Mjumita
MJUMITA is an independent NGO registered in 2007. It is a network of local Community-based Organizations (CBOs) involved in Participatory Forest Management.
It provides a forum for capacity building, advocacy and communication for these CBOs.
MJUMITA kupitia mradi wa GEWE wamefanya warsha kwa ajili ya kujenga uelewa kwa wabunge wa kamati ya ardhi,maliasili na utalii,kamati ya maji na mazingira,kamati ya huduma za jamii kuhusu masuala ya jinsia na uhifadhi na kuwa na majadiliano ya kina kuhusu namna gani makundi yote kwenye jamii yanaweza kushirikishwa kusimamia bioanuai hasa kwenye maeneo ya shoroba za wanyama
Kupitia Mradi wa IFBEST unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Wizara ya Fedha ya Tanzania, MJUMITA inawezesha jamii za Tanga kulinda na kusimamia kwa uendelevu rasilimali za misitu. Msitu wa hifadhi ya kijiji cha Mnkonde unaofahamika kwa jina la Mbwego unakabiliwa na uharibifu mkubwa unaochangiwa na uvamizi wa wafugaji na mifugo yao, kilimo ndani ya hifadhi ya kijiji, uzalishaji wa mkaa usio endelevu na hali hii inahatarisha kutoweka kwa msitu.
MJUMITA, kwa kushirikiana na viongozi wa eneo na vikundi vya jamii, inendelea kutoa elimu, inaongeza uelewa, kuwajengea wanajamii uwezo, na kukuza mbinu za uhifadhi. Kwa pamoja, tunahakikisha usalama wa misitu hii muhimu, kuboresha vyanzo endelevu vya kipato, na kujenga mazingira imara kwa vizazi vijavyo.
shirikishi wa misitu mazingira wa misitu ya asili Tanzania
European Union
Wizara ya Fedha
Mjumita Mjumita
Welcome to the grand celebration of Food World Day at CCM camp in Bukoba- Kagera region! Let's savor the richness of forest-delivered foods while embracing food security and sustainable forest food systems
and farm facility Food Day forest food systems ya chakula kwa wote kwa maisha ya sasa na yajayo
In celebration of World Food Day, we are participating in an event in the Kagera region, showcasing the outcomes of the Forest and Farm Facility project.
Our staff member, Manangu Salum, represents MJUMITA and our efforts. We are grateful to our partners for their support, which empowers us to highlight the impact of farmers' work.
On 13/10/2024, we were honored to host the district commissioner of Muleba, Hon. Dr Abel Mwendawile Nyamahanga, who attended the event on behalf of the Kagera regional commissioner.
Wajumbe wa mitandao 3 ya Mjumita iliyoko Handeni Tanga wamekutana na viongozi ngazi ya Wilaya akiwemo mkuu wa Wilaya Mhe. Albert Msando, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Bw. Saitoti Stephen, Katibu Tawala wa Wilaya Bi. Margareth G. Kilio na waheshimiwa Madiwani kutoka maeneo ya Mradi kuelezea mafanikio ya Usimamizi shirikishi wa misitu na changamoto zinazokwamisha utekelezaji wa Usimamizi Shirikishi wa Misitu na uzalishaji wa nishati tungamotaka kiendelevu. Wanamjumita walimuomba mkuu wa Wilaya awasaidie kutatua changamoto hizo na yeye aliahidi kuzitafutia ufumbuzi. Katika mkutano huo, Meneja Mradi wa IFBEST Bw. Simon Lugazo wa TFCG alipata fursa ya kukabidhi vitendea kazi kwa Katibu Tawala wa Wilaya B. Margaret Killo kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya. Vifaa hivyo ni kwa ajili ya Halmashauri 4 unapotekelezwa Mradi wa IFBEST ambazo ni Handeni, Kilindi, Pangani na Mkinga. Vifaa hivyo vilitolewa kwa ufadhili wa Umoja wa Ulaya kupitia Wizara ya Fedha ya Tanzania
European Union
Pangani Dc
Mjumita
Handeni DC
Warsha na Mkutano Mkuu wa MJUMITA 2024, uliofanyika katika ukumbi wa Edema Hall, Morogoro tarehe 17 mwezi wa tisa
Mgeni Rasmi kwenye awarsha hii ni Naibu Waziri kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii. lengo la warsha hii ni kujadili mustakabali wa usimamizi wa misitu nchini.
Aidha Mheshimiwa Naibu Waziri amewataka wana MJUMITA kuendelea kusambaza elimu ya uhifadhi wa misitu ya asili kwa watoto wadogo ambao ndo kizazi kinachotegemewa kuendeleza uhifadhi wa misitu yetu
Mhe Naibu Waziri aliongeza kwa kusema 'Tanzania inapoteza zaidi ya hekta 469000 za misitu kwa mwaka, hivyo zinatakiwa juhudi za makusudi ili kuweza kunusuru misitu yetu.'
Kwa pamoja, tunaimarisha juhudi za kulinda na kuhifadhi mazingira yetu kwa manufaa ya vizazi vijavyo. 🌳🌍
wa misitu ya asili tanzania shirikishi wa misitu"
Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania
WWF
World Food Programme
USAID
Commonwealth Foundation
United Nations Development Programme - UNDP
MJUMITA TEAM along with 5 other Farm Forestry Producer Organisations attended a training on product development and governance training for FFPOs SACCOS and CMGs.
The aim of training was to address capacity gap in product development
Heartfelt gratitude to the FFF program for financial support to all organisation participarting in the workshop, held on 3rd-5th Sep in Dodoma Tanzania.
Training was organised by We Effect East Africa
Mjumita
Mviwaarusha
We Effect
World Food Programme
Rahima Njaidi
de_gift_msuya Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Mhe. Gift Isaya Msuya, akiwa katika Mkutano wa Wadau wa Mradi wa Kuleta Suluhisho la Ujumuishaji wa Misitu na Nishati (IFBEST), uliofanyika tarehe 3 Septemba 2024.
Mutano huu uliwaleta pamoja wadau mbalimbali
kutoka sekta za umma na binafsi, wakiwemo wataalamu wa misitu, nishati, na maendeleo endelevu, ili kujadili na kuweka mikakati ya kulinda na kuboresha mazingira kupitia matumizi endelevu ya misitu na nishati.
Mhe. Msuya alisisitiza umuhim wa mradi huu kwa
Wilaya ya Pangani, akisema kwamba utekelezaji wake utasaidia kuleta maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa
wananchi, sambamba na kulinda rasilimali za misitu na nishati. Mradi wa IFBEST unalenga kutoa suluhisho la kijumuishi kwa changamoto za uharibifu wa misitu na
upatikanaji wa nishati endelevu, kwa kushirikiana na jamii za eneo hilo ili khakikisha matumizi bora ya rasilimali hizi.
Wilaya ya Pangani ni miongoni mwa maeneo yaliyoteuliwa kufaidika na mradi huu, kutokana na
umuhim wake wa kijiografia na kiuchumi katika mkoa
wa Tanga. Mkutano huu unatarajiwa kuleta mwamko
mpya kwa wadau kuhusu njia bora za kudhibiti uharibifu wa mazingira na kuhakikisha upatikanaji wa nishati salama na endelevu kwa vizazi vijavyo.
Mjumita
European Union in Tanzania
Usikose kuangalia ITV Tanzania siku ya Jumaanne saa 1:00 usiku kupata elimu ya uhifadhi wa ushoroba
Rahima Njaidi
USAID Tanzania
Mjumita
ITV Tanzania
Through the support from World Wildlife Fund (WWF) MJUMITA supported "Nyuki Ni Mali C" group from Namakambale Village, Tunduru District in Honey Value addition during the implementation of "Leading the Change, Civil Society Rights and Environment" project. This catalysed the honey market within and out of the District and rose the price from 7,000 TZS to 10,000 TZS pre kilogram. The project also supported other six youth and women-led enterprise group to design business plans for beekeeping/value chain addition.
Videos (show all)
Contact the organization
Telephone
Website
Opening Hours
Monday | 08:00 - 17:00 |
Tuesday | 08:00 - 17:00 |
Wednesday | 08:00 - 17:00 |
Thursday | 08:00 - 17:00 |
Friday | 08:00 - 17:00 |