MwanaFA
You may also like
Sports Tourism...Tennis in Seringit 🎾
Jana nikiwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali ya 34 ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSuBa) niliwatunuku vyeti wahitimu 270 waliofuzu katika kozi mbalimbali. Taasisi hii ya kipekee kwenye ukanda huu wa Afrika Mashariki na Kati inaendelea kufanya vizuri kwa kutoa mafunzo mbalimbali katika masuala ya Sanaa na Utamaduni.
Miongoni mwao ni marafiki zangu na Viongozi wa Vyama na Mashirikisho yanayojihusisha na masuala Sanaa na Utamaduni ambao walihitimu mafunzo ya Uongozi,Biashara na Masoko ya Sanaa na Utamaduni,wazo tulilolitoa mapema mwanzoni mwa mwaka huu na limeanza kufanyiwa kazi na Uongozi wa TaSuBa kwa mafanikio makubwa. Nawapongeza sana Viongozi Wahitimu hawa kwa hatua hii muhimu inayomaanisha dhamira yao ya dhati ya kuijiongezea ufahamu wa namna ya kuongoza taasisi zao ambayo naamini itasaidia kutuondolea migogoro isiyo na tija na kusaidia kulisukuma gurudumu la Sanaa yetu mbele.
S/O kwa mwanangu kuwa miongoni mwa mlioamua kuchukua hatua mapema namna hii..you inspire Rasta.
Niko Bega kwa bega na pamoja na watanzania wote walioguswa na kampeni hii ya iliyo chini ya taasisi ya mahususi kwa ajili yakuchangia wagonjwa wenye matatizo ya figo nchini, ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam , Jumapili hii ya tarehe 10 December!
WASHIRIKI
tanzaniaackson
org
Hizi picha ni kali,nyingi na zinasema sana..kwa hiyo basi,UKURASA HUU UMEKODISHWA NA BI SAMIA LEO...
Umekutwa na matatizo na Rais wako anakuja mwenyewe ana kwa ana hospital ama nyumbani ulipo kukujulia hali..sio kwa simu wala sio kwa kutoa maelekezo peke yake,yani ile mguu kwa mguu,uso kwa uso mpaka Katesh. Matatizo kweli yanakuwa yamekupafa lakini nina uhakika faraja inayokuja moyoni mwako haina kipimo cha kuifahamu.
Asante sana Mhe Rais kwa kuendelea kuonyesha uungwana kwa wananchi wako.
Tulikuwa na wakati mzuri jana kwenye uzinduzi wa iliyoandaliwa na Mhe Waziri wa Afya na Mbunge wa Tanga Mjini Dada yangu ambapo pamoja na mambo mengine niliwakumbusha wakazi wa Jimbo hilo juu ya juhudi za Mhe Rais na Serikali anayoiongoza ya awamu ya 6 kwenye kurahisisha mazingira ya kushiriki michezo na kupandisha viwango na uchumi wa wachezaji na timu zetu kwa kuongeza nguvu kwenye ujenzi wa miundombinu ya michezo nchini.
Taarifa yenye upendo mkubwa ya maelekezo ya Mheshimiwa Rais ..Pole Hanang.
Mama anapiga na mikutano pembeni ya mkutano,hakuna muda wa kupoteza..show show..🫡
Respect nyingi kwa Yanga na Simba..droo mbili zimepatikana jana ila wapinzani wetu "tumewatafuta" sana.sako la nyani kabisa..ambayo inatuambia tu kuwa ubora wa timu na ligi yetu umeongezeka sana. Kuna mahali tunaelekea na mpira wetu..SALUTE.
haijalishi babu yako alikuwa mrefu kiasi gani,inafaa "urefuke" kimpango wako..
- Lincoln
Well Deserved..Wewe Ni Mtu Bingwa Sana
Hongera sana brother 🫡
Thursday...🎤
Mashineni
Unguja - Dar mdogo mdogo..🛥️
Kunahitajika hekima kubwa kwenye kutambua wapi pa kuishia..
Muombwa n'ndai?
