JENGA KESHO YAKO

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JENGA KESHO YAKO, Entrepreneur, Mlimani City, Dar es Salaam.

18/04/2023

FURSA FURSA FURSA

🇹🇿BFSUMA TZ🇹🇿.

BFSUMA ni Kampuni ya kimataifa Toka MAREKANI inayo jihusisha na Uzalishaji na Usambazaji wa VIRUTUBISHALISHE

•••Kwa MTAJI MDOGO KABISA WA ELFU AROBAINI NA SITA(Tsh 48,000/=)

***UTAFANYA BIASHARA yenye Faida Kubwa

++Utofauti wa BFSUMA na KAMPUNI zinginezo
1)UBORA WA BIDHAA,bidhaa zetu ni bora kwa kuwa na matokeo mazuri kwa kila mtumiaji

2)BEI YA BIDHAA,tuna bidhaa nyingi za Bei ya chini Ambazo watu Wengi wana Mudu hivyo itakurahisishia kufanya biashara kwa watu wa matabaka/level zote
Eg.tuna bidhaa hadi za ELFU TANNO MIA SITA(5,600/=)

3)NAMNA YA KUANZA BIASHARA,ni rahisi kuanza biashara na BFSUMA kwani MTAJI unaohitajika ni elfu arobaini na Sita tu (Tsh 48,000/=)Ambayo watu Wengi wana mudu...BFSUMA hatuna kuanza biashara kwa PACKAGE za kupangiwa uchukue bidhaa ambazo huna hata mteja wa hizo bidhaa ...Utachukua bidhaa ambayo una mteja anaihitaji au unayohitaji kuitumia
*** Tunaamini kumpatia mtu package ya LAKI 8,LAKI 5,laki3 nk Ambazo Magavi /wakala hana mteja wa hizo bidhaa ni kumrudisha nyuma KIUCHUMI kwani utakua umezuia MZUNGUKO wa hiyo pesa

4)MPANGO MASOKO BORA NA UNAOTEKELEZEKA,mpango masoko wa BFSUMA ni rahisi kwa kila Mwenye kujituma katika kufanya kazi hivyo huwezesha WAGAVI/MAWAKALA Kupata BONUS KILA MWEZI,ku QUALIFY SAFARI NA MAGARI

5)BIZAA AINA NYINGI NA ZINAZALISHWA NA KAMPUNI YENYEWE(BFSUMA),Kampuni ya BFSUMA ina bidhaa nyingi zaidi ya AINA 40 Zinazozalishwa na kampuni yenyewe hivyo huzungatia hitaji sahihi la watumiaji kwa wakati husika na kuendelea kuingiza AINA zingine kila wakati kuendena na mahitaji ya Soko,hij pia hufanya KAMPUNI KUWA NA UHAKIKA WA KUWEPO KWA MIAKA MINGI BILA KUYUMBA KWANI WAO WENYEWE NDIO WAZALISHAJI WA BIDHAA lakini KAMPUNI ZINGINEZO Hazizalishi bidhaa bali huingia Mikata na makampuni yanayozalisha bishaa hii huweza pelekea Biashara kukatishwa wakati wowote kwa kua mzaliahaji na msambazaji ni watu wawili tofauti

6)MGAVI/WAKALA HUNUNUA BIDHAA ANAYOIHITAJI HATA K**A NI MOJA NA SIO KWA BUTCH(kundi)
...Kila bidhaa ina POINTS ZAKE

7)POINTS UNAZOPATA KWA KUNUNUA BIDHAA NI ACCUMULATIVE (zinakua na MUENDELEZO)ulipoishia MWEZI HUU ndipo utaanzia Mwezi ujao hivyo kukufanya KUFIKA LEVEL ZA JUU KWA HARAKA

8)BFSUMA NI KAMPUNI PEKEE YA KIMATAIFA AMBAYO imeanzia BARA LA AFRICA hivyo kila MGAVI/WAKALA ana Wigo mpana wa kutengeneza KIPATO KIKUBWA/KIZURI

hizo ni tofauti chache miongoni mwa nyingi .

NI VIPI UNAWEZA KUA WAKALA/MGAVI WA BFSUMA?

••MTU YEYOTE wa kiwango chochote cha Elimu, MWENYE KAZI NA ASIYE NA KAZI ,MWENYE AJIRA NA ASIYE NA AJIRA ANAWEZA KUA WAKALA WA BFSUMA.

•••Namna ya KUJISAJILI KUA WAKALA WA Bfsuma

Katika ELFU 48000 utapatiwa .1)NAMBA YAKO YA WAKALA ILIYOSAJILIWA KWA JINA LAKO
.2)SACHETS10 Za bidhaa maalumu ya KUTOA SUMU MWILINI,kuimarisha INI,FIGO,MAPAFU,MFUMO MZIMA WA MOYO NA MZUNGOKO WA DAMU,kuimarisha KINGA YA MWILI.3)KITABU kitakacho kuongoza kufahamu zaidi kuhusu BFSUMA ,BIDHAA NA MPANGO MASOKO.4) BAGE ya BFSUMA

ZA KUA WAKALA WA BFSUMA

a) UTAPATA PUNGUZO KUBWA LA BEI ZA BIDHAA ZA BFSUMA

b) FAIDA YA MAUZO YA REJA REJA KWA KILA BIDHAA na Bei kwa Mteja wako MPANGAJI NI WEWE

c) KILA MWEZI UTAPATIWA BONUS(KAMISHENI) toka kwa Kampuni kulingana na Points ulizojikusanyia Ambazo hutokana na Bidhaa ulizouza kwa Mwezi Mzima

d) KILA MWEZI UTAPATA BONUS(KAMISHENI) ya PILI ,hii itatokana na kazi itakayofanyika na Mawakala wapya utakao Wasajili kwani Ukisha Kua Wakala wa BFSUMA unaruhusiwa kusajili Watu wengine kua Mawakala hivyo BFSUMA itakupa sehemu ya Fidea iliyoipata kutokana na mauzo ya bidhaa toka kwa Mawakala wapya uliowasajiliw baada ya wao pia kupatiwa Bonus/KAMISHENI Zao

e) SAFARI KWENDA NCHI MBALI MBALI ,hizi ni Faida utakazozipata Baada ya kufanya kazi na BFSUMA kwa Muda na kuweza kufikia NGAZI/level ya KIONGOZI/LEADER na kuendelea huwa kuna vigezo ukivifikia BFSUMA itakupipia safari ya kwenda Nchi husika iliyopangwa kwa Mwaka huo KUANZIA TICKET YA NDEGE KWENDA NA KURUDI,HOTEL YA KIFAHARI na Utalii wa maeneo mbalimbali ndani ya Nchi husika ..hii imekua rahisi kwa kua MPANGO MASOKO WA BFSUMA NI RAHISI NA UNATEKELEZEKA ndio maana kila Mwaka WAGAVI /MAWAKALA tofauti tofauti HUSAFIRISHWA NA KAMPUNI KWENDA NCHI TOFAUTI TOFAUTI mf.mwaka 2016 wagavi wali SAFIRI kwenda DUBAI,2017 ABUDHABI,2018 BEIJING ,2019 HONGKON na Mwaka huu wa 2020 SAFARI NI ZA KWENDA SouthAfrica,ABUDHABI na UJERUMANI

f) GARI,utakapofanya kazi na BFSUMA kuna NGAZI/LEVEL ambayo ukiifikia na ukaweza kuvifikia vigezo husika kampuni itakupatia GARI .Hii hii pia inawezekana kutokana na UBORA WA MPANGO MASOKO WA KAMPUNI YA BFSUMA ndio maana Tumekua na Mawakala Tofauti Tofauti Wanaojipatia MAGARI YAO KILA MWAKA

**FIKIRIA CHUKUA HATUA**
KILA KITU KINAWEZEKANA

JIUNGE NASI TUTAKUWEZESHA KUYAFUKIA MALENGO YAKO

BY Neema kingamkono

Wasiliana nasi :+255679786118

10/04/2023

Je unatamani kufanya biashara yako mwenye kwa mtaji mdogo ?k**a uhitaji ipo elimu inatayo kusaidia jinsi ya kuanzisha biashara ina ikakua
K**a unahitaji kupa elimu hii
Mawasiliano
0679786118

30/03/2023

Beauty club seminar mshindi fahamu jinsi ya kutatua changamoto za kiuchumi na Afya🥰🥰
Jinsi ya kushiriki semina
Wasiliana nasi
+255679786118
+255752786118

24/03/2023

JE HUYU NI WEWE..❗ ➡️Unatamani Kumiliki Biashara lakini hujui UANZIE WAPI❗ ➡️ Umeajiriwa lakini MSHAHARA ni MDOGO, na Haukidhi Mahitaji Kabisa❗ ➡️Ni MJASIRIAMALI/MFANYA BIASHARA unataka kukuza biashara yako ?? ➡️Umemaliza shule HUJAPATA AJIRA, Miaka inakatika na ungependa kupata njia ya kukuleta kipato binafsi ❗ ➡️UKO MTAANI na hauna Shughuri yeyote ya kukuingizia kipato ?? ➡️Wewe ni mama wa nyumbani, unatamani ufanye kitu KIKUONGEZEE KIPATO CHAKO❗ K**a jibu NDIO basi huu ujumbe ni Muhimu kwako... Nafahamu changamoto unayopitia. Hata mimi nilipitia changamoto k**a hiyo. Ila nilichogundua kuna mfumo mzuri sana wa biashara KWA kutumia mtaji mdogo tuu na utaweza kumiliki biashara yako na kubadilisha Maisha yako moja kwa Moja. UNGEPENDA KUPATA MWONGOZO KUHUSU MFUMO HUU❓ COMMENTS;NAHITAJI MUONGOZO Au nicheki Dm andika NAHITAJI MUONGOZO NB: UTAANZA KUFANYIA KAZI BIASHARA UKIIELEWA NA UKIONA NI SAHIHI KWAKO
MAWASILIANO
+255679786118
+255752786118

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mlimani City
Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Digital Power Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh