Ubunifu Academy

Tunakuletea Kozi za video vilizoandaliwa kwa kiwango cha hali ya juu, Ujipatie cheti kutoka vyuo vik

23/06/2023

This book revolves around Liam who is a successful entrepreneur in the timber industry in his early 30s. With all that he has, he is indeed successful and remembers every minute of hard work within 15 years - what he does not remember is his 16 years in the past.

He is yet to discover the shadows that he left behind as he makes his decision to marry his fiancé, Selah.

Its now available in our website link in bio. 📖🔥
Scan qr code to get it now.

By the one only

10/06/2023

Je! unatafuta kujifunza jinsi ya kutumia Adobe Photoshop?

Je! unatafuta kua mtalam wa Adobe Photoshop na kupata ajira kwenye makampuni makubwa?

Usihangaike tenaa!

Darasa letu la Adobe Photoshop ni bora kwa wanaoanza na wenye ujuzi pia wa Adobe Photoshop.

Katika darasa hili, utajifunza jinsi ya kutumia zana na vipengele vya Adobe Photoshop ili kuunda picha na michoro maridadi.

Iwe unatafuta kuunda sanaa ya kidijitali, kuhariri picha, au michoro ya muundo wa biashara yako, darasa letu lina kila kitu unachohitaji ili kuanza.

Jisajili leo na uanze kuunda picha nzuri na Adobe Photoshop!

Join Group Tuanza darasa.! 😎
https://chat.whatsapp.com/HxpqTg3eEcQ144Lvmq3yU7

21/04/2023

It is very easy to do business online as long as you have a strategy that gives you direction and procedures to follow so that you don't get out of the goal, don't give up, don't be under pressure, and this is what we call social media strategy

Link in bio 📖🤓

19/04/2023

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.

Fungua link kwenye bio upate ebook leo yako kwa bei ya offer.

19/04/2023

Bado hujapata wazo la biashara? . Biashara inachechemea? . Unataka kufanya Biashara gani? . Watu wengi mno mnaulizia Biashara za kufanya. . Napokea zaidi ya message mpya 500 kwa siku. . Ukweli siwezi kumjibu kila mtu na kuongea na kila mtu ingawa najitahidi kufikia kila mtu lakini ninaweza kukujibu kupitia hiki kitabu. . Hiki kitabu cha USTAWI WA BIASHARA Kina kila kitu unachotaka kujifunza ili kuanza na kukuza Biashara yako. . Humu utajifunza.

Fuata link kwenye bio upate nakala yako ya ebook kwa bei ya offer.

19/04/2023

Safari ya Kufanikiwa mtandaoni ni safari ambayo inataka uwe na uelewa wa baadhi ya vitu. Hapa nazungumzia Uwezo wa kujenga sifa, Nani unamlenga, Je huyo unaye mlenga anatarajia nini kwako. Ukiya elewa haya ni rahisi sana mtu yoyote kushawishika na wewe na kutaka kuwa karibu na wewe au kufanya kazi na wewe.

Fuata link kwenye bio upate e-book yako kwa bei ya offer.

18/04/2023

Kuna watu wengi wanauza bidhaa au huduma uliyonayo mtandaoni. Nini kitawafanya wateja wanunue kwako na si kwa watu wengine?

1. Kuwa mtaalamu. Onyesha kuwa unachokiuza unakijua vizuri, kuwa k**a daktari kabla hajakuhudumia anafahamu shida yako. Ijue bidhaa yako vizuri.

2. Kuwa mshauri. Usikimbilie kuuza tu, washauri watu namna ya kutumia bidhaa zako, namna ya kuzitunza na umuhimu wake.

3.Kuwa mwalimu. Wafundishe wateja wako kuhusu bidhaa yako, namna unavyoiandaa, vifaa na kuitunza. Gusa hisia za mteja, fanya mteja akukumbuke.

https://ubunifuacademy.co.tz/master_class/21/Mbinu%20Za%20Kuuza%20Zaidi

17/04/2023

Lets start learning. 👨‍💻

05/04/2023

Bu hahahahaha!

Next level coding coming soon.

We build 3 apps together.

23/03/2023

Sasa unaweza ukalipia kwa simu yako kutoka mitandao yote Tanzania.

Mobile payment ✅

https://ubunifuacademy.co.tz/ Elimu ya maisha, biashara, mapishi, gaming, uongozi na mengine mengii.
Kwa urahisi.

Karibu sana.

21/03/2023

Mambo makubwa yanakujaa!! 🤩

Temebelea website yetu ujionee.

https://ubunifuacademy.co.tz/

28/02/2023

Karibu ufunze!

Tukiwa na muonekano mpya unaorahisisha kujifunza na kukup nafasi ya kujielimisha na kuweza kujiajiri.

ingia sasa https://ubunifuacademy.co.tz

25/05/2021

Coming soon.
Link kwenye bio!

24/05/2021

Elimu ya kijasiliamali kiganjani mwako.

Bonyeza link kwenye bio kufika kwenye website.

Want your university to be the top-listed University in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address

Kinondoni B
Dar Es Salaam
14110
Other Dar es Salaam universities (show all)
تجمع طلاب جامعة امدرمان الاهلية تجمع طلاب جامعة امدرمان الاهلية
جامعة امدرمان الاهلية
Dar Es Salaam

There is no admin for this page

Mapenzi motomoto Mapenzi motomoto
Kwamwalabu
Dar Es Salaam

Mapenzi ni matamu pale ukimpata anaekupenda kwadhati

UNI Offer UNI Offer
Sam Nujoma Road, Ubungo
Dar Es Salaam, 12000

Sledytom Sledytom
Yeah
Dar Es Salaam

For the

Beez bite Beez bite
Kongowe Mzinga
Dar Es Salaam

EEMC Tayomi Hombolo LGTI EEMC Tayomi Hombolo LGTI
Hombolo Dodoma
Dar Es Salaam

BIBLE knowledge WOLRD Access BIBLE knowledge WOLRD Access
Soweto Street
Dar Es Salaam

Sōlòmōn.Jr Sōlòmōn.Jr
Mkalama
Dar Es Salaam, IKOLO

Football new

The Kilimanjaro Institute of Technology and Management The Kilimanjaro Institute of Technology and Management
Dar Es Salaam

Kitm is Private College With Full Accreditation

Jamal Aldin Jamal Aldin
Kigogo
Dar Es Salaam, YAP

Better be you

Ray mwashambwa Ray mwashambwa
Morogoro
Dar Es Salaam

Nimeshinda Institute of Education NIE Nimeshinda Institute of Education NIE
Visiga Kati
Dar Es Salaam, WARIOBA

Education Discipline and Self-reliance