Muulize daktari

Ondoa sumu mwilini mwako

13/07/2024

Hongera twiga stars

FT’ Tunisia 🇹🇳 0️⃣- 5️⃣🇹🇿
⚽️Aisha Juma
⚽️Aisha Juma
⚽️Opa Clement
⚽️Aisha Juma
⚽️Donisia Minja

28/06/2024

Una shida unayotaka ushauri Kutokankwa madakitari? Au umetibiwa sana na hujapata suluhisho? Au unatamani kwenda kutibiwa nje ya nchi? Usisite bofya link hii itakuleta Moja Kwa Moja kwenye magroup ambayo unaweza kupata majibu Yako YOTE.

chat.whatsapp.com

Doctors/Nurses on call 06/05/2024

Basi kwa wale walio na shida za kiafya na wangetamani kumuona daktari lakini labda kwa sababu ya muda, majukumu au kipato inakuwa ngumu wanaweza kubonya link hii itawapeleka moja kwa moja kwenye group la madaktari na ushauri wa kiafya bure.

Pia kunakua na promotiom tiba mbadala na urembo wa ngozi kwa wadada na wakaka.

Uliza na pata suluhu ya hata yale matatizo sugu ambayo yameshindikana kwenye hospitalin zetu

K**a hii sms itafutwa na admin basi unaweza kuniona inbox na ukitaka nitakua add bure.

Ni Afya tu.

Bonya hapa👇👇

Doctors/Nurses on call WhatsApp Group Invite

17/04/2024
07/08/2023

SPIRULINA

🔑-Ni kirutubisho cha asili kisicho na kemikali

kilichotengenezwa kwa mimea ya baharini ijulikanayo k**a Arthrospira Plant,

kidonge kimoja cha spirulina ni sawa na mtu aliyekula kilo moja ya matunda na kilo moja ya mboga za majani.

Spirulina ina trace elements na minerals k**a vile K, na Ca, Mg, Fe, Zn, Cu, Se n.k.Ina vitamin B1,B2,B3,B6 na B9 pia ina vitamin C,D,A, na K.

Spirulina ni chakula bora na kamili cha ziada kwa watu wa umri na aina zote za maisha(nutritional supplements). Spirulina ina vimeng’enya vya kutosha na ina protini hadi kufikia 70% zilizo kamili na zinazoyeyuka kwa kiasi kikubwa.

Kirutubisho hiki husaidia kutunza afya, kuunguza mafuta ndani ya mwili na kuuweka mwili katika hali nzuri.

Faida za kutumia Spirulina:
👉Inaongeza damu mwilini kwani ina kiwango kikubwa cha madini ya chuma(iron),pia wanaokosa hamu ya kula inawafaa
👉Huongeza nguvu mwilini(energizer),
👉Ni kisafishaji cha asili(detoxification) huondoa sumu mwilini
👉Hutoa mlo kamili kwa wakubwa na wadogo,
👉Hupunguza hatari ya kupata kansa, na wenye kansa huzuia isisambae zaidi
👉Hupunguza kiwango cha kolestero na hatari ya ugonjwa wa moyo,
👉Inaweka sawa vichocheo vya mwili,huongeza kumbukumbu nzuri kwa watoto umri wa shule na wazee wanaosumbuliwa na kumbukumbu au ubongo kuchoka
👉husaidia wanaosumbuliwa na tumbo la hedhi, kichefuchefu, mood change etc
👉wanaosumbuliwa na fungus kwa muda bila suluhu hii inaua fungus na bacteria kwenye damu
👉inatibu magonjwa sugu ya ini, ikiwa pia inatibu homa ya ini
👉Husaidia kuongeza kinga za mwili(CD4),utafiti umethibitisha huongeza kinga ya mwili haraka zaidi
👉Inarekebisha kiwango cha sukari mwilini,
👉Kusaidia kuweka mafuta na sukari ndani ya mwili kwenye viwango kizuri,
👉Ni nzuri pia kwa watu wenye vidonda vya tumbo,
👉Kuboresha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula,
👉Inasaidia kwa wajawazito kumpatia mtoto virutubisho akiwa tumboni.
👉Ni nzuri sana kwa matumizi ya watu wa rika zote (watoto,vijana mpaka wazee).

Bei ni Tsh 75,000 PIGA 0699254400 SASA

23/07/2023

*Ni Kipi Chanzo Cha Moyo Kutanuka?* ?

🛑Chanzo kikubwa ni moyo kupump damu kwa nguvu na hatimaye kutanuka ni kuziba kwa mishipa ya damu.

🛑 Mishipa ya damu inaziba kwa kujikusanya kwa mafuta mabaya.

🛑 Kuziba huku kwa mishipa kunapelekea misuli ya moyo itumie nguvu kusukuma damu, na hatimaye shinikizo la damu kupanda.

*Kuna vihatarishi vingine k**a* 👇👇👇

🩸maambukizi ya virusi kwenye moyo

🩸ukuaji wa valve za moyo usio wa kawaida

🩸mimba, hasa wakati wa kujifungua

🩸magonjwa ya figo

🩸matumizi makubwa ya pombe na dawa za kulevya

🩸maambukizi ya virusi vya Ukimwi

🩸matatizo ya kurithi

🩸matatizo ya tezi ya shingoni (thyroid)

🩸Madhara makubwa ni ulemavu wa kudumu ,kifo

📲📞Tuwasiliane kwa ushauri na matumizi ya cardioton na stemcells. 071974789

28/12/2022

IJUE TIBA YA STEMCELLS.

SWALI.

KWA NAMNA GANI STEM CELLS INAWEZA KUTATUA HATA CHANGAMOTO ZA AFYA ZILE ZINAZOONEKANA SUGU NA ADIMU?

JIBU

STEMCELLS HAI DEAL AU HAIHUSIKI NA HIZO CHANGAMOTO BALI STEMCELLS INA DEAL NA KIINI CHA HIZO CHANGAMOTO.

KWA MAANA NYINGINE STEMCELS HUUPONYA MWILI ILI MWILI UUPONYE HIO CHANGAMOTO.

Kwa kizungu inapendeza zaidi👇
*Stemcell cures the body and the body cures the diseases*

*Stemcells build the immune system and body throws out the diseases.*

Kwa kiswazi anamaanisha hivi.

Bidhaa ya stemcells inauponya mwili kwanza ndipo mwili unaponya maradhi. kwa sababu stemcell inaujengea mwili immunity uwezo mkubwa wa kufukuza wadudu wote wanaosabaisha maradhi k**a vile cancer, HIV, magonjwa ya moyo, sukari, kiarusi, udhaifu wa viungo, magonjwa ya uzazi figo, ini kongosho na mengineyo.

Sasa stem cells ni nini hasa. Kwanza tuanze na jina la kampuni.

SUPERLIFE*
"LIFE IS SUPER"

♦️Hii ni kampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandao wa kiwango cha kimataifa na ubunifu mpya zaidi wa tiba ya mimea kwa kutumia seli shina (stem cell)

👉Kampuni ilianzishwa na Mr LAI TEK KEAN mwaka 2017 huko Malaysia kwa kusudi la kujenga afya bora na utajiri kwa raia wake na wa kimataifa.

👉Superlife Company iliweza kuenea zaidi ya nchi 20 duniani ikiwepo na Tanzania kwa kipindi cha miezi 10 ya mwanzo tu.

*Part ya Health (Afya)*

*STEM CELL*
♦Ni seli shina au kiini chenye uwezo maalumu wa kipekee wa kuendeleza kuzalisha seli mpya katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu na kuweza kutibu magonjwa yote sugu yanayomkabili mwanadamu k**a Kisukari, Stroke, Cancer etc

*Original of stem cell / source of stem cell (Vyanzo vya Seli shina)*

*1.* *Human Stem Cell*
Hii ni aina ya stem cell ambayo unaweza kuitoa kwa mwanadamu mmoja ukainject kwa mwanadamu mwingine ambaye anasumbuliwa na magonjwa/ ugonjwa sugu na akapona kabisa ugonjwa huo. Procedure hii inafanyika mubimbili hospital sasa na ilizindiliwa miezi miwili iliyopita japo gharama

08/09/2022

Tutakuelewa tu

26/08/2022

I've just reached 300 followers! Thank you for continuing support. I could never have made it without each and every one of you. 🙏🤗🎉

10/06/2022

for a nurse and a doctor who thinks of doing extra work out of time can send an application here
[email protected] Or
[email protected]

29/05/2022

Okoa hela zako kwa kupata ushauri bure na fb. Tuma link hui kwa magroup mengi kwa kadri uwezavyo

05/05/2022

*Somo
Kwa nini ni lazma kuzilinda seli zako?*

Na je tunazilindaje?

Utangulizi

K**a tunavojua seli za mwili wa mwanadamu ndio chanzo cha afya au kutokuwa na afya

Maradhi mengi au yote yanampata mwanadamu sasa hivi chanzo chake ni seli zake.

# Kwa nini kuna magonjwa mengi yasiyo na tiba sasa hivi?... ni kwa sababu seli hazina nguvu ya kuitumia hio dawa kuleta uponyaji kwenye huo mwili wa anayeumwa.

# Kwanini siku hizi watu wanazeeka mapema na kupungukiwa uwezo wa utendaji wa viungo vyao kuliko ilivokua zamani? Jibu ni kwa sababu technolojia kubwa iliyoko sasa hivi inasababisha seli zetu kupoteza uwezo kuliko ilivyokuwa zamani.

# Kwa nini siku hizi maradhi k**a ya kansa, sukari, presha, magonjwa ya moyo, utasa na ugumba, kuharibika kwa mimba, tezi dume, kiarusi, uti wa mgogo ., ulcers, viuno na joints kuuma, maradhi ya figo, ini, kongisho n.k na mengineyo yameongezeka sana jibu lake lipo kwenye uwingi wa uharibifu wa seli kuliko ilivokua zamani.

*Sasa tunafanyaje* ?

Maisha lazima tuishi kwa kulinda seli zetu ili kwamba k**a tayari kuna maradhi yameshaanza kupiga hodi yaondolewa na k**a bado unaziweka seli zako imara kushambulia kila aina ya maradhi nyemelezi.

Seli zetu ziliumbwa ili kuratibu afya zetu. Zilizengenezwa na kupewa uwezo wa kujizalisha, kututumikia na kufa ili na kuzalisha mpya kwa ratio inayoendana na namna tunavoongezeka umri na kimo.

Lakini hapa kati badala yake zinajizalisha na kufa kuna nzingine zinajizalisha na kudumaa au kubadilishwa umbile ndipo sickle cell inaanzia.

Nyingine zinazaliana ovyo ovyo bila mpango na kusababisha ma uvimbe mengi mengi kwenye vizazi. Shingo majipu n.k

Nyingine zinazalishwa lakini hazifi zinakua dhaifu au kulala ndo unakuta mtu anakua k**a zezeta na ndipo makansa ya kila aina yanatokeaga.

Nyingine zipo k**a boya hazimsaidii mwanadamu na inapelekea magonjwa k**a kiarusi na maradhi ya akili, uoungufu wa nguvu za kijinsia n.k

Nyingine zikizaliwa tu zinakumbana na madawa ya sumu na kemikali zinakufa hapo hapo kabla hazijatumika.

Seli ndio killer disease inayochangia asilimia 98 ya magonjwa na vifo vyote.

K**a zikizibitiwa manake tutaokoa asilimia 98 ya watu ambao wangekufa kabla ya siku zao. Lakini pia tutaokoa fedha nyingi ambazo tungepoteza kwa matibabu na upasuaji mahospitalini.
Wagonjwa wanaolipa mamilion ya kusafishwa figo leo pale muhimbili k**a wangejua namna ya kutunza seli asilimia 98 hawangekuwa na shida hio na wangeokoa hela nyingi kwa ajili ya familia zao

Wagonjwa waliokatwa viungo kwa sababu ya sukari na wale wanaosubiria mionzi ocean road k**a wange take care seli zao asilimia 98 hawangekuwepo hivyo.

Magonjwa ya figo , ini na vidonda vya tumbo yanaweza kuzuilika au kuponywa k**a seli za miili yetu zitakuwa zinafanya kazi kwa asilimia 60 tu.

Tunafanya hivyo kwa matumizi ya stemcells au seli shina kwa sababu hatuna namna ya kukwepa kwenye lifestyle tulizopo kwa sababu ya technology na dunia inapotupelela.

Seli shina nini?

Bonyeza link hii kwa muendelezo wa somo hili

https://chat.whatsapp.com/Dm0pojmhawQ4y4OmlF2FAy

Dr Ben soy
M.D/ Nutritionists

26/03/2022

Dxn inashughulikia uzalishaji wa mapato hadi kizazi ambao mtu lazima aelewe. Leo sisi sote tunaishi maisha yenye afya na kesho tunakutana na ugonjwa wa aina gani, kamwe hatujui. Ni bora kuchagua bidhaa za Dxn na uendelee kuwa na afya njema milele. Nimeona watu wakisumbuliwa na Kansa, Heart blocks, Kisukari ambayo ni magonjwa ya kuhatarisha maisha. Bidhaa za Dxn zimechanganywa na Ganoderma Mushroom ambayo husaidia kuongeza kinga ya mwili wetu na mwili hupambana na magonjwa ndani na kuutupa nje. Kwa watu wenye afya, Ganoderma husaidia katika kuzuia !!! Kwa hivyo fungua macho yako kabla haijachelewa. Kumbuka Dawa ni sumu ya polepole ambayo huua mfumo wako wa kinga.

