Irene Mwamfupe
Mtunzi wa hadithi | Mjasiriamali | Mwandishi | Mwimbaji
Shuka 2: foronya 2: size 6/6. Cotton 💯.
Bei 25,000
Shuka 2: foronya 4 : size 7/8 cotton 💯
Bei 35,000
Maua yanafanana , karibuni sana
Call 0767207525
Shuka 2:
foronya 4:
size 9*10.
Cotton 💯.
Jumla 65,000
Rejareja 70,000
Call 0767207525
Price/Bei:155M
EXCHANGE/NAVUNJA NA GARI YOYOTE
LANDCRUSER PRADO TX
YEAR:2021
ENGINE CAPACITY 2.8 cc
ENGINE CODE:1GD
⛽DIESEL ENGINE
KILOMETER:57387
AUTOMATIC TRANSMISSION
RADIO,SPORTS RIMS AND NEW TYRES,FULL OPTIONS ON STEARING,CRUISE CONTROL,PUSH TO START,WINKERS
NEW CONDITION✅
CALL 0767207525
Aiseee nimetoka kifungoni sasa naweza kucomment😂😂 Ila fb walijaa kuninyoosha mimi! Masaa 24 ni k**a mwaka kwangu 🤣🤣🤣 Venye Nimezoea kuongea hahahaha….
Haya Jamani twende kazi hii kitu Usikose room kwako my wangu! Au Huoni aibu kuanzia godoro😳😳😳
Call 0767207525
Shuka za uturuki na spain.
Shuka 1:
bedcover 1:
foronya 4:
cotton 💯
size 8*9.
Bei 120,000.
Karibuni sana
Call/whtsp 0767207525
Neck pillow.
Bei 26,000
Call 0767207525
🌐 *MUNGU ANAKUJALI*
‼️ *Mathayo 6:30*
Ikiwa basi, Mungu hulivika hivyo jani la shambani ambalo leo liko na kesho latupwa motoni, je, si atawafanyia nyinyi zaidi? Enyi watu wenye imani haba!
Bwana Yesu asifiwe mpendwa wangu!
Ebu tulitafakari tena kwa makini neno hili.. ikiwa BABA ulitunza jani huyatunza maua ambayo leo yapo kesho yananyauka je huoni k**a sisi ni zaidi sana?
Bwana anatutunza mpendwa wangu... utunzaji wake kwetu ni ishara kubwa kwamba anatupenda sana. Upendo wake kwetu hauwezi kamwe kuisha wala kuchoka!
Kila siku kunapokucha wema wake kwetu uanza upya.. hatuachi anatujali sana.
Kupita katika hilo pito lako haimaanishi amekuacha! Kuugua kwako haimaanishi amekuacha... kuwa mwana wa Mungu haimaanishi hautapita katika magumu hapana... Utapita katika magumu vizuri tu... lakini BABA atakufanyia mlango wa kutokea ili watu wajue kwamba yupo Mungu anayeweza kukuvusha!
Yuko Mungu anayeweza kukutoa katika magumu yako!
Yuko Mungu anayeweza kukuokoa katikati ya msitu wenye wanyama wakali!
Wakati mwingine tumekuwa tukijitaabisha wenyewe katika mahitaji yetu.. Kwa kuona kwamba Mungu ametuacha!
Sikiliza ndugu yangu, tumeumbwa na Mungu k*mtegemea, changamoto zetu tuzipeleke kwake, na k*mruhusu kutusaidia! Lakini wakati mwingine tumekuwa wagumu hatutaki kufuata kanuni.. hatutaki k*mwendendea...
Anasema:-
‼️ *Luka, 18:1*
Imewapasa k*mwomba Mungu siku zote bila kukata tamaa!
‼️ *Yohana, 16:24* anasema hata sasa hamjaomba!
Maana yake ni wavivu wa kuomba...
Anasema Ombeni nanyi mtapewa ili FURAHA yenu iwe timilifu!
Inawezekana huna furaha timilifu kwa kuwa hujapewa ulichoomba, hebu omba bila kuchoka wala kukata tamaa utapewa ili furaha yako iwe timilifu!
