Tanzania Fans
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania Fans, Comedian, Dar es Salaam.
https://youtu.be/IfV3d2lOdcs?si=CSQ09ISE1TMCvClf
Gusa hapo kwenye link Tumsikiye Huyu Mbwa makalio
Mwanamziki kutoka BURUNDI Kafunza kitu kupitia Wimbo wake Ulio upa jina la Hivi Kuimba kumbe Huwa kuna Ndoto Please Gusa link Ili kumsapoti Kijana Huyu ๐๐๐๐ฅ๐ฅ๐ฅ
https://youtu.be/IfV3d2lOdcs?si=CSQ09ISE1TMCvClf
HUYU JAMA ANAJIPENDA KWER๐ง
REPOST FROM Nimesha maliza majukumu yangu ya kufanya show sehemu mbali mbali sasa ni wakati wakuanza kwenda kutoa kazi maana naona mashabiki zangu mme miss sana kazi zangu nipeni week moja ya mapumziko ili nikatulize kwanza mwili nikazagamue kidogo niweke mwili sawa mbwa mimi๐๐ alafu nikishakua fiti nianze kuachia makombola nadhani balaa langu mnalijua siwezi kuwaangusha maana naona kwenye comedy nimebaki peke yangu wengine wanaogopa wameamua kujiita waigizaji pumbavu zao kuchekesha sio rahisi nyie ohooo ๐๐๐๐๐
Parimatch Jackpot! Kwa Buku tu unashinda TZS 100,000,000 .co.tz
๐ฅBashiri kwa usahihi kuanzia mechi 8 upate bonus za mamilioni
๐ฑTembelea parimatch.co.tz kucheza Parimatch Jackpot leo
Account hiyi kuanzia sasa haipo kwa Support ya Kicheche Tuikuze zaid sanaa ya TZ hasa New GENERATION
WATU WANGU WA KENYA NITAKUWEPO NAIROBI HAPO TAREHE 9/09/2023 NDANI YA NAIROBI-KIAMBU ROAD (RED CIRCUIT PLACE LIMITED) ,, TUKUTANE KWA WINGI TUFURAHI KWA PAMOJA
๐๐
Watu wangu wa Muyinga nipo hapo tarehe 25/08 ndani ya Lacasa Hotel Najuwa mta injoy ๐โ
Capitaines Huguettte kan feat Kicheche
WATU WA KALEMIE POLENI SANA KWA KILICHO TOKEA SIKU YA JUMA PILI,, SABABU YA KUTOKUFIKA KWENYE SHOW NI KUTOKANA NA MAANDALIZI MABOVU YA MTU ALIETULETA,, NA KUKIUKA MAKUBALIANO YA MKATABA WETU,, HIVYO IKANIBIDI NISIFIKE KWENYE SHOW,, TAARIFA ZOZOTE ZINAZO SAMBAZWA JUU YA KUNICHAFUA ZIPUUZENI HAZINA UKWELI WOWOTE,, MAKOSA SIO YA KWANGU BALI MAKOSA NI YA ALIE ANDAA SHOW,, ASANTENI NA NAWAPENDA SANA
Niko na kicheche Kipara ๐คฃ๐คฃ Rumonge Jama yangu kafanya vyema kwenye Stage alipo jaribu kutumia Sauti yangu ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ
Rumonge niko hapa leo,, tukutane Beach tucheke pamoja ๐ฅ๐ฅ NATAKA NIONE WENYE MITURINGA ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Nipo Burundi๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ
Bujumbura niko nakuja Burundi nitaongea na waandishi wa habari asubuhi,
wasio penda niishi ndo wengi ๐ค
Watu wa BURUNDIIIII ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ wanangu wa Ngayamba kanyengoko Iteba Nakuja Le05-8-2023 ๐๐๐ mbwaa mzagamuwo
KUNA TAARIFA ZA UONGO AMBAZO ZINA SAMBAA KWENYE PAGE MBALI MBALI FACEBOOK ZINAZO TUMIA JINA LANGU, NAOMBA KUWATOA HOFU MASHABIKI ZANGU, HAKUNA KITU KIBAYA KILICHO TOKEA,
JANA NIMEFANYA SHOW NZURI MJINI GOMA NA WATU WALII ITIKIA NA WALI FURAHI NA MAANDALIZI YALIKUA SAFI, HIZO HABARI ZENGINE ZI PUUZWE SIKU POST MIMI TUKUTANE BUKAVU TAREHE 29/7/2023
ANOTHER RECORD ,, CONGO - GOMA ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ Asanteni sana kwa upendo wenu ๐๐ป๐๐ป๐๐ป
๐๐
WAMENIPA MELI NIENDESHE NILIVYO CHENGA SASA NGOJA NIKAWATUPE BAARINI PUMBAVU ZAO๐๐๐๐
Nipo na manager wangu namkubali sana mbwa manager pumbavu zake ๐๐๐๐
Rumonge๐๐ฝLe05-8-2023
Tourist Town Beach ๐ด
* Rumonge*
Mbwaa sisi
aujourd'hui c'est notre jour
๐๐
Vailet atarudi Tanzania kwa sababu hayupo vizuri ki Afya hivyo show zilizo baki nitakua na parfom mwenewe๐๐ nita kumiss sana kipenzi changu๐ซ๐ซ๐ซ mimi makoti bado nipo nipo kwanza k**a mwaka mmoja hivi
Watu wa BURUNDIIIII ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ hivi mnazani mimi naweza kuka CONGO Bila kufika BURUNDI ๐คฃ๐คฃ MBWA MIMI NAKUJA RUMONGE Pande TBT BEACH
KIJANA KUTOKA NCHINI CONGO๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ AMENIPATIA ZAWADI YA PICHA ALIO NICHORA HII INAONESHA KUWA WATU WA CONGO WANAUPENDO MKUBWA SANA KWANGU NASHUKURU SANA MUNGU ANENDELEE KUKIKUZA KIPAJI CHA KIJANA WETU ๐๐
King of new Generation
Watu wa Goma Bwana makoti nakuja mbwa mimi huko ni nyumbani kwetu Mlijuwe hilo
Uvira ๐จ๐ฉ Jambo Yenu๐คญ
Asanteni sana watu wa UVIRA CONGO ๐จ๐ฉ๐จ๐ฉ
Hili Bus la wapi Nduguzangu
KILICHO NITOKEA CONGO MJINI BARAKA SIO TATIZO LA WA CONGO MAN BALI NI TATIZO LA MAANDALIZI MABOVU YALIYO FANYWA NA PROMOTAS WA SHOW KWA KUANDAA STAJ MBOVU MZIKI MBOVU HIVYO KUPELEKEA WATU KUTO NISIKIA NA KUANZISHA FUJO LAITI K**A WATU WA BARAKA WANGEKUA HAWANIPENDI WASINGE RUHUSU NIINGIE MJINI KWAO ILA WALINIPOKEA KIFALME NA KWA UPENDO WA KUTOSHA NAPIA NAOMBA NITUMIE NAFASI HII KUWAOMBA LADHI WATU WA MISISI SITOKUJA KWENU KWA SABABU ZILIZOPO CHINI YA UWEZO WANGU ASANTENI SANA NAWAPENDA SANA TUKUTANE UVIRA ๐๐
Burundi Bujumbura ๐๐โค๏ธ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ
BURUNDI ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ๐ง๐ฎ ๐๐๐
BURUNDI ๐ง๐ฎ vibes
Bukavu get ready ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
๐๐
King of new generation ๐ง๐ฎ
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Telephone
Address
RN3
Dar Es Salaam
๏ฟฝCheka kwa sauti ๏ฟฝuongeze siku za maisha yako usisahau ku subscribe ku like na ku comment ili upate taarifa zote mpya... ๏ฟฝ๏ฟฝ๏ฟฝ
Dar Es Salaam
Ukurasa maalumu wa mchekeshaji kutoka Daresalaam, Tanzania, SHOGEM BAKAR. ๐ฒ +255629494322