Ngurumo za Simba

Ngurumo za Simba

You may also like

Chota Mihela
Chota Mihela

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngurumo za Simba, Sports Event, tegeta wazo, Dar es Salaam.

page yetu itahusiana na habari za Michezo mbalimbali na utamaduni wakitanzania tupo hapa kupeana habari motomoto pia kukujuza mahusiano ya ngurumo za simba na simba sport club, jua meeengi kuhusu ushabiki na uwanachama wa simba kupitia ngurumo za simba

15/08/2024

Mipango KAZI 4 New season

06/07/2024

Duniani asilimia kubwa maji hufia umeme yaan majinhutengeneza umeme lakin huruhusiwi skuweka maji kwenye uameme
Myanielewa tuu

05/07/2024

Mipango kaz

02/02/2024

120363224048039966@newsletter" rel="ugc" target="_blank">https://api.whatsapp.com/send?phone=+120363224048039966@newsletter

27/01/2024

Tunakutakia Maisha Marefu Na Yenye Mafanikio Makubwa Katika Kuliongoza Taifa Letu La Tanzania. HAPPY BIRTHDAY OUR PRESIDENT.

27/01/2024

Happy birthday to me

Photos from Ngurumo za Simba's post 06/01/2024

Hakika hapa tumelamba dume congratulations viongoz wa

06/01/2024

Kiungo mkabaji wa kimataifa kutoka Senegal, Babacar Sarr ametua Unyamani.

Taarifa zaidi kwenye Simba App. https://simbasc.co.tz/app/

19/12/2023

Kikos chetu cha ushindi leo

19/12/2023

Najivunia kua simba mnyamaa leo ndo leo lazma nkaishabikiie timu yangu kwa kila hali na mali ww k**a mwanasimba , rafiki au mtu wangu wa karibu twenzetu tukamnyoe mwarabuu anakufa mbili lupaso

15/12/2023

Tunaondoka na alama tatu na magoli matatu.

15/12/2023

Hiki hapa kikosi cha leo.

09/12/2023

Kla lagher wapambanaj wetu

09/12/2023

Kila la gheri

Siku ya kazi katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

05/12/2023

Wanangu macho yetu akili yetu ni kwenu tunawaomba mshinde mechi hyo sisi k**a mashabiki tuujaze uwanjaa tuwaonyeshe heshma yenu kwakua nyie kimataifaaa ni taifajingine kabisa safari hii tunaitaka fainalii

02/12/2023

Chukua hiii

02/12/2023

Ni Imani na timu yangu nnaimani na wachezaji wangu kuanzia leo haniambiiii kitu mtu nkamuelewq kma wao ni bora kuliko sisi mechi mbili point 1 kweliii sisi wabovu mechi mbili point 2
Hakika nikushauri ww mwanasimba usirubuniwe ukasaliti chama letu kwenye mechi ijayo tukawaaonyeshe wachezaji wetu ukubwa wetu kimkakati tuishinde mechi ijayo tujiweke kwenye nafasi nzuri yakusonga mbele

Sasa ni wakati wakuweka pamba masikio akili ya kuambiwa changanya na akili yako kwani mapenzi yako hayatatengenezwa na jirani twenzetu tukaisaport timu yetu kwa manufaa yetu

Tuna timu nzuri leo imetuonyesha mwanga maana galax walikua wanacheza kimkakati kwa mbiiio mmmno na tumewdhibiti nnayoimani mwal atatuongoza vyema na tutashinda mechi zijazo

Simbaaaaaaaaaaaaaaa
Nguvuuuu.......

02/12/2023

Naskia msuli umevuka ukooo

02/12/2023

Mchezo umekwisha.

02/12/2023

*YAAH RABBY MWINGI WA REHEMA WEWE NDO UNATUJUA WAJA WAKO YAAH RABBY SISI WANASIMBA TUNAKUOMBA IJALIE TIMU YETU YA SIMBA SC USHIND KTK MCHEZO WA LEO VS JWANENG GALAXY IKIWA WAO YAAH RABBY WALIKUOMBA NA SISI WANASIMBA TUNAKUOMBA....🤲🤲 IKIWA WAO NYUMBAN NA SISI TUPO UGENINI TUNAKUOMBA UTUJALIE USHINDI KTK MCHEZO HUU NA UWE MWANZO MZURI KWETU YAAH RABBY HAKUNA ALIYE KATA TAMAA NA SIMBA YAKE YAAH RABBY KM MTU HUYO YUPO BASI ALLAH MPOTEZE NA MPOTEZEE MBALI SANA TENA HUYO SIKU YA MWISHO ASIWE MIONGONI MWA UMOJA MAANA CLUB YETU INAAMIN KWENY NGUVU MOJA IWEJE YEYE ATUTENGE🤲🤲🤲 YAAH RABBY WW NI MJUZI UNATUJUA ZAID SISI TUNAVYO JIJUA...YAAH RABBY WAGUSE NA KUWAFUNGUA WACHEZAJI WETU MIGUU YAO WAFUMBUE MACHO YAO YAWEZE KUONA GOLI FURAHA ILIYO POTEA KWA MUDA YAAH RABBY WW NDO MWENYE KUILEJESHA 🤲🤲 TUNAKUOMBA NA TUNAAMINI KWENY DUA KM TULIVYO KUJA KWAKO TUNAIMAN TUTAMALIZA NA DUA.... KWA REHEMA ZAKO NA KWA REHEMA ZA MITUME WAKO KWA KUSEMA HAYA YOTE TUNASEMA AMIIIN🤲🤲🙏🙏*

Photos from Ngurumo za Simba's post 29/11/2023

Kocha mkuu Abdelhak Benchikha amekutana na kufanya kikao na wachezaji kwa mara ya kwanza.

24/11/2023

Moses anafuraaahiiii anasema kesho atatufurahisha na sisi
Naskia mchawi uarabuni katulizwaaa

24/11/2023

Karibu Unyamani kocha wa makombe Abdelhak Benchikha.

24/11/2023

*WA KUBADILISHA HUU UPEPO MBAYA WA SIMBA NI WACHEZAJI*

Wachezaji wa Simba ndio wameshika funguo za kurudisha Kila kizuri Simba au kukipoteza kabisa.

Nimewahi kuandika mara kadhaa. Hata ungekuwa na kocha ni malaika. K**a mchezaji hukimbii umbali mrefu kuliko wapinzani uwanjani, hushindi mipira ya kugombania, hupori mipira Kwa wapinzani na kuhakikisha muda mwingi mpira unakuwa kwenye himaya yenu. Hutumii nguvu kupora mipira au kushinda mipira. Ni ngumu sana timu ya mpira wa miguu kushinda mechi.

Nina hakika haya yote yapo ndani ya uwezo wa wachezaji wa Simba k**a wataamua kuyafanya.
Shindeni mechi tatu mfululizo muone k**a hali haijabadilika na kusiwe na haja ya vikao Wala kunyoosheana vidole.
Yatabaki tu madogomadogo ya kuambiana huyu ni hivi na yule ni hivi tena wakati mwingine Kwa majungu na Wivu tu wa kwanini?

Wachezaji ndio Kila kitu Katika mambo yote.
Mkiamua kutuliza upepo mbaya mnaweza. Na najua na Sina shaka hata chembe haya yapo ndani ya uwezo wenu.

Wachezaji mnatakiwa kufanya kazi yenu bila kujali nje kunazungumzwa nini.

Mashabiki wa Simba ndio Nguzo muhimu kuliko zote kwenye mafanikio ya timu. Kuna wakati familia inapaswa kuweka tofauti kando Ili kunusuru anguko la familia. Mambo ya ndani ya familia yanapaswa kumalizwa ndani ya familia bila kuwapa nafasi maadui wa familia kuibeza na kuinanga familia. Huwezi kuhama ukoo hata k**a Babu na bibi yako wamekutenda vibaya. Babu na bibi watapita na muda wao Kuna siku lazima utafikia ukomo ila Ukoo utabaki milele.

Simba ikiadhirika ni Wanasimba wote duniani wanafedheheka. Zipo klabu mategemeo yake ni fedha, mbinu chafu, kuhonga machawa na waandishi, na watu wa juu wenye uwezo wa kushinikiza lolote lifanyike Ili tu klabu Yao ionekane ipo juu.
Simba msingi wake mkuu ni mashabiki wake ambao wapo tayari kupambana Kwa Ari na nguvu zote Kwa ajili ya timu yao.
Siku ikitokea Kwa sababu yoyote Ile tukawapoteza hawa mashabiki Kwa sababu aidha za kweli au uzushi tu. Ndio siku Simba itazikwa kaburini.

NARUDI ZANGU MSITUNI KUHAKIKISHA SIMBA INASHINDA KILA MECHI ILIYO MBELE YETU.

*MAKWAZO HAYANA BUDI KUTOKEA, ILA OLE WAKE AMSABABISHAYE MWENZIE MAKWAZO, MAANA NI HERI JIWE LA KUSAGIA LINGEFUNGWA SHINGONI MWAKE

Photos from Ngurumo za Simba's post 21/11/2023

Leo Uongozi wa Simba SC, kupitia kwa M/Kiti wa Bodi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Simba SC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wamekutana na wanachama wa Simba SC ambao walikuwa wanalalamikia Uongozi kwa kumtaka M/Kiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu kujiuzulu nafasi yake.

Kwenye Kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Gerezani zimejadiliwa agenda Kuu nne kutoka kwa wanachama ambazo ni Mpasuko ndani ya Klabu, Timu kufanya vibaya, Mabadiliko ya Katiba na Usimamishwaji wa baadhi ya viongozi wa matawi bila utaratibu.

Baada ya kusikiliza Agenda hizo Uongozi wa Simba SC, Kupitia kwa M/Kiti wa Bodi Simba SC, Salim Abdallah na M/Kiti wa Simba SC, Murtaza Mangungu wamekubaliana na wanachama hao Kwanza kuunda K**ati ya maridhiano.

Maridhiano hayo ni pamoja na Uongozi wa Bodi ya Simba SC ukutane na wagombea wote walioshiriki uchaguzi uliopita na kukaa pamoja kwa ajili ya maendeleo ya Simba SC.

Lakini pia Kikao hicho kimetoa Ushauri wa namna ya kudhibiti kambi kwa maana wanafanya usajili mzuri ila wachezaji huwa hawafanyi vizuri.

Kikao hicho pia kimetazama namna timu yao na baadhi ya wachezaji kuonekana kufanya Hujuma, na wamekubaliana wanalifanyia kazi hilo kwa kuzingatia namna bora ya timu kubaki na balance.

Miongoni mwa makubaliano mengine ni marekebisho ya Katiba na zoezi hilo miongoni mwa wajumbe tarajiwa atakuwepo Advocate Moses Kaluwa ambae alikuwa mgombea wa Uenyekiti Simba SC, na wajumbe wengine watapendekezwa na wanachama waliokuwa wanapinga uongozi watashiriki katika zoezi hilo la kurekebisha katiba ya Simba SC.

20/11/2023

Nani wakuinyima nafsi ikipendacho
Kwann uichukie timu yako kisa kufungwaaa!!!? Unahisi wachezaji na viongoz hawana mioyo tuliokua nayooo

Je tukiendelea kubeza na kuwadhihaki wachezaji wetu tunatara taraji nn kutoka kwaooo

Hiviii wakiendelea nao kutukomoa nani anaendelea kudhalilika k**a sio sisi wana simbaaa
Je tukubali kudhalilika kwaajili ya akili ya watu wachache na jee tuendeleee kudhalilika BIG NOOOO
MWANASIMBA shabiki wa kweli ni yule anaeipenda timu yake kwa shida na raha mm navumilia matakwa ya kisheria ntasema yangu sku ya MKUTANO MKUU nanoa kichinjio changu ntaukumu sku ikifikaaa ila leo siwezi wahukumu wachezaji wangu naowapenda wanaonipa furaha walioshinda goli Saba kwenye michuano yakimataifaaa waliotoa tunzo ya kiatu bora ntaendelea kuwaeshimu na kuwaeshim na kuwaeshimishaaa popote staki kuchanganya mambo nataka mkaitunze heshima yetu kimataifaaa
VIONGOZI
Waambie wanajeshi wetu yalopta si ndweleee tugange yajayo tunaitaka fainali ya champion legue

20/11/2023

Timu yako ya mapenzi ya moyoni unamsusia nan wakazi wa

Waliopo Dodoma Chuma hiyo hapo🔥🇵🇪💪🇲🇨tukutane kwa mkapa

12/11/2023

Ni jambo la kujivunia mashabiki wa

12/11/2023

0714500655
Part two

Wadau na wanachama wa simba kunasehem lazma tukubali tuna sehem tunafeli lakini kwa Sasa tusiwanyooshee vidole viongozi wetu na kukosea kwao tusifananishe makosa na adhabu za majirani tulipowaadhibu wakafanya na sisi tufannye kma wao tupigane bakora tutimuane hilo hapana tuwaachiie wao hii iwe tofaut ya sisi na wao

Halafuu nakataaa tudikimbilie kwenye vyombo vya habari kwakua :- Hata wewe una ugomvi na mkeo ukapge kelele kwa majirani je utakua umejiheshimishaa au wazidi jidhalilisha wanasimba sisi ni wakubwaa tujitathmni tutulie naamin uchaguz ujao hatutafanya makosa tenaa kwan vichinjio vipo

Nirudi kwa viongoz wetu niwaombe kwa heshma kuubwa tumewaamini tumewapa dhamana ebu jitumeni tuone matokeo uwanjanii

Mm nawapa kongole salum try again na mangungu kwan mmnaipambania timu ilaaa hakuna muunganiko direct baina ya baadhi ya viongoz wa wilaya na makao makuuu wilaya mbali mbalia kupitia matawi tunashirikiana kupigania timu lakin tunarusha mawe kizani
Matawi hayaamni kma wilaya zinafanya majukumu yao kikamilifu au nao ni wachumia tumbo maana kiualisia wilaya zinatakiwa kuungana na pamoja pia viongoz wa juu mtupe mrejesho kla tawi lipewe mrejesho wa kla linalofanyika
Tumeanzia kufeli huku chini hapo tulipofeli sisi na hatupanyooshei kidole ndipo mtani amepaimarisha viwanjani na kwa wachezaji wao ndio maana wanapata matokeo.
Nawashauri wanasimba tutulie tupambanie timu yetu ndio kwaanzamechi ya 7.

Kauli mbiu :- YALOPITA SI NDWELE TUGANGE YAJAYO MPAKA UBINGWA

12/11/2023

Jicho pevu
na [email protected]

Naongea na wewe mwanachama wa simba

Kwanza nianze na kutoa pole kwa kila mmoja wetu kwa kupoteza point 3 kwamtani

Inauma sana lakini pahitaji tafakari ya hali ya juu kwenye maamuzi juu ya club yetu pendwa ya Simba

Kwa upande wangu kma mwanachama wa simba sports napenda kuwahasa woote mmnaoongea na MEDIA kuacha mara mojaa kwani kikatiba sisi k**a wanasimba tunapo pakuongelea mambo yetu.

Viongoz wa wilaya na mkoa huwa mmnaitishaga vikao vya viongoz kwa Sasa ni jukum lenu kuwaita viongoz wamatawi na viongozi wa juu kabisa kufanya tathmni kwa hiz mechi 7 tumeteleza wap imekuwaje mpk mtani atufunge

Pia viongoz wa matawi muitishe kikao na wanachama chukueni maoni yenye tija yakuijenga simba yetu na kudumisha dhana ya nguvu moja na sio kla aliejaaliwa kuongea avunje katiba kwa kuongea na media nakusahau kua wanachama wa simba wanapaswa kutoa maoni yao kwenye mkutano mkuu

Hapo kwenye kuongea na vyombo vya habari wapo wanachama na wasiokua wanachama wa simba watajipenyeza kwa lengo lakutupasua tuu hivyo tuwaadharishe wote wanaosimama kwa vyombo vya habari kukoma mara mojaa

Wadau na wanachama wa simba kunasehem lazma tukubali tuna sehem tunafeli lakini kwa Sasa tusiwanyooshee vidole viongozi wetu na kukosea kwao tusifananishe makosa na adhabu za majirani tulipowaadhibu wakafanya na sisi tufannye kma wao tupigane bakora tutimuane hilo hapana tuwaachiie wao hii iwe tofaut ya sisi na wao

Halafuu nakataaa tudikimbilie kwenye vyombo vya habari kwakua :- Hata wewe una ugomvi na mkeo ukapge kelele kwa majirani je utakua umejiheshimishaa au wazidi jidhalilisha wanasimba sisi ni wakubwaa tujitathmni tutulie naamin uchaguz ujao hatutafanya makosa tenaa kwan vichinjio vipo

Nirudi kwa viongoz wetu niwaombe kwa heshma kuubwa tumewaamini tumewapa dhamana ebu jitumeni tuone matokeo uwanjanii

Mm nawapa kongole salum try again na mangungu kwan mmnaipambania timu ilaaa hakuna muunganiko direct baina ya baadhi ya viongoz wa wilaya na makao makuuu wilaya mbali mbalia kupitia matawi tunashirikiana kupigania timu lakin tunarusha mawe kizani
Itaendelea,,,,

Want your business to be the top-listed Gym/sports Facility in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Kikosi cha kufungulia msimu.
🛣️ Safari ya Ligi Kuu ya NBC inaanza!
Karibu Simba SC, Leonel Christian Ateba.Taarifa zaidi tumia Simba App na Simba Bando inayokupa dakika za kupiga, sms, da...
Wanasimbaaaaaaaa tukae mkao wa kulaaaa
Asante MunguNi matokeo mabaya lakini yenye kutupa maono wapi tunaelekea kwenye ujenzi wa kikosi chetu bora msimu huuTuna...
Kikosi cha Ubaya Ubwela.
Hongera sana Wana @ngurumo_za_simba  hakika mungu aendelee kutubariki tumekua mfano katika hii simba week
Sisi kma @ngurumo_za_simba  tumerudisha kldogo tulichokaaliwa kwa watoto wagonjwa  wenye uhiaji hosptalinTumeunga mkono ...
@ngurumo_za_simba  Leo tumetoa msaada katika week ya simba tulikua katika Hospital ya MUHIMBILI tulisaidia na kujtoa hud...
Karibu unyamani
Bro naskia uko mjini hapaaa Leo tunakutangazaaaa @simbasctanzania  mmejua kutufurahishaaa
We are simbaaaa

Category

Telephone

Address

Tegeta Wazo
Dar Es Salaam
Other Sports Events in Dar es Salaam (show all)
BestGoals BestGoals
Dar Es Salaam

Watani wa jadi Watani wa jadi
Dar Es Salaam

Hapa ni sehemu ya kukutana watani wa jadi

Alo Sports TV Alo Sports TV
Dar Es Salaam

Ukurasa maalum kwa ajili ya habari mbalimbali za Michezo kutoka Ulimwengu kote. MATOKEO..RATIBA..Etc

MTIGA SPORT Tv MTIGA SPORT Tv
Dar Es Salaam

karibu katika page ya Mtiga sport Tv kwa habari za michezo report muhimu kuhusu michezo matokeo na h

Aston villa Tanzania fans Aston villa Tanzania fans
Dar Es Salaam

ukurasa maalumu mashabiki na wapenzi was mbwana ally samatta na timu ya Aston villa Tanzania, hapa utapata habari zote kuhusu Aston villa na mbwana ally samatta Latina na update za...

Mayagillah Sports Fact Mayagillah Sports Fact
Dar Es Salaam, KIGAMBONI

Tanzania Sports Pundit

MR UK HALF Marathon MR UK HALF Marathon
Kariakoo
Dar Es Salaam, 12345

MR UK Half Marathon, is dedicated to promoting investment in the industrial sector. foreign and loca

MFUU YANGA MFUU YANGA
Bunju-Tegeta
Dar Es Salaam, 1472

Kim Mozart Empire Kim Mozart Empire
Dar Es Salaam

Kuunganisha wapenzi wa michezo duniani kote

Katavi Katavi
Ilala
Dar Es Salaam, 456543

welcome

Sports Dondoo Sports Dondoo
Dar Es Salaam