Maida Waziri
This page celebrates Chief Executive Officer (CEO) of IBRA Contractors Limited: and president of VOWET.org
Je unawezaje kutambua soko kwenye ushindani wa kibiashara ili kuweza kuteka soko na kufanikisha lengo la kibiashara- Maida.Waziri ;-
waziri
maida.waziri Akiwa mstari wa mbele katika kuhamasisha vijana kuacha kukata tamaa badala yake kuanza na mtaji mdogo au ulichonacho ili kufikia level za juu za ujasiriamal.
Sauti ya mwanamke mjasiriamali Tanzania ,
- Maida Waziri, Chief Judge,
.waziri
Akili ya pesa challenge tukijaribu kupima swala zima la ubunifu katika ujasiriamali kwa vijana wetu , wengi hufanya biashara lakini kuna vitu wanashindwa kuvizingatia na kujikuta kushindwa kutimiza malengo yao kibiashara - Maida Waziri, Chief Judge,
.waziri
Akili ya pesa challenge imezinduliwa kwa lengo la kuhamasisha na kuamsha vijana kuweza kutambua Fulsa zinazo wazunguka na kwa namna gani wanaweza kuzitumia na kunufaika - Maida Waziri, Chief Judge,
.waziri
Kwa hakika tumeona nguvu ya vijana kwenye swala zima la kutaka kujikomboa kimaisha , sisi k**a akili ya pesa tumejipanga vyema kuangalia namna gani tunaweza kusaidia na kusimamia vijana wetu ambao wapo tayari kuzitumia Fulsa
Chief Judge Maida Waziri
Akizungumza ni kivipi Akili ya Pesa Challenge imeweza kuwa fursa kwa vijana pamoja na kuhamasisha vijana kujikita katika swala zima la ujasiriamali-
.waziri
*Zoom Meeting*
*Monday, May 30th, 2022, 11:00 am*
*Watch Tanzania* inakualika kushiriki Mkutano Maalum utakaofanyika Mei 30, 2022 (Jumatatu) kupitia Mtandao wa Zoom kuanzia saa 5 kamili asubuhi hadi saa 7:30 mchana.
Mada;
Pongezi za Tuzo ya Miundombinu kwa Rais Samia na Mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita kwenye kuimarisha Sekta ya Miundombinu
Muda ukifika (Saa 5 kamili asubuhi, Mei 30, 2022 - Jumatatu) utaweza kujiunga na mkutano kwa kubofya ~ https://bit.ly/3wTF3O5
Au kupitia
Meeting ID: 88179756201
Passcode: 554227
Mkutano huu utarushwa mubashara (Youtube) kupitia EATV, Millard Ayo, Clouds Digital, Global TV Online, Dar Mpya TV, Gilly Bony TV, TBC Online, Mwanahalisi Digital, Mwananchi Digital, EFM Digital, Star TV, Saangapi TV, Daily News Digital, ITV na Azam TV.
Karibu tujadili mchango wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuimarisha Sekta ya Miundombinu nchini.
Mkutano huu umedhaminiwa na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania - TADB na Mtandao wa Simu wa Airtel - Tanzania
Somewhere in Tanzania. So beautiful
Vowet training--