Afya na Muonekano 2017

Ukurasa huu ni kwa ajili ya kushare hbr na bidhaa kwa ajili ya kuboresha afya ya mwili na akili.
#K

05/07/2022

Tuwajali wazazi kwa kuwasaidia kuwa na afya njema ya joints

20/05/2020

3VITAMINS BEST FOR BOOSTING BODY IMMUNITY
: Is one of the biggest Immune system Booster of all. Unfortunately our bodies don't produce or store it. Vitamin C be taken daily.
: Supports biochemical reactions in the Immune system. Food rich in Bit.B6 include chicken, green vegetables and cold water fish like Salmon and tuna.
: Powerful antioxidant that helps body fight off infections. Food rich in Vit.E include nuts,seeds and spinach.
*Build a strong Immune system by maintaining over time.
*Stay hydrated to boost Your Immune system.

13/05/2020

**"IMMUNO THERAPY" CHANJO YA VIRUSI KWA SASA.**
*Immuno therapy inatengenezwa na chembechembe nyeupe za damu(White blood cells), ogani na tishu za mfumo wa Kinga ya mwili (Immune system cells/lymphocytes).
*Kwa kifupi, White blood cells ndo askari wa mwili ambao wakati wote, wako vitani kupigana na Virusi, bacteria na mashambulio mengine ya mwili. Ili usishambuliwe na maradhi kwa urahisi Kinga ya mwili wako (white blood cells/maaskari) inatakiwa kuwa imara wakati wote 💪

yanayopunguza Kinga ya mwili:
🔴Uchovu (fatigue). 🔴Kileo (alcohol)
🔴Mfadhaiko/msongo (stress)
🔴Matibabu (medication)💉💊
🔴Kula vibaya (Poor nutrition)********
🔴Viral infections & autoimmune disorders nk

Kinga ya mwili fanya yafuatayo:
Kula kwa wingi vyakula vyenye , , , , , , , (Selenium). Pia fanya mazoezi, kunywa maji ya kutosha, lala usingizi wa kutosha, punguza stress, punguza uzito unaozidi, punguza matumizi ya sukari za viwandani na punguza mafuta mabaya mwilini.

💪💪💪💪💪💪💪💪

Photos from Afya na Muonekano 2017's post 02/04/2020

BORESHA KINGA YA MWILI
Zaidi ya 50%ya Kinga ya mwili wa binadamu inatokana na mfumo wa mmeng'enyo wa chakula hivyo ni muhimu kusafisha/kurekebisha mfumo huo mara kwa mara.
🤷 Tutumie Aloe Vera gel
*Kinywaji Cha kinarekebisha na kusafisha utumbo mwembamba na hivyo kuongeza uwezo wa kufyonzwa kwa virutubisho vizuri.
*Kinaboresha na kuongeza Kinga mwili
*Kinaupa mwili nguvu 💪 na stamina
*Hurekebisha matatizo yatokanayo na blood group
*Kurekebisha na kuweka uwiano wa hormones
*Inaimarisha mishipa ya damu na kuboresha mzunguko wa damu
*Huondoa sumu/ taka mwili kwenye mwili
*Ni natural antibiotic ina uwezo wa kupambana na bacteria, fangasi na virusi.
* Inasaidia watu wanaokosa choo
*Inasaidia watu wenye allergyInawasaidia wenye ganzi
*Inaondoa vivimbe
*Inawasaidia watu wenye vidonda vya tumbo nk.
* Ni nzuri kwa ngozi, viungo na mifuta

Kwa order na maelezo zaidi andika neno KINGA- WhatsApp 0784 751553

31/03/2020

ZIFAHAMU GROUP (KUNDI) ZA DAMU PAMOJA NA AINA YA ULAJI NA TABIA ZAKE.
Kundi lako la damu linaweza kukufanya uwe dhaifu au imara katika kukabiliana na magonjwa fulani.Ni vema kujua kundi lako la damu sawa na ilivyo vema kujua mambo mengine yanayochangia kuwa na afya njema. Kujua kundi lako la damu Kunaweza kukuza uwezo wako wa kufahamu hatari zinazo kukabili kutokana na kundi la damu Ulilo nalo na kuepuka hatari hizo kwa kutumia mtindo wa maisha unaofaa.Hata hivyo, K**a vilivyo viungo vingine vya mwili, damu nayo ina changamoto ya kukumbana na maradhi mbalimbali, magonjwa yanayoathiri utendaji kazi wa damu yanaweza kugawanywa katika makundi k**a vile ya kurithi, kuambukiza, mabadiliko ya kimwili na saratani tofauti. Damu ya binadamu imegawanyika katika makundi makuu manne ambayo ni A, B, AB, na O, binadamu yeyote lazima awe na moja wapo ya makundi hayo.

GROUP- A(A+)
✔Hawa ni vegetarians. Yaani wala mboga mboga hasa za kijani. Pia wanahitaji sana mananasi na zabibu kwa wingi.
✔ Mara nyingi ni wale watu ambao hawaambiliki yaani wakiamua kitu wameamua mpaka wakitekeleze hata k**a ni kibaya.
✔ pia ni watu ambao ni wabishi sana au wabishani na hawakubali kushindwa hivi hivi.
✔Watu Wa kundi hili pia huwa wana changamoto ya kuwa na upungufu Wa acid mwilini hivyo hushindwa kuiprocess protini tumboni hasa itokanayo na nyama nyekundu.
✔Ni watu ambao hushambuliwa sana na saratani za mishipa ya fahamu,utumbo,mifuko ya mayai,mfuko wa kizazi na mlango wa uzazi kwa wanawake,kibofu cha mkojo,figo,kongosho na saratani ya kinywa, tezi za mate na umio.
✔Wana hatari pia ya kupatwa na magonjwa ya Moyo,kupata lehemu mbaya mwilini,kwenye Moyo,wako hatarini pia kupata kiharusi na ugonjwa Wa shinikizo la damu Wa Moyo.
☑Vyakula wanavyotakiwa kula kwa wingi ni mbogamboga za Majani na nyama nyeupe nyama nyekundu sio nzuri sana kwa watu hawa.
☑ Hawatakiwi kugusa kabisa au kutumia Mara kwa Mara vyakula hivi :-nyama nyekundu,ngano,machungwa,na maziwa.
☑ wakila ndizi,maembe na mapapai huwasababishia waamkapo asubuhi kutokwa na mak**asi kwa wingi.
☑ Watu wa kundi hili wanapenda sana wali na Mara nyingi ndio Chakula chao kikuu.
Hawatakiwi kugusa kabisa ngano na mahindi na endapo wakatumia vyakula hivi hasa kwa wanawake huwasababishia kupata hedhi Mara mbili kwa mwezi.

Tabia zao ni hizi hapa:-
👉​​​​​ni watu Wa gharama sana hasa wadada au wanawake.
👉​​​​​huishiwa au wanakuwa na upungufu Wa damu sana.
👉​​​​​ni wavivu nikiwa na maana hawawezi Kazi ngumu ngumu.
👉​​​​​Ni waongo sana na sio wadanganyifu,ni wakweli (they don't like cheating)
👉​​​​​ni wasiri sana.
👉​​​​​wanapenda kujifichajificha k**a ni usiku hupenda kukaa gizani sana.
👉​​​​​ni waaminifu sana na hapa Mara nyingi unawakuta Maafisa utumishi kwani hufuata sheria.
👉Ni watu ambao pia wanaumwa Mara kwa Mara, kutokana na upungufu wa mwilini.
👉Wanapenda kuwa wao wao.Ni watu ambao wanafanya maamuzi wakiwa pekeyao. 👉Sio wazurulaji(Anaweza jifungia ndani asubuh mpaka jioni na ukadhani hamna mtu). 👉Wakipenda wanapenda kweli. 👉Wanahitaji handle with care, tunapokuja kuongelea mahusiano. Wanadeka mnoo.
GROUP _B(B+)
✔Hili ni kundi la watu ambao ni wazungumzaji yaani ukiwapa nafasi ya kuzungumza ni k**a vile umekosea na hapa Mara nyingi unawapata watu k**a MCs, Wasanii, Radio presenters.
✔Ni watu ambao wana tabia zilizojitosheleza yaan wamekamilika.
✔ Wanapenda kuonekana ,hapa utawakuta waimbaji Na watangazaji.
✔Ni watu ambao husumbuliwa sana au wako hatarini kupata magonjwa k**a uvimbe Wa fizi,na pia wanawake walioko katika kundi hili wako hatarini kupata ugonjwa Wa kisukari aina ya pili.
✔ Mara nyingi ni watu ambao wakipata maambukizi ya virusi vya aina yoyote ile huwa machizi au vichaa kutokana na kwamba vinaenda kuharibu mfumo wake Wa fahamu, wana uwezo mkubwa kukabiliana na ugonjwa wa kipindupindu.
✔Wana hatari kubwa ya kupata saratani ya koo.
☑Watu Wa kundi hili hawashauriwi sana kula vyakula vya aina ya kuku(Mara nyingi wao wenyewe tu hawapendi kuku ingawa hawaruhusiwi kula),Karanga,korosho,na nyanya, hizi pia hawashautiwi kula. ✔Ni watu ambao wanaamini sana kupitia maamuzi yao binafsi. ✔Si rahisi kuingia katika project yeyote unless, umempa derails za kutosha kuhusiana na hiyo project. ✔Ni watu wa malengo, yuko radio kupambana kuhakikisha anapata matokeo.

GROUP- AB(AB+)
✔Hawa ni watu ambao Mara nyingi hawaeleweki yaani wana tabia za A na pia tabia za B wakati mwingine.
✔Kundi hili la Damu husadikika ni kundi linalopenda sana dini. Na mara nyingi washehe, mapadre, wachungaji utakuta wengi wapo kundi hili. ✔Ni wakarimu sana na wanapenda sana watu. ✔Hujitolea kwa ajili ya wengine. Mtu wa jamii hii anaweza kukupa kila kitu akabaki hana yeye. ✔Ni watu ambao wanaweza akaanzisha kitu asikimalizie ukakuta kaishia katikati halafu kaanzisha kingine.
✔Ni watu ambao wako hatarini Kupata magonjwa k**a kiharusi,dengue,magonjwa ya Moyo,shinikizo la Moyo,na lehemu kujaa kwenye mishipa ya damu.
✔Watu Wa kundi hili Mara nyingi wakifikia uzeeni uwezo wao Wa kufikiri hupungua kwa haraka.Lakini Mara nyingi kupungua kwa uwezo Wa kufikiri hutokana na magonjwa k**a shinikizo la Moyo,kisukari na lehemu kuwa nyingi sana mwilini.
✔ ni watu ambao wana uwezo mkubwa sana Wa kukabiliana na magonjwa yaani kinga yao ya mwili ni imara ukifananisha na makundi mengine yote ya damu. ✔Ni watu ambao wako na hasira za ndani kwa ndani sio rahisi kuexpose hasira zake ukamtambua kirahisi. ✔Hubadilika kulingana na mazngira(Hawana tofauti na vinyonga). ✔Wanasifa ya uongozi.

GROUP -O(0+)
✔Hawa ni watu ambao ni jeuri na kiburi na wanajiamini sana.
✔Wanasifa ya uongozi. Wanapenda kuongoza watu(They're Leaders). ✔Wazurulaji mono. ✔Wako very much Open minded. Yaani ni watu wa Kureason mambo. ✔Watu ambao ni wababe,wagumu, na wanafanya maamuzi yao pale wanapoamua na sio kulazimishwa. ✔watu ambao wana roho nzuri sana ila hawapendi uongo hivyo usije ukajaribu kuwadanganya hata siku moja.
✔Ni watu ambao wanaweza jihusisha na mahusiano zaidi ya moja na wakaona wako sawa. ✔Ni Watu ambao sio rahisi sana kupata shambulio la ghafla la Moyo k**a ilivyo kwa watu wenye makundi mengine ya damu.
✔Hawana kinga ya kutosha dhidi ya kipindupindu lakini wana kiasi fulani cha kinga dhidi ya Kifua Kikuu (TB), Malaria isiyo kali, saratani za kongosho, tumbo, matiti na mlango wa kizazi.
✔Ni rahisi kupata magonjwa ya maambukizi ya ngozi,na vidonda vya tumbo.Wanapata sana maumivu ya kiuno,magoti pamoja na mgongo.
✔Ni watu wasiopenda vitu vichachu kutokana na uwepo Wa acid kwa wingi mwilini mwao hivyo wanasumbuliwa sana na vidonda vya tumbo na huwa wanasumbuliwa sana na tatizo la choo (constipation) pamoja na kisukari.
✔Kundi hili pia hutokewa na mvi za mapema sana.
✔Kwa wanaume hapa ndipo unawakuta ambao wana mapaja yasiyolingana yaani moja kubwa lingine Dogo.

☑Hawatakiwi kula ngano na mahindi Mara kwa Mara au kutokula kabisa.
☑ Hawapaswi kabisa kugusa au kula machungwa,passions,ukwaju,maembe mabichi, zabibu nk na vyote vyenye acid.
☑Hawatakiwi kabisa kula ugali au wali,mahindi ya kuchoma au kukaanga au kupika hayawafai kabisa.
☑Wanaume walioko katika kundi hili wanahitaji protein kwa wingi kuliko wanawake kutokana na kuhitaji nguvu kwa sana katika shughuli zao na miili yao kwa ujumla.
☑Kwa wanaume wanatakiwa kula matunda sana k**a maembe,mananasi,ndizi,matikiti maji (ule na mbegu zake) hapa pia k**a ni tunda unakula lote mfano nanasi unalimaliza,papai unalimaliza,na pia matunda ya rangi moja kula kwa pamoja.
☑Ukitengeneza kitu k**a juice ya matunda unywe yote kwa wakati huo na sio kutengeneza ya wiki au siku kadhaa.
☑Vyakula vinavyowasaidia au wanavyohitaji sana mwilini ni matunda ,mboga za Majani,protein kwa wingi yaani nyama,maharage,mayai na maziwa.

*NB:Magonjwa mengi yanaweza kuepukwa kwa kuzingatia usafi wa mwili na mazingira, mlo kamili(kula kilingana na Uhitaji wa group lako la damu), kufanya mazoezi, kupunguza uzito uliozidi na kuepuka matumizi ya tumbaku, pombe pamoja na madawa..*

Photos from Afya na Muonekano 2017's post 17/12/2019

Ni msimu wa kuongeza thamani na kuwashangaza uwapendao na wakupendao kwa kuwapatia kilicho bora zaidi.
Tunaandaa zawadi kuanzia tshs 30,000/= kwa ajili ya , , , , , /mchumba, , , , nk.
Kwa maelezo zaidi bofya link hii 👉 https://chat.whatsapp.com/EOr7UDnrzXU50MgoywtndV au turn msg 0784 751553

16/06/2019

TUWAONGEZEE KINGA YA MIILI WATOTO WETU.
Takwimu zinaonesha watoto wengi chini ya miaka mitano barani Africa wanapungukiwa na Kinga mwili kwa sababu ya kutopata virutubisho(vitamins & minerals) vya kutosha na hivyo kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa ya mara kwa mara K**a mafua, kikohozi, homa nk kwa urahisi.
:
Tuwapatie Watoto Multivitamins

*Ni natural multivitamins yenye mchanganyiko wa matunda asilia na mboga mboga zaidi ya 20
*Inaongeza Kinga ya mwili
*Inaleta hamu ya Kula
*Inampa nguvu mtoto na mwonekano mzuri.
*Inalinda ngozi,
*Inaboresha macho, mfumo wa hewa, na mengine mengi.
Pia nzuri kwa watu wazima.
Kwa maelezo zaidi tupigie au WhatsApp text 0784751553

01/06/2019

! It all starts with intestines cleansing!💪Buy either C9 or F15, Get a free aloe vera juice.👌👌
For more information contact us through #0784751553

Photos from Afya na Muonekano 2017's post 13/10/2018

HELLO! Ladies and Gentlemen!
*Is Your Shampoo & Conditioner Causing you Hair Loss?*
Where as cleaning our hair is important, it is vital we check what we use on our hair & scalps. Our *Shampoo* is a moisture-rich formula, which is *Sulphate Free * that includes *Jojoba* which is amazing for *maintaining hair moisture* as we clean. See where as sulphates are effective they tend to remove😳😳 natural oils from hair. This leads to dry hair, which in turn breaks😢 very easily. Our *conditioner* helps to *put back moisture, with essential oils that soothe the sculp and nutriets that feed hair* ensuring *manageable, strengthened, full-bodied hair💪🏼* !!
Both of these two are PH Balanced, hence leaving the skin as natural as it should be. 💃🏼💃🏼
* For order contact us through 0784 751553

09/10/2018

ISHARA ZITAKAZOKUONESHA MWILI WAKO UNA MRUNDIKANO WA TAKA MWILI:-
1.Uchovu sugu
2.Maumivu ya maungio
3.Msongano puani
4.Kuumwa kichwa kila mara
5.Tumbo kujaa gesi
6.Kufunga choo au kupata choo kigumu
7.Kukosa utulivu
8.Matatizo mbalimbali ya Ngozi ikiwemo Chunusi
9.Pumzi mbaya
10.Mzunguko wa hedhi usio sawa
11.Kuishiwa Nguvu
12.Kupenda kula kula kila mara
13.Kushindwa kupungua uzito

K**a unazo kati ya ishara hizo hapo juu ni kiashiria kuwa mwili wako unahitaji kupunguziwa mrundikano wa taka mwili...

Na kwa maelezo zaidi na kujua nini cha kufanya weka namba yako hapa au Piga/WhatsApp 0784751553

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Tai Premises Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh