VMaridada

VMaridada

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from VMaridada, Bar, P. O. Box 1330, .

14/02/2023

Upendo ni kitendo. Asanteni wote mliosababisha hili jambo. Baraka tele kwenu.πŸ§‘πŸ§‘πŸ§‘πŸ§‘πŸ™πŸΌπŸ™πŸΌπŸ™πŸΌ.
.

10/12/2022

πŸ’–πŸ’–πŸ’–

06/12/2022

Happiest birthday to you . We love you sana(Team VEJ)❀❀❀❀

01/12/2022
27/10/2022

Ni jumapili hii at Calvary Temple Arusha. Mkaribishe na mwenzako.

20/10/2022

Stay tuned! Our very own Rebecca Kennan. Ni kesho tafadhali tembelea YouTube account yake, subscribe, like and share baraka hii.
A/c name ni Rebecca Kenan.

Photos from VMaridada's post 11/10/2022

Happy International girl child day

29/09/2022

π˜π„π’π” π˜π”πŠπŽ 𝐇𝐀𝐏𝐀

Leo tupo mjini kuanzia saa tano asubuhi, wasiliana nasi kwa namba 0652861961 upate tickets toka kwa watumishi wa Mungu hawa moja kwa moja.

28/09/2022

Karibuni sana sanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

23/09/2022

π˜π„π’π” π˜π”πŠπŽ 𝐇𝐀𝐏𝐀

Mchungaji Philip David wa kanisa la TAG Calvary Temple anakukaribisha katika Ibada kubwa itakayofanyika Mount Meru-ARUSHA. Usikoseeee kabisa, Pata ticket yako sasa

19/09/2022

π˜π„π’π” π˜π”πŠπŽ 𝐇𝐀𝐏𝐀

Vituo vya Tickets ni hivi hapa, tafadhali usikoseeee. Get your ticket now πŸ™

15/08/2022

Mtumishi wa Mungu atakuwepo kumuhudumia Mzee wa Siku pamoja na wewe! Tickets zinapatikana.

08/08/2022

Jipatie ticket yako mapema, wanunulie uwapendao pia. Hii sio ya kukosa.

14/06/2022

Nyumbani ni nyumbani.
Naipenda πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ napenda Kilimanjaro😍😍😍.
πŸ“ΈπŸ“Έ by

Photos from VMaridada's post 11/05/2022
15/02/2022

Then I will set on his shoulder the key of the house of David; When he opens no one will shut, When he shuts no one will open.
Isaiah 22:22
β€œAnd to the angel (divine messenger) of the church in Philadelphia write: These are the words of the Holy One, the True One, He who has the key [to the house] of David, He who opens and no one will [be able to] shut, and He who shuts and no one opens:
Revelation 3:7
Our God has integrity and ability to do what He said.

Photos from VMaridada's post 28/01/2022

Why are you in despair, O my soul? Why have you become restless and disquieted within me? Hope in God and wait expectantly for Him, for I shall yet praise Him, The help of my countenance and my God.
Psalms 42:11 AMP

Picha haihusiani na ujumbe.
Tumefunga order za wk hii. Tukutane j5 na ijumaa tena kwa neema ya Mungu. Kwa maelezo zaidi karibu dm/ WhatsApp 0712379623.

30/10/2021

Doors are opened! Ni LEO!
Karibuni sana hapa Calvary Temple Arusha, opposite na Summit Centre!
# makusudi .

Photos from VMaridada's post 29/09/2021

Miaka 4 iliopita program ya wasichana ya White Orange Youth iitwayo Free To Dream ilikuwazo tu, likiwa na lengo la kuwajengea uwezo wasichana ambao hawapo shule kwa sababu mbalimbali na wapo katika mazingira hatarishiwanaotoka katika maeneo yafuatayo:
*ujasiriamali, afya ya uzazi, afraid ya akili, uelewa kuhusu haki na unyanyasaji wa kijinsia,stadi za maisha mbalimbali na kilimo hai.
2021 ni miaka zaidi ya 3 toka hii program iwe kwenye utekelezaji na imezidi kupanuka.

Kimaalum leo nasheherekea siku yangu ya kuzaliwa nikiwaalika marafiki wa karibu na mbali, ndugu na wadau wote wa maendeleo mashinani kunisaidia kuchangia mradi wa ushonaji uliopo ndani ya program hii. Wasichana wanajifunza kushona na wana bidii sana ila changamoto ni mashine hazitoshi. Lengo ni tupate machine 5 kwa sasa ili wawe na muda wa kutosha kufanya kazi.
Kwa maelezo zaidi unaweza wasiliana na program manager +255 718 762 414 pia unaweza kutembelea page kuona shughuli mbalimbali.
Tunapokea machine mpya, au yenye marekebisho kidogo sana au pesa taslim. Asante
&crafts #

03/09/2021

Hello! Tafadhali tembelea page yetu ya Instagram inaitwa VMARIDADA ujipatie vitenge vizuri vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei nzuri.

Videos (show all)

Stay tuned! Our very own Rebecca Kennan. Ni kesho tafadhali tembelea YouTube account yake, subscribe, like and share bar...
Karibuni sana sanaπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
π˜π„π’π” π˜π”πŠπŽ 𝐇𝐀𝐏𝐀Mchungaji Philip David wa kanisa la TAG Calvary Temple anakukaribisha katika Ibada kubwa itakayofanyika Mo...
π˜π„π’π” π˜π”πŠπŽ 𝐇𝐀𝐏𝐀Vituo vya Tickets ni hivi hapa, tafadhali usikoseeee. Get your ticket now πŸ™#Yesuyukohapa@jimmy_kimutuo@min...

Telephone

Website