Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy

Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy, Entrepreneur, Pugu kigogo fresh, Dar es Salaam.

23/09/2020

Mimi sijaelewa ebu niambie ww ulivyo elewa hii picha

20/09/2020

Leo kumbuka

11/09/2020

Ukiona kuna mtu kapendwa ujue kuna mtu kaumizwa
Ukitegemea KUTABASAMU
KUPENDEZA
KUTHAMINIWA
KUTAJIRIKA
KUHESHIMIWA
na wengine itakuwa ni kazi nzito saNa
Fanya ww kwanza hayo kwa ajili yako na itakuwa rahisi kwa wengne kuendeleza hivyo kwako
Siyo ww mwenyew ujitambui yaaani ujijui alafu unalaumu watu utakesha
Mabadiliko yanaanza na ww
By madam mercy

16/06/2020

Maisha ni watu sio pesa mana bila watu uwezi pats hizo pesa au kuzifurahia kwahyo ishi na watu vizuri

04/06/2020

Kila hadithi inayoanza kwa maumivu inaisha kwa furaha na mafanikio usikate tamaa hata hadithi yako itaisha kwa mafanikio

13/05/2020

Siku zote kumbuka ktk kila jambo MUNGU anapaswa kuwa wa KWANZA katka maisha yako

23/04/2020

Barakoa na matumizi sahihi

23/04/2020

Yesu Ni mponyaji na anatupenda watu wake tumwombeni yenye wtaiponya nchi na ulimwengu kwa ujumla

28/02/2020

NANI HANA ADABU!!!?
SIKU HIZI KILA SIKU UTASIKIA MZEE FULANI ANATEMBEA NA MTOTO MDOGO K**A MJUKUU WAKE NA WENGINE NA WANATEMBEA NA BABA ZAO WAZAZI,WADOGO NA HATA WA KAMBO NA WENGINE NA WAMAMA K**A BIBI ZAO NA K**A MAMA ZAO SASA SWALI NI JE HAWA WATOTO NDO HAWANA ADABU AU WATU WAZMA??!

Photos from Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy's post 19/02/2020

Kwa wajasiriamali wanaotamani kufanya biashara ya vitafunwa comment namba yako ya whataap ujifunze mapishi matano kwa mia tano tu.

19/02/2020

Maisha haya wamekuwa ya ajabu sana kila kitu ni hatari hakuna amani lkn kumbuka ya kuwa yuaja upesi na kila jicjo litamwona yesu na pia ukumbuke kuwa avumilieye mpaka mwisho ndo atakae okoka!! Barikiwa

Photos from Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy's post 13/02/2020

JE UNAHITAJI KUJIFUNZA KUPIKMA VITAFUNWA K**A VILE

_MANDAZI
_ VITUMBUA
_ SAMBUSA
_ MKATE
_ MKATE WA KUMIMINA?
MANDAZI YA MAJI
_ AFU KEKI
_ CRIPS
_KASHATA
WEKA NAMBA.NIKUUNGE KWENYE GROUP

13/02/2020

JIKUBALI WEWE NI MREMBO HIVYO ULIVYO ACHA KUJISH*TUKIA

KUNA WADADA WENGI WANABADILI NGOZI ZAO WAKIDHANI NDO UZURI WAPENDWE LKN PIA KUNA WENGINE WANAONGEZA MAKALIO WAKIDHANI NDO UZURI LKN NGOJA NIKWAMBIE WW DADA WANAUME WANAPENDA TOFAUTI NA TUNAVYODHANI
JE ULISHA WAHI JIULIZA WANAUME WANAPENDA NN KWA MWANAMKE
JIBU, WANAOME WANATAMANI TU HVYO VITU WALA HAWAVIPENDI NDIO MAANA WADADA WENGI FAKE ANAISHIA KULIA KILA SIKU
BADILIKA JIPENDE KWANZA ULIVYO JIAMINI NA UTANIPA JIBU.
BY MADAM MERCY

12/02/2020

HABARI
LEO NAOMBA TUONGEE KUHUSU KUAJILIWA JE, UNAFURAHA NA HYO KAZI?
kuna mtu alisikika akilaumu kuwa amefanya kazi kubwa ambayo ilitakiwa wafanye watu watatu au wanne lkn boss akamwambia ni mzembe kachelewa kumaliza kazi.
Kuna mwingine alikuwa hata afanyi kazi ila anazunguka zunguka tu ofini lkn boss akamsifia na kutaka kumwongeza mshahara
Swali kwako kazi yako inakulipa kadiri ywa nguvu na juhudi zako?
USHAURI; Kazi za kuajiliywa mara nyingi unafanya ukiwa roho juu mana muda wowote uenaweza kufukuzwa hivyo fanya,haya kabla ukiwa kazini
1)Weka akiba, usitumie mshahara wote 2)tafuta biashara utakayoweza fanya kwa muda wa ziada 3)kuwa na bajet usitumie ovyo pesa zako

By madam mercy

07/02/2020

LAANA HIZO ZA WAKE ZA WATU NA MIMBA ULIZOTOAA!!! 2)
Kisha mama akasema " SIPOKEI MAHARI WALA CHOCHOTE MPAKA AZAE CITAKI SHIDA MIMI" maneno ya mama yalifanya washenga kushangaa na kutoka nje nakujadili kwa muda kisha wakaondoka
Nililia sana cku hyo nanikifikiria pencne kweli ctazaa mana nimetoa sanq mimba. Lkn nikajikuta nasikia sauti moyon" MBONA NIMEPONA INA MANA KILA KITU CHANGU KIMEPONA NWA JINA LA YESU"
Ndipo yule mchumba ckumuona tena na sasa nikapata.mchumba mwingne nikataa sana lkn badae nikaamua kukubali lkn nikamwambia kuhusu mama yangu na akakubali kuwa atanioa kwa vyovyote vile ndipo nikamleta nyumban na mama akakataa kam yule wa mwanzo lkn mchumba wangu akujali tukafunga ndoa kanisani na baada ya mwezi nikapata mimba na nikazaa mapacha wa k**e na kiume na baada ya miak miwili nikazaa mtoto wa kiume.
Nimeona nikupe ushuhuda wagu madamu uwatie moyo wabinti ambao wanahisi wametenda meng na dunia imewatenga lkn yupo YESU ALIENISHIKA MKONO NA KUNIREHEMU NA SASA NINAFURAHA.
MKABIDHI SHIDA ZAKO WALA USITAZAME MTU MTAZAME YESU TU
UBARIKIWE
BY MADAM MERCY

