumelikamilisha VizuriπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

14/02/2023

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ Madam Magreth, Asante Mama!

Want your organization to be the top-listed Government Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Ulikuwa ni Usiku Wa Tofauti Sana Malangoni Mwafamilia Ya Mzee Didace πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯
πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯Ulikuwa Ni Usiku Wa Johansen&Jenipha πŸ’₯πŸ’₯πŸ’₯

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Dar es Salaam government services (show all)
U.S. Embassy Tanzania U.S. Embassy Tanzania
686 Old Bagamoyo Road, Msasani
Dar Es Salaam

The U.S. Mission to the United Republic of Tanzania. Terms of Use: https://www.state.gov/tou

Waterbuck Safaris Waterbuck Safaris
55 Ali Hassan Mwinyi Road, East Upanga
Dar Es Salaam, 3272

We offer Wildlife Safaris to all National parks of Tanzania, Tailor-made safaris, Camping safaris, H

bibowildnet.africa bibowildnet.africa
Bahari Beach
Dar Es Salaam, 14122

bibowildnet.africa οΏ½It is based on wild issues οΏ½wild photographing οΏ½Promoting afican tourism especially Tanzania οΏ½ #Visitzanzibar οΏ½ #Visittanzanianationalparks οΏ½ #tanzaniaunforgett...

Godfrey Godfrey
Masakahgodfrey389@gmail. Com
Dar Es Salaam, MASAKA

MUONA MBALI "360" MUONA MBALI "360"
Kinondoni
Dar Es Salaam

TWENDE NA MAMA "360"

Maneno ya Ahlubait a.s" Maneno ya Ahlubait a.s"
Dovya B
Dar Es Salaam

Maneno, Nasaha, Hekima na Mafunzo ya Mtume Mohamad {s.a.w.w} pamoja na kizazi chake kitukufu {Ahlubait a.s}

Tourism Tz Tourism Tz
Mikicheni
Dar Es Salaam

Visit Tanzania for Tourism

Mkuulo Mkuulo
Kilolo
Dar Es Salaam, 25632

ExtRa DisCovery ExtRa DisCovery
Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 16102

best wishes filled an empty heart. bad wishes filled the dieing heart. stay awaken😳

Vggggg Vggggg
Dfdfdf
Dar Es Salaam, 11000

Hugulole Hugulole
Dar
Dar Es Salaam, 156870

hi

Kuhani Musa Kuhani Musa
Mbezi Temboni
Dar Es Salaam