12/02/2022

K**a una wapendwa wako kijijini haswa wazee wako au wazazi na wameenda age na hujui ni zawadi gani uwape kwenye sikukuu hii ya valentine nakushauri wape zawadi ambayo itawafanya waishi muda mrefu zaid lakini wenye afya njema.

Shida au tatizo kubwa linalowapata watu wazima hawa ni la viungo a.k.a joints; miguu yao kukosa nguvu ya kutembea , magoti kuvimba, kiuno kukaza na mgongo kuuma, pia matatizo ya meno kuporomoka kuishiwa nguvu na shida za tezi dume kwa wababa.

Matatizo haya yote yanasababishwa na kupungua kwa madini hasa madini ya calcium.

Organic calcium ni jawabu pekee la kuwasaidia wazee wapone na kukingwa na ayo matatizo ktk siku za mbeleni.

Watumie hii product ili wajue wana mtoto mwenye akili mjini

Hii ni zaidi ya pesa. Ina thamani kushinda zawadi zozote unazoweza kuwatumia.

Ukitaka tutakufungia kwenye gift paper ili iwafikie.

Wahi 0699254400

12/02/2022

IJUE TIBA YA STEMCELLS.

SWALI.

KWA NAMNA GANI STEM CELLS INAWEZA KUTATUA HATA CHANGAMOTO ZA AFYA ZILE ZINAZOONEKANA SUGU?

JIBU

STEMCELLS HAI DEAL AU HAIHUSIKI NA HIZO CHANGAMOTO BALI STEMCELLS INA DEAL NA KIINI CHA HIZO CHANGAMOTO.

KWA MAANA NYINGINE STEMCELS HUUPONYA MWILI ILI MWILI UUPONYE HIO CHANGAMOTO.

Kwa kizungu inapendeza zaidi👇
*Stemcell cures the body and the body cures the diseases*

*Stemcells build the immune system and body throws out the diseases.*

Kwa kiswazi anamaanisha hivi.

Bidhaa ya stemcells inauponya mwili kwanza ndipo mwili unaponya maradhi. kwa sababu stemcell inaujengea mwili immunity uwezo mkubwa wa kufukuza wadudu wote wanaosabaisha maradhi k**a vile cancer, HIV, magonjwa ya moyo, sukari, kiarusi, udhaifu wa viungo, magonjwa ya uzazi figo, ini kongosho na mengineyo.

Sasa stem cells ni nini hasa. Kwanza tuanze na jina la kampuni.

SUPERLIFE*
"LIFE IS SUPER"

♦️Hii ni kampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandao wa kiwango cha kimataifa na ubunifu mpya zaidi wa tiba ya mimea kwa kutumia seli shina (stem cell)

👉Kampuni ilianzishwa na Mr LAI TEK KEAN mwaka 2017 huko Malaysia kwa kusudi la kujenga afya bora na utajiri kwa raia wake na wa kimataifa.

👉Superlife Company iliweza kuenea zaidi ya nchi 20 duniani ikiwepo na Tanzania kwa kipindi cha miezi 10 ya mwanzo tu.

*Part ya Health (Afya)*

*STEM CELL*
♦Ni seli shina au kiini chenye uwezo maalumu wa kipekee wa kuendeleza kuzalisha seli mpya katika sehemu mbalimbali za mwili wa mwanadamu na kuweza kutibu magonjwa yote sugu yanayomkabili mwanadamu k**a Kisukari, Stroke, Cancer etc

*Original of stem cell / source of stem cell (Vyanzo vya Seli shina)*

*1.* *Human Stem Cell*
Hii ni aina ya stem cell ambayo unaweza kuitoa kwa mwanadamu mmoja ukainject kwa mwanadamu mwingine ambaye anasumbuliwa na magonjwa/ ugonjwa sugu na akapona kabisa ugonjwa huo. Procedure hii inafanyika mubimbili hospital sasa na ilizindiliwa miezi miwili iliyopita japo gharama yake nj kuanzia milion 50 kuendelea.

Zamani ilikua inafanyika india na Africa kusini.

