Desdery K Peter, Eternal Hope.

Desdery K Peter, Eternal Hope.

You may also like

Vanya chmo
Vanya chmo

🥼Certified Psychotherapist and International Executive Diplomat 🌍
💼 Mental Health Practitioner🧠 Psychotherapy, Counselling Psychology and Mental Health.

25/07/2024

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 17/07/2024

Malezi yanaweza kuchangia uwepo wa changamoto katika mahusino na Ndoa, ambapo hizo changamoto zinaweza kupelekea magonjwa ya Akili.

Unapo mlea Mtoto ni vyema na muhimu kuzingatia Afya yake ya Akili.

Africa Academy for Public Health - AAPH East Africa Radio Mc Ritha Chuwalo Wizara ya Afya Tanzania Agape Women Development Foundation Rafiki Foundation Mtwara Economic and Social Research Foundation (ESRF) - Tanzania Family Welfare Foundation-FWF

18/05/2024

. SCHIZOID PERSONALITY DISORDER (SPD).

Inawezekana mwanao, ndugu, Rafiki au hata wewe mwenyewe unapitia changamoto hizi zifuatazo, 👇

- Unatamani uwe peke yako na kufanya shughuri zako mwenyewe.
- Hutaki kufurahia uhusiano wako wa Karibu sana watu wako.
- Uwezi kuwa na hisia za kuwa na mahusino ya kimapezi ( tendo la ndoa).
- Uwezi kufurahia maisha hata k**a umepata nafasi hiyo.
- Huna uwezo wa kujitia moyo na kufanya malengo yako.

Basi ni wazi kuwa wenda unapitia changamoto ya Afya ya Akili au ugonjwa unao julikana kwa jina la Schizoid Personality Disorder (SPD) .

Ugonjwa huu wa SPD unawakumba zaidi vijana haswa kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea. Japo kua pia huwa tatizo linaanza kuonenaka utotoni.

Huu ugonjwa unaweza kusababisha usifanye vizuri Shuleni, kazini na katika maeneo mengine katika maisha yako, japo pia upande wa kazini unaweza kufanya vizuri endapo utakuwa peke yako.

Ugonjwa huu SPD unaweza kurithi (Vinasaba) lakini pia sababu mbali mbali za Kimazingira, kijamii zinaweza kichangia kupata ugonjwa wa SPD.

Matibabu yake yapo ya aina tofauti tofauti na yanapatikana katika vituo vya kutolea huduma za Afya.

.
Africa Academy for Public Health - AAPH Mental Health Tanzania East Africa TV East Africa Radio

16/05/2024

PERINATAL DEPRESSION & PRENATAL DEPRESSION🧠.

Wanawake katika Jamii zetu wamekuwa wanapitia changamoto nyingi Kabla au baada ya kujifungua, wengi wao udhani ni hali ya kawaida kumbe ni ugonjwa.

Mwanamke mwenye ujauzito au aliye jifungua na ana dalili hizi,👇
- Kumpoteza ham ya upendo/ uhitaji wa Mtoto.
- Kuwaza kifo mara kwa mara, kutamani kujidhuru au kujaribu kujiondoa uhai.
- Kujihisi mchovu au Kupoteza nguvu kuliko kawaida.
- Kujihisi mwenye hatia, huna thamani na kutokuwa na msaada wowote.
- Kupata shida katika kusinzia.
- Kuumia mwili, kichwa Kuuma sana.
- Kuwa na wasiwasi.
- Kuhisi unakosa matumaini.
- Kujihisi kuwashwa, kuchanganyikiwa, na kukosa utulivu. Basi ni wazi kwamba anaweza kuwa na ugonjwa wa Akili unao julikana k**a Perinatal Depression.

Perinatal Depression; Ni Sonona (Depression) ambayo inakuwa/ inatokea kipindi cha ujauzito ( Perinatal depression) na wiki mbili baada ya Mtoto kuzaliwa ( Postpartum Depression). Mara nyingi vipindi vya kujirudia ni kati ya wiki 4 - 8 baada ya Mtoto kuzaliwa.