Lkn pia soma
*Daniel, 10:11*
Kuna wakati Maombi huwa yanazuiliwa hivyo Unapaswa kung’ang’ana kuomba ili vile vizuizi viondolewe.
Je umeng'ang'ana
Je umemba bila kuchoka
Je hujawa mvivu?
Si busara kujitwika fadhaa za maisha wenyewe. Kuacha kuwa mtu wa maombi ni kiburi mbele zake.. Kuacha kuomba inaonyesha kwamba tunaweza kutatua shida zetu wenyewe na kwamba hatumhitaji Mungu.!
MPENDWA... Baba anatupenda na anatujali sana! Ebu leo tujitafute wenyewe ni wapi tunakwama? Kisha turudi magotini tuombe toba na kuanza upya na YEYE.
NIWATAKIE WAKATI MWEMA🙏🏻🙏🏻
Available, All.
Shuka 2:
foronya 4.
Size 7/8.
Cotton 💯.
Bei 55,000,
Karibuni sana
Call /whtsp 0767207525
Shuka 1
Duvet 1
Foronya 4
Bei 60,000
Call 0767207525
Price Tshs 11.8 mil only
Maongezi kwenye Gari
Toyota Ist
Year 2004
Cc1490
1Nz Engine
Black interior
Android installed
Air conditioner
Fog lights
Good tyres
Jack
Wheel spanner
Spare tyre
Very clean condition
Call 0767207525
Bedsheet 1
Foronya 3
Pazia 4
Bei 75,000
Call 0767207525
Kuna binadamu ni Wema sana… Jana nilikuta missed Call namba ngeni, nikaingia Inbox fb nikakutana na ujumbe ukinitaka nipeleke duvet mahala! Binti ameandika dada nilikutangazi duvet zako kuna Mteja kapatika yupo Mwananyamala naomba mpelekee…
Nikaenda moja kwa moja kwa page ya huyo binti, nikakuta kweli kapost biashara yangu wala sikuwa nimejua! Kiukweli nimejisikia vizuri sana k*mbe k*m support mtu sio lazima ununue bidhaa yake hata kwa k*mtangazia tu kwa watu wako utakuwa umefanya jambo kubwa!
Mungu akubariki sana Binti mzuri
Asante sana kwa support yako
Kwa namna umefanya kwangu basi naomba Mungu asinyamaze kwako🙏
Msisahau kulala pazuri #
Kuna neno hili kutoka kwa huyu jamaa….
-Kuna somo kubwa sana nime-expirience na kujifunza kwa miaka mitano sasa. Ni kwamba k**a unahitaji kufanikiwa lazima ujifunze kudili na kukataliwa (rejection)
Katika maisha yako lazima itatokea watu wakakukataa kabisa. Marafiki watakukataa, wafanyakazi wenzako watakukataa, maombi yako ya kazi yatakataliwa, wateja wa kununua bidhaa zako watazikataa. Na zaidi Mpenzi uliemuamini ukampa kila kitu, ukajishusha kwake na kukubali kuwa mtumwa wake atakukataa!!
Lakini k**a unayo kiu ya mafanikio na unahitaji kufanikiwa lazima ujifunze kudili na huko kukataliwa na ku-move on!
Hauwezi ukaendelea kuishi maisha ya huzuni, majuto na hofu ya wale waliokukataa, waliokuacha katika wakati mbaya, waliokusaliti na waliokupotezea muda!
You have let go, na ku-focus katika kutimiza kusudi la uwepo wako na punde kidogo waliokukataa watakuona At the top!
Yesu kristo mwenyewe alisema "Jiwe walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni" I.e the stone which the builders rejected is put right at the Top..kubali kukataliwa na waashi, na soon utakua jiwe kuu!
Nilichojifunza kwa miaka yote hiyo, ni kwamba MUNGU anayo tabia ya kuwabariki watu waliokataliwa. Mungu anayo tabia ya kuwatumia wale watu waliodharauliwa hapo awali... !The road to financial freedom. To GOD be the Glory!
TUSISAHAU KUKALA VIZURI
0767207525
Tumekubaliana!
Kula vizuri
Kulala pazuri
Karibu sana watu wangu wa nguvu!
Blankets soft,,,,
size 7/8.
Bei ni 25,000.
Karibuni sana
Call / whtsp 0767207525
Duvert cover. 1. Shuka 1. Foronya 4: cotton 💯. Size 8*9. Bei ni 75,000🔥🔥🔥🔥 karibuni sanaa, yanapendwa k**a pipi😁😁😁😁❤️
Call 0767207525
TUMEKUBALIANA KULALA VIZURI!
Duvet yeupe zipo
Duvet 1
Shuka 1
Foronya 4
Saiz 7 kwa 8
Bei ni 60,000
Siku hizi kila mpambanaji anataka kwenda China! Ebu Tuongee kwanza… Nini cha kuzingatia kabla hujaenda huko? Wale waendaji China njoo mtuelekeze watu wasije angukia pua😂😂
UNakosaje shuka hizi?
Shuka 1
Duvet 1
Foronya 4
Bei 60,000
Ambazo hazina duvet shuka 2
Foronya 4 ni 35,000
Call 0767207525
Duvert cover 1: Bedsheet 1: Foronya 4: size 8*9. Bei 100,000 Karibuni sanaaaaa Call 0767207525
*TOYOTA VOLTZ (DNC)*
Clean Seats 💺
2004 model
1790 cc
Verry SMART ✅
Petrol Fuel ⛽️
Full Ac
Full Documents
Gari Mpyaa 100%
Bei 10.7 mil
K**a Unauza Gari Lako Nitumie
Call 0767207525
Waambie kaka, eti wao ndio wanaotuomba sisi hii kweli ni haki? 😏😏😔
Mzigo MPYA umeingia!
Bei ni 30,000 pande 3
Call 0767207525
TUENDELEE TULIPOISHIA….
KANGA MOJA …….💃🎯
Basi, umejishindia kijana wangu....maana k**a ni mke wa mtu na anajitambua halafu anafikia hatua ya kukuamini wewe kijana mkubwa ukamfanyie manunuzi, mshukuru Mungu maana wenzako wengi wanapitapita hapa kila siku kufukuzia,” alisema mzee Hewa.
Moyoni, Jombi aliamini yeye ni mshindi k**a kweli kuna wenzake wanapitapita kufukuzia halafu yeye kafikia levo ile, basi yupo juu...
“Yes! Mshindi mimi bwana,” alisema moyoni Jombi...
“Hapana mzee Hewa mimi binafsi sina lengo baya na mke wa mtu...kwanza mimi ni muoga sana na wake za watu,” alisema Jombi huku akilichukua gazeti kwa mzee Hewa na kusoma habari aliyoambiwa. Mama Mei akatoka tena, safari hii alikata kona kwenda kwenye kiduka cha jirani. Alikuwa ndani ya kanga moja tu, sasa ile tembea yake na mtingishiko wa wowowo, mzee Hewa alijishika kichwa licha ya umri wake mkubwa, Jombi yeye alijiinamia.
Walinyamza kimya! Kimya kabisa!! Wakati anarudi sasa, macho yake yalikutana na macho ya Jombi yakiwa yameoneka kuumizwa, mama Mei akaachia tabasamu pana kwa maana ya kuweka ukaribu wa kibinadamu kwa vile alimsaidia juk*mu la kununua mahitaji.
Jombi naye aliachia tabasamu la woga, akamwangalia kwa k*msoma kuanzia juu kwenda chini, mama Mei akazama ndani kwake. Safari hii, mpaka Jombi anaondoka zake, mama Mei hakuwa ametoka tena. Mbaya zaidi, hatua chache mbele, Jombi alipishana na mume wa mama Mei akiwa anarejea nyumbani kwake. Walikutana macho, baba Mei alionekana k*mmaindi sana Jombi.
***
Siku ya tatu, jioni, Jombi alishatoka kazini sasa alikuwa akirandaranda mitaani, akaibukia mtaa wa jirani na kwa mzee Hewa ambapo pana baa.
Alikaa hapo. Katika kutupia macho, akamwona mama Mei amekaa sambamba na mume wake, alishtuka...
“Ohoo! Jamaa si atajua namfukuzia mke wake, maana nabanana naye sana,” aliwaza moyoni. Mama Mei naye, katika kupitishapitisha macho, akamwona Jombi, akafurahia moyoni kwani alik*mbuka alivyomtuma sokoni...
