irene heath consultant
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from irene heath consultant, Health spa, .
*JE UNAPATWA NA MAUMIVU MAKALI YA KICHWA 🤕*
Tumia cerebrain tablet kuondoa Maumivu
● *FAIDA ZA CEREBRAIN TABLETS* ○ Inaboresha seli za kwenye ubongo ufanyajikazi wake.
○ Inawezesha damu kuzunguka vizuri kwenye ubongo .
○ Inaboresha ufikaji wa virutubisho kwenye ubongo.
○ inaboresha coronary artery & damu kuzunguka vizuri kwenye moyo.
○ Inaboresha njia ya hewa na kuondoa pumu.
○ Inaboresha ufanyàji kazi wa ubongo, kuondoa hali ya kuuma kwa kichwa mala kwa mala, hali ya kusahau.
○ Inaondoa magonjwa ya moyo yanayosababishwa na kuganda kwa damu.
○ Inapunguza mafuta kwenye damu.
○ Inaondoa uharibifu kwenye mfumo wa fahamu.
○ Inaongeza ufanisi wa macho na masikio.
.● *VIUNGO*
○ Ginkgo leaves extract ●
*MTUMIAJI*
○ Watu wanaoshughurisha sana ubongo (akili)
○ Wazee ambao washachoka akili kupunguza kuumwa kichwa na kurudisha kumbukumbu.
📞+255762620603
*Kwa wale watoto wanaosumbuliwa na:-*
• Upungufu Wa damu
• Ukuaji Hafifu (kudumaa)
• Shida Ya Kuona vizuri
• Ugongwa wa Utapiamlo
• Matatizo Ya ngozi
• Kutokaza Mifupa
• kuchelewa kutembea na kukaa
• Na Mengine k**a hayo
Sasa tunaweza kuwasaidia kuwapa *Smart Kid Package*
Hii package inabidhaa mbili
1. Calcium & Vitamini D3 Milk Tablet
2. Vitamin Chewable tablets
🤑 Package hii ni *Tsh 145,600
Piga 0762620603
🎤Acid ya tumbo inapozidi kwenye mrija unaounganisha mdomo na tumbo huitwa ugonjwa wa Reflux .
TATIZO LA KUCHEUA TINDI KALI (ACID REFLUX).
-Kucheua tindi Kali ni hali Ambapo mchanganyiko wa chakula wenye tindi Kali uliopo tumboni kila wakati hupanda juu kupitia umio(esophagus).
-Hali hii hutokea kwa sababu vali ilivopo unapoishia umio haifungi vzur chakula kinapokuwa kimeingia tumboni .
-Tindi Kali hupanda kupitia umio kuingia kooni na kisha mdomoni , hvyo humfanya mtu ajisikie ladha chungu.
- Hali hii ikiwa ya mud mrefu inweza pekekea saratani ya koo .
- KUMBUKA, Reflux ya kinywa ni ngumu kugundulika Kwan inaambatana na dalili za kutatanisha. Miongoni mwa dalili hzo ni pamoja na.
1. Kikohozi kikavu cha muda mrefu
2. kucheua chakula ikiambatana na ladha chungu.
3. hisia ya kwamba chakula kinakwama kooni .
4. maumivu ya kifua
5. shida wakati wa Kumeza chakula
6. kukauka koo Au sauti kukwaruza.
7. tumbo kuwaka moto
8. kupata kiungulia
9. kujisaidia choo kigumu
10. uchovu wa mwili
WhatsApp &call0762620603
Contact the business
Telephone
Website
Opening Hours
Monday | 09:00 - 17:00 |
Tuesday | 09:00 - 17:00 |
Wednesday | 09:00 - 17:00 |
Thursday | 09:00 - 17:00 |
Friday | 09:00 - 17:00 |
Saturday | 09:00 - 17:00 |
Sunday | 09:00 - 17:00 |