Soma Biblia
SOMA BIBLIA: NENO LA INJILI KWA RIKA ZOTE
Wasambazaji wa Biblia, vitabu vya Kikristo na vifaa vya madhabahuni. Please get in touch for more information.
Our main objective is to spread the Gospel of Jesus Christ in Kiswahili, by equipping the church through development, production and distribution of biblical sound and credible evangelical literature and material The broader purpose is to enable Christian to reach the people with the Gospel and educate them in the word of God – for faith and life. The Soma Biblia society was founded 1.1.2015 after
Bwana Yesu Asifiwe
Jumapili tarehe 08/09/2024
Huduma ya Vitabu Kanisani
www.somabiblia.or.tz
Bwana Yesu Asifiwe
Bonyeza link kujiunga na Soma Biblia Kila Siku mwezi wa September
Soma Biblia Kila Siku 09/2024 Soma Biblia Kila Siku 09/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Tisa pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Mathayo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
Bwana Yesu Asifiwe!
Jumapili hii 01/09/2024
Soma Biblia tutakuwepo
ARUSHA
KKKT Usharika wa Ngateu
KKKT Mtaa wa Azimio
KKKT Mtaa wa Natema
www.somabiblia.or.tz
Huduma ya Vitabu Kanisani
Jumapili Tar: 25.08.2024
TUTAKUWEPO
DAR ES SALAAM:
Pentecost Church (DPC)
IRINGA:
KKKT KIHESA KILOLO
MBEYA:
KKKT FOREST
SONGWE - MLOWO:
1. MOROVIAN-MLOWO
2. EAGT Kati-MLOWO (Rev. Mahenge)
3. KKKT-MLOWO
SONGWE - VWAWA
1. TAG JERUSALEM VWAWA
2. MOROVIAN VWAWA MJINI
3. EAGT SAYUNI VWAWA
4. KKKT VWAWA MJINI
5. KKKT AMANI VWAWA
6. MOROVIAN NSALA VWAWA
7. PHAMT BETHELI VWAWA
DODOMA:
ANGLICAN - Mnadani
www.somabiblia.or.tz
HUDUMA YA VITABU KANISANI
Jumapili hii tutakuwepo
MBEYA
1. KKKT FOREST (Mbeya)
2. KKKT Nazareth (Sumbawanga)
3. TAG (Sumbawanga Mjini)
4. KKKT Matamba (UWANJI)
ARUSHA
1. KKKT Usharika wa Ngateu
2. KKKT Mtaa wa Azimio
3. KKKT Mtaa wa Natema
DAR ES SALAAM
1. KKKT Kijitonyama
2. KKKT Msasani
3. KKKT Mwenge
4. Anglican Mwenge
Bwana Yesu asifiwe!
Jumapili hii tutakuwepo
MBEYA
1. KKKT FOREST (Mbeya)
2. KKKT Sonyanga (Igurusi)
3. KKKT Majimoto (Katavi)
4. AIC Majimoto (Katavi)
5. TAG Majimoto (Katavi)
MWANZA
1. EAGT Tarime
2. KKKT IGOMA
3. Maonyesho ya Nane Nane
DAR ES SALAAM
1. KKKT Kisarawe
2. KKKT Chanika
3. KKKT Hananasifu
4. KKKT Magomeni
ARUSHA
1. KKKT mtaa wa Neema
2. KKKT mtaa wa Marurani kati
3. KKKT mtaa wa Munguishi
DODOMA
1.KKKT Arusha road
2.KKKT Mnadani
Shalom,
Tukutane Jumapili Kanisani - Wewe utasali wapi? Karibu kutazama hapa utawaona wapi Soma Biblia
www.somabiblia.or.tz
Bwana Yesu Asifiwe!
Jumapili hii tutakuwa na Church sales maeneo mbali mbali. Pangusa hapo kuona tutakapokuwepo karibu na tawi lako.
www.somabiblia.or.tz
NENO LA INJILI KWA RIKA ZOTE TANZANIA
Karibu dukani Dar es Salaam - Mikocheni B & Mbezi Luis Bookshop, Dodoma, Iringa, Mbeya, Mwanza na Arusha upate nakala yako. Matoleo mapya ya magazeti yetu kwa watumishi wa Kanisa na watoto na vijana sasa yanapatikana.
RIZIKI 03/2024
Mada kuu katika toleo hili la tatu la Riziki 2024 ni Mungu wa Agano.
Tunakubushana kuwa upendo wa Mungu kwa mwanadamu ni upendo wa kipekee ambao hauwezi kulinganishwa na upendo wa aina yoyote ile. Ahadi ya kwamba hatatuacha yafungamana na agano lake nasi. K**a tukitoka kwenye agano hilo, tumepoteza ahadi hiyo. Kwa njia ya agano, Mungu ametuweka kwenye mikono yake, na anatuangalia na kutulida kila wakati tusipatwe na hatari yoyote.
Bonyeza link kusoma Bure
Soma Biblia Mada kuu katika toleo hili la tatu la Riziki 2024 ni Mungu wa Agano . Tunakumbushana kuwa upendo wa Mungu kwa mwanadamu ni upendo wa kipekee ambao hauwezi kulinganishwa na upendo wa aina yoyote ile. Ahadi ya kwamba hatatuacha yafungamana na agano lake nasi… Nikukaribishe kusoma - Bonyeza HAPA
Twende toleo 3/2024 linapatikana
Katika toleo hili tutajifunza jambo la muhimu sana tunapotaka kumpendeza Mungu na wanadamu. Jambo hili ni UTII. Kutii ni pamoja na swali gumu. Je, nimtii Mungu au mwanadamu? Wewe umewahi kujiuliza hivyo? Karibu kusoma toleo hili.
Twende ni kwa ajili ya Watoto na Vijana na linauzwa kwa bei poa ya Shilingi mia tano tu. Karibu dukani kwetu ujipatie nakala yako.
Soma Biblia Katika toleo hili tutajifunza jambo la muhimu sana tunapotaka kumpendeza Mungu na wanadamu. Jambo hili ni UTII. Kutii ni pamoja na swali gumu. Je, nimtii Mungu au mwanadamu? Wewe umewahi kujiuliza hivyo? Karibu kusoma toleo hili. TSH. 500 tu.
Soma Biblia Kila Siku 07/2024 Soma Biblia Kila Siku 07/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa saba pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu
Bwana Yesu Asifiwe!
Ratiba yetu ya Church Sales Jumapili Tarehe 21/07/2024. Usikose Ibada mtu wa Mungu. Jiandae kupata nakala yako ya vitabu vipya kutoka Soma Biblia.
www.somabiblia.or.tz
Bwana Yesu Asifiwe!
Kila Jumapili katika Sharika mbalimbali tunawafikishia wakristo Biblia na Vitabu ya Kikristo Kanisani. Lengo ni kuwafikia kwa karibu wote ili wapate Neno la Mungu kwa njia ya maandiko kwa bei nafuu.
Basi ukituona Kanisani kwako karibu mezani, utapata Biblia, Vitabu mbalimbali, Biblia za watoto, Vitabu vya nyimbo na kadhalika.
Karibu pia Soma Biblia Dukani.
Tembelea www.somabiblia.or.tz kujua zaidi maduka yetu yanapopatikana, pamoja na orodha ya vitabu vinavyopatikana kwetu.
/mikocheni
RIZIKI TOLEO 2/2024 LINAPATIKANA
Mada kuu katika toleo hili la pili la Riziki 2024 ni agizo la Yesu, “Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu”. Lengo kuu la mada hii ni kukumbushana wajibu aliotuachia Bwana wetu Yesu Kristo wa kuihubiri Injili kwa watu wote. Anawatuma watu wote walioko tayari katika kufanya utume huu mkuu. Je, uko tayari kusema, “Niko hapa Bwana, nitume mimi”? Bonyeza link kusoma Bure
Soma Biblia Mada kuu katika toleo hili la pili la Riziki 2024 ni agizo la Yesu, “Enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi wangu”. Je, uko tayari kusema, “Niko hapa Bwana, nitume mimi”? Bonyeza hapa kusoma RIZIKI ONLINE
Twende toleo 2/2024 'Linapatikana'
Karibu kusoma toleo hili ujifunze zaidi juu ya Yesu rafiki yetu. Makala zote zinafafanua vizuri jambo hili. Tsh. 500 tu.
Soma Biblia Karibu kusoma toleo hili ujifunze zaidi juu ya Yesu rafiki yetu. Makala zote zinafafanua vizuri jambo hili. Tsh. 500 tu.
Bwana Yesu Asifiwe!
Siku za Jumapili, Soma Biblia tunazunguka Makanisani kuwapelekea karibu Wakristo wa Rika zote Neno la Injili kwa njia ya maandiko.
Tunasambaza Biblia, Vitabu vya Kikristo na vifaa mbalimbali vya madhabahuni. Unapenda tuje kanisani kwako? Karibu kuwasiliana na tawi la karibu yako kusikia k**a wanaweza kupanga kuja kuwahudumia washarika kanisani kwako.
Tupo Dar es Salaam – (+255 754 292 995 -Mikocheni B), (+255 742 292 599 -Mbezi Luis). Arusha - +255 766 615 746. Dodoma - +255 743 661 166. Iringa - +255 765 910 495. Mbeya - +255 768 444 990. Mwanza - +255 755 355 445.
www.somabiblia.or.tz
Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
Soma Biblia Kila Siku 06/2024 Soma Biblia Kila Siku 06/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa sita pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha 2 Timotheo na 2 Wafalme. Karibu kujiunga na mpango huu
INJILI INAWAFIKIA VIJANA
Mradi wa kupeleka habari njema ya Yesu Kristo kwa vijana unaendelea. Soma Biblia tunatembelea Shule mbalimbali za Sekondari na Msingi pamoja na Shule ya Jumapili na kuwagawia wanafunzi nakala ya kijitabu cha Masiha.
Tunawakaribisha wote wanaosoma habari hii wajiunge nasi katika maombi kwamba kitabu hiki kitawasaidia wengi katika kumjua Mungu wa kweli na kumtegemea yeye.
www.somabiblia.or.tz
Shalom,
Karibu kupata nakala dukani Soma Biblia
Bwana Yesu Asifiwe!
Tutakutana Kanisani Jumapili hii?
Soma Biblia tutasali, Kanisa la Anglicana Nyamanoro. Hapo washarika wataweza kupata Biblia na vitabu mbalimbali vya kikristo. Biblia kwa watoto pia zitakuwepo.
Je, na wewe ungependa tusali kanisana kwenu pamoja hapo mbeleni? Karibu kutuandikia
www.somabiblia.or.tz
Soma Biblia Kila Siku 05/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa tano pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka, Yoeli na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu bure. Bonyeza link
Soma Biblia Kila Siku 05/2024 Soma Biblia Kila Siku 05/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa tano pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Kutoka, Yoeli na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu
Shalom
Jipatie nakala yako ya kitabu kipya kutoka Soma Biblia kwa bei ya punguzo. Ofa hii ni kwa mwezi huu wa nne na wa tano. Karibu Soma Biblia
www.somabiblia.or.tz
Shalom
Karibu katika uzinduzi wa kitabu kipya kiitwacho: MAFUNZO YA BIBLIA Injili alivyoiandika MATHAYO MTAKATIFU.
Kitabu hiki ni kizuri sana, kinatoa maelezo, mafundisho, kina maswali na tafakuri. Kitakusaidia msomaji kujifunza na kubadilishwa maisha yako siku hadi siku yafanane na Yesu Kristo.
Ni tarehe 21 mwezi huu KKKT Kunduchi. Kitabu kinapatikana Soma Biblia.
www.somabiblia.or.tz
Soma Biblia Kila Siku 04/2024 Soma Biblia Kila Siku 04/2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa nne pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Hosea na Mathayo. Karibu kujiunga na mpango huu
TWENDE ni gazeti la Kikristo kwa Watoto na Vijana. Kupitia gazeti hili, tunataka kufundisha Watoto na vijana Injili ya uzima wa milele ndani ya Yesu Kristo.
TWENDE inatolewa mara nne kwa mwaka.
Bei: 500 Tsh kwa nakala moja
Soma Biblia Mfalme anaweza kuwa mzuri au mbaya. Akiwa mfalme mzuri anaonyesha upendo kwa watu wake, na hukumu zake ni za haki. Mfalme mbaya anafikiri juu ya maendeleo yake tu, na hana rehema kwa watu wake. Karibu kusoma toleo hili ujifunze zaidi juu ya Yesu, Mfalme wa wafalme.
Mada kuu katika toleo hili la kwanza la Riziki 2024 niYesu Uhai Wetu. K**a vile uhai wa kipepeo ulivyokuwamikononi mwa mjukuu, ndivyo tunavyokumbushanakuwa uhai wetu uko mikononi mwa Yesu. Aliye na Yesuanao uzima; ambaye hana Yesu, hana huo uzima.
Bonyeza link kusoma Riziki online bure. K**a wewe ni mtumishi wa Kanisa na ungependa kupokea kwa njia ya posta, tafadhali tuandikie ujumbe.
www.somabiblia.or.tz
Soma Biblia Mada kuu katika toleo hili la kwanza la Riziki 2024 ni Yesu Uhai Wetu . K**a vile uhai wa kipepeo ulivyokuwa mikononi mwa mjukuu, ndivyo tunavyokumbushana kuwa uhai wetu uko mikononi mwa Yesu. Aliye na Yesu anao uzima; ambaye hana Yesu, hana huo uzima. Karibu kusoma HAPA bure.
Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Machi pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu bure.
Soma Biblia Kila Siku 03/2024 Soma Biblia Kila Siku 03/ 2024 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu kwa mwezi wa Februari pamoja na maelezo mafupi ya kukusaidia kutafakari somo ulilosoma. Katika mpango huu utasoma zaidi kitabu cha Waebrania. Karibu kujiunga na mpango huu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the organization
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam
Opening Hours
Monday | 02:00 - 17:00 |
Tuesday | 02:00 - 17:00 |
Wednesday | 02:00 - 17:00 |
Thursday | 02:00 - 17:00 |
Friday | 02:00 - 17:00 |
Saturday | 02:00 - 14:30 |