Isaack Lawa Page
Trainer||Speaker||LifeCoach||Writer||Founder of ISAACK LAWA PAGE
📌RAFIKI YANGU kati ya ukweli mchungu ambao nimewahi kuja kuufahamu ni ule wa kuwa unaweza ukawaamini watu na ukawa tayari KUWAFANYIA MAZURI YOTE lakini bado wakakusaliti na hata wakati mwingine WAKAPANGA NJAMA za KUKUANGAMIZA||na KUKUUMIZA__Unaweza kutenda MAMBO MEMA ya kila aina kwa watu wako na bado ukaonekana WEWE SI KITU||unaweza ukajitoa kusimamia jambo k**a kiongozi tena kwa gharama zako lakini mwisho wa siku wakaishia kukuona WEWE SIO WA MAANA||na unaweza ukawa wewe NDIO MSAADA kwa ndugu zako hadi ukawa unahairisha kufanya mambo yako lakini mwisho wa siku hao hao ndio wakawa MAADUI zako na WASALITI wako wakubwa kwenye maisha yako!!!!
📌USHAURI WANGU KWAKO:Wewe usomae ujumbe huu elewa kuwa HHAKUNA jambo jema machoni kwa wanadamu KWA SABABU wanadamu wengi wa dunia hii ni wabinafsi na wanafiki kweli kweli hivyo WEWE ENDELEA KUFANYA HAYA YAFUATAYO KWA UAMINIFU;
___Wewe endelea kuishi maisha yako huku ukiwa na (FOCUS) yako kwenye kutimiza majukumu yako na usifanye kwa kusubiria kusifiwa_kuna wengine watakuja kuona UMUHIMU wako UKISHAONDOKA,lakini moyo wako utakuwa SAFI kwa sababu utakuwa umefanya sehemu yako!!!!
___Wewe endelea kukumbuka kuwa malipo MAKUBWA na ya KUDUMU huwa yanatoka kwa MUNGU na sio kwa WANADAMU_hivyo basi MUNGU aonaye MOYONI anaijua nia yako na ATAKULIPA kwa WAKATI WAKO!!!!
___Wewe endelea kufanya kwa bidii zaidi na kwa umakini mkubwa kwa kuwa hata k**a hawatotambua MCHANGO wako na KUKUTHAMINI haimaanishi UMEFIKA mwisho_bado kuna NAFASI kubwa IKO MBELE YAKO na UTAINULIWA tena k**a UMEFANYA YA SASA kwa UAMINIFU MKUBWA!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAJUA KUWA THAMANI YAKO INATOKANA NA MCHAKATO WA MAMBO MENGI UNAYOYAFANYA UKIWA PEKE YAKO NA YASIYOONEKANA NA WATU WENGINE KWENYE MAISHA YAKO??
Ukweli ni kuwa UKITAKA KUWA BORA katika chochote kile unachofanya katika maisha yako siku zote kumbuka kuwa thamani yako inayoonekana kwa watu wengine inatokana na UWEKEZAJI wako wa MUDA MREFU na usioonekana mbele za watu HAO(your value is the result of your personal investment in your ability)__Hapa namaanisha kuwa lazima ujipe nafasi ya kila siku kuendelea kukuza uwezo wako wa ndani kupitia kuongeza MAARIFA na UJUZI katika eneo husika ambalo utakuwa umeamua kulifanyia kazi kwa kuwa BORA ZAIDI KILA SIKU INAPOITWA LEO_na mara nyingi unaweza UKAJITATHIMINI wewe mwenyewe katika MAENEO mbali mbali kwenye maisha yako kwa KUJIULIZA baadhi ya MASWALI MAGUMU||na MASWALI FIKIRISHI yahusuyo maisha yako!!!!