*2.* *ANIMAL STEM CELL*
Hii ni aina ya pili ya stem cell ambayo unaweza kuitoa kwa mnyama na ukainject kwa mwanadamu alie na ugonjwa sugu na ikatibu ugonjwa huo ukaisha kabisa.

*3.* *PLANT STEM CELL*
Hii ni aina ya stem cell itokanayo na mimea ambayo mwanadamu anaesumbuliwa na magonjwa mbali mbali sugu aitumiapo inaondoa magonjwa hayo na kurudisha mwili katika normal condition. Mimie hii ilifanyiwa utafiti zaidi ya miaka 15 na kuonekana ina sells zinazofanana na mwanadamu.

*SuperLife Company wao wanadeal na Plant Stem Cell Source ambapo product yao ya Sellifez stemcells au StemCell30 imetokana na mchanganyiko wa seli shina za matunda mbalimbali*

Plant stem cells ni rahisi na salama kuliko aina nyingine maana hii inaweza kutumika kabla na baada ya maradhi. Kabla kuzuia na baada kusaidia kwenye pdocess za uponyaji.

*NB. IKUMBUKWE AINA ZOTE ZA STEM CELLA HUWEKEWA MGONJWA ILI KUUWEZSHA MWILI WAKE KUFUKUZA MARADHI ALIYONAYO.*

*STEM CELL WORKS IN 4 MAIN WAYS* (Kazi 4 za seli shina katika mwili wa mwanadamu)

1. Rejuvenating age cells (kurudisha/kuzalisha seli mpya)

2. Restoring sick cells (kurejesha upya seli zinauzoumwa)

3. Repairing demaged cells (kukarabati seli zilizoharibika)

4. Cleanse the blood (husafisha damu)

👉Kiuhalisia mwili wa mwadamu umeundwa na vitu vinne ambavyo ni
1. Cell
2. Tissue
3. Organs
4. System
Human being

👉Hivyo basi Virus au Bakteria ndio wanaosababisha magonjwa mbalimbali katika mwili wa mwanadamu na wakiingia mwilini huanza kushambulia Cells ambazo ndio kinga ya mwili.

K**a Cell zitakuwa chini basi virus au bacteria hao hupata nafasi ya kuingia ndani ya mwili na kulipua ugonjwa wowote ule

👉Lakini mwanadamu akianza kutumia STEMCELL SELLIFEZ) anazirejesha upya zile cell zilizoharibiwa na virus na bacteria au na vyakula mbalimbali tunavyovitumia na kuzifanya ziwe hai tena ndo pale mtu anapata nafuu hatimae kupona kabisa.

👉STEMCELL ni bidhaa inayodeal na chanzo cha ugonjwa na hivyo husababisha kupina magonjwa mengi sana.

👉unaweza kupitia hiyo link hapo chini na kuona magonjwa mbalimbali yanayotibika kwa stemcell

Prepared by:
Joseph

Superlife Zonal Manager🇹🇿

www.superlifeworld.com .....magonjwa sugu ni k**a
KISUKAR,PRESSURE, STROKE, CANCER, BAWASILI,SICKLE CELL, UVIMBE,TEZI DUME ,KUPOTEZA UWEZO WA TENDO LA NDOA,FIGO ,

KUPANDISHA CD4 MARA 20 ZAIDI NA KULAZIMISHA VIRUSI WOTE WA HIV KUKIMBIA KWENYE DAMU YA MGONJWA ,KIZUNGUZUNGU NA MENGINEYO ZAID

*Huu ni Ushauri wa daktari na mtaalamu wa lishe mwalimu na mtumishi*

Q. Fanya bidii ya kupata huduma hii .
Usisubiri uambiwe figo limefeli.

Q. Usisubiri uambiwe sukari imezidi na unaweza kakutwa viungo.

Q. Usisubiri vidonda vya tumbo viwe sugu hadi tishio la kansa ndipo ututafute.

Q.Usingojee ustaafu kazi ndipo uanze kujenga seli zako.

Q. Ni jambo baya kusubiria mkojo unakwama kutoka ndipo utafute tiba.

Q.Usisubirie macho yaanze kukosa nuru ndipo utafute madakitari wa macho.

Q.Usisubirie miguu ishindwe kukubeba ndipo uanze kuhangaika.

KINGA NI BORA KULIKO TIBA.

*Isifikie kipindi cha ule msemo wa utajua hujui*

1. Je unaijua gharama ya kusafishwa figo? K**a hujui niulize.

2. Unajua gharama ya kuwaona madaktari bingwa wa moyo presha na sukari?

3.Unaijua gharama ya kupima CT Scan ili tatizo lako lijulikane ndipo uanze kutibiwa? Saa nyingime unapima vipimo vya mamilion alafu unaambiwa vipimo vyote viko normal..na hapo unaumwa...kumbe tatizo lako lipo kwenye seli.😞

4 Je unazijua gharama za kwenda India ili ukabadilishiwe figo? na unajua ukishabadilishwa utaishi miezi mingap? Hapo utakua umeacha hasara za mtoto kuwa na figo moja lakini umeuza assets zote ambazo ungewaachia wanao.

5. Je unajua kila mtu anaweza kupatwa na haya maradhi..k**a ndio Je unajiwekea ulinzi gani wa seli zako? KUMBUKA wanaumwa sasa hivi inawezekana hawakujua..wewe unapata elimu hii unachukua hatua gani?

Wakati mwingine nazan Mungu huwa anawasaidia wasiojiweza kiukweli utashangaa babu wa kijijini miaka 120 hajawahi kuugua tezi dume.

Lakini wewe uliyeko mjini na una kauwezo na elimu unayo na hupendi kujishuhulisha subiri ifike miaka 50 *utajua hujui* ..

*Yaani namaaniaha hivi.*

Jijengee tabia ya kucheki afya yako unaweka akiba ya hela..pia weka akiba ya afya yako. tuachege ujuaji.. kesho yko ni ya thamani kuliko leo.

Vyakula tunavyokula mjini vinakosa sifa ya moja kwa moja ya kutuwekea kinga kamilifu ndio mana bidhaa k**a hizi zinakuja kusaidia.

Chunga sana usije kusumbua watoto mapema wakati ulikua na uwezo wa kujisaidia. Watoto nao waache waje wapambane na ya kwao kwa amani.

Kuna waheshimiwa wakuu wa nchi wanakaribia miaka 100 sasa wameijua siri hii mapema na wanaishi vzr.

Pia tunao watu wa kipato cha chini kuliko sisi lakini wameamua kuishi kesho sio leo.

Iko hivi,
Jana imepita achana nayo, leo pia sio yako maana huwezi kubadilisha chochote..ISHI KESHO MAANA HUIJUI.

Weka akiba ya PESA weka akiba ya AFYA yako pia weka akiba ya MANENO. Wengi tunajua kuweka akiba ya pesa tu lakini tunasahau kiweka akiba ya afya na maneno.

Nakala hii na
Dkt Soy Ben
(MD/ Nutr)

Msaada piga 0719794789 au 0699254400

SuperLife - Life is Super! 12/02/2022

SuperLife - Life is Super! A revolutionary formulation based on the Apple & Grape Stem Cells (PhytoCellTec™) which increases the longevity skin stem cells. Combines with GliSODin®, known as “the Enzyme of Life”, STC30 helps to combat oxidative stress & strengthens body’s natural antioxidant system

07/02/2022

▶️ ‎DR. SoyBen

UGOJWA WA P.I.D NA TIBA YAKE

Pelvic Inflammatory Disease

Ni maambukizi katika via vya uzazi. Wanawake wengi husumbuliwa na tatizo hili kulingana na sababu zifuatazo:-

Matumizi ya antibiotics Kwa wingi, kimsingi matumizi haya huuwa bacteria wote, hivy wanapokufa unakosa ulinzi wa bacteria wa kupambana na maambukizi. Kadhalika ujauzito ikiwa ni pamoja na kujifungua. Pia sababu nyingine ni matumizi ya condoms na kufanya ngono

DALILI ZA UGONJWA WA P.I.D
1️⃣Kutokwa na uchafu mzito sehemu za siri, yawezekana ukawa ni mweupe, njano, au maziwa
2️⃣Kuwashwa sehemu za siri
3️⃣Uke kutoa harufu mbaya
4️⃣Maumivu ya tumbo chini ya kitovu
5️⃣Uke kuwa wa ulaini sana
6️⃣Maumivu wakati wa tendo la ndoa
7️⃣Kuvurugika Kwa hedhi
8️⃣Kutokwa majimaji ukeni kupita kiasi
9️⃣Maumivu wakati wa kukojoa na wakati wa choo kubwa
🔟Homa,uchovu,kizunguzungu na kukosa hamu ya kula.

SABABU ZINAZOPELEKEA MWANAMKE KUWA NA MAAMBUKIZI YA KWENYE MJI WA MIMBA (Pelvic Inflammatory Disease).

Aina nyingi za bacteria zinaweza kusabisha PID, lakini gonorrhea na kaswende ni vyanzo vikubwa. Bacteria hawa husambazwa kwa urahisi na mtu anayefanya ngono zembe. Mara chache bacteria huingia kwenye mfuko wa uzazi, wangeweza kuingia kupitia mlango wa kizazi wakati wowote k**a wasingezuiliwa na cervix. Hii hutokea wakati wa mzunguko wa hedhi au kipindi cha kujifungua, kutoa mimba au mimba kuporomoka. Vile vile bacteria wanaweza kuingia kupitia uwekewaji wa vitanzi (Intrauterine Device —IUD) kwa ajili ya kuzuia mimba au kupitia hatua za uwekeji au uingizwaji wa dawa kwenye uterus.

Viashiria Hatari vya maambukizi (Risk factors)
Sababu zinazoweza kuuongeza hatari ya maambukizi ni pamoja na;

🔹Mapenzi ya mara kwa mara chini ya miaka 25.
Wapenzi wengi (Having multiple s*xual partners).

🔹Kuwa na mahusiano na mtu mwenye wapenzi wengi.

🔹Kufanya mapenzi bila kondomu (Having s*x without a condom).

🔹Kuosha ukeni kwa kutumia maji (Douching regularly).

🔹Kuwa na historia ya maambukizi mji wa mimba au magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.

🔹Maambukizi katika tabaka la ndani la kizazi (Endometriosis).

Kuna sababu ndogo ndogo zinazoongeza hatari ya maambukizi ya PID baada ya kupandikiziwa vitanzi (Intrauterine Device —IUD). Viashiria hivi kiujumla hubainika wiki tatu baada ya upandikizwaji wa kitanzi.

Madhara ya PID (Complications).

Pelvic inflammatory disease (PID) isipotibiwa husababisha makovu na vifuko vyenye maambukizi (abscesses) kundelea kuwepo kwenye mfuko wa mimba. Hii inaweza kusababisha uharibifu wa via vya uzazi.
Madhara yatokanayo na maambukizi haya ni pamoja na;-

01. Ujauzito kutungia nje ya mfuko wa mimba (Ectopic pregnancy).

PID ni sababu inayapelekea ujauzito kkutungia nje ya mfuko wa mimba, na hii hutokea pale PID inapoacha kutibiwa na kusababisha kuwepo kwa makovu kwenye mirija ya uzazi. Makovu haya huzuia yai lililopevushwa kushindwa kupita kwenye mirija ya uzazi kuelekea kwenye mji wa mimba, badala yake yai lililo pevushwa hujipandikiza kwenye mirija ya uzazi (fallopian tube). Mimba ya nje ya mfuko wa uzazi inaweza kusababisha usumbufu mkubwa na kuhatarisha maisha ya mjamzito, damu kutoka na kupelekea mama mjamzito kuwekwa chini ya uangallizi maalumu.

02. Ugumba (Infertility).

Uharibifu wa sehemu za via vya uzazi unaweza kupelekea ugumba —hali ya kushindwa kupata ujauzito. Kipindi kirefu utakachokuwa na PID ndivyo kadiri unajiweka kwenye hatari kubwa ya ugumba, kuchelewa kutibu PID ni kuongeza hatari ya kuwa mgumba.

03. Maumivu sugu (Chronic pelvic pain).

PID inaweza kusababisha maumivu ya chini ya tumbo yanayoendelea kwa miezi au miaka. Makovu kwenye fallopian (mirija ya uzazi) na via vingine vya uzazi inaweza kusababisha maumivu wakati wa kufanya mapenzi na upevvushwaji wa yai.

04. Uvimbe wenye usaha kwenye mfuko wa mayai (Tubo-ovarian abscess).

PID inaweza kupelekea kuwepo kwa vimbe zenye usaha kwenye mfuko wa mimba, usaha huu unaathiri mirija ya uzazi pamoja na mayai, lakini unaweza kuendelea kwenye uterus na maeneo mengine ya uzazi, Hali ikiachwa ikaendelea inaweza kupelekea maambukizi zaidi.

05. PID yaweza pelekea saratani ya shingo ya kizazi isipotibiwa haraka

Kwa huduma za tiba Wasiliana nasi kwa namba zifuatazo
+255 699254400 📞

By: DR. SoyBen ✍🏿

Better Health TUNAJALI AFYA YAKO

01/02/2022

*Somo fupi kwa wagonjwa wa sukari👇👇* 👇

Kuna tiba unaweza kutumia kuondoa shida yako ya sukari inaitwa stem cells.

Hii inatibu kiini cha sukari. Inatibu chanzo cha sukari ambacho ni uharibifu wa seli zile zinazotumiwa na kongosho kutengeneza insulin.

Kazi ya insulin ni kudhibiti na kuipangia majukum sukari iliyoko mwilini.

*N.B* kumbuka sukari inahitajika sana mwilini lakini pale ambapo haina msimamizi ndipo inapojiachia na kuleta shida.

Sasa basi wagonjwa wote wa sukari shida inakua kwenye *insulini* . Na insulini inakua na shida kwa sababu *kongosho* limeathirika.

Na kungosho linakua limeathirika kwa sababu *seli* za mwili wake zimeharibika au kufa au kuchakaa.

*Seli* zinachakaa kutokana na mambo mengi mijawapo ni umri mkubwa, maradhi na madawa ya kemikali tunayotumia, vyakula na vinywaji unavotumia au unaweza sema life style zetu, sumu zinazotokana na uharibifu wa mazingira k**a mimoshi ya magari viwandani, kutofanya mazoezi na ulaji holela.

Sasa kazi ya *stem cells* ni kujenga seli zako za mwili, zile zilizozaliana ovyo inaziondoa, inafufua zilizokufa., inaamsha zilizolala na kuzalisha nyingine mpya na hai.

Hio process inabd ifanyike kuanzia wiki *6* *had 9* na baada ya hapo mgonjwa anakua Diabetic free na hata k**a kuna madhara ya sukari aliyapata k**a vile vidonda, upungufu wa nguvu za kiume huondoka na yy huwa mzima 100%.

Hio ndio kazi ya stem cells therapy technolojia mpya kabisa na ya hali ya juu katika karne hii ya 21 kuwahi kutokea.
Kuweka order ya stem cells wasiliana namimi
0699254400.
Soy Ben
MD/Nutr.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Address

Mikocheni
Dar Es Salaam
255
Other Spa, Beauty & Personal Care in Dar es Salaam (show all)
The Spot Hair & Beauty Spa The Spot Hair & Beauty Spa
30 Makai Street, Masaki
Dar Es Salaam, HOUSEWITHZENS

Manicures pedicures gels shellac and bio massages scrubs wraps facials waxing hair cuts colour highlights for men ladies and children. soon morrocan spa

Afya yako na zawadi Afya yako na zawadi
Tazara
Dar Es Salaam

Ukurasa huu upo kwa lengo la kuwasaidia watu wajue umuhimu wa kutumia VIRUTUBISHO na kuvitumia

Rahma Beauty salon Rahma Beauty salon
Boko Carfonia
Dar Es Salaam

karibu Rahma Beauty kwa huduma ya Makeup, kusuka, kushonea na kubond. Tunapamba maharusi nk.

Mramba_Cosmetics tz. Mramba_Cosmetics tz.
Kariakoo
Dar Es Salaam

For better and qulity products and Services., shop with Mramba Cosmetics tz.

Theofora Sixbert Theofora Sixbert
Tandika Maguruwe Nyuma Ya Soko, Mkabala Na Serikali Ya Mtaa (kunapolazwa Malori)
Dar Es Salaam, 2557742030394

Mr salumu Mr salumu
Dar Es Salaam

Chaguo lako maisha yako Chaguo lako maisha yako
Dar Es Salaam

afya yako mtaji wakoo....hakuna gonjwa lisilotibika...karbuni tiba asili kwa AFYA YAKO

Soft&warm hand_massage Soft&warm hand_massage
Dar Es Salaam

we are mobile massage we travel to our client stay home and book your appointment we offer happy ending on our package WhatsApp 0659891718 be safe

ifresh.beard ifresh.beard
Ifresh Store
Dar Es Salaam

Premium Products for Beard | Hair | Skin Care

Ngozi nyororo Ngozi nyororo
Kimara
Dar Es Salaam, 00000

ikungeta urban fix ikungeta urban fix
Dar Es Salaam

Tracie vikoi na vijora vya mombasa Tracie vikoi na vijora vya mombasa
Temeke Buza
Dar Es Salaam

TUNAUZA VIKOI PAMOJA NA VIJORA NA KHANGA KUBWA KWA JUMLA NA REJA REJA TUNAPATIKANA BUZA NJIA PANDA YA MWINYI TUNAFANYA DELIVERY KWA GHARAMA YA MTEJA MIKOANI TUNATUMA KWA GHARAMA N...