Simulizi Na Stori

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Simulizi Na Stori, Entrepreneur, Dar es Salaam.

31/01/2024

Kuna watu waliingia kwenye mahusiano ambayo kimsingi hawajui ilikuwaje hata wakaingia humo ,,

Na kwa sababu hawajui waliingiaje basi hata kutoka hawajui watatoka vipi..

Wamebaki dilemma...

23/01/2024

Tumbo Lenye Njaa, Pochi (Wallet) Isiyokuwa Na Pesa, Na Moyo Ulio Vunjika Ni Vitu Vitatu Vinavyotupa Mafunzo Makubwa Sana

Kwenye Maisha Na Daima Vitaendelea Kuwa Mwalimu Wetu Kutufundisha Nini Maana Ya Maisha

23/01/2024

Wapendwa wangu k**a tupo pamoja naomba LIKES AND SHARE,,,, NAWAPENDA WOTEE!!!!

20/10/2023

Tuombe tu iwe habari njema otherwise kuna mtu anaenda jela maisha🤓

20/10/2023

Lifeee

18/10/2023

“Ewe Mola wetu tujaalie nasi tuwe Miongoni mwa wale waliofanikiwa”

17/10/2023

STORY YA KUSISIMUA; SIMULIZI YA KAHABA

Nilikua mwajiriwa katika kampuni moja maarufu jijini dare s salaam , katika kuajiriwa kwangu huko nikawa msaidizi maalumu wa bosi wa kampuni ile , basi siku moja moja nilikuwa naenda kujirusha na bosi wangu .
Ukizingatia kwamba sikuwa na mume wala mchumba na kwa kweli huyu bosi ndio alikuwa mtu wa kwanza kufanya nae tendo la ndoa , hivyo nilifurahia mhemko wake na jinsi alivyokuwa ananipenda na kunijali kila kitu nilipata na zaidi .

Alifanya yote haya bila kunificha kwamba ana mke na watoto nyumbani kwake kwahiyo wakati mwingine chochote kinaweza kutokea nijiandae kwa shuguli hiyo pevu k**a mke wake akish*tukia dili hilo .
Tulikuwa na uhusiano na huyu bosi kwa miezi 4 hivi mpaka siku moja katika tembea tembea mitaani nikakutana na kijana mmoja mtanashati akanieleza kwamba ananipenda na kunizimia sana yaani ameshanifia
Huyu kijana alihangaika kwa mwezi mzima mpaka siku nikaja kumkubalia akawa ndio mpenzii wangu halali sasa , nilimwamini sana nay eye aliniamini sana , miezi 3 tokea kujuana na huyu kijana aliniambia kuhusu kufanya nae tendo la ndoa .
Nilifikiria sana wakati mwingine nilitaka kulia jinsi alivyokuwa ananishika na kuniomba tendo la ndoa akiwa chumbani kwangu , alijaribu kunishika sehemu kadhaa akanivua nguo nami nilimtolea nje nilimkatalia .
Basi siku moja nikamwomba tukaangalie afya zetu , kijana wa watu alikasirika sana wiki nzima hakufika nyumbani kwangu wala kunipigia simu , kumbe alitaka tufanye tendo la ndoa bila kinga ? sasa ningejuaje kuhusu afya yake ? au ananiamini nini mimi ?
Maisha yaliendelea na mambo mengine yaliendelea tu wiki ya 3 alinipigia simu akaniomba msamaha turudiane na alikubali kwenda na mimi kupata vipimo vya afya zetu kujua kwanza kabla hatujaanza mambo mengine yoyote yale .
Basi ndio hivyo majibu yaliyoka mazuri , ndio mapenzi yetu alikuwa zaidi na penzi nilimpa bila hiyana wala aibu yoyote , yeye mwenyewe alifurahia mambo yangu na kwanza alikuwa anatoroka nyumbani kwao kuja kulala kwangu wakati mwingine mwezi mzima .
Tuliendelea kwa miezi kadha na huyu kijana huku na mimi nikiwa na bosi wangu kule kazini , basi bwana siku moja , sisi officini tulitakiwa kwenda kutoa damu hospitali ya muhimbili katika maadhimisho ya siku ya afya duniani . Watu walipimwa afya zao na mimi nilipimwa , majibu yangu yalikuwa ya kutatanisha sikuamini macho yangu wala masikio yangu , nilienda hospitali ingine napo majibu yalikuwa yale yale kwamba nimeadhirika na UKIMWI .
Haya majibu yalimfikia mpaka bosi wangu nae akatambua hilo akasikitika sana nay eye alivyoenda kupimwa akakutwa hajaadhirika , basi nikajua moja kwa moja ukimwi nimepata kutoka kwa yule kijana wa mitaani na sio mtu mwingine .
Nikamwomba huyu kijana tukaangalie afya zetu kwa mara ingine tena hospitali , tukaenda kule kupima afya zetu , yeye ndio alikuwa wa kwanza kupokea majibu yake , alikutwa ameadhirika akupata msh*tuko wa ghafla yaani haamini .
Msh*tuko huo ulimpelekea aanguke chini na kuzimia watu walienda kumbeba na kumpeleka hospitali kupatiwa huduma ya kwanza basi hapo ndio magonjwa mengine yalianza kujitokeza na kujulikana sana .
Kumbe huyu kijana alikuwa na urafiki wa kimapenzi na shugamami mmoja mtaa wa pili huyu shuga mami mume wake alifariki dunia miaka 5 iliyopita kwa UKIMWI watu wanaema TB sijui , ndio huyu kijana kuona zile pesa za shuga mamy akaenda kwake .
Kijana aliumwa kwa miezi 3 hivi kisha akafariki dunia akaniacha duniani mwenyewe , kule kazini nilifukuzwa kaza na bosi wangu kisa nilitaka kumwambukiza ugonjwa wa ukimwi , lakini siku moja alinipigia simu kunieleza kwamba mke wake ameadhirika na UKIMWI pia lakini yeye anasema hajaadhirika .
Hapo ndio nilishangaa sana , kwanini mke wa aadhirike yeye asiadhirike au mke wake nae alikuwa anatoka nje ya ndoa bila mume wake kujua ? basi hiyo ni siri yao nyumbani kwao mimi hayanihusu .
Lakini ndio hivyo nilikuwa nimeshaadhirika na UKIMWI kazi nimeshafukuzwa sina cha kufanya wala kutafakari nilifikiria zaidi kuhusu ugonjwa wangu wa UKIMWI na jinsi nitakavyoweza kuishi maisha marefu kwa matumaini .

KAHABA
Baada ya kuona maisha magumu na sina lolote la kufanya mimi k**a mwanamke mrembo na mwenye mvuto niliamua kutafuta njia rahisi zaidi ya kujipatia kipitano nilifikiria njia nyingi sana ambazo zingeweza kunipatia angalau mlo na mavazi katika siku zangu za maisha zilizobakia baada ya kugundulika nina virusi vya ukimwi
Nikaanza kutafuta sehemu ambazo naweza kuuza mwili wangu kwa pesa za chapchap niweze kuendeleza maisha yangu ya kila siku , nilikuwa na ramani yangu kwanza pale OHIO , JOLLY , MACHENI , BILLS NA LATAVERNA hizo ni sehemu 5 kuu za starehe jijini dare s salaam kwahiyo huko naweza kufanya kazi za kujiuza kwa wiki nzima kila siku bila kuchoka .
Ohio ilikuwa nzuri ila tatizo lake ni kwamba kila anayepita pale anakujua halafu unatakiwa uonyeshe maungo yako hazarani mimi sikuzoea tabia hizo na sikuwa na mhemko huo kwahiyo nilivaa miwani yangu na kuacha mapaja nje tu waangalie wenyewe k**a wanapenda watakuja . Kule macheni tatizo lake ni mashoga wengi sana , yaani mwanaume anaweza akaja kutafuta Malaya akakuchanganya wewe ni shoga , wale mashoga wanaojiuza hawana tofauti na sisi wanawake tunaojiuza wakati Fulani ulitokea ugomvi mkubwa watu waliamulia tulimgombea mwanaume .
Billa nako kuzuri ila vijana wengi sana halafu hawana pesa , na vitoto vidogo vingi , nilikuwa naogopa matatizo na vijana wa kule sikupenda kufanya mchezo na watoto wadogo waliokuwa wananitaka hata kwa dau gani nilingoja wanaume wenye pesa zao tu sio zaidi .
Basi nilianza safari za kuelekea jolly club kwa ajili ya kujiuza mwili wangu nipate angalau chochote cha kula na kufanya katika maisha yangu , pale jolly club nilikutana na dada mmoja anaitwa Aisha , huyu dada nae ni kahaba mzoefu akaanza kunionyesha mambo kadhaa wa kadha kuhusu biashara ya ukahaba na kadhalika . Hapa ndio nilijufunza kwamba sio makahaba wote ni masikini au hawajiwezi kuna wengine wanajiweza na wanazo fedha ila wanapenda kufanya ukahaba yaani wamechoka na dunia wengine walikuwa na wanaume wao wakaachika wakaamua kuja huku kwenda na mwanaume wowote yule anayekuja .
Wengine wana matatizo katika ndoa zao kupigwa na kadhalika wanaamua kuja huku kujiuza au kukaa huku ili kuepuka matatizo katika ndoa zao au mahusiano yao , wengine ndio k**a hivyo waume zao hawana nguvu za kutosha kufanya nao tendo la ndoa wanaamua kuwa makahaba kila mtu na lake na mambo yake pia .
Wengine wanafanya huu ukabaha kwa ajili ya kupeleleza yaani ni wapelelezi wa polisi au watu Fulani katika serikali wako katika mitaa hii kuzuga tu , ili wafanikishe kazi zao za uchunguzi k**a polisi wa usalama sehemu walizoko .
Mwisho wa yote siku hizi kuna vita kubwa katika biashara hii ya ukabaha mjini dare s salaam , mfano kule jolly kuna wazungu na wahindi wanakuja kufanya biashara ya ukahaba kwahiyo wewe mwamfrika unakazi ngumu kuwapita wale wazungu na wahindi au wachina .
Siku hizi wanaume wengi wanapenda kitu kinaitwa JICHO yaani kufanya mapenzi kinyume na maumbile , hii nayo ni soko kuu , mfano mwingine anaweza kuja kwako anataka jicho na wewe hutoi jicho maana yake unakosa soko suluhicho ni kujitoa mhanga na kufanya mapenzi kwa kuwa mteja ni mfalme .
Mbaya zaidi kuna wanaume wengine wanakuja wanaweza kukuchukua uende nao kufanya ngono kumbe wanakupiga filamu za ngono wakati unafanya kitendo hicho haswa wazungu wengine wanakupa ufanye mapenzi na mbwa wao au wanyama wao wengine mambo yanaenda hivyo .
Biashata hii ya ukahaba ilinichanganyia sana kwa miaka 2 niliyoifanya na kwa kweli hakuna aliyenijua k**a nimeadhirika na ugonjwa wa ukimwi nilikuwa najitunza na kutuza siri zangu hizi kuu na sikupenda kuzoeana na watu sana hadi waniulize hivyo
Siwezi kuhesabu ni watu wangapi nimefanya nao ngono lakini ni zaidi ya 300 siku zingine nafanya kazi na watu zaidi ya 3 kwa siku moja kwahiyo mambo yanaendelea halafu wengi hawakupenda kutumia mipira ya kiume yaani kondo walipenda kuja hivi hivi tu bila kinga chochote kile
Na mimi nilikuwa nimeshaadhirika nilichokuwa natafuta ni fedha za kuendeleza maisha yangu kwahiyo hata k**a nikifanya ngono zembe bila kinga mimi hainiumi sana kwa kuwwa nilishajua hali yangu sikuweza kuitengua siku wa chochote cha kufanya zaidi ya hichi .
Hii ilikuwa ni kulipiza kisasi kwa maasi ambayo yule kijana alinifanyia kuniambukiza UKIMWI kwa makusudi huku akijua kabisa ameadhirika siku nyingi ,kwakuwa yeye ameamua kuniuwa mimi basi na mimi nauwa wengi zaidi na sijali kuhusu dhambi hizi nilizozifanya na sijutii kabisa .
MAISHA YA MTAANI
Huku mitaani waliniita majina k**a JLo wakati mwingine salma hayek yaani wale waigizaji maarufu duniani kwa urembo nilio nao na mvuto wake , hakuna hata mmoja aliyekuwa na mawazo k**a nimeadhirika au la kwa maana yule kijana niliyekuwa nae k**a mpenzi alikufa kifo cha ghafla watu walisema amekufa kwa pressure .
Mitaani napo nilikamua kinoma , waume za watu walikuja mpaka mlangoni kwangu na magari yao , wananipakia na kunipeleka katika kumbi za starehe na sehemu nyingine nyingi sana wengine walinihonga mali na mambo kibao kisa wamenipenda wanataka ngono
Na kwa uhakika hawa wanaume niliwapanga sawia kabisa na hakuna aliyeweza kutambua mimi nina wanaume wangapi na wanaishi wapi wengi walijua ni washirika wangu katika kazi zangu na mambo yangu mengine kwanza sikupenda kuongea na mwanaume wowote chumbani kwangu wote nilikuwa nawaambia tukutane mbali kidogo na nyumbani haswa kati katika ya jiji .
Katika hawa wateja wangu kulikuwa na kijana mmoja anayeitwa juma huyu juma alikuwa na rafiki yake mmoja anayeitwa Shy , kijana mwembamba mwenye umbo la wastani , hana ndevu halafu ni mcheshi sana , alifanikiwa kuiteka moyo wangu , sasa nilitaka kumwambia mara kibao kwamba nimemzimia
Tatizo ni kwamba anayekuja kunichukuwa pale ni juma , juma huja pale kwa kusindikizwa na Shy , basi juma akanitambulisha katika website moja inayoitwa darhotwire www.darhotwire.com , nyumbani nikienda kupumzika nilipenda kushinda katika tovuti hii kuchat na marafiki na watu wengine .
Huyu shy nae nilimkuta katika site hii usiku wa manane anachat na jamaa zake , ila siku moja nilikutana na kijana mwingine anayeitwa politeman , huyu ndio alinichanganya kabisa , kwanza jina lake na jinsi aliyokuwa anaongea kweli nilizimia mwenyewe bado nikawa na siri kubwa moyoni je hivi tukifanya ngono inakuwaje ?
Maisha yaliendelea tu , basi nikimpenda politeman , huyu kijana akawa anakuja mpaka nyumbani kwangu wakati mwingine na huwa nampa computer yangu aitumie tukaenda zaidi nilimsh*tukia kumbe huyu polite ana urafiki wa kimapenzi na dada mwingine anayeitwa salma siku moja walipanga kwenda kufanya mapenzi lakini polite akakataa ?
Sikuamini macho yangu wala masikio siku nyingi k**a naota kumbe polite alikuwa na urafiki na dada mmoja anaitwa Maria Chipz ?? Sikuamini , nilimuheshimu sana maria na sikutegemea k**a anaweza kufanya hivyo hata siku moja , muda ukaenda kumbe kuna dada mwingine anaitwa REHEMA naye alikuwa anampenda Politeman Miss upanga Naye anampenda Politeman we acha tu
Nikamwaga chini sikupenda tabia zake za kitoto kitoto anazowafanyia hao kina dada wengine ingawa nilifanya nae mapenzi k**a mara 4 hivi na mara zote hatukutumia kinga na nilikuwa nimeadhirika ila ni siri yangu , polite hajui na wengine wote hawajui lakini ndio maisha hayo
Haya ndio hivyo , nami sasa hivi nakaribia kufariki dunia niko zangu kitandani hapa hospitali ya Amana mkoani dar es salaam , kweli maisha ni safari ishi upendavyo na sio watakavyo , mwisho wa yote dunia sio hadaa wala dunia haikuchukii au haitaki kukufanyia chochote kibaya
Bali watu ndio hadaa , hata k**a ni ndugu yako rafiki yako , hakikisha humpi nafasi akutawale aweze kukumiliki wewe na kukuamrisha chochote kile anachotaka yeye , k**a ukifanya hivyo ndio utaishia kubaya k**a mimi
Bosi wangu alinimiliki sana nikampa penzi , kijana wa mitaani nae alinimiliki mpaka sasa nimeaona faida zake na hasara zake
Wacha ningoje siku zangu nife nizikwe niende ahera Kwaheri .
Share na kulike

12/09/2023

Kila Jambo Lina malipo yake baadae..

Picha ilipigwa na KEVIN CARTER, k**a sehemu ya assignement yake ambayo alikwenda kuifanyia huko huko SUDAN. Picha inamuonesha NDEGE (Vulture) akiwa pembeni anavizia MTOTO afe aende kula mzoga.

Stori ilikua hivi - Mwaka 1993 Kevin Calter alisafiri kwenda Sudan. Karibu na kijiji cha AYOD, akiwa njiani Kevin alimuona Mtoto akiwa kapumzika baada ya kutembea umbali mrefu kuelekea Kambi ya chakula ya UMOJA WA MATAIFA (United Nations feeding centre). Kabla hajapiga picha alimuona huyo Ndege, yeye akajificha sehemu kwa takribani dakika 20 ndege asishtuke akaruka akaikosa picha. Lengo la kujificha muda wote huo alikua akivizia Ndege asogee karibu kabisa na Mtoto. Baadae alifanikiwa kupiga PICHA yake, akaendelea na safari yake.

Picha ilisambaa ikaanza kupata COMMENTS tofauti na yeye alivokua akifikiria. Gazeti la PETERSBURG TIMES huko FLORIDA liliandika kwamba, "Aliepiga picha hii nae pia ana roho ya kinyama kwasababu badala amfukuze ndege yeye yuko bize kupiga picha". Kevin alieleza wakati anaagizwa kwenda kufanya assignment hio, alipewa maelekezo kwamba asipende kushikashika vitu njiani asije akaambukizwa MAGONJWA. Japo badae alionesha hali ya kujutia kwa kutochukua hatua yoyote kumuokoa yule mtoto.

Mwaka 1994 Kevin Calter alipata TUZO katika shindano ya picha ambazo zinatisha/zinahuzunisha kwa kupitia picha hii. Hata hivo mwaka huohuo Kevin Calter akiwa na miaka 33 alijiua kutokana na MSONGO WA MAWAZO.

Inasemekana hii haikua mara yake ya kwanza kupiga picha za aina hii. Huko nyuma alikua kapiga picha kadhaa za matukio ya watu wakiuawa, wakiumizwa na hata kupiga picha za Maiti - ikiwa k**a sehemu yake ya kazi k**a Muandishi wa habari/Mpiga picha. Baada ya kujiua walikuta kaacha maandishi akieleza jinsi kumbukumbu za picha hizo zilivopoteza furaha katika maisha yake kila alipokua akizikumbuka.

26/08/2023

Maisha #.

Photos from Simulizi Na Stori's post 20/08/2023

==UPENDO WA KWELI==
Kijana alimpa mimba 🤰 uyo Binti katika picha akiwa kidato cha pili, Binti alimuomba kijana akimbie ili asije kufungwa miaka 30 jela, lakini kijana alisema hawezi kumkimbia ampendaye sababu mimba sio kosa la mauaji.

Basi kijana alik**atwa na polisi🧑‍✈️nakufikishwa mahak**ani, shaidi namba moja alikuwa ni uyo binti. Ilipofoka zamu yake kutoa ushaidi Binti alisema:
"Ni kweli uyu kanipa mimba, na alinipa mimba Kwa makubaliono yetu hakunibaka. Kwaiyo sipo tayari kuona mtu ambaye ananipenda na Mimi nampenda anafungwa Kwa kosa lakunipa mimba 🤰 ambayo uenda Mimi ndio nilitaka."

Hakimu akasema hii ni kazi ya serikali kwaiyo ni lazima kijana afungwe miaka 30.

Binti akasema;
"Sawa mfungeni, ila andaeni na kaburi lakunizikia Mimi, sababu kule jela ni k**a mnamzika kaburini akiwa hai.. kwaiyo ni Bora na Mimi mnizike nikiwa nimeshakufa."

Baada ya maneno ayo Binti akatoka mbio huku analia, basi ikabidi busara itumike na kijana akaachiwa. Ila Binti alifukuzwa nyumbani kwao Kwa kosa lakumtetea mualifu.

Kijana na uyo Binti wakaanza maisha Kwa tabu sana kwakuwa kijana hakujiandaa kuishi na Mwanamke, alipambana huku binti wakinena naye akivumilia hali zote. Kijana alianza kulima bustani za mboga na viungo, na baadaye wakajenga nyumba 🛖 ya kawaida sana Kwa pesa za bustani za nyanya 🍅 mananasi 🍍 viazi 🥔 vitunguu 🧄🧅 na maharage.

K**a bibilia isemavyo,
"Ombeni mtapewa, tafuteni mtazidishiwa..."

Baada ya miaka 6 walifanikiwa sana, na ivi leo wana fuso 3 🚛. nyumba 🏠 nzuri yakisasa. Wana tractor lakulimia 🚜. Gari moja 🚗 yakutembelea. Na mkewe karudi shule kutimiza ndoto zake, na mtoto wao wakike mzuri naye yupo shule pia....💞💝

HAKUNA AJUAYE ATIMA YA MAISHA YAKO ZAIDI YA MUNGU MUUMBA WA VYOTE .😥

WANAO KUDHARAU SIKU MOJA WATAKUSALIMIA KWA HESHIMA..AMINI..

Vile uluvyokuwa Jana si Leo...na Leo si kesho.
Ishike nafsi yako✊...ikataze na roho mbaya iambie nafsi yangu tubu...😭😭🙏🙏

Kwa IMANI mwambia Mungu, "NIKUMBUKE" maana wengi wanalia 😢 k**a wewe uenda Mungu hakujibu sababu ya DHARAU ZAKO😏

Sema: AMEN 🙏🤲..... Ukiweza shared 💞💗

Want your public figure to be the top-listed Public Figure in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Dar Es Salaam
Other Entrepreneurs in Dar es Salaam (show all)
Mjini hatuulizani kazi LTD Mjini hatuulizani kazi LTD
Mnazi Mmoja
Dar Es Salaam

all people ur welcome

gerrysam gerrysam
Nefuma
Dar Es Salaam

ChainSupply Masterminds

Steshi wigs empire Steshi wigs empire
Dar Es Salaam

Tunauza mawigi kwa bei poa kabisa kwa bei ya jumla na rejareja, mawigi yote ni original human hair lace wig na tunafanya delivery Dar, mikoani na nje ya Tanzania karibuni sanaa��

Vicky Uisso Vicky Uisso
Sinza
Dar Es Salaam, 11977

sturbon_beez sturbon_beez
Mbagala
Dar Es Salaam

[email protected]

nsemwa_vitu_used_na_vipya nsemwa_vitu_used_na_vipya
Dar Es Salaam

TUNA UZA FURNITURE AINA ZOTE NA VIFAAAA VYA UMEME PAMOJA NA GAS KARIBU SAANA 0764507181 TUPO KIBO AU UBUNGO MAJI

d.d.s_yonah d.d.s_yonah
Magomeni
Dar Es Salaam

usedvipya_store usedvipya_store
Sinza Uzuri Sweetcorn
Dar Es Salaam

Hazel Grace Hazel Grace
Mlalakua Street Opposite Tanzanite Tower
Dar Es Salaam

KANJE EH; KANJE EH;
Kimara
Dar Es Salaam

C.E.O & Founder of Trophacom and Digital Power Companies

gs_hardware gs_hardware
Mtaa Wa Mchikichi Na Gogo
Dar Es Salaam

wauzaji wa jumla na wasambazaji wa vifaa vya ujenzi nchini kote

Mpembaa Wize Mpembaa Wize
Dar Es Salaam

alone u xmile together we laugh