“Wanaume wengine jamani, wakarimu kweli. Baba Mei umtume vile sokoni, mbona atakung’oa meno,” alisema moyoni mama Mei. Kuna wakati baba Mei alikwenda chooni, mama Mei akatumia nafasi hiyo kulisisitiza jicho lake kwa Jombi ambapo yalikutana, mama Mei akaachia tabasamu na kupunga mkono, Jombi naye akapunga mkono, wakaachiana tabasamu.
Baba Mei alipotoka chooni, hakukaa, aliondoka na mkewe huku baa yote wakimtupia macho, wake kwa waume. Baadhi yao walionesha kutingisha vichwa vyao kutokana na umbo la mama Mei. Jioni hiyo, alivaa suruali ya kubana na t- shirt pia ya kubana, sasa wakati anakanyaga chini ili mguu uende mbele, looo!
Wanaume walionekana kuumia ndani kwa ndani, wengine walisemezana kwenye meza. Kwa upande wake, Jombi alionekana kuumia zaidi kwani alimkodolea macho mwanamke huyo mpaka anapotea na mume wake huku moyoni akiumia k**a vile mwanamke alikuwa wake sasa ameporwa na mwanaume mwenye fedha zake.
Saa mbili usiku, Jombi aliondoka kwenye baa hiyo kurudi kwake, lakini akaamua kupitia njia ya kwa mzee Hewa akiamini anaweza hata kusikia sauti ya mama Mei...
“Yule saa hizi atakuwa ameshalala,” alisema moyoni Jombi. Alipita nje ya nyumba hiyo huku macho na masikio yakiwa hapo. Ghafla alisikia mlango mkubwa ukifunguliwa kwamba kuna mtu anatoka. Jombi alisimama na kukazia macho mlangoni, moyoni alimwomba shetani wake amsaidie kwamba, anayetoka awe mama Mei...
“Yaani akinipa dakika tatu tu ya kunisikiliza atajua mimi ni nani na naamini ataingia laini,” alisema moyoni Jombi huku macho yake yakitamani sana k*mwona anayetoka.
MWANAUME mmoja mnene, mrefu, mweusi tii ndiye aliyetoka akiwa amevaa singlendi kwa juu, chini pensi. Alionekana ana asili ya ukorofi...
“Mbona umesimama hapo kijana, una shida na nani?” aliuliza yule mwanaume huku akikohoa.
“Hapana, napita tu,” Jombi alijibu kwa upole huku akianza kutembea. Lakini muda huohuo, mama Mei alichomoza kwenye mlango mkubwa, akashuka ngazi na kuelekea uelekeo wa ile baa waliyokaa. Kwa usiku ule na kwa kutumia mwanga wa taa ukijumlisha na tembea yake, hata yule mwanaume pale nje alimwangalia kwa macho yenye matamanio makubwa...
“Haya bwana, ulimwengu shujaa,” alisema yule mwanaume huku mama Mei k**a vile anafanya kusudi sasa, maana ungeweza kusema mzigo utaanguka wakati wowote ule. Jombi alitamani kugeuza njia kwani aliamini mama Mei anarudi kule baa kwa ajili yake.
Alichofanya, alikatiza mbele akageuza kwa njia nyingine na kutokea baa. Alivuta kiti na kukaa huku macho yake yakimulika kila kona k**a atamwona mama Mei. Lakini hak*mwona! Jombi alijisikia unyonge sana, akaondoka kurudi kwake lakini safari hii akitumia njia nyingine.
***
Ilikuwa siku iliyofuata asubuhi, mzee Hewa alikuwa uani akipiga mswaki ili afuate mafao yake, NSSF, mama Mei alitoka ndani kwake akiwa ndani ya kanga moja tu...
“Shikamoo mzee Hewa...”
“Marahaba mwanangu, umeamkaje mama?” aliitika mzee huyo huku akimwangalia mama Mei anavyokwenda chooni huku wowowo likisomeka kwa baba mwenye nyumba wake kwa mtetemeko...
“Leo mbona asubuhi sana mzee Hewa?” mama Mei alimuuliza bila kusimama... “Nafuata vijisenti vyangu NSSF bwana...”
“Ahaa! Kavilite tule hata nyama,” mama Mei alimtania mzee huyo. Mzee Hewa hakuongeza neno kwani tayari mama Mei alishazama chooni. Lakini wakati anatoka, baba Mei naye alikuwa ameshatoka alikuwa uani hapo akipiga mswaki. Kwa hiyo mzee Hewa alishindwa kutia neno mbele ya mali za watu...
“Hivi wewe mbona hunisikii?” baba Mei alimuuliza mkewe kwa sauti ya chini lakini yenye hasira sana, mama Mei hakujibu, akaenda ndani. Kwa mzee Hewa baba Mei k*mlalamikia mkewe kwamba hamsikii ilikuwa k**a mara ya saba tangu wamehamia pale...
“K**a ni mara saba je mara ambazo mimi sijasikia ni ngapi? Kuna jambo, huyu mama hataki k*msikia mume wake na hawa ndiyo wanawake wetu siku hizi,” alisema moyoni mzee huyo, akaenda kuoga akarudi ndani kwake kujiandaa. Baba Mei ndiye aliyeanza kutoka ndani ya nyumba ile. Wakati mzee Hewa anatoka, alimwita ili ampe lifti...
“Ameshaondoka mbona,” alijibu mama Mei...
“Ooo! We upo?” mzee Hewa alimuuliza akiwa amesimama mlangoni, mama Mei akatoka huku na kusimama mlangoni...
“Mimi nipo baba,” alisema mama Mei. Mzee Hewa alimwangalia mama Mei, mama Mei naye akagundua anamwangalia, wakaangaliana, mama Mei akainamisha uso...
“Hivi mjukuu wangu...” “Abee...”
“Mumeo anapenda kukulalamikia kwamba humsikii, kuna nini kati yenu?” Mama Mei akaachia tabasamu...
“Mzee Hewa, baba Mei hana lingine zaidi ya wivu. Yeye hataki mimi nivae kanga, nivae suruali, anataka nivae magauni makubwa tu...sasa kwa mfano saa zile natoka kwenda chooni, nivae gauni k**a nakwenda kanisani, inawezekana kweli..?
“Haya, k**a vile haitoshi, hali ya jiji letu la Dar inafahamika, sasa mchana na jua kali mimi naenda sokoni, nivae gauni k**a nakwenda kwenye mkutano wa wazazi shuleni, ni sawa kweli?” Mzee Hewa alibaki akisikiliza, ikafika mahali akasema...
“Kuna dozi yake nitakupa...”
“Ya kunywa ya k*meza?” aliuliza kwa haraka mama Mei...
“Ya kawaida tu, wivu wote huo utakwisha...”
“Kweli mzee Hewa? Maana ananikwaza sana ujue...”
“Dawa yake ndogo tu nitakupa dozi mimi,” alisema mzee huyo huku akiondoka...
“Mzee Hewa naisubiri kwa hamu kubwa hiyo dozi,” mama Mei alimsindikiza kwa maneno hayo.
***
Kesho pia ni siku….😂
Usisahau kulala vizuri!
*Shalom Shalom*
Wafilipi 4:6
Msijisumbue kwa neno lo lote; badala yake omba juu ya kila kitu. Mwambie Mungu kile unachohitaji na k*mshukuru kwa yote ambayo amefanya.
Tunapoishi kwa kujitegemea tunajikuta tunakabiliana na vita vya maisha peke yetu, Lakini tunapoishi kwa k*mtegemea Mungu Yeye hufanya kazi kwa niaba yetu!
Tunapochukua kila jambo na kuliombea tunaliweka mikononi mwake! Tuna mengi ya kushukuru tunapoishi kwa k*mtegemea yeye.
Hatuhitaji kuhangaika wala kuwa na wasiwasi juu ya jambo lolote kwa sababu tunaye mwenye mamlaka ya kila kitu. Tumtegemee na k*mshukuru tukiamini yote atafanya kwetu kwa wakati!
*Niwatakie mchana mwema🙏*
Tuendelee TULIPOISHIA…
TOYOTA SPACIO NEW
Year 2004
Engine Vvti
1Nz,Cc 1490
Seven Seat
Full Air Condition
Price 12.8ML
CALL 0767207525
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam