Prophet Clear Malisa

To change People Destiny through Knowledge, prophecy, and healing

16/10/2023

Nafikiri Imeeleweka...?

14/10/2023

KARIBU KWENYE JUMAPILI KUBWA YA UWEKEZAJI..! Ni Siku pekee inatukutanisha wote Ili kupokea neema na Hekima itokayo juu, ya kutusaidia katika miradi tuifanyayo! Karibu mwekezaji, Mfanyabiashara na mfanyakazi hii ni siku maalumu imetegwa kwaajili yako...!

Ibada Hii Itaambatana na kumiminiwa mafuta ya kifalme...USIKOSE.

08/10/2023

HII ITAKUSAIDIA KUIJUA HATIMA NA KUSUDI LA KUUMBWA KWAKO.

Watu wengi wanafikili ukiwa na mojawapo ya huduma tano za Yesu Kristo, Iwe ni mtume, nabii, mchungaji, mwalimu au mwinjilisti, Basi utumishi wao unaishia ndani ya kuta nne za kanisa...! Lakini si hivyo tu, kuna uwanja mpana zaidi ya huo, ambao Mungu anataka utumike...!

Biblia Inasema kwa habari ya Daudi, alikua ni nabii asiyekua na kanisa.
(A Prophet in politics)

Matendo 2:29-30
Waume, ndugu zangu, mniwie radhi, niseme kwa ujasiri mbele yenu habari za baba yetu mkuu, Daudi, ya kuwa alifariki akazikwa, na kaburi lake liko kwetu hata leo. Basi kwa kuwa ni nabii, akijua ya kuwa Mungu amemwapia kwa kiapo, ya kwamba katika uzao wa viuno vyake atamketisha mmoja katika kiti chake cha enzi;

Kwaiyo Mtu anaweza kuwa Nabii kwenye siasa, k**a alivyokua baba yetu Daudi, Au Mtume kwenye biashara, Muinjilist kwenye Elimu n.k

Tunamuona Mtu wa Mungu, Yusufu hakuwahi kuombea mtu, kushusha moto k**a eliya, Alikua ni nabii aliyeonekana akitafsiri ndoto...na baadae kuwa kiongozi mkubwa katika Taifa la ugenini(Misri), Mungu alimtumia kuachilia Hekima iliyotumika kuitoa dunia katika Janga la Njaa.

USIKU WA LEO, NAKUOMBEA INUKA UKAWE MTUME KWENYE BIASHARA, MUNGU AKAKUTUMIE KWA STAILI AMBAYO HAIJAWAHI ONEKANA KWENYE KIZAZI ICHI.

(Kulipata somo hili, nenda katazame ibada ya pili, ya jumapili ya leo kwenye account yangu ya YouTube)

04/10/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECIES
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

Endelea Kuwa na Ushirikiano na Nabii wa Hatima:
Stay Connected with Prophet of Destiny:
+255 745 801 111 (WhatsApp and normal calls )
Instagram: https://instagram.com/prophetclearmalisa?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Facebook: https://www.facebook.com/Kingdomembassytanzania
TikTok: https://www.tiktok.com/?_t=8dg809hFNIr&_r=1

03/10/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY

01/10/2023

KUHUSU UNABII WA AJALI YA MOTO ULIOTOKEA LEO TAREHE 1/October 2023.

Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa Kunipa neno hili, na kuniamini niwe saauti ya Hatima katika nchi hii, Na Pili niwape pole wahanga wa tukio hili la kusikitisha.

Nachoweza Kusema TUKIO HILI ILIBIDI LIWE NA MAAFA MAKUBWA YA WATU KUPOTEZA UHAI, AMBAPO KWA REHEMA ZA MUNGU AMEEPUSHA KWA SEHEMU KUBWA NA HAKUNA ALIYEDHULIKA IVYO MPAKA SASA, Na Ifahamike hii ni baada ya kuliombea.

Jambo hili Mungu aliniruhusu niliseme jumapili iliyopita ya tarehe 24 September 2023, wakati wa Ibada ya pili, tukiwa live kupitia wasafifm, wasafitv na ebonyfm. NA LEO TAREHE 1/October limetimia.

SIFURAHI KWAKUA UNABII UMETIA, NAFURAHI KWA KUA MUNGU BADO ANA SEMA NA WATU WAKE ATA SASA.
WAKATI WOWOTE MUNGU ANENAPO MWENYE HEKIMA HUSIKIA, NA KULIFANYIA KAZI.

27/09/2023

SOLOMON CLUB SEASON ONE
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

Endelea Kuwa na Ushirikiano na Nabii wa Hatima:
Stay Connected with Prophet of Destiny:
+255 745 801 111 (WhatsApp and normal calls )
Instagram: https://instagram.com/prophetclearmalisa?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Facebook: https://www.facebook.com/Kingdomembassytanzania
TikTok: https://www.tiktok.com/?_t=8dg809hFNIr&_r=1

26/09/2023

25/09/2023

Last NPP was on fire...🔥🔥! USIKOSE CLUB YA KING SOLOMON WEEK HII.

24/09/2023

HOLY COMMUNION

23/09/2023

JUMAPILI KUBWA PEKEE...//BIG SUNDAY.
Ni ufunuo wa Ajabu, I can't wait to minister to you siku ya kesho.

Kesho ni Siku ya UFUNUO WA DAMU// REVELATION OF BLOOD...! wahi mapema ushiriki Ibada hii kubwa ndani ya Jumapili kubwa, Itakayo ambatana na kunywa Damu ya Yesu. Karibu ukutane na YESU MKOMBOZI//JESUS THE SAVIOR.

👉Ibada ya Kwanza: Saa 12:00- Saa 1:45asubuhi [English service]
👉Ibada ya Pili : Saa 2:00 asubuhi- Saa 5:30
👉Ibada ya tatu: Saa 6:00 mchana- Saa 10:00 jioni.

22/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

Endelea Kuwa na Ushirikiano na Nabii wa Hatima:
Stay Connected with Prophet of Destiny:
+255 745 801 111 (WhatsApp and normal calls )
Instagram: https://instagram.com/prophetclearmalisa?igshid=MzRlODBiNWFlZA==
Facebook: https://www.facebook.com/Kingdomembassytanzania
TikTok: https://www.tiktok.com/?_t=8dg809hFNIr&_r=1

21/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

20/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

20/09/2023

🔴LIVE:THE BEAUTY OF GOD - With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

19/09/2023
19/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

19/09/2023

Jana kwenye usiku wa Malaika, Ilikuwa hatari fire 🔥🔥 MAOMBI NA UNABII wa kila siku, kumejaa Shuhuda na matendo makuu ya Mungu aliye.
USIKOSE KUSHIRIKI TENA PROGRAM HII YA PRAYERS AND PROPHECIES JIONI YA LEO.

18/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

18/09/2023

IVI NI KWELI TUNDA LA ROHO NI MOJA?

15/09/2023

THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY
With Oracle of God
👉Sow Your Seed Through;
World remit, AIRTEL MONEY NO: +255 684 343 008
Share The Broadcast.

15/09/2023

BE AWARE...! Tafadhali, fahamu hili...Namba hii ya +255715070135, HAIPO TENA CHINI YA PROPHET MALISA, WALA HAITUMIKI KWAAJILI YA HUDUMA...ZA KIROHO, ZITOLEWAZO NA PROPHET, HIVYO K**A BADO UNAYO, UNATAKIWA KUI-BLOCK NA DELETE. EPUKA KUTAPELIWA USITUME MAOMBI WALA SADAKA, USIRUBUNIWE KWA KUWEKEWA PICHA YA NABII.

BADALA YAKE TUMIA +255622070135.

UKIPATA UJUMBE HUU, MTAARIFU NA MWINGINE. ASANTE

10/09/2023

Biblia Inasema, AMHURUMIAYE MASKINI HUMKOPESHA BWANA, NAE ATAMLIPA KWA TENDO LAKE JEMA. [Mithali 19:17].

Usiache kutenda Mema, usiache kua mtu mwema, Maana Yesu amebakiza watu wema wa chache chini ya Jua.

Mathayo 25:42-45
kwa maana nalikuwa na njaa, msinipe chakula; nalikuwa na kiu, msininyweshe.
nalikuwa mgeni, msinikaribishe; nalikuwa uchi, msinivike; nalikuwa mgonjwa, na kifungoni, msije kunitazama.Ndipo hao pia watajibu, wakisema, Bwana, ni lini tulipokuona wewe una njaa, au una kiu, au u mgeni, au u uchi, au u mgonjwa, au u kifungoni, tusikuhudumie?. Naye atawajibu, akisema, Amin, nawaambia, Kadiri msivyomtendea mmojawapo wa hao walio wadogo, hamkunitendea mimi.

01/09/2023

KAA TAYARI....🔥🔥

26/08/2023

Nikupe Pole kwanza, K**a ulikosa Kongamano siku ya Jana....! Hakika mambo yalikua ni hatari fire..🔥🔥, Maana Yesu aliamua kuwavusha watu wake na familia zao...! Uponyaji wa kutisha wa papo kwa papo, Prophetic touch za unabii was not just prophesy, It was life transforming moment. Kwa kifupi k**a ulikosa siwezi kukuficha umekosa kitu kikubwa, na ukizingatia ulikua ni uponyaji wa familia.

Nilichopenda zaidi wakati watu wanamiminiwa mafuta ya Hatma na kibali, ndipo neno la Bwana likafunuliwa kwa kinywa cha nabii kusema; NI MAJIRA YA WATU KUVIKWA UWEZA WA MUNGU.

Ukiona mtu anapotea na kupoteza alivyonavyo, au akipoteza kusudi la Mungu kwenye maisha yake , na kushindwa kufikia malengo yake, na wengine kukata tamaa ya kuishi na kufanikiwa, ni dalili ya kwamba mtu huyu haujui na wala hajavikwa UWEZA WA MUNGU.

Neno la Mungu linasema katika kitabu;
Mathayo 22:29
Yesu akajibu, akawaambia, Mwapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.

Haya ni Majira ya kuto kupotea tena, Ni majira ya KUVIKWA UWEZA WA MUNGU. Ni jumapili ya kesho pekee utaenda kuvikwa uweza wa Mungu, na kupokea neema ya kuwa Mtu wa Tofauti. Ibada hii itaambatana na kula asali ya madhabahuni.
USIKUBALI KUPITWA TENA, USIKOSE, WALA KUPUUZIA IBADA HII, NI MUHIMU KWAKO NA FAMILIA YAKO.

23/08/2023

K**ata Hii....👇👇🔥

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Nafikiri Imeeleweka...?
KARIBU KWENYE JUMAPILI KUBWA YA UWEKEZAJI..! Ni Siku pekee inatukutanisha wote Ili kupokea neema na Hekima itokayo juu, ...
THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECIES
🔴LIVE 03.OCT.2023 || THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY- Prophet Clear Malisa
KUHUSU UNABII WA AJALI YA MOTO ULIOTOKEA LEO TAREHE 1/October 2023.Kwanza nianze kwa kumshukuru Mungu kwa Kunipa neno hi...
🔴LIVE 27 SEPT 2023: SOLOMON CLUB SEASON ONE - Prophet Clear Malisa
THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECIES - Prophet Clear Malisa
Last NPP was on fire...🔥🔥! USIKOSE CLUB YA KING SOLOMON WEEK HII.
🔴LIVE: THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECIES - Prophet Clear Malisa
🔴LIVE: HOLY COMMUNION  - Prophet Clear Malisa
JUMAPILI KUBWA PEKEE...//BIG SUNDAY.Ni ufunuo wa Ajabu, I can't wait to minister to you siku ya kesho.Kesho ni Siku ya U...
🔴LIVE: THE NIGHT OF PRAYER AND PROPHECY - Prophet Clear Malisa

Category

Telephone

Website

Address

Kibangu , Ubungo
Dar Es Salaam
Other Public Figures in Dar es Salaam (show all)
Akhenaton Family Akhenaton Family
P. O. Box, KGN, Dsm
Dar Es Salaam, 36402

...the new breed!

MUSTAFA HASSANALI MUSTAFA HASSANALI
Dar Es Salaam

Pan African Designer, Mustafa Hassanali has showcased in 33 cities in 23 Countries & named One of Af

Ramsey's official tz Othman Ramsey's official tz Othman
Kauli Moja 1 Camp
Dar Es Salaam, 0000

Blog

ipende_ngozi_yako ipende_ngozi_yako
Dar Es Salaam

Tunauza vipodozi asili za ngozi na nywele

Michael Clement Michael Clement
Dar Es Salaam

#never give up never surrender

CayteAkaro Talents Owner CayteAkaro Talents Owner
Ilala
Dar Es Salaam, 0000

Her Own🎂 31.12. LL.B Jurist ⚖️👩‍⚖️🇹🇿 #Artist #HairStylist #Cook #Politician #Decorator

Sady King Sady King
Dar Es Salaam

Dee Ommy Dee Ommy
Dar Es Salaam

Dee ommy

Mo Dewiji Mo Dewiji
Posta
Dar Es Salaam, 255

Oficial Man Plate Oficial Man Plate
Dar Es Salaam

Emerging entrepreneur from Tabora Tanzania @Power brand Shop ||Chief Executive Officer (CEO) .

Fatty_the_killer Fatty_the_killer
Gongo La Mboto
Dar Es Salaam

mtu anaekupenda kwa dhati lazima akuhurumie maana mapenzi ya dhati na HURUMA huishi pamoja

Pst Brian Mwimba Pst Brian Mwimba
Dar Es Salaam, 828282