DALALI ORIGINAL .

DALALI ORIGINAL .

You may also like

puza kumari
puza kumari

KWA MAHITAJI YA NYUMBA KUPANGA KUNUNUA VIWANJA MASHAMBA MAGARI NA PIKIPIKI.

Photos from DALALI ORIGINAL .'s post 14/10/2023

Kiwanja kinauzwa kipo mbezi maramba mawili kinatazama barabara kuu ya mtaa unajenga nyumba na frem pia kina mita 17/15 Bei milioni 7 maongezi yapo njo ukangue eneo lipo tambarare 0787654438 au 0757549656

21/08/2023

Pata mkopo wa hadi bilioni moja utakaolipa hadi ndani ya miaka 20 ili kuanza ujenzi wa nyumba yako na utimize ndoto zako.

Sogea tawini kwetu tukujuze zaidi.

13/04/2023

⚽️✍SHERIA 17 ZA MPIRA ZA KIPINDI CHA UTOTONI🧍‍♂️

1. Mkubwa Hachezi Na Akicheza basi Wanaingia Wawili.

2. Mwenye Mpira Hatolewi Hata Akicheza Vibaya.

3. Inaruhusiwa Kubadili Kipa K**a Penati Imetokea Na Baada Ya Penati Anaruhusiwa Kurudi Wa Mwanzo.

4. Yule Mtaalam Wa Soka Hakosi Namba Hata Siku Moja.

5. Dogo Mnene Lazima Awe Golikipa.

6. Mwenye Mpira Ataamua Nani Acheze na nani Asicheze.

7. Penati Itatokea Tu Pale Mchezaji Akiumia Sana Na Kutoka Damu.

8. Mechi Itaisha K**a Kila Mchezaji Atakuwa Amechoka.

9. Hakuna Free Kick, refa Wala Offside.

10. Ukichaguliwa Mwishoni Ujue Uwezo Wako Mdogo Kuliko Wote Uwanjani.

11. Mtaalam Wa Timu Akipewa Kazi Kwao Na Wazazi Wake Lazima Mumsaidie Ndio Mwende Kucheza.

12. Ukiumia Kidonda Kinawekwa Mchanga.

13. Kipa Anaruhusiwa Kudaka Popote.

14. Wale Ambao Wamekosa Namba Kazi Yao Ni Kufuata Mipira Ikitoka.

15. Mwenye Mpira Akikasirika Mechi Ndo Inakuwa Imeisha.

16. Hakuna Jezi, Timu mmoja Itavua Mashati Na Nyingine Itabaki Imevaa.

17. Wote Lazima Mcheze (Peku) Bila Viatu.

Angalia bei 20/12/2022

Angalia bei Car Rental Deals,Best Car Lease Deals,Best Car Deals,New Car Deals,Black Friday Car Deals,Best New Car Deals

20/12/2022

Hapa Kuna viwanja vya milioni mbili 2 vinauzwa vipo mbezi maramba mawili vina mita 10/10 ulitaka zaidi pia unapimiwa ni na barabara ya mtaa huduma zote zipo 0787654438 au 0652426739

20/12/2022

20/12/2022
Photos from Elewaneni.dotcom's post 19/12/2022
Photos from Robert furniture 11's post 19/12/2022
Photos from Kamota. Estate's post 18/12/2022
Alibaba.com 17/12/2022

Alibaba.com

Photos from AbitoImpero's post 16/12/2022
14/12/2022

Makazi Investment Ltd Tunauza viwanja,nyumba,mashamba.Pia tunapangisha nyumba na maeneo ya biashara.

13/12/2022

AYA SASA KUMEKUCHA UKU 😳

UNAAMBIWA KAJALA AGOMA KURUDISHA GARI ALIZOPEWA NA HARMONIZE 👇👇

USHAURI KUTOKA HABARI NA MATUKIO 👉Kajala popote Ulipo Ukiamua kuachana na mtu we rudisha tu vitu vyake Ili uwishi na Amani maana ukiendelea kubaki navyo mtasumbuana tu we Mpe gari lake kubari kuanza moja tu Usione aibu kupanda daladala au bajaji au PIKIPIKI

Aliye post
ni admin wangu 👉 Djparty On Mix

Timeline photos 12/12/2022

Chombo Orion cha Marekani chatua salama kutoka kwenye mwezi - fahamu kwanini binadamu wanakaribia kwenda kuishi katika mwezi

https://bbc.in/3iW89aX

Bei ya gari isiyojulikana 04/12/2022

Bei ya gari isiyojulikana Car Rental Deals,Best Car Lease Deals,Best Car Deals,New Car Deals,Black Friday Car Deals,Best New Car Deals

Photos from Njoo real estate's post 29/11/2022
29/11/2022

Water Dispenser Pump (Pump za Maji ya Kunywa)

PUNGUZO HADI: Tsh 27,000 Tu Tupigie: 0683430344.

- Inafaa Ofisini na Nyumbani
- Inatumika kwa Madumu Yote Makubwa ya Maji ya Kunywa.
- Inachajiwa na Inakaa na Chaji zaidi ya Wiki Mbili (Siku 14) Haitoi Maji ya Moto.
- Zipo Nyeusi na Nyeupe
- Tunakuletea Ulipo
-Tunapatikana Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma, Kigoma, Mbeya na Tabora.
- Tupigie Tukuletee: 0683430344
- Wahi zimebaki chache.

Want your business to be the top-listed Realtor/realty Service in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Website

Address

Mbezi
Dar Es Salaam
Other Dar es Salaam realtors & realty services (show all)
Tanzania Real Estates - Properties in Dar es Salaam Tanzania Real Estates - Properties in Dar es Salaam
62 Alykhan Road, Upanga
Dar Es Salaam

Advertise your property for FREE online. Houses are available for Rent, Plots for Sale. Apartment for Rent.

Vijana na ujasiliamali Vijana na ujasiliamali
Halisi Secondary School
Dar Es Salaam

penda maendeleo

miliki_ardhi_iliyopimwa_tz miliki_ardhi_iliyopimwa_tz
Makumbusho
Dar Es Salaam

Selemani Sekiko Selemani Sekiko
Selemani Sekiko
Dar Es Salaam

Sultan Real Estate Sultan Real Estate
Dar Es Salaam

real estate company

maryadrian havenvision_tz maryadrian havenvision_tz
Makumbusho
Dar Es Salaam, 11100

selling plots with title deed

Double J Timber Double J Timber
Buguruni
Dar Es Salaam

Timber and Pols

Rafiki_abcproperties Rafiki_abcproperties
Makumbusho Derm Plaza
Dar Es Salaam, 00000

Kwa Mahitaji Ya Viwanja Kwa Cash Na Malipo Ya Kidogo Kidogo Miezi 18 Call/Watsp 0622548490

kingmsukumamtaakwamtaa kingmsukumamtaakwamtaa
Dar Es Salaam

📌King Msukuma Mtaa Kwa Mtaa Tuna wakaribisha wananzengo wote.Tunapangisha,Nyumba,Vyumba vizuri,Viwanja,Apartment's,Magodauni,Yard,Office.Nk.☎️Call 0677784091📲💬watsaap.Karibuni sana...

Mbagala,Chamazi Mbagala,Chamazi
Dar Es Salaam

karibu tukutafutie flame,nyumba,chumba,gari,kiwanja,mashamba n.k kwa mawasiliano 0719935013

Kaka dalali Kaka dalali
Dar Es Salaam

Tunauza na kukopesha viwanja bila riba wala dhamana Ofisi yetu ipo kinondoni biafra Jengo la delta house Gorofa ya 5 0744884957

Lark Hotel Tanzania Lark Hotel Tanzania
Noble Center, Victoria, Bagamoyo Road
Dar Es Salaam, NOT-APPLICABLE

Lark hotel is a great hosting for you.