07/02/2020

LAANA HIZO ZA WAKE ZA WATU NA MIMBA ALIZOTOA!!! 1)

Ni kauli iliyotoka kwa dada yangu, nikiwa kitandani nmechoka nmekonda mpaka cna tumaini la kuishi tena ila ckuwa na cha kujibu kwakuwa walikuwa sahihi nilitembea na waume za watu wengi na kutoa mimba nyingi na sasa naumwa ugonjwa nisioujua mana hauonekani na watu wengne wanasema laana hzo,wengne kalogwa na wengne ukimwi lkn mama yangu na ndugu alisha nichoka hata kunisafisha sasa ni shida, Naweza kaa na kinyesi hata cku mbili mpaka wajue kunamgeni na chakula kwa shida na hata nikiomba utasikia " si ufe tu unasubiri nn? mama nae anasema unadhani ulioyatenda itapona wewe?!!.
Lkn cku moja nilipata kujisaidia na hakuna mtu wala ndipo nikajarbu kujikaza lkn nilishndwa mana kutoka kg 79 mpaka 32 ndo uoni nilivyokuwa lkn nikaweza nikadondoka chini na ssa cna nguvu tena ndipo nikakumbuka nikasali nakusema"EEH YESU NITAZAME MWANA WA DAUDI NA UNIREHEMU" Ndipo nikaahisi nhuvu kidogo nikaendelea kulia pale chini mana nilikuwa wakusubiri kifo tu, Sasa nikapata nguvu nikaamuka nikapiga hatua nikaweza ya pili ya tatu ya nne nikashangaa nikaenda dirishani kikafunika pazia na nikaenda bafuni nikajisafisha nikasafisha chumba nikalala usingizi mzito.
Ndipo nikashtuka na kalele za kugongwa mlango kwasababu nilifunga, Ndipo nikaitika kwa sauti wakashangaa mana hata sauti ckuwa nayo nikaamuka nikafungua mlango wakashangaa nilivyonfasi na nnaweza kutembea, ndipo nikawaambia nimejisafisha lkn mama akajbu " Wakitakaga kufa wanapataga nguvu we tuage tu" lkn ckuchukia sababu ni kweli niliwadharirisha sana
Nilipoomba cvhakula nikapewa ugali na kabichi zilizopoa nikala na kulala. Baada ya muda niliimarika nikiwa naomba yesu anisaidie na nikarudi kazn wakashangaa sana. Nikapata mchumba lkn aliambiwa mambo meng lkn akusikiliza ndipo akataka tuoane nyumbn nilivyosema mama na dada akashangaa kisha mama akasema itaendelea...

Photos from Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy's post 07/02/2020

MWEZI WA MAPENZI SASA MM NNASWALI JE, NI KWELI TUNAOSHA MAPENZI KWA WATUPENDAO AU HATUJUI YUPI NI YUPI (YAANI WA UKWELI AU UONGO)
EBU K**A HUNA UHAKIKA TUONYESHE UPENDO KWA WAHITAJI( WAFUNGWA,MAYATIMA, MAJANE NA WAGONJWA) K**A UNAKUBALIANA NA MIMI GONGA LIKE HAPO

04/02/2020

Hivi kuolewa ni lazina?

03/02/2020

MTAZAA LINI?!
HIVI NI NANI ALISEMA MTOTO NI KITU RAHISI KUPATA HIVYO!!,MTOTO NI ZAWADI.
C ZAWADI INAYOTOKA KWA MME AU MKE BALI KWA MUNGU.
KWAHYO WALE NDUGU WA MME AU MKE AMBAO KAZI NI KUULIZA;(LINI MTANILETEA SHANGAZI AU MOMBA?) MKOME HYO TABIA.
HAKUNA MWANANDOA ASIYE TAKA MTOTO ILA MUNGU AJARUHUSU MUDA BADO .
K**A UMEELEWA SHARE NA WENGNE WAELEWE
PIA COMENT MUNGU ASANTE KWAKUA NAWE NI ZAWADI YA WAZAZI WAKO AU UNA ZAWADI YA MTOTO

BY MERCY

03/02/2020

HAHAHA

03/02/2020

KUMBUKENI HII PASSWORD NI MUHIMU

02/02/2020

KILA MVULANA HATAKI DADA YAKE AONGEE NA MVULANA YEYOTE USIKU ILA
KILA MVULANA ANAONGEA NA DADA WA MTU USIKU

02/02/2020
02/02/2020

UNAONA NINI NZURI KUAJILIWA AU KUJIAJIRI?

Photos from Maisha ya jamii kimahusiano na kibiashara na mercy's post 02/02/2020

WATU WANGU WAANGAMIA KWA KUSOSA.............................

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Pugu Kigogo Fresh
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Eid mubarak business Eid mubarak business
Mwananyamala
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Bed Sofa Tz Bed Sofa Tz
Dar Es Salaam

tupo makumbusho ... agiza bed sofa na sis , usafiri ni bure