Bantu care

Bantu care

Bantu care inatoa huduma ya Tiba ya uzazi kwa mwanamke na mwanamme &Tiba ya magonjwa mengi 0788357263

22/02/2024

Tumia 3 day detox kwa ajili ya kitambi ( bloated belly).

Bloated belly (kuvimba au kujaa kwa tumbo au kitambi ) ni Hali iliyoshika Kasi sana kwa watu wengi , richa ya kuwa na matatizo mbalimbali ya tumbo k**a vidonda vya tumbo , tatizo la kutomengenywa kwa chakula vizuri, kuwa na minyoo sugu , na kuwa na gesi tumboni mara kwa mara.

Watu wengi sana Wana vitambi na katika vitambi vyao wengi wanaamini ni unene, uzito uliopitiliza, mafuta ya tumbo ( belly fat) , maajabu wengi walio na tumbo kubwa ( kitambi) au kwa lugha ya kigeni bloated belly Wala siyo unene , uzito uliopitiliza , utakuta mtu ana kilo chini ya 60 na anakuwa na kitambi ,
Mtu mwenye Hali hii lazima atakuwa na tatizo katika mfumo wa tumbo Wa chakula na mara nyingi anakuwa na dalili zifuatazo:

💧Kuwa na haja ngumu ( constipation)
💧muda mrefu bila kwenda haja , pengine kuwa na siku tatu Hadi 6 bila kwenda haja.
💧Tumbo kujaa gesi mara kwa mara
💧Kukosa hamu ya kula
💧Muda mwingine tumbo kuunguruma

Tatizo hili la bloated belly limegawanyika zaidi kulingana na sababu maana lipo tumbo au kitambi Cha mafuta , kutokana na wingi Wa mafuta ( fatty) katika Kuta za tumbo, pia kipo kitambi Cha wanawake baada ya kujifungua tu nacho ni hormonal belly, kwani usipo kiwahi mapema kinasumbua kuisha kwake, na mwisho ndio kitambi hiki watu wengi wanacho ni kitambi Cha tatizo la mmengenyo Wa chakula,

Bloated stomach (belly) kitambi hiki ni tatizo kubwa katika mfumo wa chakula kwani utumbo mpana unaathirika kwa kupanuka na kuvimba kutokana na kugandamana kwa haja iliyokaa kwa muda mrefu bila kutolewa kwani husababisha pia maambukizi ya bakiteria katika utumbo na kuleta vimbe ndogo ndogo zijulikanazo k**a diverticulitis katika utumbo mpana,

Athari za kitambi hiki ( bloated belly)

💧saratani ya utumbo ( colon cancer)
💧 kupata bawasiri
💧kuugua tumbo kwa muda mrefu
💧kujaa gesi tumbo
💧kupatwa na vidonda tumbo
💧 kupatwa na fungus tumboni
💧Minyoo sugu na hatimae kupatwa na kifo
Tumia 3 day detox
+255788357263

02/02/2024

3 day detox ni night cleanse puer dawa ambayo dozi yake ni siku tatu tu, imetengenezwa na spices za mimea asili kazi ya dawa

Kuondoa kitambi Cha uchafu utumbo mpana kuvimba na kujaa ( bloated belly)

maambukizi ya utumbo (diverticulosis)

Kuundoa kitambi Cha mafuta ( belly fat)

Kuondoa haja ngumu yenye pingili pingili k**a ya mbuzi

Inasafisha tumbo na utumbo , inaondoa wadudu na minyoo tumboni

Inatoa sumu mwilini zilizorundikana

Inaboresha mmengenyo Wa mfumo Wa chakula

Inapunguza Uzito uliopitiliza , kwa mtu mwenye uzito uliopitiliza atatumia siku tatu k**a kawaida Kisha ataendelea kutumia maji ya uvuguvugu Kila siku alfajiri kabla ya kutumia chakula , atakunywa maji ml 250 Kisha kamulia limao Moja ndani ya siku 16 mfululizo baada ya kumaliza dozi , kwa mwenye uzito kuanzia kilo 100 atatumia siku 28 mfululizo ,

Inashusha kilo kwa haraka sana baada ya kutumia siku tatu itaendelea kufanya kazi kwa muda mrefu mwilini

Kiboko pia ya haja ngumu

Tuwasiliane kwa 0788357263 au 0622555127

Dozi Moja inatolewa kwa offa kwa elfu kumi na Saba tu 17000

Karibuni sana

02/02/2024

Ondoa kitambi , punguza tumbo , safisha tumbo lenye uchafu , safisha tumbo , tatizo la kuwa na haja ngumu na kufanya utumbo mpana kujaa na kuvimba ,(bloated belly) punguza kitambi na uzito uliopitiliza kwa kutumia dozi siku tatu tu ,

Baada ya kutumia utaendelea kunywa maji ya uvuguvugu Kila siku alfajiri kabla ya kupata chakula , kunywa glass Moja ya maji ya uvuguvugu Kisha kamulia limao Moja ndani ya siku 8 , kilo nyingi zitapungua na tumbo litapungua

Dawa hii pakeji bei yake 17000 elfu17 tu karibu tuwasiliane kwa 0788357263 au 0622555127

Photos from Bantu care's post 20/12/2023

Cleanser

Dawa ya kutibu tatizo la U.T.I sugu , P.I.D, Magonjwa ya zinaa ( kaswende, kisonono, gonorrhea Chlamydia, ge***al wart's ), kusafisha uzazi, Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, kukojoa damu , kuwashwa kwenye mirija ya uume, kuwashwa ukeni, tezi dume

Dawa hii ni ya mfumo wa Kimiminika imeandaliwa kwa mimea asili kitaalamu Zaidi, dawa hii imesifika Sana na kutumiwa na babu na bibi zetu kutibu magonjwa ya zinaa yaliyokuwa yakiwasumbua Enzi na enzi na walitumia dozi ndani ya siku mbili na kupona kabisa

MATUMIZI YAKE
kunywa Kila baada ya masaa 4 ml 250 au kikombe kimoja mfululizo ndani ya siku mbili tu

KAZI YA DAWA
inatibu tatizo la kwenye mfumo wa uzazi na Figo

💧Inatibu U.T.I sugu,
💧 inatibu P.I.D
💧 inatibu Magonjwa ya zinaa ( kisonono, Chlamydia, kaswende, ge***al wart's, gonorrhea )
💧 Inatibu fungus sehemu za Siri,miwasho
💧 inasafisha Figo ,
💧 Inatibu tatizo la kukojoa damu
💧 inasafisha mirija ya uzazi kwa mwanamke na mwanamme
💧inatibu uvimbe kwenye kizazi
💧kwa mwanamke inasawazisha homon na mzunguko kuwa sawa wa hedhi
💧 inasafisha na kutibu tezi dume
💧 inakausha vidonda sehemu za Siri

Baada ya kutumia dawa hii ndani ya masaa 24 utajisikia kupotea maumivu makali ya chini ya tumbo, kupotea kuwashwa sehemu za Siri , kukojoa mkojo mweupe, kwa mwanamme kujisikia kufanya tendo kwani misuli ya uume inaimarika na kusimama, uchafu kuanza kupungua kutoka ukeni,kupotea kwa harufu mbaya ukeni, utakuwa unakojoa mara kwa mara,

Dozi yake unaweka oda siku Moja kabla ya kuchukua
Bei 37000

Tuwasiliane WhatsApp au piga 0788357263

Photos from Bantu care's post 20/12/2023

Cleanser

Dawa ya kutibu tatizo la U.T.I sugu , P.I.D, Magonjwa ya zinaa ( kaswende, kisonono, gonorrhea Chlamydia, ge***al wart's ), kusafisha uzazi, Figo na mfumo wa mkojo kwa ujumla, kukojoa damu , kuwashwa kwenye mirija ya uume, kuwashwa ukeni, tezi dume

Dawa hii ni ya mfumo wa Kimiminika imeandaliwa kwa mimea asili kitaalamu Zaidi, dawa hii imesifika Sana na kutumiwa na babu na bibi zetu kutibu magonjwa ya zinaa yaliyokuwa yakiwasumbua Enzi na enzi na walitumia dozi ndani ya siku mbili na kupona kabisa

MATUMIZI YAKE
kunywa Kila baada ya masaa 4 ml 250 au kikombe kimoja mfululizo ndani ya siku mbili tu

KAZI YA DAWA
inatibu tatizo la kwenye mfumo wa uzazi na Figo

💧Inatibu U.T.I sugu,
💧 inatibu P.I.D
💧 inatibu Magonjwa ya zinaa ( kisonono, Chlamydia, kaswende, ge***al wart's, gonorrhea )
💧 Inatibu fungus sehemu za Siri,miwasho
💧 inasafisha Figo ,
💧 Inatibu tatizo la kukojoa damu
💧 inasafisha mirija ya uzazi kwa mwanamke na mwanamme
💧inatibu uvimbe kwenye kizazi
💧kwa mwanamke inasawazisha homon na mzunguko kuwa sawa wa hedhi
💧 inasafisha na kutibu tezi dume
💧 inakausha vidonda sehemu za Siri

Baada ya kutumia dawa hii ndani ya masaa 24 utajisikia kupotea maumivu makali ya chini ya tumbo, kupotea kuwashwa sehemu za Siri , kukojoa mkojo mweupe, kwa mwanamme kujisikia kufanya tendo kwani misuli ya uume inaimarika na kusimama, uchafu kuanza kupungua kutoka ukeni,kupotea kwa harufu mbaya ukeni, utakuwa unakojoa mara kwa mara,

Tuwasiliane WhatsApp 0788357263

24/11/2023

ASILI PANGA UZAZI

dawa asili ya kuzuia mimba usiyoitarajia isitokee bila madhara na usumbufu , dawa ya wahenga ambayo inauhakika wa asilimia zote kufanya kazi na ni dawa nzuri ukihitaji kupata ujauzito unabadili matumizi na mimba inaingia haraka Sana

🫧dawa hii ni pakeji yenye unga ambayo ni mti mmoja unakazi ya kucheza na homoni za mwanamke bila athari.

💧 MATUMIZI
Dawa inatumika mara Moja tu kwa mwezi , Kila ukiingia period ( hedhi) yaani siku ya mwisho kuona hedhi ndipo unakunywa kijiko kimoja tu Cha dawa kwa maji baridi au moto , mfano endapo unaingia siku 3 basi siku ya 3 ndiyo unatumia , endapo unaingia siku 5 basi siku ya 5 ndipo unatumia na endapo unaingia siku 7 basi siku ya 7 ndiyo unatumia .

💧Kila mwezi unakunywa mara Moja tu , jiachie kadri unavoweza ,shiriki tendo siku za hatari lakini hautabeba mimba , lakini siku utajisahau kutumia huo mwezi basi unatakiwa kuwa muangalifu kwani ni rahisi kubeba k**a nilivosema dawa hii upande wa pili ni dawa ya uzazi haraka Sana kushika mimba , na endapo utahitaji kushika mimba unaacha kuitumia mwezi unaofuata lazima ubebe mimba

🫧dawa hii ni pakeji ambayo ni dozi ya miezi sita

Ambayo inauzwa kwa bei offa ya elfu kumi na Saba tu 17,000

Karibu Sana care
Tuwasiliane WhatsApp au piga 0788357263

24/11/2023

BANTU CLEANERS SOLUTIONS

dawa ya kutibu tatizo la tumbo sugu la aina yeyote

Dawa hii ni ya mfumo wa Kimiminika imeandaliwa kwa mimea asili kitaalamu zaidi muhimu kwajili ya kutibu tumbo sugu ikijumuisha madonda tumbo, iwe sababu ya ini au Figo kuanza kufeli na kusababisha maumivu ya tumbo , ngiri,chango la k**e , menseteric ischemia, allergy ya ukila baadhi ya vyakula unaumwa tumbo na kujaa gesi na maumivu makali ya tumbo ,iwe tumbo la uzazi kwa wanawake ,tumbo lenye minyoo sugu,

MATUMIZI YAKE DAWA
Kunywa Kila baada ya masaa manne ,ml 250 au kikombe kimoja Kila siku mfululizo ndani ya siku tatu tu na hauta sikia kuumwa tumbo na ukipona utakaa zaidi ya miaka kumi bila changamoto ya tumbo dawa Ina kinga asili ya tumbo

KAZI YA DAWA
💧inatibu madonda tumbo na kukausha Kila aina ya kidonda mwilini ndani na nje
💧 inatibu safura (minyoo ya safura)
💧inatibu Mwili kujaa na kuvimba ,inawatokea Sana wazee na watoto
💧Tiba ya oedema
💧Inatibu kwa kuyeyusha uvimbe tumboni
💧Inatibu tumbo kujaa gesi
💧Inatibu tumbo kuunguruma
💧Inatibu minyoo sugu na ukianza kutumia utaona haja yenye mchanganyiko wa mayai ya minyoo
💧Inatibu kiungulia au chemba moyo
💧Inatibu ugumu wa haja na kuwa haja ya kawaida
💧Inatibu aleji ya vyakula
💧Inatibu fungus tumboni , unaweza kuwa tumbo linaunguruma mara kwa mara kumbe sababu ya kuwa na vidonda tumboni hutengeneza bacteria na fungus katika majeraha ya tumbo pamoja na kutumia dawa za fungus tumboni lakini haupati nafuu hii itakusaidia
💧inatibu kidole tumbo ( appendix)
💧 saratani ya utumbo

🫧Baada ya kutumia dawa hata k**a kila ukichanganya baadhi ya vyakula unavimbiwa na kutoa harufu k**a kinyesi Cha gesi mdomoni utapona na hautasikia na utakula vyakula mchanganyiko bila kukupatia shida yeyote ya tumbo , hautavimbiwa Wala kuvurugika kwa tumbo ,dawa hii kiboko ya tumbo wengi walioitumia wanakaa zaidi ya miaka 10 bila kusikia hali mbaya ya tumbo na wengi Huwa wanapenda baada ya miaka 5 kuitafta na kunywa

Karibu 0788357263

24/11/2023

BANTU CLEANERS SOLUTIONS

dawa ya kutibu tatizo la tumbo sugu la aina yeyote

Dawa hii ni ya mfumo wa Kimiminika imeandaliwa kwa mimea asili kitaalamu zaidi muhimu kwajili ya kutibu tumbo sugu ikijumuisha madonda tumbo, iwe sababu ya ini au Figo kuanza kufeli na kusababisha maumivu ya tumbo , ngiri,chango la k**e , menseteric ischemia, allergy ya ukila baadhi ya vyakula unaumwa tumbo na kujaa gesi na maumivu makali ya tumbo ,iwe tumbo la uzazi kwa wanawake ,tumbo lenye minyoo sugu,

MATUMIZI YAKE DAWA
Kunywa Kila baada ya masaa manne ,ml 250 au kikombe kimoja Kila siku mfululizo ndani ya siku tatu tu na hauta sikia kuumwa tumbo na ukipona utakaa zaidi ya miaka kumi bila changamoto ya tumbo dawa Ina kinga asili ya tumbo

KAZI YA DAWA
💧inatibu madonda tumbo na kukausha Kila aina ya kidonda mwilini ndani na nje
💧 inatibu safura (minyoo ya safura)
💧inatibu Mwili kujaa na kuvimba ,inawatokea Sana wazee na watoto
💧Tiba ya oedema
💧Inatibu kwa kuyeyusha uvimbe tumboni
💧Inatibu tumbo kujaa gesi
💧Inatibu tumbo kuunguruma
💧Inatibu minyoo sugu na ukianza kutumia utaona haja yenye mchanganyiko wa mayai ya minyoo
💧Inatibu kiungulia au chemba moyo
💧Inatibu ugumu wa haja na kuwa haja ya kawaida
💧Inatibu aleji ya vyakula
💧Inatibu fungus tumboni , unaweza kuwa tumbo linaunguruma mara kwa mara kumbe sababu ya kuwa na vidonda tumboni hutengeneza bacteria na fungus katika majeraha ya tumbo pamoja na kutumia dawa za fungus tumboni lakini haupati nafuu hii itakusaidia
💧inatibu kidole tumbo ( appendix)
💧 saratani ya utumbo

🫧Baada ya kutumia dawa hata k**a kila ukichanganya baadhi ya vyakula unavimbiwa na kutoa harufu k**a kinyesi Cha gesi mdomoni utapona na hautasikia na utakula vyakula mchanganyiko bila kukupatia shida yeyote ya tumbo , hautavimbiwa Wala kuvurugika kwa tumbo ,dawa hii kiboko ya tumbo wengi walioitumia wanakaa zaidi ya miaka 10 bila kusikia hali mbaya ya tumbo na wengi Huwa wanapenda baada ya miaka 5 kuitafta na kunywa

Karibu Sana Bantu care
Dawa

19/11/2023

Ugonjwa wa Safura ni ugonjwa ambao huwapata watu wengi hasa watoto wadogo.

CHANZO CHA UGONJWA WA SAFURA

– Ugonjwa wa Safura ni ugonjwa ambao husababishwa na Mashambulizi ya Minyoo aina ya HOOKWORMS

DALILI ZA UGONJWA WA SAFURA Ni pamoja na;

✓ Mtu kukosa hamu ya chakula

✓ Baadhi ya watu kula kupita kawaida

✓ Mwili kudhoofika ikiwa ni pamoja na kukonda sana

✓ Mwili kukosa nguvu kabsa

✓ Misuli ya mwili kuwa dhaifu

✓ Kupata maumivu ya tumbo mara kwa mara

✓ Mgonjwa kuharisha mara kwa mara

✓ Kuhisi dalili ya Minyoo njia ya haja kubwa wakati wa kujisaidia

✓ Nywele kunyonyoka zenyewe

✓ Kupata dalili zote za kuishiwa na damu yaani Anemia

N.k

MATIBABU YA UGONJWA WA SAFURA

Ugonjwa huu wa safura hutibiwa kwa dawa mbali mbali,

Moja ya dawa zetu za kutibu safura Tumia stomach CLEANER SOLUTION dozi tatu mfululizo
Karibu Sana 0788357263

Bantu care

17/11/2023

Mwanamme kwa mwanamke, swala la kufika kileleni ni ukamilifu wa tendo la ndoa, endapo haujafika kileleni basi utakuwa umeshiriki tendo bila ukamilifu. Mwanamke mwenye afya nzuri na homoni zilizo sawa hufika kileleni akishiriki tendo la ndoa na mwanamme aliye na afya nzuri na nguvu za kiume imara , mwanamke hufika kileleni akiambatana na hali ya mwili kufa ganzi na kujisikia Radha tofauti ya mwili mzima na walio na homoni imara hutoa maji ya kuruka yaliyo mengi , ukiona hali hiyo inatokea kwa mwanamke unaye shiriki nae tendo basi jua unamfikisha kileleni

Ikumbukwe pia wanawake wengi kutokana na tafti hawajawahi kufika kileleni tangu waanze tendo la ndoa, wengi hupata muwasho wa mapenzi tu na Radha ya muwasho kwani hii kutokana na madhara na magonjwa mengi yanayosumbua kwa Karne hii haswa katika uzazi ikiambatana na muundo wa maisha zikiwemo life style ya njia za uzazi wa mpango zikishika 65% , matumizi ya Pedi , ugumu wa maisha kuathiri saikolojia kwa ujumla

Ili upate suluhisho la uzazi kwa Mme na mke tufuatilie wasap kupata ELIMU zaidi na namna ya kujikomboa 0788357263

17/11/2023

Ugonjwa wa Safura ni ugonjwa ambao huwapata watu wengi hasa watoto wadogo.

CHANZO CHA UGONJWA WA SAFURA

– Ugonjwa wa Safura ni ugonjwa ambao husababishwa na Mashambulizi ya Minyoo aina ya HOOKWORMS

DALILI ZA UGONJWA WA SAFURA Ni pamoja na;

✓ Mtu kukosa hamu ya chakula

✓ Baadhi ya watu kula kupita kawaida

✓ Mwili kudhoofika ikiwa ni pamoja na kukonda sana

✓ Mwili kukosa nguvu kabsa

✓ Misuli ya mwili kuwa dhaifu

✓ Kupata maumivu ya tumbo mara kwa mara

✓ Mgonjwa kuharisha mara kwa mara

✓ Kuhisi dalili ya Minyoo njia ya haja kubwa wakati wa kujisaidia

✓ Nywele kunyonyoka zenyewe

✓ Kupata dalili zote za kuishiwa na damu yaani Anemia

N.k

MATIBABU YA UGONJWA WA SAFURA

Ugonjwa huu wa safura hutibiwa kwa dawa mbali mbali,

Dawa tatu , dawa ya kwanza kunywa mara Moja ,dawa ya pili kunywa siku 5 mfululizo, dawa ya tatu na mwisho kunywa siku 16

Unamaliza tatzo kabisa, dawa hizi hutolewa kwa oda tu maana zinatunzwa mazingira mazuri zisiharibike, ukiweka oda unaandaliwa siku Moja unapata dawa

Tuwasiliane WhatsApp au piga 0788357263

17/11/2023

"UGONJWA WA MASUNDOSUNDO / VIGWARU (GE***AL WARTS) .

care
-
"GE***AL WARTS - ( MASUNDO SUNDO ) NI NINI?

Ni vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando Laini unaozunguka maeneo ya sehemu za siri, vinyama hivyo vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa mkojo (urethra), maeneo yanayozunguka haja kubwa na sehemu mbalimbali za mwili.

~Ugonjwa huu unaenezwa kwa njia ya kujamiiana (SEXUAL TRANSMITTED INFECTION) STI)

"CHANZO CHA TATIZO HILI"

~Ugonjwa wa Masundosundo husababishwa na virus waitwao HUMAN PAPILLOMA VIRUS ( HPV) hata hivyo Kuna Aina tofauti za virus wa HPV hivyo sio wote wanaosababisha tatizo hili kwani Kuna ambao wanaosababisha Masundosundo katika sehemu tofauti k**a vile mkono, mgongoni, mguuni nk.

Pia HPV huweza kasababisha saratani ya shingo ya kizazi (CARCINOMA OF THE CERVIX) kwa wanawake, na pia huweza kusababisha saratani ya sehemu ya haja kubwa (A**L CANCER) kwa jinsia zote mbili.

~Ugonjwa huu wa Masundosundo umejitokeza kwa kiasi kikubwa baada ya kuwepo kwa janga la UKIMWI hivyo watu wenye wapenzi wengi, wanaofanya mapenzi kwa njia ya mdomo na haja kubwa, wajawazito, watumiaji wakubwa wa sigara na pombe, watu wenye upungufu wa kinga mwilini wapo katika hatari ya kupata ugonjwa huu

DALILI ZA MASUNDOSUNDO"

"~mgonjwa wa tatizo hili hutokewa na vinyama Laini vidogovidogo vinavyoota kwenye katika maeneo tofauti (MFANO HALISI TIZAMA KATIKA PICHA) ingawa wakati mwingine huwa ni vidogo kiasi cha kutoweza kuonekana kwa njia ya kawaida.

~mgonjwa kupata ganzi maeneo yaliyozungukwa na Masundosundo
~kutokwa na uchafu mzito sehem za siri na kuwashwa kupita maelezo
~kutokwa damu ukeni mara baada ya kufanya tendo la ndoa.

NOTED :mwanaume huwa anachelewa kupata dalili na huwa na uwezekano mkubwa wa kuambikiza wenza wao

"MATIBABU NA JINSI YA KUEPUKA UGONJWA HUU"

~matibabu ya tatizo hili hupatikana kirahisi iwapo tatizo halijachelewa kupatiwa tiba, matibabu hutolewa kwa kufuata utaratibu wa Majibu yaliyopatikana katika vipim

16/11/2023

Homa kali ya ini ni nini?
Homa ya Ini ni kuvimba kwa ini. Kitendo cha ini kuvimba ghafla ndio ndio huitwa Homa kali ya Ini. Sababu zinazofahamika zaidi za ini kuvimba ghafla ni maambukizi ya virusi vya homa ya ini aina A na E na ni katika matukio machache sana virusi vya homa ya Ini B na C. Aina fulani za dawa za matibabu ambazo zina sumu zinaweza pia kusababisha homa Kali ya ini. Mara nyingi inaweza kupona bila hata madhara makubwa au kuhitaji matibabu lakini katika matukio machache huweza kusababisha ini kushindwa kufanya kazi na wakati mwingine kifo.

Zipi dalili za homa kali ya ini?
Bila kujali visababishi, dalili za homa kali ya ini ni pamoja na:

- Kutapika, kuhara au maumivu ya tumbo

- Rangi ya manjano kwenye macho na ngozi.

- Choo kilicho na rangi mpauko.



Je homa kali ya ini ni tishio kwa maisha?
Kwa kawaida, homa kali ya ini inaweza kupona bila hata madhara ya hapo kwa hapo Katika baadhi ya wagonjwa, maambukizi ya homa kali ya ini aina B au C yanaweza kusababisha maambukizi sugu na kusababisha kovu, ini kushindwa kufanya kazi au hata saratani. Homa kali ya ini inakuwa mbaya zaidi kwa watu wazima kuliko watoto. Watu wazima huonesha zaidi dalili za ugonjwa kuliko watoto na madhara makubwa zaidi ya ugonjwa huo ni kwa watu wenye umri mkubwa.

Idadi kubwa ya watoto huwa hawaoneshi kabisa dalili na ni wachache sana ambao Ngozi na macho hubadilika rangi na kuwa manjano. Inaweza ikaisha haraka bila matibabu au huduma maalum, lakini kuna wakati inaweza kusabaisha ini kushindwa kufanya kazi au kifo. Kunawa mikono kunaweza kuepusha mtoto kuambukizwa homa ya ini aina A na E.

Iwapo una hofu ya kwamba mtoto wako ana dalili za homa kali ya ini, tafadhali onana na daktari ili upate ushauri wa jinsi ya kumpatia mtoto wako huduma anayohitaji. Kwa ushauri na tiba tuwasiliane WhatsApp au piga+255788357263

14/11/2023

Homa ya ini hepatitis b, au Ugonjwa wa manjano soma makala zetu za Bantu care na Kisha ufahamu dalili, kujikinga na tiba tuwasiliane kwa ushauri na tiba+255788357263

14/11/2023

Dalili za Ugonjwa wa homa ya ini

14/11/2023

Homa ya ini ( hepatitis b) ni Ugonjwa hatari Sana unaosababishwa na virus HBv ,unaenezwa kupitia damu au maji maji ya shahawa ,au jasho Ugonjwa huu upo katika hali mbili ya kawaida na hatari, mara nyingi ikifika hali ngumu ni vigumu pia kupata Tiba japo kwa Imani pia watu wapo wanapona kwa kutumia dawa mbali mbali ,

Ugonjwa huu kwa tafti za Bantu care wataalamu wa magonjwa sugu imekuwa ikisaidia watu kupona licha ya dawa zake kuwa chungu Sana kwa watumiaji lakini zimekuwa zikito suluhu ya Ugonjwa huu wa ini hatua za matibabu yake ni siku 3 unatumia dawa na baada ya hapo unatumia dawa kwa siku 21 Hadi 28 , unaweza kwenda kupima kujiridhisha kuwa umepona au laa , dawa zipo ni kuzingatia tu zinasaidia na mungu anasaidia kupona kabisa

Karibu Sana kwa ushauri na tiba+255788357263

25/10/2023

NARA matumbo

Karibu Bantu care
Tumia NARA dawa ya kutibu tumbo la aina yeyote , dawa hii ni pakeji mbili Moja dawa ya mfumo wa maji na unga ,

Dawa ya mfumo wa maji yaani Kimiminika imeandaliwa kwa mimea kitaalamu mimea Saba na kupikwa kitaalamu zaidi muhimu kwajili ya kutibu tumbo sugu iwe madonda tumbo, iwe sababu ya ini kuanza kufeli na kusababisha maumivu ya tumbo , ngiri,chango, menseteric ischemia, allergy ya ukila baadhi ya vyakula unaumwa tumbo na kujaa gesi na maumivu makali ya tumbo ,tumbo la uzazi kwa wanawake ,tumbo la minyoo ,

MATUMIZI YAKE DAWA
Kunywa Kila baada ya masaa manne ,ml 300 au kikombe kimoja Kila siku mfululizo ndani ya siku tatu

KAZI YA DAWA
inatibu madonda tumbo na kukausha Kila aina ya kidonda mwilini ndani na nje

Inatibu tumbo kujaa gesi
Inatibu tumbo kuunguruma
Inatibu minyoo sugu na ukianza kutumia utaona konyesi chenye minyoo
Inatibu kiungulia au chemba moyo
Inatibu ugumu wa haja na kuwa haja ya kawaida
Inatibu aleji ya vyakula

Baada ya kutumia dawa hata k**a kila ukichanganya baadhi ya vyakula unavimbiwa na kutoa harufu k**a kinyesi Cha gesi mdomoni utapona na hautasikia na utakula vyakula mchanganyiko bila kukupatia shida yeyote ya tumbo , hautavimbiwa Wala kuvurugika kwa tumbo ,dawa hii kiboko ya tumbo wengi walioitumia wanakaa zaidi ya miaka 10 bila kusikia hali mbaya ya tumbo na wengi Huwa wanapenda baada ya miaka 5 kuitafta na kunywa

Karibu Sana Bantu care
Tumia hii dawa hata k**a una usumbufu Gani wa tumbo baada ya ndani ya week Moja utatoa shuhuda kwa wenzio siyo kwetu

Tuwasiliane WhatsApp au kawaida 0788357263

25/10/2023

PARA uzazi

Karibu Bantu care,
Tumia para uzazi dawa Kali ya uwezo mkubwa katika kurekebisha hali ya uzazi na kuwa mzazi

MATUMIZI YAKEdawa inatumika mara Moja tu kunywa kwenye uji siku Moja tu , asubuhi kabla haujapata chakula au maji kunywa

Dawa hii inachanganywa na unga wa kukorogea uji kijiko kimoja Cha unga wa kukorogea uji na kijiko kimoja Cha dawa Kisha kuchanganywa pamoja na kukoroga uji kwa kutumia mwiko, hakikisha uji inaiva na utakuwa na rangi ya dawa brown 🟤

KAZI YA DAWA
inapevusha mayai
Inasawazisha homon
Inatibu chango la uzazi ,hata k**a unaumia sana ukiwa siku za hedhi itakuwa mwisho
Uchungu siku ya kujifungua utajifungua bila maumivu makali inaweka sawa hali ya mfumo wa uzazi

Inasaidia kutungwa kwa mimba
Hata k**a una uzazi uliozunguka mgongo inausawazisha,. Shuhuda kwa akina mama waliokosa uzazi muda mrefu nakuambiwa umbile la kizazi haliwezi kukufanya uwe mzazi lakini walipata na kujifungua , dawa hii ni ya enzi na enzi na urithi wa kizamani Zaidi kikubwa fuata maelekezo maalumu ukipewa haicheleweshi

Kwa mwanamke mwenye homoni nyingi za kiume kiasi kwamba ni ngumu kupata ujauzito, K**a ana dalili zifuatazo , anaumbo la kiume, ana ndevu ,ana manyoya mwilini, Hana chuchu (maziwa) ukishamgundua au kujigundua tunaomba ushirkiano wako katika maelezo upate Tiba Kamili na utapata ujauzito

Karibu Sana Bantu care huduma zetu zinatolewa ,popote ulipo na baadhi ya mikoa tuna mawakala na tupo tayari kufika ulipo kukurogea uji wa dawa kwa mtu aliye na uchu wa kupata mtoto unaweza request tunakufikia tunakukorogea uji wa dawa na huduma zaidi ya kitabibu , kwa mikoa tuliyo na uwezo kukufikia tuna kufikia na kutoa huduma ,

GHARAMA ZA DAWA NA HUDUMA
Huduma hii kwa awali unahudumiwa kwa kulipia pesa ya dawa ,Kisha baada ya kujifungua utalazimika kutoa shukrani kuanzia laki Moja

Bantu care
Sehemu ya uhakika katika Tiba asili
Karibu Sana kwa mawasiliano WhatsApp na kawaida 0788357263

25/10/2023

Safisha uzazi, Figo, UTI sugu, PID, dawa ya asili yenye uwezo wa kutibu na kukausha maradhi sugu ya mfumo wa uzazi, dozi yake ni siku 3 tu , inasafisha kizazi, magonjwa sugu ya kaswende, kisonono, ge***al wart's kuota vinyama sehemu za Siri kiboko yake , kwa wanaume wanaoteseka na magonjwa sugu ya mfumo wa uzazi anatibu lakini Bado unawashwa kwenye mirija ya uume unaambiwa UTI sugu mara gonjwa la zinaa unachoma sindano Bado lipo au baada ya kutulia kidogo hali inajiludia tumia hii dawa haitarudi hali hiyo , kumbuka magonjwa ya zinaa unaweza tumia sindano Kali lakini ni ngumu kupona kwani vimelea vyake ni aina ya virus kwa magonjwa mengi ya zinaa , tumia dawa asili Tangu wazee wetu walikua wakiugua wanatumia siku tatu tu umepona , kumbuka pia kuugua zinaa kwa muda mrefu ni kusababisha ugumba , tuwasiliane WhatsApp number 0788357263 kupata dawa kwa 25000 umalize tatizo

25/10/2023

Safisha uzazi,Figo , nzuri sana kwa mwenye PID sugu, fungus, magonjwa ya zinaa , mgumba. Unatatizo la kushika mimba zinaharibika , umeshindwa kubeba ujauzito kwa muda mrefu tumia Bantu cleanser Kisha tumia para za kupevusha mayai hauchelewi kupata ujauzito, pia kwa wanaume wanaoteseka na magonjwa ya zinaa k**a ge***al wart's, kaswende, kisonono, fungus sugu , kuwashwa kwenye mirija ya uume ,ukitumia dawa tatzo Lina jirudia tumia Bantu cleanser kusafisha dawa hii inapatikana kwa elf25 tu , tuwasiliane WhatsApp 0788357263

25/10/2023

Tumia full doze ya kunywa na insert ilikundoa PID sugu, bantu cleanser ya kunywa inasafisha kizazi

Want your practice to be the top-listed Clinic in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Ugonjwa wa Safura ni ugonjwa ambao huwapata watu wengi hasa watoto wadogo.CHANZO CHA UGONJWA WA SAFURA– Ugonjwa wa Safur...

Category

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Medical Supplies in Dar es Salaam (show all)
jonstv_ jonstv_
Dar Es Salaam

MKONGO ORIGINAL KWA BEI CHEEE 0672 733 759

Arwa Pharmacy Arwa Pharmacy
Ground Floor, Shop No. 2 Benjamin William Mkapa Parking Towers, Jamhuri Street P. O. Box 4231, Dar Es Salaam, Tanzania Location Map: Https://g. Page/ArwaPharmacy GPS Coordinates:/6. 8156922, 39. 28703
Dar Es Salaam, 11104

We are a family-owned business, located in the heart of Ilala Central Business District (CBD), Dar Es

Omynasma Omynasma
Dar Es Salaam

Luu Medics Pugu Kinyamwezi Luu Medics Pugu Kinyamwezi
349C+664, Unnamed Road, At Kinyamwezi Bus Stop Puga
Dar Es Salaam, 12101

Tunatoa huduma za utoaji wa dawa,ufuatiliaji na matumizi ya dawa, ushauri kwa wagonjwa, uhifadhi na

Medtech Supplies Medtech Supplies
Chagga Street
Dar Es Salaam

Dealers in home and office use medical devices and accessories

smartbangoz smartbangoz
Dar Es Salaam

�Nick product unapata dawa zote za kuongeza nguvu za kiume , �PIA KWA MATIBABU ASILIA NA MATIBA

Saratani KANSA Saratani KANSA
UBUNGO
Dar Es Salaam

Dawa za kansa au saratani na masharti yake

Azza pharmaceutical-T LTD Azza pharmaceutical-T LTD
Chamazi Temeke Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 00000

AZZA pharmaceutical company is responsible company for importation of medicine and medical divice

Yebi Health Yebi Health
Dar Es Salaam, 14112

We aggregate suppliers of medicines and medical devices and enhance transactions amongst stakeholders. Tunaruhusu wadau wa afya kuuza madawa na vifaa tiba kwa jumla na rejareja mt...

Medline Tanzania Limited Medline Tanzania Limited
Magomeni Mapipa/idrisa Street
Dar Es Salaam

Dealers in Hospital, hotels,restaurants,security,school and colleges uniforms

Gifty Phones Kariakoo Gifty Phones Kariakoo
43061
Dar Es Salaam

Gifty Phones Kariakoo

STATS General Solutions Limited STATS General Solutions Limited
PO Box
Dar Es Salaam, 77422

STATS is an adaptive intelligence driven organization and strive to put customers with the high-tech