Kamati ya Siasa(W)..Halmashauri Kuu Za Kata Genge,Mbaramo,Masuguru na Tanganyika jana.
Kazi Inaendelea.
Mama amenunua tickets zote za mzunguko watu wake tuingie uwanjani bila kulipa..kazi tuliyoachiwa washabiki wa kabumbu ni kutinga jezi zetu na kuujaza uwanja tu. Na jezi zenyewe k**a mnavyoziona mtoko kabisa kusema la ukweli,unavaa unaenda nayo popote. Twendeni tukauduwaze ulimwengu..🇹🇿🇹🇿⚽️
Tulikuwa na wakati mzuri kwenye Fainali za SWALLE Cup jana jimboni Lupembe mkoani Njombe..sehemu ya utekelezaji wa ilani ya 2020.
Kilipigwa kwelikweli,kati ya Igongolo 3 - 0 Matembwe..vipaji ni vingi na tuna mipango mizuri navyo tayari kuona namna ya "kuvifikisha mjini"
Umetisha sana Mhe Mbunge
Simbaaaa..moyo wako wa kujitolea umechangia pakubwa sana kuibadilisha sura ya michezo nchi hii,na tunakushukuru sana sana..happy birthday kaka,tunakuombea maisha marefu na zitimie haja za moyo wako za kheri. We ni mtu bingwa kabisa,brothers' keeper.
Nilipita IST leo kuwakabidhi bendera ya Taifa tayari kwa safari ya Afrika ya Kusini kwenda kuiwakilisha Tanzania kwenye "BAL Elite 16"..🏀
Kwa niaba ya Serikali ya Awamu ya 6 chini ya Mhe Rais Mama kila la kheri CHAMA LA WANA.
Ulikuwa wakati mzuri kwenye Ufunguzi wa Mashindano ya 53 ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika ya Umma,Taasisi na Makampuni Binafsi Tanzania SHIMMUTA leo jijini Dodoma Mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Madini Dr
B I L A S A N A A 🎶
Sababu nyingine kubwa ya mimi kupenda mpira wa miguu(na utani wa timu hizi mbili giants nchini) kwa moyo wote ni huu umoja unaouleta. Masihara ni mengi na watu kukasirika kabisa sababu wameweka mioyo kwenye hii kitu na pengine kuna wakati matokeo yasije kulandana na matarajio yao,lakini undugu uko pale pale.
Asante sana mpira wa miguu..asanteni sana na 🇹🇿🇹🇿
🙏🏾
My G.. zimechapika jana. Hongera nyingi for winning all these awards. Inaashiria pamoja na mambo mengine kwamba kazi kubwa tunayofahamu unaifanya hatuioni peke yetu. Hongera sana.
Uwanja wa Jamhuri jana.
Lilipigwa game flani la ndondo lenye viwango vizuri sana kati ya 77 Mitumba na Gwasa. Watu wa mpira tulifurahia kipute..⚽️⚽️
ASAS RALLY of Tanzania..kesho hapo ASAS Dairies Farm,Matembo na Sao Hill,Mafinga..🏎️🏎️
Picha chache zenye maneno mengi..zinasema sana..zinasema mno..mpaka hutaki kuongeza neno,manake picha zinaongea na wewe ukiongea si itakuwa kelele sasa mwisho wake..just enjoy the view huku ukifahamu kazi kubwa inafanyika.
MAMA ON THE WHEEL..💪🏽
Fainali hapo mjini Jamhuri LEO..🔥🔥🔥
Mkutano Wa Kumi na Tatu.
Kikao Cha Nane.
Swali Namba 115.
Kwa Niaba Ya Waziri Wa Utamaduni Sanaa Na Michezo.
Nilifurahi kuwaalika na kutembelewa na ndugu zangu wa hapa ofisini kwetu juma lililopita. Kukutana na wakwenu kwenye mazingira ya nje ya nyumbani huwa ni jambo la kufurahisha kila wakati.
Leo kweli ilikuwa kivumbi na jasho..
Sema internet ya Mama Samia ina speed sana hapa uwanjani.. nimewakubali
Mipango mikubwa haikamiliki kwa jitihada ndogo..
🎶
Hii ni moja ya kampeni za kuvutia kabisa ambayo nimewahi kushiriki kuizindua,kampeni inayoshirikisha timu zetu za ligi kuu za na kwa kuanzia (na nimetoa wito kwa timu nyingine kujiunga) ili kusaidia kupunguza ama kuondoa kabisa ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa jinsia zote),PIGA MPIRA SIO MWANAMKE..nina hamu kubwa ya kuiona kampeni hii ikifanikiwa kwa 100% kwa vile kufanikiwa kwake kutapunguza shida nyingi sana majumbani mwetu.
tz .nyange
Kilombero Golf Open Jioni Hii🏌️♂️
Mambo yenu ya mamipira na mimi tooofauti
Kuna ualimu katika wake zetu na mama wa watoto wetu majumbani,kuna walimu mashuleni,halafu kuna vitabu hivi vinavyoishi,vya wanawake wa mfano,walioletwa na kuishi katika zama zetu watusomeshe kwa ushahidi wa macho yetu,vikiongozwa na Mama ili kutufundishia KWA VITENDO watoto wetu WA K**E jinsi inavyotakiwa kufanywa..
Hongera SANA Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) Dr .ackson
TUNAANDIKA.
Ufuatiliaji wa majukumu yetu Ofisi ya Hakimiliki..na kikao kifupi na ndugu zangu wa THT na Kipepeo Mweusi jana.
Ukaguzi wa ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na ujenzi wa Recreation Centre ya Dar es salaam kati ya mbili zinazojengwa na Serikali hapa na Dodoma leo.
Kwa "Lupaso" tupo vizuri sana kwenye hatua hii ya kwanza ya ukarabati,takribani 99% ya malengo yetu yametimia.
Hili la ujenzi bado tupo nyuma lakini tumepeana maelekezo na namna ya kutatua changamoto zilizopo.
Hili kundi LINAONGELEKA kusema kweli..naamini tunatoboa.
Heri ya kumbukuzi ya siku ya kuzaliwa Mzee wangu Rais Mstaafu Jakaya Kikwete.
Kitabu kinachotembea,busara nyingi na charisma ya kuiombea Mungu atupe japo kidogo k**a yako.
Mungu aendelee kukuweka,kukupa afya njema na asiubadili moyo wako tuendelee kuchota "madini"...🎂🎉
Cc
Click here to claim your Sponsored Listing.
Videos (show all)
Category
Contact the public figure
Telephone
Website
Address
Kinondoni/TMK/Sinza
Dar Es Salaam
KWANZA UNIT was an early Tanzanian Rap group. It was formed in 1993 by a merger of several groups.
Kibangu, Riverside, Ubungo
Dar Es Salaam
ARTISTIC & MUSICAL FOR JESUS CHRIST - Singing, Rap, Ragga, Poetry & Spoken Word, Keys, Guitars, etc
Dar Es Salaam
The Band plays "Twanga Pepeta" beats- (Dancing style of the band) in Swahili. Others are Rhumba, Zouk, Chacha, Ndombolo, Blues, Soca, etc all in Swahili, French, English, Spanish a...
Dar Es Salaam
Artist | Activist | Actor | Visionary | 2016 Kora Award Nominee | 2013 BBA Performer | 1/4 of SSK
Dar Es Salaam
Multi-talented writer, composer and performer of new generation music of East Africa - Bongo.
8142
Dar Es Salaam
I reign in my self! I rule my passions desires and fears. this make me more than a KING!
Dar
Dar Es Salaam
Yes indeed it iz of great honor 2 serve as a member in dis crew ...Coz as the crew coordinator i recall establishing it with only 3 memberz and yet now 9 (updated)...And wit luv 4 ...
Internet
Dar Es Salaam
Kikosi cha mizinga is located in Dar es Salaam. Block 41, Kinondoni. Kikosi have been doin real HIP-HOP ever since.