Afya kwanza
Tunatatua changamoto za kiAfya katika magonjwa mbalimbali kwa Watu wote, kwa kutumia virutubishi Lishe na dawa zitokanazo na mimea asilia Bila kemikali
Tibu UTI sugu sasa
Suluhisho kwa chunusi sugu, na uso wenye Mafuta mengi kwa bidhaa ilitengenezwa kwa bidhaa asilia
*BAWASIRI/MGOLO*
β
Bawasiri ni ugonjwa unaotokea katika njia ya haja kubwa, hujitokeza k**a uvimbe au kijinyama ambacho huweza kuonekana hadi nje.
β
Kwa kiingereza hujuliakana k**a piles.
β
Na kitaalam hujulikana k**a hemorrhoids
πAINA ZA BAWASIRIπ
1. BAWASIRI YA NJE
Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa, na huambatana na maumivu, pamoja na kuwashwa kwa ngozi katika eneo hilo. Mara nyingine mishipa hiyo ya damu (vena) hupasuka na damu huganda na kusababisha aina hii ya bawasiri kitaalamu inaitwa Thrombosed hemorrhoid.
2.BAWASIRI YA NDANI
Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa. Na huwa haimbatani na maumivu.
β
Aina hii imeainishwa katika mainisho ya madaraja manne yafuatayo:
β
Daraja la 1 - Bawasiri kutotoka katika mahali pake pa kawaida
β
Daraja la 2 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe baada ya haja.
β
Daraja la 3 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kuirudisha mwenyewe baada ya haja.
β
Daraja la 4 - Bawasiri kutoka wakati wa haja kubwa na vigumu mtu kuirudisha baada ya haja.
*DALILI ZA BAWASIRI*
β
Maumivu wakati wa kujisaidia haja kubwa
β
Damu kunuka kinyesi wakati wa kujisaidia
β
Muwasho sehemu ya tundu la haja kubwa
β
Uvimbe au kinyama kujitokeza sehemu ya tundu la haja kubwa
β
Haja kubwa yaweza kujitokea tu muda wowote
Suluhisho kwa chunusi sugu, Na uso wenye Mafuta mengi kwa bidhaa Asilia bila kemikali,,
Tibu Bawasiri Bila upasuaji sasa kwa dawa asilia zenye Tiba lishe bila chemical. Tafadhali Wasiliana Nasi
Tiba bila madhara zidi ya kutokwa na uchafu ukeni, Pata suluhisho sasa Hujachelewa tafadhali wasiliana Nasi 0747446545
Tibu fangasi, UTI, PID sasa kwa Tiba Lishe Bila kemikali Wasiliana Nasi 0747446545
Bawasiri ni mojawapo ya matatizo ambayo mara nyingi inapotokea humfanya muathirika kuwa na aibu kuelezea au kwenda hospitali ili kupata tiba.Bawasiri husababishwa na kuvimba kwa mishipa ya damu aina ya vena katika eneo la mfereji wa haja kubwa.
A.KUNA AINA MBILI ZA BAWASIRI(HEMORRHOIDS)
1.Ya nje ya puru- Aina hii ya bawasiri hutokea katika eneo la mwisho kabisa la mfereji wa haja kubwa na mara nyingi huambatana na maumivu na muwasho katika sehemu hiyo.Mara nyingi mishipa hiyo ya damu(vena)hupasuka na damu huganda na kusababisha hali iitwayo THROMBOSED HEMORRHOIDS kitaalamu.
2.Ndani ya puru/tupu/duburi-Aina hii ya bawasiri hutokea ndani ya mfereji wa haja kubwa na haiambatani na maumivu hivyo kuwafanya wengi kutotambua kuwa wana tatizo hili.
Aina hii imegawanyika katika sehemu zifuatazo;
i.Bawasir kutotoka katika mahali pake(iliyosimama)
ii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa kurudi yenyewe baada ya kumaliza kujisaidia
iii.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na hairudi yenyewe baada ya kujisaidia mpaka mwathirika airudishe mwenyewe.
iv.Bawasir inayotoka wakati wa haja kubwa na ni vigumu mtu kuirudisha baada ya kumaliza kujisaidia.
Je nini kinasababisha??
D.ATHARI ZA BAWASIR
-Upungufu wa damu mwilini(ANEMIA)
-STRAGULATED HEMORRHOID
-Kinyesi kutoka na kuvuja bila kujitambua na kusababisha kunuka kinyesi saa zote.
-Kukupunguzia morali ya kufanya kazi kutokana na maumivu hasa watu wanaokaa muda mrefu maofisini.
-Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa hamu ya tendo la ndoa.
-Kupungukiwa nguvu za kiume
E.JINSI YA KUZUIA BAWASIR
-Kula mboga za majani na matunda na nafaka zisizokobolewa kwa wingi
-Kunywa maji mengi lita sita hadi kumi na mbili kwa siku
-Punguza kukaa kwa muda mrefu chooni bila kutoa choo.
*Kwa maelezo zaidi na suluhisho wasiliana nasi kwa PIGA/SMS/ 0747446545
PID INATIBIKA WAHI TIBA MAPEMA, BILA MADHARA
Tatua changamoto ya kiAfya
UTI SUGU, kwa Tiba asili na Tiba lishe bila chemical Wasiliana Nasi
Click here to claim your Sponsored Listing.