Ugonjwa huu sio wa mtu mmoja bali ni kila mtu anaweza kupatwa na tatizo hili bila kujali kabila, rangi, Umri wala Elimu Kwa maana hiyo utakiwi kujutia kwa lolote lile.

Tafiti zinaonyesha kuwa Mazingira na vina saba vinaweza kuchangia kupata ugonjwa huu.
Mfumo wa maisha mf; k**a umewai kupitia kipindi cha mateso na manyanyaso ya kuumiza moyo, kukosa kazi na Mabadiliko ya homoni kipindi cha ujauzito na baada vinaweza kuchangia kupata Perinatal Depression.

Lakini pia wanawake ambao wako hatarini kupata PD ni wale wenye mtu au familia yenye historia ya kuwa na Sonona (Depression) au Bipolar au labda waliwai kupata Sonona kipindi cha ujauzito.

Perinatal na Postpartum Depression inatibika , ni vyema k**a unapitia hali hii basi ni wakati wa kufika hospital kuonana na Daktari kwa msaada zaidi.

Africa Academy for Public Health - AAPH Mental Health Tanzania East Africa TV East Africa Radio Mental Health Clubs Tanzania .

13/05/2024

Vipaumbele vya vipo 10 na Mhe Ametaja Huduma za Afya ya Akili k**a Kipaumbele namba 9. Hii inaonesha umuhimu wa huduma hizi kuimarishwa zaidi.

Asante sana Serikali yetu pendwa kupitia Wizara ya Afya Kwa kutambua umuhim wa Afya ya Akili kwa watanzania.

10/05/2024

Dr. Lewis teaches us to use “PUPPY” to notice and get help for your mental health:
P- pay attention to how you feel
U- understanding why you feel this way
P- provider- reach out!
P- present the information to your provider
Y- yes, you’re on your way!

Africa Academy for Public Health - AAPH

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 06/05/2024

, Nilipata nafasi ya Kushiliki kikao maalum cha uwasilishaji wa takwimu za utafiti wa Afya ya Akili kwa vijana ulio fanywa na Taasisi ya Africa Academy for Public Health - AAPH kwa kushilikiana na kutoka Canada. Ikiwa ni pamoja na kutambua jitiada za kuongeza uelewa juu ya Afya ya Akili Tanzania kutoka Kwa wadau mbali mbali.

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 13/04/2024

https://forms.gle/NyX8S4tivXLRT5aDA

Mwezi wa Mei huwa ni wa kuongeza uelewa kuhusu Afya ya Akili (May is Mental health awareness Month); SAFE na wadau wa afya ya akili wanakuletea matembezi ya hisani na mdahalo wa afya ya akili.

Karibu ujisajili...bonyeza link hii kujisajili kushiriki matembezi ya hisani mkoani Arusha.

Kufadhili matembezi na mdahalo
Wasiliana nasi: 0782 630 138 au 0683551117

09/04/2024

Kwa mara ya tatu, *Mental Health Tanzania (MHT)*, itatoa elimu na huduma za afya ya akili kwa wanafunzi na jamii ya chuo kikuu cha *Kampala International University*, Dar Es Salaam, tarehe 16/05/2024 kuanzia saa 9 alasiri. Semina hii imedhaminiwa na taasisi ya *Tanzania Health & Medical Education Foundation (TAHMEF)*. TAHMEF ni mshirika wa MHT na hasa katika kuhamasisha App ya Ahadi. Jinsi ya kujua nini kinapatikana kwenye App au maulizo zaidi wasiliana namba: +255 692 773 854

Karibu KIU, kwa elimu ya afya ya akili, magonjwa ya akili na changamoto za kisaikolojia.

Mental Health Tanzania Mental Health Clubs Tanzania East Africa TV East Africa Radio

16/03/2024

. Kuna tabia ambazo sasa Jamii inazichukulia kawaida kwa Watoto. kwa mfano;
- Kushiliki mapenzi katika umri mdogo.
- Kuwa na tabia za ubakaji.
- Kuwa waongo sana.
- Kutoroka nyumbani kwao.
- Kuwa watoro sana shuleni.
- Kutumia madawa ya kulevya na pombe.
- Kuwa wakaidi na kuto kufata maelekezo.
- Kuwa wahalibifu wa vitu.
- Kuto kujali hisia za wenzao.
- Kutumia siraha Ili kuwadhuru wengine n.k

Wazazi k**a mna watoto wenye Changamoto hizi basi si hali ya kawaida bali ni ugonjwa wa Akili unao faamika kitaalamu ; CONDUCTIVE DISORDER; Hili ni tatizo la kundi la tabia na mihemko, tatizo hili uanza wakati wa utoto au ujanani.

Sababu za ugonjwa huu hazitambuliki. Lakini kwamujibu wa utafiti inaaminika kuwa muunganiko wa Kisaikolojia, Kibaiolojia, vinasaba, Kimazingira na kijamii zinaweza kusababisha ugonjwa huu.

KIBAIOLOJIA.
Baadhi ya tafiti zinaonyesha Mtoto akipata jeraha sehem ya ubongo inaweza kusababisha ugonjwa huu wa Conductive. Pia watoto wenye ugonjwa wa Conductive Disorder wanaweza kuwa na ambatanisho la ugonjwa mwingine wa Akili k**a vile Attention - deficit/ hyperactivity disorder (ADHD), Depression(Sonona), matumizi ya madawa ya kulevya, na wasiwasi.

KISAIKOLOJIA
Tafiti zinatuonyesha kuwa mwenye ugonjwa wa Conductive Disorder anakuwa hawezi kuwa na huzuni au majuto pia anakosa motisha binafisi.

VINASABA
Watoto wengi wenye ugonjwa huu wanakuwa malanyingi wamezungukwa kwa Karibu na familia zenye ugojwa wa Akili k**a vile sonona, Wasiwasi, matumizi ya madawa ya kulevya .n.k hivyo hii inaweza kupelekia sababu ya ugonjwa.


KIMAZINGIRA
Tafiti zinaonyesha Mateso ya watoto, familia yenye historia ya matumizi ya madawa ya kulevya, Matukio ya kuumiza kwa Watoto, ugonvi wa wazazi vinaweza kupelekea Mtoto kupatwa na ugojwa huu.

Matibabu ya magonjwa huu yanapatikana katika vituo vyote vya kutolea huduma za Afya au unaweza kupiga sim Call/Whatsapp 0763716765/071003750.

Usingoje tatizo liwe kubwa au lifike ukubwani maana itakuwa ni hatari kwa familia, Jamii na taifa Kwa jumula.

Mental Health Tanzania

14/03/2024

Kumekuwa na kawaida watu kusema "Yaani Mke/Mume wangu, mpenzi, Rafiki, ndugu, mfanyakazi wangu, mwanafunzi n.k baada ya kukumbwa na tatizo amekuwa Mtu wa Kujitenga, hapendi kufanya kazi k**a zamani na hata akifanya anafanya chini ya kiwango, hanipendi tena k**a zamani, amekuwa Mtu wa kuria mara kwa mara, usiku anapata shida sana katika usingizi, anapuuzia vitu vya msingi na wakati mwingine huwa najisemea kuwa anaweza kujiua n.k"

Ukweli ni kwamba mtu wa namna hii kunauwezekano mkubwa kuwa amepata ugonjwa wa Akili unaojulikana k**a ADJUSTMENT DISORDER huu ni ugojwa unao endana na msongo wa mawazo ulio pitiliza zaidi ya matarajio haswa baada ya tukio la kutisha au kuhuzunisha. mf; Kumpoteza Mtoto, Mume/Mke, ndugu, Rafiki, kazi, au kufeli shule n.k

Ugonjwa huu unaonekana miezi 3-6 baada ya tukio lakini pia ugonjwa huu unaweza kuwa katika vinasaba.

Jambo jema nikuwa usikubali kumpteza ndugu mke / mume , kazi au wewe mwenyewe kwasababu ya tatizo hili . Huu ugonjwa unatibika vizuri sana Fika katika vitu vya kutolea huduma za Afya uonane na mtaalam, au piga sim namba +255 710 037 504 / +255 763 716 765. kwamaelezo zaidi.

08/03/2024

Licha ya kutuheshimisha wanaume kwa kuitwa Baba lakini Wanawake wamebeba uwezo mkubwa sana ambao unaifanya Dunia kuwaheshimu na kutambua mchango wao mkubwa. Achilia mbali mapungufu waliyo nayo lakini ubora na usahihi wa mambo walio nao unatosha kuziba pengo la mapungufu yao.

Ni wazi kwamba wanawake wametupiga kipao Wanaume katika mambo mengi sana - kiroho na kiakili, nikiaza kufafanua ni namna gani wametuzidi kiakili tutakesha🙂.. Itasho tu kusema Wanawake ni zawatu kubwa ambayo tumepewa hapa duniani. Tuwaheshim, tuwasikilize na tuwape nafasi iliwaionyeshe Dunia uwezo wao.

Kheri ya siku ya wanawake Duniani.💃💃💃💃

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 23/02/2024

Tarehe 21 na 22 February 2024 zilikuwa ni siku za historia kwangu kupata nafasi ya kuhudhulia moja ya workshop ya kimataifa zilizo andaliwa na kwakusilikiana na , katika ukumbi wa kimataifa wa JNICC, mimi nikiwakilisha tasisi ya Mental Health Tanzania

Miongoni mwa mambo yaliyo lengwa ni uongozi na usimamizi boro wa Asasi na taasisi mbalimbali.

05/02/2024

*Our New and official first partner in 2024!*

MHT is proudly to partner and be sponsored by *Kabila Moja Culture Fest!*

The Kabila Moja Festival is an event that brings together community for sharing
about and bringing back cultural knowledge, cultural crafts, traditions, sustainability, connecting people, upcycling, workshops, mental and physical health, live performances, music and arts, supporting young bands and artists, yoga, meditation, and more.

The event will take place on the *17th of February 2024 at Backyard Hostel, Rau, Moshi*

*_“…………. the additional raised funds will go to Mental Health Tanzania (MHT)”_*

Are you or will you be in Moshi or neighboring zone by the date stated? Should you be interested to join, please le us know for you to be a part of the event or any enquiry see the contacts on the poster! MHT will be there! Karibu sana ushiri!

Mental Health Tanzania Mental Health Clubs Tanzania Mindspa - Psicología

14/10/2023

👪🚼🍼To me, becoming a father is like receiving a cute little friend from God as a wonderful gift. I aim to be the most successful at being a good father.”

Asante Mungu kwa kunieshimisha →→ Daggett's Father ❤️❤️

07/10/2023

. Karibu watu 730,000 ulimwenguni wanakufa Kwa kujiondoa uhai na tafiti zinaonyesha kundi linalo athiriwa na changamoto hii ya kujiondoa uhai ni vijana wenye umri 15---29.

Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazo kabiliwa na tatizo hili Kwa kiwango kikubwa sana, East Africa TV na East Africa Radio ni chombo cha habari kinacho tambua uwepo wa changamoto hii ikiwa inasababuswa na ukosefu wa elimu ya uelewa juu ya Afya ya Akili na hii imewafanya wanitembelee ofisini kwangu Jana Ili kutoa ufafanuzi wa kitaalam (Afya ya Akili) kuhusu kujiua, hii imekuja baada ya mtu mmoja kutoka wilaya ya Ubungo mtaa wa Manzese Jijini Dar es salaam kujiua.

Nimeeleza mengi sana pamoja na kuwasii Watanzania kutambua uwepo wa watalam wa Afya ya Akili na saikolojia wano weza kusaidia kuondokana na mawazo ya kujiua.

Cloud FM Tanzania | Clouds Media Fans ITV Tanzania WASAFI TV ( WCB FANS) Mental Health Tanzania

07/10/2023

.samfacts with .repost
• • • • • •
Tulipata wasaa wakupiga story kadhaa Na mr. kutoka .health.tanzania akatupitisha kwa kina juu ya afya ya akili huku akitaja kuwa vijana kuanzia miaka 15-29 kuwa ndio waadhirika zaidi. Na wengi wao chanzo kikiwa ni uhusiano. Ila Shangazi yenu
kwa unavyomuona ana afya ya akili kweli😂😂😂😂🙌

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 07/10/2023

Tarehe 2 mwezi October, nilipata nafasi ya kualikwa na kituo cha Redio na Tv cha Africa mashariki East Africa TV East Africa Radio kuzungumzia maswala ya Afya ya Akili haswa ukizingati Dunia inaelekea katika maazimisho ya siku ya Afya ya Akili 10 October.

Miongoni mwa mambo niliyo zungumza ni pamoja na watu kutambua umuhimu wa watalam wa magonjwa ya Akili, kuhepuka unyanyapaa, Vijana kujihepusha na vitendo hatarishi kwa Afya yao, pia nikatoa wito Kwa serikali yetu sikivu ya Mh Dr Samia kupitia wizara ya Afya kuweka bima ya Afya itakayo jumuisha magonjwa ya Akili.

East Africa Radio East Africa TV Desdery Peter Wizara ya Afya Tanzania

07/10/2023

I have reached 200 followers! Thank you for your continued support. I could not have done it without each of you. 🙏🤗🎉

30/04/2023

Desdery Peter

23/04/2022
Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 17/01/2022
30/12/2021

Wewe ni Chichwa, Wewe ni kiongozi hakuna mtu ataye kutimizia ndoto zako ACHA KUPOTEZA MUDA

Photos from Desdery K Peter, Eternal Hope.'s post 29/12/2021

Happy new year Guys

20/12/2021

Ugonjwa wa UZUNI

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

#mentalhealth . Karibu watu 730,000 ulimwenguni wanakufa Kwa kujiondoa uhai na tafiti zinaonyesha kundi linalo athiriwa ...

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Counseling & Mental Health in Dar es Salaam (show all)
MentifyTz MentifyTz
Dar Es Salaam

Providing Mental Health Awareness to the community.

Yunus Omary Yunus Omary
Dar Es Salaam

Health is not actually everything in life, but if you don't have good health, everything else is not

GBV &VAC world wide GBV &VAC world wide
Dar Es Salaam

GBV (Gender Base Violence) and VAC (Violence Against Children) and Mental health care

AFYA NJEMA AFYA NJEMA
Dar Es Salaam

Hili daras ni kw ajli ya afya tu

Kuhusu Uzazi na Afya Kuhusu Uzazi na Afya
Dar Es Salaam

Tiba Lishe Zinazosaidia maswala Ya Afya na uzazi kwa ujumla

Akili Therapy Akili Therapy
SNDBX Space, Regent Business Park 1st Floor, New Hub Street Mikocheni
Dar Es Salaam, 14111

All about depression, bipolar, anxiety, insomia. A community living with mental disorder in Tanzania

Afya Ya Akili Afya Ya Akili
Dar Es Salaam

mental health is an app that helps you have a strong mental health. Adding: Feeling Good Self-esteem

Sparking Human Potential Sparking Human Potential
Dar Es Salaam, 255

Sparking human potential are providers of various training aimed at learning, creativity, personal a

Evolve Evolve
Kawe Beach
Dar Es Salaam

Out-Patient Treatment Tanzania Addiction • Trauma • Mental Health

TEWWYWisdom TEWWYWisdom
22 Jemedali Street, Sinza Makaburini
Dar Es Salaam, 32705

TEWWY's mission is to bridge the intergenerational and mental health treatment gaps in Tanzania.

Mfumo wa fahamu Mfumo wa fahamu
Magomeni Kagera
Dar Es Salaam

Tunatoa ushauri na suluhisho la changamoto za mfumo wa neva fahamu,Ganzi,kiharusi,kifafa,kupoteza k

Corporate Wellness and You Program Corporate Wellness and You Program
Tanzanite Park/Victoria
Dar Es Salaam

CWYP Collaboration between UN Global Compact Local Chapter & ImpactAfya Ltd