Fernahcruz
Pata nguo Kali za wanawake na watoto wa kike.Huduma zitaanza kutolewa kuanzia julai 20/2020..wahi mapema ujipatie pamba Kali na kwa gharama nafuu.
Jpatie nguo kwa Bei Nafuu kuanzia sh.2500, tunauza mashat,blauz,magauni marefu na mafupi, skinny jeans,raba ,sketi za pensel,chalanga ndefu na fup,blazia.vyote hiv ni vya mtumba.
Bei zetu ni nafuu sana
Skinny jeans-sh.6000,7000,8000 na 10000
Blauz sh.3000,4000na5000
Magauni ya watoto sh.3000,4000 na 5000
Sket za watoto sh.2000,3000,4000.
Raba kali nyeupe sh.5000,6000 na 7000
Raba kali nyeusi,pink,cream,blue sh.3000,4000,5000.
Top na croptop sh.2000,3000
Karibu tukupendezeshe kwa bei nafuu sawa na bure.tunapatikana Keko furniture.piah tunafanya derivary ndani ya Dar na nje ya Dar.
Mawasiliano:0684688466-winnie
Kumbuka kuwa umaridadi huficha umasikin
Mm km mm
Kwa yeyote anayehitaji kazi ya uwakala wa viungo vya chai wa bonyeze hii link kupata maelezo ya kufanya kazi.
http://wa.me/+255693365000.com
Kuuza viungo vya chai
To sell the Tea's spices
Sh.3000 kwa atakaye hitaji inbox me au nipigie kwa namba hi
0684688466.pia nafanya derivary mikoani hkn malipo ya derivary ila kuanzia nusu dazani ndo naderivar mikoani.karibuni Sana Afya Bora chai.
Ofa!ofa! Pata viungo vya chai vyenye mchanganyiko wa Tangawizi, iriki, pilipil manga, soya na mdalasini kwa sh.3000 kikopo kimoja.viungo hivi vimetengenezwa kiasili na vinatibu magonjwa km saratani,kansa, kisukari na kifua.
Anaye hitaji kuwa wakala nafasi zipo kwa maelezo zaidi piga 0684688466.
I'm trying to wearing baibui to know how I look like
Me and my Angels
I lop them xo much
Color of the year💛
together
My lovely friend D
Oooops
Mimi km mm
Maixha ni kutafuta na co kutafutana
Jifunze jinsi ya kupika maandazi
Sio lazima kila siku ukanunue dukani.
Vifaa vinavyohitajika;
Karai ila co lzm km hauna tumia xufuria,kijiko/uma,bexeni,chujio,kixufuria kdg,unga wa ngano,Amira, baking powder,sukari,,mafuta ya kupikia,maji.
Hatua za kufuata
1.andaa unga wako kwenye beseni kwa kias utakacho hitaji.
2.wek maji yak kias kulingana na unga ulionao mf.unga robo unawez tumia maji kikombe him ja Cha chai.kixha ya injike jikoni ya kixhapat Moto kidogo ya ipue.
3. Injika mafuta kias yasiwe mengi xan ambayo utayatumia kukandia unga wako.hakikisha yamechemka sana.kixha ya ipue.
4.weka baking powder kias kijiko kmoj Cha chakula km n unga robo.,wek Amira nuxu kijiko Cha chakula weka na sukari robo au kidogo tu k**a hupend xukar kixh changany vyot ukimaliza weka mafut ambay upiyachemxha.changanya vyt kw pmj
5.weka yal maji y uvuguvugu na uchanganye n kuanz kukanda ..hakikisha unga wako ni mlaini .
6.ukiona unga wako umeshakandika vizur uwek juani,au xehem yenye jot mpk uumuke ( dk40-50)
7.unga wak ukixha umuka vzr anza kukat kata kwa jinsi upendavy km n duara,mraba au pembe 3.
8.bandika mafuta ya kupikia jikon n ya kixha chemka anza kukaanga maandazi yk.yakixha kuwa na rangi ya brown yatoe mn ytakuw tyr yameiv
Hkikixha mot co mkali xn Wal co mdg xn.
Jifunze kichina
是(shi)
Ndiyo/ yes
不是( bu shi)
Hapana/no
我( wo)
Mimi/ I
你好( ni hao)
Hello/ Mambo. ...inatumik ktk kuxalimiana btn 2 pple.
您好( nin hao).
Shkamoo..mtu aliye kuzid umri.
你们好( ni menhao)
Hello kwa wat weng/if there is many peoples.
Things to consider before starting the business. capital product
. location
.expenses
. marketing
. competition
.demands
. customer
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Website
Address
2000