Eng Kabenda Balete

🗂️Founder & CEO- Kipaji App
📈Certified Blockchain Expert
⛪Bible Teacher

03/07/2024
29/06/2024

Hakikisha haukosi sehemu ya 4 ya "Asili ya Mwanadamu" iliyo potea kesho kupitia channel ya KAM Tanzania! 📺🔍

📅 Tarehe: 30/06/2024
⏰ Muda: 12:00jioni

Subscribe na washa kengele kwa updates za moja kwa moja: [KAM Tanzania YouTube Channel](https://youtube.com/) 📲🔔

Usisahau pia kutazama sehemu ya kwanza hadi ya tatu ili upate mwendelezo mzuri na kuelewa zaidi hadithi hii ya kuvutia. 📚✨

19/06/2024

Ushauri Juu ya Ujenzi.

Nimegundua kuna tatizo kubwa la watu kujenga nyumba ambazo hazikamiliki, huku pesa nyingi zikifa kwenye miradi isiyokamilika kwa muda mrefu. Hii ni kutokana na:

🔹 Ukosefu wa mipango na bajeti imara

🔹 Mikopo yenye riba kubwa

🔹 Kubadilika kwa bei za vifaa vya ujenzi

🔹 Ukosefu wa ujuzi wa usimamizi wa miradi

🔹 Mabadiliko ya vipaumbele

Badala ya kuanza ujenzi bila fedha za kutosha, hebu tuwekeze kwenye biashara kwanza. Hapa kuna baadhi ya mambo tunayoweza kufanya:

💡 Wekeza kwenye biashara kwanza- Biashara inaweza kutoa mapato endelevu ambayo baadaye yatatusaidia kujenga nyumba bora.

📚 Elimu juu ya usimamizi wa fedha na miradi- Ni muhimu kujua jinsi ya kupanga na kusimamia fedha yako vizuri.

🏗️ Jenga kwa awamu - Unaweza kujenga kulingana na uwezo wako wa kifedha, na fedha za ujenzi zitoke kwenye faida ya biashara badala ya akiba yako.

🔧 Tumia teknolojia mpya- Matumizi ya teknolojia mpya na ubunifu katika ujenzi yanaweza kusaidia kupunguza gharama na muda wa ujenzi. Hii ni pamoja na kutumia vifaa vya kisasa ambavyo ni vya bei nafuu na vinavyodumu zaidi.

🤝 Shirikiana na vituo vya uwekezaji - Unashauriwa kushirikiana na vituo vya uwekezaji au mashirika yanayosaidia katika miradi ya ujenzi. Hii itakupa ushauri na msaada wa kifedha ili kukamilisha mradi wako.

Jipange vizuri ili fedha yako itumike kwa ufanisi na mradi wako ukamilike kwa wakati.

Asanteni!

22/05/2024

🎶 Wimbo mpya "RUDI" kutoka kwa Mlemba MO unaoletwa kwako na Yubali Singers utatoka Ijumaa hii kwenye channel ya KAM Tanzania! Usikose kupokea baraka za muziki wa Injili. 🙏✨

Jiunge na familia yetu kwa kubonyeza subscribe na washa kengele sasa: https://youtube.com/

Tafadhali tunaomba usambaze teaser hii kwa marafiki na familia ili wote wapokee baraka hizi!

20/05/2024

"Fedha aitafutwi, Fedha inategwa"

Happening now on Mtawala Radio Stay Tune on www.mtawalaradio.online au kupitia App's za Online Radio Search Mtawala Radio Popote ulipo Duniani.

Show: Wisdom Corner With &

Mtawala Radio "Duniani K**a Mbinguni"

20/05/2024

"Ukifanya Kitu Unachokipenda Unakuwa Mbunifu"

Wisdom Corner With &

Stay Tuned on www.mtawalaradio.online au kupitia App's za Online Radio Search Mtawala Radio Popote ulipo Duniani.

Mtawala Radio "Duniani K**a Mbinguni"

Photos from Mtawala Radio's post 20/05/2024
20/05/2024

Fuatilia mjadala huu wa moto kupitia https://youtube.com/

19/05/2024

Usikose ulingo wa ufafanuzi leo 12:00 jioni pale pale ni mjadala wa moto kweli kweli ulio sheheni maswali magumu na majibu mepesi kwaajili yako. Subscribe sasa 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 https://youtube.com/

18/05/2024

Tukutane kesho...

14/05/2024

Usikose kufuatilia kipindi hiki.......

07/05/2024

"🎥 Karibu, ufuatilie mfululizo wa masomo mbalimbali ya Neno la Mungu kwenye kipindi chetu cha YouTube kila Jumapili, saa 12:00 hadi 12:30 jioni!

Jiunge nasi katika safari ya kufichua maana halisi ya maisha
Kwa pamoja tuchunguze siri iliyobeba mapenzi ya Baba yetu aliye mbinguni juu ya maisha hapa duniani.

Hakikisha unasubscribe kwenye channel yetu ya Kingdom Academy Ministries.
https://youtube.com/ kila wiki! "

02/04/2024

🚀 *Don't Miss Out on Season Two of Our Exclusive Cryptocurrency Full Day Course!*

Join us at the prestigious Peacock Hotel on April 26th, 2024, from 9:00 am to 4:00 pm for another immersive journey into the world of cryptocurrency. Whether you're a novice or an experienced investor, this course is designed to elevate your understanding and proficiency in the ever-evolving realm of digital assets.

Register 👉👉https://shorter.me/PqNIG

*Key Highlights:*
- *Introduction to Cryptocurrencies:* Learn the fundamentals of cryptocurrencies, including their history, concepts, and significance in the modern financial landscape.

- *Introduction to Blockchain Technology:* Gain a comprehensive understanding of the underlying technology powering cryptocurrencies and its revolutionary potential.
- *Practical Sessions:* Learn hands-on skills, including how to purchase cryptocurrencies and create investment portfolios using Coinmarket Cap, guided by industry experts.
- *Certified Training:* Led by Eng. Kabenda Balete, a Certified Blockchain Expert accredited by the Blockchain Council of USA, ensuring top-notch education and insights.
- *Lunch and Drinks Included:* Enjoy a delicious lunch and refreshments throughout the day, courtesy of the organizers.

*Limited Time Offer:* Originally priced at TZS 750,000, we're excited to offer this full-day course at an exclusive discounted rate of TZS 150,000 only!

*Secure Your Spot Today:* Seats are filling up fast, so don't miss this opportunity to elevate your cryptocurrency knowledge and investment strategies. Reserve your place now and unlock the potential of the digital economy!

*Join Virtually:* If you are far from Dar es Salaam, you will be able to join us via Zoom meeting.

For registration click here: https://shorter.me/PqNIG

*Empower yourself with knowledge, seize the opportunity, and embark on your cryptocurrency journey with confidence!* 🌟

Share this event with your friends: 📲👥

01/04/2024

🎉 Facebook recognized me as a top rising creator this week!

Photos from Eng Kabenda Balete's post 24/03/2024

Introduction to Blockchain and Cryptocurrency Workshop went well.

Photos from Eng Kabenda Balete's post 20/03/2024

Join Transcredit Microfinance Services (TMS) to Empower Micro-Transport Entrepreneurs in Dar es Salaam.

Are you a young and dynamic entrepreneur looking to make a meaningful impact in Dar es Salaam's micro-transportation sector? Transcredit Microfinance Services (TMS) invites you to join our network of agents and be part of a transformative journey empowering local riders and their families.

TMS recognizes the challenges faced by micro-transport entrepreneurs, particularly in accessing working capital for fuel at the start of each day. To address this, we offer fuel loans tailored to their needs, ensuring they have the necessary resources to kickstart their businesses daily.

But our commitment doesn't stop there. We understand the importance of protecting these entrepreneurs and their families against unforeseen circumstances. That's why we're introducing insurance services designed specifically for micro-transport riders. Our innovative approach computes an annual figure daily, enabling access to family insurance, providing peace of mind while they focus on growing their businesses.

Our services are in high demand in vibrant communities across Dar es Salaam, including Mbezi Mwisho, Kimara, Tabata, Segerea, Mbagala, Ubungo, Mwenge, Posta, Kariakoo, Kigamboni, Mikocheni, and Buruguni. We're expanding our reach and looking for motivated individuals to join us as TMS Agents in these areas.

At TMS, we embrace digitalization to streamline operations and empower our agents. Our digital platform enables easy monitoring of daily repayments, allowing agents to manage their businesses efficiently from the comfort of their homes. With more time for themselves and their loved ones, our agents can achieve a healthy work-life balance while making a difference in their communities.

Join us now and become a catalyst for change in Dar es Salaam's micro-transport sector. Take the first step towards entrepreneurship by calling 0742411411 or email at [email protected] or visit www.transcredit.co.tz to learn more about becoming one of our agents in the mentioned areas.

Together, let's drive progress and empower micro-transport entrepreneurs to reach new heights of success with Transcredit Microfinance Services.

Transcredit Microfinance Services

19/03/2024

Kweli itakuweka huru..tutajikita katika kuelewa kwa undani zaidi juu ya neno hili "KWELI" Tutaangalia dhana mbali mbali juu ya neno hili kweli.

Maana ya "Kweli" ni dhana ambayo imejadiliwa na kufanyiwa utafiti na wanafalsafa, wana thiolojia, wanasayansi, na watu wenye fikra tunduizi(critical thinkers) katika fani mbalimbali kwa muda mrefu.
Ingawa hakuna ufafanuzi wa mkubwa ambao unakubaliwa na wote, kweli kwa ujumla inahusisha uwiano kati ya kauli au imani na hali halisi. Kwa maneno mengine, kitu kinachukuliwa kuwa kweli ikiwa kinalingana kwa usahihi au kufafanua jinsi mambo yalivyo halisi.

11/03/2024

LEO NIONGEE KITU KWENYE NDOA.

Umoja kati ya mume na mke unajenga familia yenye nguvu ambayo shetani hawezi ingilia na hivyo kujenga jamii yenye nguvu.

Shetani mjanja akaanza kuwahubiri wana ndoa eti kila mtu awe na shughuli yake na maono yake..sasa ndoa kazi yake ni nini?

Yani hata partnership ya kampuni mkisha kubaliana kuanzisha kampuni hamko huru tena kutoa huduma ile ile inayo tolewa na kampuni yenu kwa maslahi binafsi yani watu wamelogwa na tamaa na ujanja wa Ibilisi.

Usidanganyike mkisha kuwa kwenye ndoa sahau umimi..hiyo ni zaidi ya partnership..ninyi wote mnakaa kutekeleza KUSUDI ambalo Mungu kaliweka kwenye ndoa yenu ambalo KUSUDI hilo liko ndani ya BABA na mama akiwa ndo msaidizi mkuu wakulitekeleza kusudi hilo.

Ukiona ndoa mama anadai naye ana maono yake ujue BABA kafeli anaishi maisha yakusaka vitu hajajitambua hivyo lazima mke aanze kujipambania mwenyewe maana mume kapoteza DIRA ya MAISHA ya kweli ambayo ni kuliishi kusudi lake aliloletewa hapa duniani.

Mwanaume ukiishi bila KUSUDI automatically kila unacho fanya mbele za mkeo ni UBINAFSI maana unakuwa unajipambania mwenyewe..na mkeo sasa itabidi na yeye aanze kujipambania k**a WEWE k**a kwenye partnership mkianza kuuza huduma ile ile kila mtu kivyake basi ile partnership inakufa pale pale kwa sababu hamfanyi sasa kwa niaba ya kampuni(KUSUDI) bali kila mtu anafanya kwa maslahi yake mwenyewe(shughuli za kila siku kukidhi mahitaji mbalimbali).

Pale tu mwanaume anapokosa kulijua kusudi lake na akaanza kuishi kwa kusaka mahitaji ndoa inakufa pale pale its just a matter of time.

Kuishi nje ya kusudi nikuishi pamoja bila sababu za msingi..na hapo hamna ndoa tena mumeunda kitu kipya ambacho hakieleweki maana hata kwenye partnership hakuna kitu k**a hicho.

Ndiyo maana neno linasema watu wawili hawawezi kwenda pamoja wasipo patana...means lazima muwe na common ground katika kuishi pamoja..the best common ground ni KUSUDI la Mungu katika maisha yenu nothing else. Mengine yatawaletea stress tupu.

06/03/2024

Do not miss this....register now at: +255742411411

Photos from Eng Kabenda Balete's post 27/02/2024

Operations Manager wetu akiwa katika ofisi za TMS MAFUTA WAKALA Tegeta.

K**a unahitaji kuwa wakala wetu kwenye KATA yako karibu wasiliana na Manager wa mikopo wetu 0742411411. Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Photos from Eng Kabenda Balete's post 19/12/2023

10years wedding Anniversary in photos

05/12/2023

Kupata somo lote tembelea channel yetu ya YouTube 👇👇👇👇👇 https://www.youtube.com/live/0xk0jjAvv9g?si=PhKY8tCT5KaRxK7v

30/11/2023

*Unlock Your Potential: High-Value Business Idea Generation*

Embark on a transformative journey as we guide you in generating a business idea with the potential to yield TZS 1 Billion in annual revenue.

This exclusive opportunity is available for a limited time at the special December festival season price of TZS 500,000.

*What's Included:*

👉Identification of a real-world problem
👉Market research to validate the identified problem
👉Development of a viable solution
👉Definition of a robust business model
👉Creation of a revenue model
👉Establishment of an effective distribution channel
👉Comprehensive competitor analysis
👉Exploration of the competitive landscape
👉Identification of the target market
👉Focus on the digitalization of your idea

*Process Highlights:*

👉In-depth fieldwork
👉Preparation and submission of essential documents.

*Why Choose Us:*

👉Online learning for your convenience
👉Enter 2024 with the beginning of success

*For Whom:*

This opportunity is tailored for serious individuals ready to change their lives.

*Please Note:*

No guarantee of a specific idea; success depends on your skills, experience, and knowledge.

*Contact Information:*

Eng. Kabenda Balete
Business Consultant
Email: [email protected]
WhatsApp: 0657606556

30/11/2023

*High Value Business Idea Generation*

Come we help and guide you how to generate a business idea wih TZS 1Billion potential revenue a year.

It will cost you *TZS 500,000* to guide you through this process.

The process involve on identifying problem, Market research to validate the problem, developing solution, defining the business model, Revenue model, distribution channel, Competitor analysis, Competitive Landscape, Target market identification and we will focus on digitalization of your idea etc.

There will be field works, preparation and submisison of documents etc.

*Its a discounted price for this December festival season only*

Njoo ujifunze kila kitu ni Online. Njoo uingie mwaka 2024 na mwanzo wa ushindi.

This is for serious people only who want to change their lives.

*Please Note*: No guarantee that you will get such an idea, it will depend on your skills and experience and the knowledge you have.

Eng. Kabenda Balete
Business Consultant
[email protected]
WhatsApp: 0657606556.

28/11/2023

Karibu ujifunze jinsi ya kujenga thamani binafsi ili uwe sumaku yakuvuta mafanikio bila kutumia nguvu.

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Hakikisha haukosi sehemu ya 4 ya "Asili ya Mwanadamu" iliyo potea kesho kupitia channel ya KAM Tanzania! 📺🔍📅 Tarehe: 30/...
Hakikisha haukosi sehemu ya 4 ya "Asili ya Mwanadamu" iliyo potea kesho kupitia channel ya KAM Tanzania! 📺🔍📅 Tarehe: 30/...
🔍 Je, umewahi kujiuliza kwa nini Mungu aliruhusu Adamu ale tunda la mwisho lililomfanya aondolewe kwenye bustani ya Eden...
Usikose wiki hii tunajadili kiundani zaidi kuhusu MOYO: Subscribe hapo juu kwenye bio ....@kamtanzania_
🎶 Wimbo mpya "RUDI" kutoka kwa Mlemba MO unaoletwa kwako na Yubali Singers utatoka Ijumaa hii kwenye channel ya KAM Tanz...
Fuatilia mjadala huu wa moto kupitia https://youtube.com/@kamtanzania
Usikose ulingo wa ufafanuzi leo 12:00 jioni pale pale ni mjadala wa moto kweli kweli ulio sheheni maswali magumu na maji...
Usikose ulingo wa ufafanuzi leo 12:00 jioni pale pale ni mjadala wa moto kweli kweli ulio sheheni maswali magumu na maji...
"🎥 Karibu, ufuatilie mfululizo wa masomo mbalimbali ya Neno la Mungu  kwenye kipindi chetu cha YouTube kila Jumapili, sa...
"🎥 Karibu, ufuatilie mfululizo wa masomo mbalimbali ya Neno la Mungu  kwenye kipindi chetu cha YouTube kila Jumapili, sa...
Arusha herw we come..kumbuka Dar es Salaam itakuwa tar 26.04.2024 pale Peacock Hotel. #blockchain #blockchaintechnology ...
@utvtz

Category

Telephone

Address

Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Digital Power Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh