NIC Insurance

NIC Insurance

NIC Insurance

04/11/2024

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea banda la NIC Insurance kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) alipowasili kufungua Mkutano wa mwaka wa tisa wa Mtandao wa Wasimamizi na Mameneja wa Rasilimali Watu katika Sekta ya Umma Barani Africa

Waziri Mkuu Mhe. Kasim Majaliwa (Mb) alipatiwa maelezo mafupi ya namna NIC Insurance imeboresha huduma za bima kwa wananchi kwa kutumia mifumo ya TEHAMA kurahisisha upatikanaji wa huduma popote walipo kupitia aplikeshenu ya simu janja iitwayo NIC Kiganjani.

“Aplikesheni hii inamuwezesha mwanachi popote alipo kukata bima bila kufika kwenye ofisi zetu, pia inaruhusu kutoa taarifa endapo umepata ajali kwa upande wa bima za vyombo vya moto na kufuatilia madai kwa hatua zote na NIC tumeendelea kulipa madai ndani ya siku 7 za kazi” Alfred Bwojo - Afisa Bima NIC Insurance

Photos from NIC Insurance's post 31/10/2024

NIC Insurance imeshiriki hafla ya Tanzania Women in Aviation Leader's Conference ilioandaliwa na Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) leo tarehe 31/10/2024 kwenye Ukumbi wa Hyatt Regency Dar es Salaam.

Afisa Mkuu wa Masoko NIC Insurance Bwana Kafiti Kafiti alitoa neno la kuwapongeza wanawake walio katika fani ya usafiri wa anga na kuwakaribisha kukata bima NIC Insurance

31/10/2024

Kawaida sana kuwa na wasiwasi juu ya mafuta kwenye ndinga zetu, NIC inakukumbusha leo ni lazma kuhakikisha gari yako ina BIMA ili uwe na ulinzi wako na watumiaji wengine wa barabara

NIC Insurance imekurahisishia kupata BIMA yako kupitia simu yako popote ulipo kwa kupakua aplikeshini ya NIC Kiganjani kupitia simu za mfumo wa android na ios (iphone)

Kituo cha huduma kwa wateja kipo tayari kukupa usaidizi k**a umepitia changomoto yoyote kwa kupiga simu bure 0800 110 041

25/10/2024

Tanzania Marketing Science Association (TMSA)
Tanzania Marketing Congress and Awards 2024

Panel Topic: Consumer Perspectives

Panelist:
Karim Meshack
Director of Marketing and Communication-NIC Insurance & Chairman-TAGCO.

October 25, 2025 / Live on TV : ST BONGO

24/10/2024

Swali la msingi una uhakika?

Uhakika wa leo pengine tunao ila kesho yetu hatuna uhakika wa chochote, Karibu tuweke akiba kulingana na malengo yetu, kulinda wategemezi kifedha endapo utapatwa na janga la kifo

Kituo cha huduma kwa wateja kipo tayari kukupa usaidizi k**a umepitia changomoto /maswali yoyote kuhusu huduma zetu zote kwa kupiga simu bure 0800 110 041

23/10/2024

Tunawatakia kila la heri wanafunzi wote wanaofanya mtihani wa darasa la nne

21/10/2024

Safari yako ya kibiashara au ya kawaida utakayotumia gari kuvuka mipaka ya Tanzania 🇹🇿, NIC Insurance itakulinda muda wote dhidi ya majanga yatakayotokea

Vuka boda ukiwa na uhakika na Bima ya COMESA (Yellow Card) huduma hii tunaitoa kwenye ofisi zetu zote nchi nzima

Kituo cha huduma kwa wateja kipo tayari kukupa usaidizi (msaada) k**a umepitia changomoto yoyote kwa kupiga simu bure 0800 110 041

14/10/2024

Kumbukizi ya Miaka 25 ya Kifo cha Baba wa Taifa.

#

13/10/2024

Karibu NIC Insurance Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

09/10/2024

Mkurugenzi Mtendaji Ndugu Kaimu Abdi Mkeyenge kwa niaba ya Menejimenti na Watumishi wa NIC Insurance anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi Bi. Christine Christian Clipa kilichotokea tarehe 09/10/2024.

Tunatoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa, Marafiki,
Watumishi na wote wanaoguswa na Msiba huu.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amina.

08/10/2024

Karibuni kwenye semina ya elimu ya bima kwa wachimbaji wadogo wa madini na wafanyabiashara mkoani Geita - Oktoba 09, 2024 Kuanzia Saa 3 asubuhi

Photos from NIC Insurance's post 08/10/2024

Leo tarehe 8/10/2024 NIC Insurance imezindua rasmi Wiki ya Huduma kwa Wateja ambapo kulikua na zoezi la kukata keki na neno la shukrani kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji aliewakilishwa na Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji Bw. Abdulkarim Kisuguru. Katika hotuba yake, Bw. Kisuguru amewahimiza wafanyakazi kutumia maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja k**a chachu ya kuendelea kutoa huduma zilizokua bora kwa wateja wa NIC Insurance na kuiishi kaulimbiu ya 'Zaidi ya Matarajio'


&beyond

08/10/2024

Katika kusheherekea Wiki ya Huduma kwa Wateja tunawahakikishia wateja wetu kupata huduma bora popote mlipo kupitia aplikesheni ya simu janja (NIC Kiganjani) inayotoa huduma zote za Bima .

Pakua NIC Kiganjani kupitia playstore kwa watumiaji wa mfumo wa ios (iphone) na googleplay kwa watumiaji wa simu za mfumo wa android

&beyond

Photos from NIC Insurance's post 06/10/2024

Maonesho ya saba ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika uwanja wa Bombambili, Mkoani Geita yamefunguliwa rasmi na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati
Mhe. Dkt.Doto Biteko

NIC Insurance inashiriki maonesho haya kwa kutoa elimu na huduma za bima kwa wachimbaji wadogo na wakubwa kwa lengo la kuongeza tija kwenye sekta ya madini

Tunamekuwa tukitoa maelekezo ya namna bidhaa zetu zinavyoweza kumnufaisha mchimbaji kuanzia kwenye hatua ya uchimbaji hadi kuongeza dhamani ya madini

30/09/2024

Karibu kwenye Maonesho ya 7 ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Mkoa wa Geita anayotarajiwa kuanza oktoba 2 hadi 12, 2024.

NIC Insurance tutashiriki maonesho hayo kwa kutoa elimu na huduma za za BIMA kwa wananchi kwa kutambua umuhimu wa BIMA kwenye kukuza uchumi binafsi na Taifa kwa ujumla.

Mgeni rasmi wa maonesho anatrajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan

Kituo chetu cha huduma kwa wateja kinaendelea kutoa huduma, tafadhali tupigie simu bure: 080 0110 041

30/09/2024

inakuwezesha kukata BIMA popote ulipo kwa kutumia simu yako (simu janja) kwa kupakua app ya NIC Kiganjani kupitia playstore na googleplay.

Kwa msaada zaidi wasiliana nasi bure: 080 0110 041

24/09/2024

NIC INSURANCE ni uhakika

Majanga huja wakati ambao haujajipanga na kusababisha hasara, fikiria una ndinga yako na hujakata BIMA kutoka NIC Insurance ambayo inakupa fidia upatapo majanga.

Pakua App ya NIC Kiganjani uweze kukata BIMA yako Popote ulipo.

Tupigie bure 080 0110 041 tukueleze faida za Bimaflex.

Want your business to be the top-listed Finance Company in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Videos (show all)

Elimika na Bima #elimikanabima Usikose kufuatilia kipindi cha Elimika na Bima kupitia @cloudstv kila siku ya Alhamis kua...
#JumatatuyaNICTumedhamiria kufikisha elimu na huduma zetu mtaani kwako kwa lengo la kuongeza uelewa na umuhimu wa kuwa n...
Baraza la Wafanyakazi Mkurugenzi Mtendaji ndugu Kaimu Abdi Mkeyenge  amefungua kikao cha  Baraza la 19 la Wafanyakazi wa...
“Asante @nic_insurance kwa huduma nzuri” - Osmond Tarimo
#elimikanabima Pakua Aplikeshi ya NIC Kiganjani kukata BIMA yako popote ulipo kwa haraka na urahisi bila kufika kwenye o...
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde na Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhe. Martine Shigela akimkabidhi tuzo na Cheti cha ushind...
Viongozi na watumishi wa NIC Insurance waliungana na familia, ndugu, jamaa na marafiki katika safari ya kumpumzisha ndug...
Karibu Banda la NIC Insurance Tumepata nafasi ya kutembelewa na viongozi mbalimbali kwa lengo la kupata maelezo ya hudum...
Karibu NIC Insurance - Arusha Kwa huduma zote za Bima Tafadhali wasiliana nasi 0713 305 093@rc_mkoa_arusha #sisindiyobim...
NIC Insurance imetoa semina ya elimu ya bima kwa wachimbaji wadogo wa madini ikiwa ni mwendelezo wa kuhakikisha inayafik...
Karibu NIC InsuranceMaonesho ya saba ya Teknolojia ya Madini yaliyofanyika katika uwanja wa Bombambili, Mkoani Geita, NI...
Elimika na Bima Usikose kufuatilia kipindi cha Elimika na Bima kupitia @cloudstv kuanzia saa 3 usiku Host: @dr.samsasali...

Telephone

Address

NIC Insurance
Dar Es Salaam
255

Opening Hours

08:30 - 17:00
Other Insurance Companies in Dar es Salaam (show all)
Hifadhi Biashara Hifadhi Biashara
Suite 203
Dar Es Salaam

Hifadhi Biashara ni bima ndogo kwa wafanyabiashara wadogo. Imeundwa maalum ili kukulinda wewe mfanyabishara k**a mwakala, maduka, machinga nk.

Olduvai insurance agency Olduvai insurance agency
Arusha
Dar Es Salaam

INSURANCE AGENCY

Mayfair Insurance Company Tanzania LTD Mayfair Insurance Company Tanzania LTD
Tan-Re House, 2nd Floor, Plot No. 406 Longido Street Upanga
Dar Es Salaam, 38353

Mayfair Insurance Tanzania

Mkuti Finance Limited Mkuti Finance Limited
Sinza A, Mori Big Bon Petrol Station
Dar Es Salaam

Company is determined to support communities through emergence, personal, groups and business loans

Imperium Insurance Broker Imperium Insurance Broker
Golden Jubilee Towers, Ohio Street, 5th Floor Wing A, Dar Es Salaam
Dar Es Salaam, 255

Tunatoa huduma za bima Tunatoa ushauri juu ya ukataji bima Branches: Mwanza|Arusha|zanzibar Email:in

Robojen insurance agency Robojen insurance agency
Segerea
Dar Es Salaam

Jubilee Life Insurance Corporation of Tanzania Ltd Jubilee Life Insurance Corporation of Tanzania Ltd
Faykat Tower, 7th Floor, Ali Hassan Mwinyi
Dar Es Salaam

Jubilee Insurance is the number one insurer in East Africa.

Meticulous General Insurance Company Limited Meticulous General Insurance Company Limited
Mirambo Street/Samora Avenue
Dar Es Salaam

We provide General Insurance Products & Services to all Individuals, Corporate and Small & Medium Enterprises.

Beema Star Insurance Limited Beema Star Insurance Limited
Dar Es Salaam, 255

Tanzania based insurance company providing innovative inclusive insurance products and risk solutions

Jehos joho_shammah insurance agency Jehos joho_shammah insurance agency
Magomeni Usalama Watumishi House
Dar Es Salaam

Tunatoa bima zote karibu katika office zetu zilizopo magomeni usalama

Sanlam Tanzania Sanlam Tanzania
Dar Es Salaam

Brimon Insurance Agency Brimon Insurance Agency
Dar Es Salaam, 0000

Sanlam Life Insurance is the leading life insurer in Tanzania and provides high-quality service to c