📌CHUKUA HII ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu fahamu kuwa jinsi ambavyo hutumii muda wako katika kuwekeza kwenye maarifa yanayohitajika ndivyo ambavyo kila siku thamani yako INAVYOZIDI KUSHUKA na KUSHUKA kila wakati__KUMBUKA UBORA WAKO NA EPEKEE(UNIQENESS) KATIKA ENEO LOLOTE LILE huwa unakuja kwa kuwa na MAARIFA SAHIHI ambayo yanahitajika kwa wakati huo!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU katika maisha tofauti kubwa iliyopo kati ya watu waliofanikiwa na wale wasiofanikiwa ni aina ya MAAMUZI MAGUMU waliyoamua kuyafanya kwenye maisha yao,wapo watu wengi sana ambao kwa UOGA WAO wa kufanya maamuzi ya kwao JUU ya KUISHI maisha WALIYOYACHAGUA na ambayo WANAYAPENDA_mara nyingi watu hawa huwa wenye furaha na kwao kujuta ni MWIKO kwa kuwa watakuwa tayari kulipia GHARAMA ya MAAMUZI YAO kwenye maisha tofauti na wale ambao wataamua kuishi maisha ya (MISUKUMO) kutoka kwa watu mbali mbali||mazingira yanayowazunguka||na matukio ambayo yatakuwa yanawasonga mara kwa mara__Nimewaona na nimekutana na watu wa aina hii wengi ambao UISHIA kuishi maisha ya MASHAKA MASHAKA||LAWAMA LAWAMA||MAKASIRIKO||na MAJUTO MENGI SANA!!!!
📌HEBU FANYA HIVI ITAKUSAIDIA:Wewe usomae ujumbe huu KUMBUKA kuwa siku zote ni BORA UWE TAYARI KULIPA gharama ya kuishi MAISHA uliyochagua WEWE MWENYEWE hata k**a inakugharimu na kukuumiza sana LEO kuliko kuishi MAISHA YAKO YOTE ukijutia aina ya maisha utakayokuwa unaishi kwa wakati ujao(mbeleni)__FANYA MAAMUZI MAGUMU YENYE KUKUUMIZA LEO LAKINI YAKAKUPA UHAKIKA WA KUISHI MAISHA YENYE AMANI NA FURAHA YAKO YA KESHO KATIKA UTIMILIFU WAKE!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNATUMIA VIZURI UWEZO WAKO WA NDANI ULIOJIFICHA KWENYE MAISHA YAKO??Ukweli ni kuwa hapa duniani kila mtu ana uwezo fulani(Potential) uliojificha ndani yake ambao k**a ataugundua na kuanza kuutumia mara moja basi utamletea matokeo makubwa sana katika maisha yake,sasa changamoto kubwa inayowapata watu wengi ni namna gani mtu husika anaweza akagundua uwezo huo uliojificha ndani yake ili aweze kuwekeza zaidi kwenye eneo hilo ili mwisho wa siku apate MATOKEO TARAJIWA(chanya) kwenye maisha yake__Hebu tuangalie mfano huu,watu wengi siku hizi wanatumia simu hizi za kisasa (smartphone a.k.a simu janja) na kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kununua simu hizi lakini ukiwauliza ni wangapi wanajua matumizi halisi ya simu hizo zaidi ya kupiga||kupokea simu||kutuma na kupokea msg||kuingia kwenye social networks??UKWELI MCHUNGU ni kuwa walio wengi wanatumia simu hizi kwenye hiyo asilimia ndogo sana katika matumizi mengi ya hizi ZINAZOITWA SMARTPHONE_basi hata wewe unaweza ukajiuliza kuwa katika matumizi mengi ya (smartphone) unayoyafahamu,wewe huwa unatumia asilimia ngapi ya applications za simu hizi katika kuongeza uwezo wako wa ndani?Au umeweza kujaribu kutumia kwa asilimia ngapi🤔?
📌UKWELI ambao WATU wengi WASIOPENDA kuambiwa wala kuusikia ni huu wa idadi kubwa sana ya watu kuendelea kuishi k**a vile wanasimu za (simu za vitorch) huku mikononi mwao wakiwa na (smartphone) za nguvu,tena zenye uwezo mkubwa sana_watu wengi wana uwezo mkubwa sana ndani yao ila wengi wao WANAUTUMIA KIDOGO sana na wengine HAWAUTUMII kabisa__ Ili uwezo wako utumike kisawa sawa ni lazima uamue kufanya vitu vipya ambavyo haujawahi KABISA kuvifanya hapo mwanzo||na ufanye mambo kwa kiwango ambacho haujawahi kufanya hapo kabla!!!!
📌CHUKUA HII ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu LEO hebu ICHUKUE HII k**a chachu ya kufanya mabadiliko hasa k**a wewe siku zote umekuwa mtu kufanya kitu kilekile kwa namna ileile miaka nenda rudi basi uwe na uhakika kuwa uwezo wako wa ndani hautakuwa kamwe_amini nakwambia HAUTOPATA kamwe MATOKEO MAKUBWA KWENYE MAISHA YAKO!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
___________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌Kitabu chetu cha ''SIRI ZA UHAKIKA WA USHINDI KATIKA VITA YA KIROHO'' sasa kinapatikana pia online kupitia(www.dlbookstore.com) kwa gharama ya ''Tsh 14,999/=''...Hivyo basi unaweza ukapata copy yako ukiwa mahali popote pale duniani_na kitabu hiki kiameandikwa kwa lugha yetu pendwa ya kiswahili...KARIBU UPATE MAARIFA ya KIROHO ili uanze kuyaishi MALENGO YAKO kwa kauli TASWIRA.
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU kitabu hiki cha SIRI ZA UHAKIKA WA USHINDI KATIKA VITA YA KIROHO kinapatikana kwenye mfumo wa SOFT COPY(Ebook) kwa GHARAMA ya ''TSH 14,999/= TU'' na ili kukipata unaweza kufanya malipo kupitia TIGO PESA namba(0712703839-ISAACK LAWA) na kisha ukatuma uthibitisho wa muamala wako kwenda whatsapp(0712703839) na unatumiwa kitabu chako(EBOOK) yako ndani ya DAKIKA 5 Tu.
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAJIFUNZA KUWEKA NA KUFUATA VIWANGO KATIKA KUFANYA MAMBO YAKO??Sikiliza nikwambie ni lazima ukumbuke kuwa ili uonekane wewe ni wa UTOFAUTI ni lazima ujifunze kufanya mambo yako kwa UBORA wenye kiwango tofauti na watu wengine,kamwe usikubali kushusha viwango vyako katika jambo unalolifanya eti kwa sababu tuu watu wanaokuzunguka wanafanya kwa mazoea na kwa viwango vya chini!!!!
📌UKWELI ni kuwa watu wengi wamejikuta wanafanya mambo kwa mazoea na kwa viwango vya hali chini kabisa kutokana na kukosa matumaini ya kupata mafanikio katika maisha yao_wapo watu katika dunia hii ambao wakiona wewe unafanya mambo yako kwa ubora na utofauti watakuita kila aina ya majina k**a vile huyu mtu ni much know sana,kimbelembele sana n.k__Fahamu kuwa njia pekee ya kujitofautisha na kuwa bora ni kuhakikisha kuwa uwezo wako uwe unaendelea kuongozeka kwa kiwango cha juu kabisa,na kwa kadiri unavyofanya kwa kiwango cha chini k**a wengine ndivyo basi UWEZO WAKO WA NDANI unavyozidi kupungua kabisa!!!!
📌FANYA HIVI ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu hebu JITATHIMINI LEO kwa kujiuliza kuwa ni jambo gani unaloweza kufanya kwa kiwango cha utofauti na ubora?? KAMWE USIKUBALI KUUA UWEZO WAKO WA NDANI KWA KUFUATA WATU WENGINE WANAFANYA MAMBO YAO KWA VIWANGO GANI!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze kuhusu elimu hii ya MARAFIKI,lakini leo pia NATOA OFA ya Ebook yangu ya SIRI ZA UHAKIKA WA USHINDI KATIKA VITA YA KIROHO kwa GHARAMA ya ''TSH 14,999/= TU''...Lipia sasa hivi kupitia TIGO PESA namba(+255712703839-ISAACK LAWA) na kisha tuma uthibitisho wa muamala wako kwenda whatsapp(+255712703839) na unatumiwa kitabu chako ndani ya DAKIKA 5 tu.
®IsaackLawa
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU katika maisha ukitaka kufanikiwa katika jambo lolote lile ni vema ukazifahamu kanuni mbali mbali ambazo watu waliofanikiwa wamekuwa wanazitumia,moja ya kanuni hizo ni kanuni maarufu ya masaa elfu kumi (Law of Ten Thousands Hours)_kanuni hii ambayo inasisitiza kuwa katika eneo lolote lile ambalo unataka kuwa BORA ZAIDI||na WA KIPEKEE ZAIDI basi itakupasa kufanya mara nyingi jambo hilo hilo kwa muda mrefu hasa kwenye masaa ambayo utakayokuwa unatumia mfano kwenye biashara||uimbaji||uigizaji||uzungumzaji||au hata kwenye taaluma yoyote ile ambayo unaipenda na kuifanya basi itakuhitaji walau ujue namna nzuri ya kugawanya masaa yako vizuri ili utimize masaa hayo elfu kumi__KUMBUKA KILA WAKATI kuwa jinsi unavyoongeza masaa mengi kwenye kufanya kitu chochote kile ndivyo UBORA na UWEZO wa ndani wa kutengeneza FURSA KUBWA ZAIDI katika maisha yako UTAKAVYOKUWA UNAONGEZEKA KILA SIKU!!!!!
📌CHUKUA HII NA UIFANYE:Wewe usomae ujumbe huu hii yote itawezekana k**a utajikita zaidi kwenye kufanya kitu hicho kila siku kwa kutafuta walau dakika 45 hadi 60 za kufanya kitu hicho hicho ili uendelee kuongeza ubora na uthamani wa pekee__Kamwe usikubali siku ipite bila kuweza muda wako katika kile kitu unachokifanya ili uongeze ubora na thamani yake||jifunze kuwekeza muda wako walau dakika 60 tu kwa siku ambayo k**a utafanya kwa siku 7 utakuwa umetumia wastani wa masaa 365 kwa mwaka mmoja🤔!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU NA WEWE UNAENDESHWA NA FALSAFA YA KUWA NA VITU KWANZA NDIO UANZE KUYAISHI MALENGO YAKO?Katika maisha moja kati ya falsafa muhimu ambayo hutumiwa na watu waliofanikiwa ni hii ya mtu husika KUAMINI kuwa anatakiwa (AWE NA VITU KWANZA ndio AANZE KUFANYA yale yote YAMPASAYO KATIKA SAFARI YA KUYAISHI MALENGO YAO)__Na hapa ndio watu wengi hasa wale ''wavivu wa kufikicha akili zao'' huwa wanakwama,mara nyingi watu wenye kutumia falsafa hii kwenye maisha yao huwa WANAAMINI kuwa KILA MTU ANAPASWA kumwajibikia||kumuhudumia||na kumwahangaikia ili mambo yake yaende vizuri_watu wa namna hii ndio wale ambao KULALAMIKA kwao ndio k**a wamezaliwa nako,maana wanaweza kulaumu boss wao kazini||kulaumu wazazi wao||kulaumu wenzi wao||kulaumu hata maiti||na wakati mwingine wanaweza kulaumu 'mawe' ili mradi TU wakatae KUYAWAJIBIKA MAISHA YAO__WAO HUWA HAWAAMINI K**A WANA UWEZO NA NGUVU YA KUBADILISHA CHOCHOTE KILE KATIKA MAISHA YAO HADI KITU KUTOKA NJE KIWAWEZESHE KUFANYA HIVYO!!!!
📌UKWELI MCHUNGU MARA NYINGI HUWA HIVI:Wewe usomae ujumbe huu usiwe k**a watu wenye kutumia falsafa hii ambao wao huwa wanaamini katika kupata zaidi||kulipwa zaidi||na kunufaika zaidi ili waweze kufanya ZAIDI na matokeo yake wamekuwa wanapoteza FURSA ZAIDI kila inapoitwa LEO__WAKATI wengine WANAENDELEA kusubiria hadi wawe na kila kitu ndio waanze_wewe chagua kuwa k**a hawa wengine ambao HAWASUBIRI KULIPWA ZAIDI ILI WAFANYE ZAIDI na hao hao ndio MAISHA HUWAPA NAFASI KUBWA YA KUPATA MATOKEO CHANYA ZAIDI!!!!
JE,NA WEWE UNAONGOZWA NA FALSAFA HII KWENYE MAISHA YAKO??
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAJUA KUWA WATAKUWEPO TU WATU AINA HIYO KWENYE SAFARI YA MAISHA YAKO??Katika maisha haya k**a kweli unataka kufika mbali katika kile unachokifanya na ili usikatishwe tamaa na baadhi ya watu wachache ambao (HAWAWAKUKUBALI na WALA HAWAKUUNGI MKONO) ni KUWAPOTEZEA TU kwa kukaa nao mbali na kuconcetrate kufanya yako YANAYOKUHUSU__Usijali nakwambia LEO endelea kufanya hilo unalolifanya kwa UPEKEE NA UBORA HUO HUO bila kukubali kukatishwa tamaa na mtu yeyote yule hata kwa wale unaowatambua k**a MARAFIKI MAADUI||na MARAFIKI VISEBENGO!!!!
📌UKWELI NDIVYO ULIVYO kwani hata sasa kuna watu wengi sana ambao wao huwa hawataki kukusupport wala hata kuambatana na wewe katika jambo ulilolianzisha na mara kwa mara watakuwa (wanakuchungulia) kuona k**a bado unaendelea||au na wewe tayari umeshaishia njiani k**a wao🤔 _cha ajabu UKITOBOA TU ndio hao hao watakuwa watu wa kwanza kukwambia HONGERA SANA MKUU (tulijua utafanikiwa TU)!!!!
📌JIFUNZE KATIKA HILI:Wewe usomae ujumbe huu nakwambia kuwa hivyo ndivyo WATU wa dunia hii walivyo__USISHANGAE kwa kuwa wewe hutakuwa wa kwanza KUFANYIWA HIVYO bali kikubwa ni kujiamini kuwa inawezekana k**a utaamua kwa DHAMIRI ya DHATI!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAJIKUBALI NA KUJIPENDA KATIKA MAISHA YAKO??Je,wajua asilimia 10% ya maneno wanayosema watu juu yako huwa mbegu ya kukufanya uwe hivyo ulivyo?? Je,wajua asilimia 90% ya maneno unayojisemea wewe kuhusu wewe mwenyewe huwa yanafanya uwe jinsi ulivyo leo hii??Kumbuka hakuna anayeweza kubadilisha KESHO YAKO zaidi ya wewe mwenyewe,HAIJALISHI maumivu yote unayopitia leo hii__Wewe ndio UNAPASWA KUWAJIBIKIA MAISHA YAKO!!!
📌UKWELI MCHUNGU NI HUU:HAYO nayo pia yatapita na ndipo utakapoanza kuelewa kuwa kwa nini Mungu aliruhusu (UPITE KATIKA HALI HIYO)_hakikisha KILA SIKU unajifunza kwa kujiweka kwenye nafasi za watu wengine(Empathy) ambao pengine wanapita kwenye hali ngumu zaidi yako lakini wameamua kuendelea kumshukuru MUNGU (Gratitude) pasipo kumlaumu mtu yeyote yule!!!!
📌CHUKUA HII ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu ENDELEA KUAMINI KUWA SIKU YAKO IPO,endelea KUVUMILIA HUKU UKICHUKUA HATUA STAHIKI ZA KUHAKIKISHA KUWA UNAYAISHI MALENGO YAKO!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU ZIPO siku unaweza ukajikuta unapita kwenye CHANGAMOTO ngumu sana hadi ukaanza kuwa na mashaka kuhusu juu ya kile unachokitafuta kwenye maisha yako,jambo muhimu la kukumbuka ni kufahamu kuwa hali k**a hii hasa wakati unapokuwa unafukuzia ndoto yako unayoiamini ni lazima UKUTANE NAYO!!!!
📌UKWELI ni kuwa ili uweze kupita salama katika hali hiyo ni lazima WEWE uchukue hatua za ziada katika kushinda HOFU||ama WASIWASI ambao utakuwa unakabiliana nao kwa wakati huo_sikiliza nikwambie,wewe usomae ujumbe huu ENDELEA kuchukua HATUA STAHIKI za kufanya zaidi tena na tena kwa masaa mengi huku ukiamini kabisa kuwa (CHANGAMOTO ZOZOTE ZILE) zinazokukabili kwa WAKATI HUU utazishinda na kuifanya KESHO YAKO KUWA NZURI NA BORA ZAIDI!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia naweza kukusaidia kupitia VITABU vyangu ambavyo vinapatikana katika mfumo wa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata k**a utakuwa tayari kujifunza.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU NDANI YAKO UMEKUWA NA HALI YA KUJILAUMU KILA WAKATI KWENYE MAISHA YAKO??MOJA kati ya vitu vinavyowakumba watu wengi na kuwafanya kushindwa kutimiza malengo yao ni HALI YA KUJIHUKUMU ambayo kazi yake kubwa ni kuwafanya watu husika kutumia nguvu nyingi kwenye MAMBO YASIYOKUWA NA UMUHIMU wowote ule kwenye maisha yao__Mara nyingi hali hii hutokana hasa na mambo ya nyuma ambayo yanaleta hisia hasi juu ya makosa yaliyofanywa huko nyuma,lakini pia hali hii ya kujihukumu huwa inamfanya muhusika kutamani sana k**a MUDA UNGERUDI NYUMA ili makosa hayo yafutike huku akisahau kuwa kukosea kwenyewe ndio UHALISIA wa KUISHI kwenyewe HUKO!!!!
📌CHUKUA HII ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu ngoja nikwambie kuwa nimekutana na watu wengi sana ambao wamekuwa ni wahanga wa hali hii kiasi kwamba WANAJIONA HAWANA NAFASI TENA ya kubadilisha MATOKEO huku wakati mwingine wanakosa RAHA kila wanapokumbuka YOTE yaliyopita__KUMBUKA kuwa HICHO KINACHOKUOGOPESHA siku zote KITAKUTAWALA USIPOKUWA MAKINI KWENYE HIYO SAFARI YA KUYAISHI MALENGO YAKO!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAIJUA FALSAFA YA KUTENGENEZA THAMANI(VALUE BASED PHILOSOPHY)KWENYE MAISHA YAKO??Ukweli wa maisha unasema hivi kuna aina mbali mbali za falsafa ambazo hutumiwa na watu waliofanikiwa katika maisha yao na moja wapo ni hii falsafa ya kutengeneza THAMANI yako kwanza kabla ya MALIPO kufanyika__Falsafa ya kuongeza thamani imekuwa ni TOOL) moja muhimu sana katika kuwasaidia watu wengi sana kuweza KUYAISHI MALENGO YAO,falsafa hii inasema hivi (K**a Utakuwa Tayari Kufanya Zaidi ya MATARAJIO na MALIPO Unayopewa, basi MUDA SI MREFU utaanza KULIPWA ZAIDI YA UNAVYOLIPWA sasa)!!!!
📌NI UKWELI kuwa watu wanaotumia falsafa hii kwenye maisha yao ni wale ambao wanapoamua kufanya jambo||ama kitu fulani basi UDHAMIRIA KUTOA THAMANI ZAIDI ya MATARAJIO ya waliowapa NAFASI HIYO HUSIKA ili kutengeneza UHITAJI wao wa KIPEE usio na mashaka(Value Based)_na matokeo yake huwa ni CHANYA kwa kufungua milango mingine mingi ya FURSA ZAIDI kwenye maisha yao kila siku inapoitwa LEO!!!!
📌SWALI KWAKO:JE, WEWE USOMAE UJUMBE HUU UNAONGOZWA NA FALSAFA HII KWENYE MAISHA YAKO??AU NA WEWE NDIO WALE WALE WA MALIPO KWANZA HALAFU KAZI BAADAE🤔??
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU HUWA UNAMSHUKURU MUNGU KILA WAKATI KWENYE MAISHA YAKO??Ukweli ni kwamba SIKILIZA nikwambie katika MAISHA yako Mungu anaweza kutumia MAPITO YAKO ya kushindwa kwako||kufeli kwako||kuchekwa kwao||na kukata tamaa kwako k**a DARASA ili aweze KUKUPATIA NAFASI YA KUANZA MWANZO MPYA__Ipo hivi hata sasa HAPO ULIPO kuna watu wanapanga njama na hila juu yako ili wakupoteze||wanapanga wakuangushe||wanapanga wakufelishe||wanapanga usiinuke tena||na wanapanga kukuzamisha ili ushindwe KUTIMIZA KUSUDI ambalo MUNGU ameweka ndani yako,lakini MUNGU amekuwa AKIWA UPANDE WAKO kila wakati_jifunze kumshukuru Mungu kwa huruma na rehema zake,matendo yake makuu na upendo wake kwako!!!!
📌K**A ULIKUWA HUJUI basi ni hivi zipo nyakati ambazo MUNGU ataruhusu UJARIBIWE na watu hao ili aweze kufanya MAMBO MAKUBWA katika maisha yako k**a alivyofanya kwa YUSUPHU mtumishi wake_kati ya mambo ambayo MUNGU amewahi kunitendea katika maisha yangu binafsi ni PALE ALIPOAMUA KUBADILISHA KUANGUKA KWANGU na kuanza safari mpya ya MAFANIKIO YANGU hata pale WALE WATU WALIOAMINI kuwa SITOWEZA KUSIMAMA TENA kwenye maisha yangu😔__HIVYO BASI NIMEJIFUNZA KUMSHUKURU MUNGU kwa kila jambo linalotokea katika maisha yangu!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA za kushare ujumbe huu kwa watu wengine ili nao wajifunze kumshukuru Mungu kwenye maisha yao...
📌RAFIKI YANGU UNAZIJUA AINA HIZI ZA WATU KWENYE MAISHA YAKO??Kwenye maisha kuna watu wa aina mbili ambao yakupasa uwaelewe na kuwajua vizuri ili ikusaidie katika hiyo safari yako ya MAHUSIANO ambayo ni sehemu muhimu sana katika MAFANIKIO YAKO yenye kuleta matokeo chanya;
📌KUNDI LA KWANZA:(WAWEZESHAJI WAKO) mara nyingi watu katika kundi hili kila ukikutana nao wao HALI TABIA yao kubwa ni KUKUPATIA hamasa ya kufanya zaidi na zaidi,mara nyingi upenda kumjenga mtu katika kile kitu anachokiamini__UKIWA NAO HAWA jifunze na uchukue hatua za ziada katika kuhakikisha kuwa unapata muda wa kukaa nao|kuwasiliana nao|na hili ujifunze mengi kutoka kwao!!!!
📌KUNDI LA PILI:(WAUAJI WAKO) mara nyingi watu wa kundi hili(mara nyingi hawa huwa ni watu wa karibu k**a vile marafiki,ndugu na wazazi) na SIFA yao kubwa kabisa ni kukatisha tamaa watu wengine kwa kuwambia kuwa wao sio kitu na hawawezi kitu_mara nyingi ni watu ambao huwa wana MITAZAMO HASI hasa linapokuja suala la kumhamasisha mtu kufanikiwa kwenye kile kitu ambacho wao wanaona hawawezi na wangependa KUONA na wengine vile vile HAWAFANIKIWI kwenye hilo__UKIWA NAO HAWA jitahidi sana kupunguza muda ambao unatumia nao kila siku ili wasikukatishe tamaa huku lengo lao likiwa uishie njiani ili WAKUCHEKE!!!!
📌SWALI KWAKO:JE,WEWE USOMAE UJUMBE HUU UNAWAJUA WAWEZESHAJI||ama WAUAJI WAKO KWENYE MAISHA YAKO??
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU USISAHAU KUWA KESHO HAITOKUWA HURU K**A UNAVYOFIKIRIA ENDAPO K**A SABABU ZA LEO ZITAKUWEPO PIA KWENYE MAISHA YAKO??Ukweli ni kuwa katika maisha kuna watu wengi sana ambao ukiwauliza WATAKWAMBIA kuwa WANA NDOTO KUBWA SANA ZA MAISHA YAO lakini UKIWAULIZA k**a wanaziishi hizo ndoto zao kubwa LEO HII🤔_MAJIBU YAO YATAKUSHANGAZA SANA tena sana TU,unajua kwa nini??
📌UKWELI ni kuwa kuna watu ambao WALIPAMBANA NA KUJARIBU kwa kila hali kuziishi ndoto zao lakini wakaishia NJIANI na HAWAKUJARIBU TENA||kuna watu walianza vizuri kabisa tena kwa hali endelevu ya kutokukata tamaa lakini walipojaribiwa kidogo tu na changamoto_wakaacha moja kwa moja na HAO HAO NDIO WAMEKUWA WAENEZA SUMU KWA WATU WENGINE AMBAO WANAWEZA||WANATAKA||na WANANIA YA DHATI NA WANABIDII YA KUTAKA KUYAISHI MALENGO YAO lakini wamekuwa WANAKATISHWA TAMAA NA AINA HII YA WATU!!!!
📌NILICHOJIFUNZA MIMI NI KUWA:WEWE USOMAE UJUMBE HUU kamwe usikubali hata siku moja kwenye maisha yako watu wa aina hii ambao WANAWEZA kuwa (wazazi,marafiki,ndugu,walimu wako n.k) wakafundishe namna ILIYO BORA ZAIDI ya KUYAISHI MALENGO YAKO wakati WAO WENYEWE WAMESHINDWA KUZIISHI NDOTO ZAO wakuwekee mipaka ya kuweza KUITIMIZA NDOTO YAKO!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAJUA KUWA MFUASI WAKO ANAWEZA AKAWA SIO SHABIKI YAKO KWENYE MAISHA??HIVI NDIVYO ILIVYO kwenye maisha ni kuwa nimejifunza kuwa unaweza ukawa UNAPIGWA VITA SANA tena na watu ambao UNAWAFAHAMU kabisa sio kwa sababu ya VILE ULIVYO LEO bali HAWAPENDI na wangefurahi k**a WATAWEZA KUZUIA VILE UNAVYOWEZA KUWA hapo KESHO_ndio maana unaweza kushangaa MTU ambaye AMEKUZIDI kila kitu na bado anakupiga vita hata kwa HICHO KIDOGO ULICHONACHO||na kwa HICHO KIDOGO UNACHOTAKA KUKITUMIA ILI KIKUVISHE salama kwenye hiyo KESHO YAKO ILIYO KUBWA!!!!
📌FANYA HIVI ITAKUSAIDIA SANA:Wewe usomae ujumbe huu ELEWA kuwa kitu kimoja nachompendea HUYU MUNGU WETU ni kuwa yoyote yule anayejaribu KUSHINDANA NA MAONO ambayo MUNGU ameyaweka NDANI YAKO basi huwa anahakikisha kuwa ANAKUWA UPANDE WAKO||ANASIMAMA na WEWE||na ANAKULINDA HUKU MAADUI ZAKO WAKITAWANYIKA🏃♂️🏃♂️_USIKATE TAMAA wala nini wewe ENDELEA KUPIGANIA KILE UNACHOKIAMINI!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
📌RAFIKI YANGU UNAWEZAJE KUPATA MATOKEO CHANYA KWENYE MAISHA YAKO??Kimsingi katika maisha kuna usemi mmoja ambao unatumiwa sana na wanasaikolojia||wanafilosofia||na wanatheolojia ambao unasema hivi ''kuwa katika maisha hupati vile vitu unavyovipenda na kuvitaka bali unapata vile vitu unavyovifanyia kazi(kuvitafuta kwa bidii pasipo kuchoka)''_ukweli ni kuwa mara nyingine inawezekana kabisa hicho unachokifanya sasa ni sahihi||upo mahali sahihi||na umezungukwa na watu sahihi lakini tatizo lako UMEKUWA unafanya mambo kwa kujaribu jaribu||umeshindwa KUJIONGEZA||na UMEKUWA mvivu wa KUFIKICHA AKILI YAKO😎!!!!
📌KUMBUKA NA FANYA HIVI KWANI ITAKUSAIDIA:Wewe usomae ujumbe huu ni hivi ili uweze kupata vile vitu unavyovitaka ni lazima UONGEZE BIDII katika kutafuta MAARIFA na hiyo JUHUDI YAKO kwenye hicho kitu ulichoamua kuona KINAKUPATIA MATOKEO UNAYOYATAKA,na huu ndio ule wakati wako wa kubadilisha KIWANGO CHAKO CHA MAARIFA||UJUZI||NA JUHUDI YAKO ili pia uweze kubadilisha kiwango cha MATOKEO CHANYA UNAYOYAPENDA!!!!
TAFAKARI na UCHUKUE HATUA...
__________________________________
Tafadhari SHARE ujumbe huu kwa wengine wengi zaidi ili nao wajifunze,lakini pia kuna namna nyingine MBILI(2) ambazo naweza kukusaidia k**a utakuwa tayari kujifunza.
1) Kupitia mafunzo MAALUMU(SPECIAL MENTORSHIP CLASS) kwa ajili ya mtu mmoja mmoja(1 to 1 Coaching Session)||kikundi cha watu(Group Coaching)||ama taasisi yako,ni book kupitia namba hii +255712703839.
2) Kupitia vitabu vyangu ambavyo vinapatikana kwa kidijitali(eBooks)SOFTCOPY na HARDCOPY kwa whatsapp ama kupiga namba +255712703839 kuvipata.
®IsaackLawaPage
👉[email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
P.OBOX13008DARESSALAAM
Opening Hours
Monday | 08:00 - 17:00 |
Tuesday | 08:00 - 17:00 |
Wednesday | 08:00 - 17:00 |
Thursday | 08:00 - 17:00 |
Friday | 08:00 - 17:00 |
Saturday | 09:00 - 17:00 |
Dar Es Salaam
Pan African Designer, Mustafa Hassanali has showcased in 33 cities in 23 Countries & named One of Af
Ilala
Dar Es Salaam, 0000
Her Own🎂 31.12. LL.B Jurist ⚖️👩⚖️🇹🇿 #Artist #HairStylist #Cook #Politician #Decorator
Dar Es Salaam
Emerging entrepreneur from Tabora Tanzania @Power brand Shop ||Chief Executive Officer (CEO) .
Gongo La Mboto
Dar Es Salaam
mtu anaekupenda kwa dhati lazima akuhurumie maana mapenzi ya dhati na HURUMA huishi pamoja