Jamaa.com

Jamaa.com

I OFFER TOURISM INFORMATION AND OTHER IMPORTANT NEWS

Cloud Mining Easy Mining 05/05/2024

Ingia na ujiunge na hii

Cloud Mining Easy Mining Cloud Mining is an integral part of the cryptocurrency miner space. MineLab is a site built for Cryptocurrency, Initial Coin Offerings, and Mining. The MineLab allows you to instantly switch what you are mining, review earnings, withdraw and receive from the wallets, and much more.

14/11/2023

Digital generation vs Analogy generation= Mifumo haisomani.
Matokeo:Wizi wa fedha za Umma

11/10/2023

Tangazo lipo sahihi hapa naona TBC1 mtangazaji mmoja anasema
"Michele made in Tanzania"

12/07/2023

Mvua inanyesha Kilolo +baridi Kali ya mwezi huu wa 7

11/06/2023

Oooo!!! God help leaders of this nation to be genuine on decision making

11/06/2023

Ooo!!!God help leaders of this nation to be genuine

10/06/2023

Hawa wabunge hawajitambuwi hawajiulizi Huu mkataba utalenga bandari zote au za Tanganyika tu?

18/04/2023

Vijana mnatakiwa kuwashauri viongozi wa umma kuacha wizi na ubadhirifu wa fedha za umma. Ref to C. A. G Report

22/03/2023

Nchi yetu ina janga la njaa watu wana wakati mgumu sana eti TZ yatowa msaada tani 1000 na tani zingine zinakwenda. Hatari sana Kwa taifa letu.

01/02/2023

Wizara ya Kilimo: Bashe anatakiwa aelewe short plan to solve the problem femine and hunger badala ya long plan itakayo Kuta wamesha kufa na njaa

01/02/2023

There is a need of Immediately solution to hunger and femine in Tanzania, Nchi imekumbwa na baa la njaa suluhisho = ZERO viongozi hawana njia mbadala

01/02/2023

Chakula Cha kutosha na Usalama wa chakula katika nchi yoyote ile Duniani ni Usalama na Amani tosha. Tanzania ilione hili

10/10/2022

Good night Simba Sc fans, have a good night's sleep. 🏆🏆🏆💪🔥🔥

10/10/2022
10/10/2022

Good job guys

Time to go home 🇹🇿 Power

07/07/2022

Kudu from Ruaha National Park. The icon of Ruaha national Park

Telephone